MBUNGE AZUA KIZAAZAA, AMWAMBIA MWIGULU "UMETUKANA WABUNGE", MWIGULU AMJIBU

  Рет қаралды 232,820

Wasafi Media

Wasafi Media

Жыл бұрын

MBUNGE AZUA KIZAAZAA, AMWAMBIA MWIGULU "UMETUKANA WABUNGE", MWIGULU AMJIBU
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 241
@emmanuelcharles5613
@emmanuelcharles5613 Жыл бұрын
Mbunge tandaimba respect
@user-gh5ic5hb9m
@user-gh5ic5hb9m 2 ай бұрын
Asanteee sana baba mungu akupe maisha marefu ,kwa kutetea wakulima mungu akubariki mno ,na usimamie hayoo
@ostackmaru2723
@ostackmaru2723 20 күн бұрын
P
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Жыл бұрын
Mwigulu acha kujitetea uliwatukana wabunge tukiwa tunasikia na siku zote umwkuwa na majibu ya hovyo kwa wananchi kupitia wabunge Wala c uongo na ulisema kwel kuwa ww umebobea uchumi wengine labda wajadili uganga wa kienyeji na cyo uchumi, ulisema.
@charlesmanga1858
@charlesmanga1858 Жыл бұрын
Mwiguru jitahidi kuwaheshimu wabunge wenzako hata pia hata kwa watanzania wote ,tafuta lugha rafiki ,kumekuwa Mara nyingi ambazo si rafiki ,watanzania tunaona na sasa zinaendelea Hadi ndani ya bunge.
@hamidaidd2567
@hamidaidd2567 Жыл бұрын
HUYO MWIGULU ALISEMA ATAKAYE ONA TOZO IMEZIDI TUAMIE BURUNDI MWAKA 25 APATI UMBUGE KATUTESA SANA MASKIN
@stemarcely7493
@stemarcely7493 Жыл бұрын
Mwigulu aondoke tuu...hafai kwa iyo nafasi
@mohammedikingazi5109
@mohammedikingazi5109 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@neemamahimbo4711
@neemamahimbo4711 Жыл бұрын
Yaaani
@ramadhankhatwib8561
@ramadhankhatwib8561 Жыл бұрын
Huyu mbunge ingepaswa aongezewe muda hayo ndio maneno
@fundijambia8169
@fundijambia8169 Жыл бұрын
Imekuelewa sanaaaa mh hongera kwakujitoa sadaka kwa ajiliya wakulimaa
@vumilialeonardi109
@vumilialeonardi109 Жыл бұрын
Wakurima katika nchi yetu TWAFA
@renatuswilson1577
@renatuswilson1577 Жыл бұрын
Mwigu! Kwl unadharau. Hilo likowazi.
@mtanzaniahalisi1213
@mtanzaniahalisi1213 Жыл бұрын
Huyu ndo mbunge anayeongea ya moyoni na kutetea raia, hawa wengine hovyo tu
@emmanuelmsuya8578
@emmanuelmsuya8578 Жыл бұрын
Jamani sisi ambao ni wakulima tunaumia mno jamani
@adammbarouk4379
@adammbarouk4379 Жыл бұрын
Hata hizo garden halimi wenyewe....wazo zuri jaribun km ulivyosema ndugu mbunge ...hongera sn.
@vumilialeonardi109
@vumilialeonardi109 Жыл бұрын
Mwiguru umetutukana sisi wananchi wanyonge wariyo pinga kura sawa
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 22 күн бұрын
Mwigulu amewadharau sana na kuwatukana sana. Yeye anajiona sana hata sisi huku tunaisikia
@selemanisabihi5994
@selemanisabihi5994 16 күн бұрын
Mwamba❤❤
@mariosigala8760
@mariosigala8760 Жыл бұрын
Upo sahihi ndugu yetu
@apostleagnes5769
@apostleagnes5769 Жыл бұрын
Mwigulu mwigulu mimi mnyiramba mwenzio ninasema bora unyamaze
@iddymbuma2856
@iddymbuma2856 Жыл бұрын
😅😅
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 18 күн бұрын
Wabunge wanaojitambua ni wachache Sana
@user-cz7bd9tc5k
@user-cz7bd9tc5k Ай бұрын
Jamani Apewe Maua yake Mwigulu Ana sema ukweli Mtupu Apongezwa Hakuna Mweshimiwa Anaye sema Wapungu ziwe Mishahara yao ili Tununue pembejeo kwa Wakulima
@filbertsungura5536
@filbertsungura5536 Ай бұрын
Yes congratulation this is how society need being in position truth makes leader perfect
@MathewMwamgunda
@MathewMwamgunda 16 күн бұрын
Safi sana kiongozi,,,tunataka wabunge kam nyie,,mnaojua kuwatetea wanyongee
@rommyshabby3959
@rommyshabby3959 Жыл бұрын
Kataa wahuni
@flyhigher5393
@flyhigher5393 Жыл бұрын
Mwigulu kilaza
@mtanzaniahalisi1213
@mtanzaniahalisi1213 Жыл бұрын
Sijawahi kumwelewa mwigulu ni bora jiwe kwenye nafasi hii
@mohammedikingazi5109
@mohammedikingazi5109 Жыл бұрын
Hawa nao kila muda taarifa taarifa hawa watoa taarifa wanazinguwa sana
@rahmaamgoo7919
@rahmaamgoo7919 Жыл бұрын
Wakulima sisi hatuna wakututetea tunaumia tunatumia nguvu nyingi shambani na mda lakini tunanyonywa 😭😭😭😭
@wilsonmkumbo
@wilsonmkumbo Жыл бұрын
Acheni bei ipande Moka mbinguni,ili mkulima afaidike,shida iko wapi?neno njaaaa linatoka wapi,chakula serikali iliruhusu kikatoka nje ya dunia,Leo kelele vipi?
@ramadhanitokwete8069
@ramadhanitokwete8069 Жыл бұрын
Achana na kilimo fanya mishe zingine
@rahmaamgoo7919
@rahmaamgoo7919 Жыл бұрын
@@ramadhanitokwete8069 haya nipe hiyo mishe niachane na kilimo
@victormtani7170
@victormtani7170 Жыл бұрын
Katani ebu mpe huyo Bashe ukweli......katani ndio Mtetezi wetu wakulima taarifa zenu ni za kitashi na ukweli wakulima wananyongwa sana wanauza debe 10000 na Wafanyabiashara mijini wanatuuzia debe 1 kwa shiling 23000. Hapo ndio mnatetea wakulima au mnatetea wezi wa Wafanyabiashara
@user-xi2mf4xh7r
@user-xi2mf4xh7r 18 күн бұрын
Mh,Mwiguru aliteleza kusema tukishindwa kulipa kodi tuhamie Burundi,Burundi siyo kwetu kwetu hapa Tanzania
@livinuskamugisha5296
@livinuskamugisha5296 Жыл бұрын
Utakamatika tu mzee wa trat na trab umeanzia kutukana wananchi na kwa sasa umeamia kwa wabunge.
@bashangegoogle6714
@bashangegoogle6714 Жыл бұрын
Mwigulu Just step down For your own good and respect.
@daudimakarai1523
@daudimakarai1523 Жыл бұрын
Iko sawa wakulima hatunamtetezi mnajua mfanyacho jengeni nchi hatuna amani tunautilivj pesa imeenda wapi?
@dassustephen731
@dassustephen731 Жыл бұрын
Mwigulu ujitafakari Sana kauli zako za dharau na kejeri Kwa watanzania na wabunge.Cheo dhamana tu
@emmanuelmasele9585
@emmanuelmasele9585 Ай бұрын
Hongera sana mh.Mbunge Katani.Mkulima huwa analima kwa kushindwa kukusanya stock tu
@EstherKemba-hr2zr
@EstherKemba-hr2zr Ай бұрын
Mbunge uko vizuri sana
@SianoNyangwa
@SianoNyangwa 2 ай бұрын
Safi sana wakulima tunaumia sana leo mbozi mahindi debe ts 4000
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 Жыл бұрын
Mwigulu hawakupendi kabisa watanzania umepata laana,
@kunyaobelela4062
@kunyaobelela4062 Жыл бұрын
Ajiuzulu na ahame aende ubeligiji kwa tundu lisu
@rithaurassa
@rithaurassa Ай бұрын
Huyu mmbunge apandishwe cheo anatetea san wakulima anayajua maisha aliyoishi.Wenngine wamejitoa ufaham.
@bujikuwilliam7680
@bujikuwilliam7680 Жыл бұрын
Good mbunge wangu katani
@bonimasero649
@bonimasero649 Ай бұрын
Mwigulu muogope mungu
@christinadominic980
@christinadominic980 19 күн бұрын
Wizara kilimo kweli bei ya mchele ipo chini mkulima hawezi kuendelea na pia wafsnyakazi wa ushirika motogoro mrcu toka mwaka 1995 hadi leo hatujalipwa mafao yetu na tuhakiki lakini hatuwi tutapata lini mara ya mwisho january 2024 hutujuwe tufikilien watumishi wa mrcu
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 2 ай бұрын
Mashallah
@lilykarim8968
@lilykarim8968 Жыл бұрын
Yaani huyu mwiguru ungepisha kiti tatizo unapenda uwaziri pia hata kujibu huwezi unajibu kwa hasila mara tuhamie burundi mara waganga wa kienyeji matusi hayo
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
Mwingulu unakashifa ya mabas ya ester tunataka majibu
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 Жыл бұрын
MH. KATANI 100 KWA 100
@danielhumble4292
@danielhumble4292 Жыл бұрын
@mwigulu wewe ni manyanga pumbavuuu kuliko wabunge na mawaziri wote vilaza your a only crazy nyokoo
@rizoibrahimovich605
@rizoibrahimovich605 Жыл бұрын
Ila ni kwel hii nchi bhna Kwa Sasa ni ya hovyo yaan KILA mtu anajiamlia ty kupandisha vitu bei jamn HALI MBAYAAA KWAKWELI NI MBAYA,TENA MBAYA SANA,mwigulu hyo nafasi haimfai kabsa, anachukua Hela anaaenda kununua mkorogo ty mbwa huyu,hvi korosho kweli yakuuzwa 1500 kweli jaman, ukiangalia gharama ni kubwa
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 Жыл бұрын
kwani huyu mwigulu Ana Lazima awe waziri wa fedha hebu ajiuzulu ndio hayati magu alikutumbua
@sanyajuutv2679
@sanyajuutv2679 Жыл бұрын
Kweli kabisa bunge hamengeya kitu kikubwa sana
@athumaniahamadi3812
@athumaniahamadi3812 Жыл бұрын
Mfumuko wa bei ni mabadiliko ya Tabia ya nchi mvua Zina muda mrefu hazieleweki ,jadilini jinsi ya kutumia vyanzo vya Maui kuimarisha kilimo
@fintanmkesha1077
@fintanmkesha1077 Жыл бұрын
Uko sawa
@manaseliberatus1347
@manaseliberatus1347 Жыл бұрын
inauma sana
@user-vo7yp5gj7x
@user-vo7yp5gj7x 2 ай бұрын
Raisi Samia ana kazi Ngumu sana kwa Nchi yetu Tanzania 🇹🇿 lkn M/mungu amsimamie tu lkn mtihani
@robertphilip385
@robertphilip385 Жыл бұрын
Tafunaneni wenyewe Kwa wenyewe. Wana ccm mesanuka kwakua Tundu lisu karudi na yule aliyekua anawabeba Kwa mbeleko hayupo 2025 kazi mnayo
@patrickKitambo
@patrickKitambo Жыл бұрын
Kama mwigulu ameweza kuwa waziri inamaana mjinga yoyote anaweza kuwa waziri
@bockerbocker8495
@bockerbocker8495 Жыл бұрын
Upo sawa kabisa,na kama Mwigulu kawa Mbunge basi tusitegemee lolote katika Nchi hii
@raiderking4637
@raiderking4637 Жыл бұрын
Wafunge tu bunge
@jumawaziri5053
@jumawaziri5053 Жыл бұрын
Hapo sawa mkulima mteteeni
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps Ай бұрын
Hongera mbunge utetezi wako
@olembetonga7341
@olembetonga7341 15 күн бұрын
Mwigulu wa Tanzania tunakutizima, kumbuka hii nchi sio ya mamako
@nardhismhagama6266
@nardhismhagama6266 Жыл бұрын
Wagongameza wamechaluka wabunge wakalime halafu wakopwe na chama Cha ushilika harafu muone uchungu
@DaheerK
@DaheerK Ай бұрын
Kweli kabisa tunduru namba moja akuna bei mazao yetu nambunge watunduru sijui ninan
@msetikebwasi7270
@msetikebwasi7270 Жыл бұрын
Sasa mama si ndiye amewaondoa wanao faa na kuwateua hao wabovu ,sasa acha ajionee ufisadi wa kutisha ktk utawala wake
@AyubuMsindo
@AyubuMsindo 24 күн бұрын
Yani watukama hawa respect
@chichiry
@chichiry Жыл бұрын
Asalam allahkum
@joachklymana5669
@joachklymana5669 Жыл бұрын
mtaumana wenyewe ipo siku
@geophreymlelwa
@geophreymlelwa Ай бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANA
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Жыл бұрын
wabunge wetu mnapiga kelele lakini hamuwajali watanzania hao wenzake hawajawahi kulima ni wavivu tuu wanajua kuotesha maua tuu hawana lingine hata kufagia nje hawajui maana kazi ni namna ya kupata hela tuu na kati ya wabunge mwigullu ni hewa kabisaaa bora asiongee anakeraa huyu mwizii alieshindikana
@naturelle1097
@naturelle1097 Жыл бұрын
This is my profeshen
@kawiche4911
@kawiche4911 Жыл бұрын
Mwigulu anamajibu ya kashfa kwa wananchi Sio sawa Sisi wananchi alituambia tuhame nchi tunde Burundi Jambo ambalo anatakiwa kujiuzulu maana hadhamini watu anaowaongoza. Na sis wananchi hatuna imani naye . Hatetei maslahi ya Tanzania
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Wewe mbunge ningekuwa nawewe kabisa. Lakini kwa kile mlichokifanya kawa Bandari zetu nawadharau wabunge wote wa CCM. Kama watanganyika watawapa Inchi ya Tanganyika kwa CCM watakuwa wanajinyonga wenyewe na huyo mama yenu akiendelea kwa miaka 5 tu Tanganyika itafutwa katika dunia!
@fadhilikyandofadhilikyando5666
@fadhilikyandofadhilikyando5666 Жыл бұрын
Safiii sanaaaa
@esaworldveg1607
@esaworldveg1607 Жыл бұрын
Hawa ndio wabunge tunaowataka. Huyo jamaa mwingine tunamsubiri Singida
@lawrencealoyce7280
@lawrencealoyce7280 Жыл бұрын
Mbunge wenu mh mguu anaongozwa na kibri
@user-hy6ox4ex6p
@user-hy6ox4ex6p 29 күн бұрын
Siyo kweli kwenye mkopo wa wakulima
@profs.a5412
@profs.a5412 Жыл бұрын
Yani sio kuwatukana tu, kawavua nguo huyoo 🤣..... Yani mnaweza kujadiri mambo ya uganga tu. Afu anasimama anaongea kwa zarau , sipati picha mwigulu awe Raisi sijui watu tutaishije,...kwanza alisha sema cc tuhamie burundi😂😂
@willymtewele1869
@willymtewele1869 Жыл бұрын
Hawa ndiyo wabunge tunao wataka Jamani
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 ай бұрын
Sema usiogope sema
@simonballu1124
@simonballu1124 Жыл бұрын
Awali niliongea kuwa anayetetewa na kina bashe na mwigulu ni matapeli wa hali ya juu, wanasrema eti wacha wakulima wafaidike wakati wao wenyewe wanakufa njaa hawana mchele wala unga saiv wamekusanya mazao yote wanayo mjini wanapeleke vijijini kuuza mara nne ya bei ya awali acheni upumbavu mtaua watu.
@denismasai3539
@denismasai3539 Жыл бұрын
?????
@sempaysensey6486
@sempaysensey6486 Жыл бұрын
Mwigulu we magufuli sialikutoa hinchi ni Mungu tu ndo atusimamie cz tunayumbishwa sana
@user-st3hv8pi9i
@user-st3hv8pi9i 26 күн бұрын
😢😢 mbunge kaongea pointi sana
@Ali.salimu
@Ali.salimu 24 күн бұрын
Asante. Hawajui. Kulima. Wajua. Kulatu. Ndio. Maana. Hawana. Uchungu. Naa. Wakulima. Maskin
@claudbusumilo3979
@claudbusumilo3979 Жыл бұрын
WAZEEE WA GADENI WAKULIMA WA GADENI
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 Жыл бұрын
Balaa hili
@brunidamadege3747
@brunidamadege3747 Ай бұрын
Ndioooo baba hatutetewi wakulima.
@user-ff4sh6lq7t
@user-ff4sh6lq7t Ай бұрын
Kweli kabisa wakulima maskini wanateseka sana
@user-hy6ox4ex6p
@user-hy6ox4ex6p 29 күн бұрын
Hela zipo acheni maasira
@brucardkomba616
@brucardkomba616 Жыл бұрын
Tundu kaliamsha bunge
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 Жыл бұрын
tabora tunanunua debe 23 adi 22 sijajuw mwezi huu ni shingapi wafanya biashara wanapandisha sana bei
@chichiry
@chichiry Жыл бұрын
Wakulima tuna teseka
@Saiddoti
@Saiddoti Ай бұрын
Mh.mbunge upo sahii.mbunge. wabunge wenzako.wengi.niwafanya biashara.
@simonainea5387
@simonainea5387 Ай бұрын
Mwaka huu nimesema nilime Karanga nijenge nikitegemeà angalau 50,000/= imekuwa 30,000/= debe 7😢😢
@jumaayusuph1307
@jumaayusuph1307 Жыл бұрын
Wao go hao wanajifanya wakali chadema waja kasi wanajihami
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 22 күн бұрын
Mwigulu hatufai yaani ameisha ona watanzania mabwege. Wanyonge tunazidi kuteseka anatuwekea matozo kibao hata ukitoka na mkungu wa ndizi unatozwa sh. 1000
@justinec.ernestine-1093
@justinec.ernestine-1093 Жыл бұрын
Tuteteeni vijana wabunge wetu
@devotamutayoba9373
@devotamutayoba9373 2 ай бұрын
Big up
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 2 ай бұрын
Sema baba
@johnathelisha7297
@johnathelisha7297 Жыл бұрын
Uyu mubunge ni fireee
@reginaosward6170
@reginaosward6170 Жыл бұрын
Ni kweli kabiasa wabunge tangu wachaguliwe uliza lini waliwahi kurudi kwa wakulima hata wajue shida zao?wanasubiri uchaguzi yani miaka yote ipite ndo wanaenda Mungu anawaona
@jenivedasto9056
@jenivedasto9056 Жыл бұрын
Mwinguru ajiuzuru uyo amuna kitu,
@emanuelmarco2445
@emanuelmarco2445 Жыл бұрын
Yes big up ,tunataka wabunge kama hawa
@loishiyemollel8071
@loishiyemollel8071 Жыл бұрын
Ndio mwape uongozi 2025
@loishiyemollel8071
@loishiyemollel8071 Жыл бұрын
Bustani yenyewe ya maua inatunzwa na wafanyakazi
@kizitokasulamo9167
@kizitokasulamo9167 Жыл бұрын
Mnamzimiaje mic mtu anachangia kitu cha maana hvyoo
@fadhilikyandofadhilikyando5666
@fadhilikyandofadhilikyando5666 Жыл бұрын
Hhuyu mbunge kama mpinzaniiiii
@eenpaard3915
@eenpaard3915 Жыл бұрын
% tu % tu % tu kila sehemu
@majutoChengula
@majutoChengula 15 күн бұрын
Mumekuwa watu wakusema tarifa ,utaratibu sijui kanuni badala ya kuzingatia hoja za msimgi
@danielreuben4177
@danielreuben4177 Жыл бұрын
Katana👍
@kasiankillo6949
@kasiankillo6949 Ай бұрын
CCM bwana
@maryhando227
@maryhando227 Ай бұрын
Safi tunataka wabunge kama hao
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 67 МЛН
تجربة أغرب توصيلة شحن ضد القطع تماما
00:56
صدام العزي
Рет қаралды 36 МЛН
That's how money comes into our family
00:14
Mamasoboliha
Рет қаралды 10 МЛН
Happy 4th of July 😂
00:12
Pink Shirt Girl
Рет қаралды 60 МЛН
MPINA AJILIPUA - "KUNA SHIDA KWENYE WIZARA YA FEDHA"
7:28
Wasafi Media
Рет қаралды 57 М.
ZITTO KABWE: "Tulieni Niwapige Nondo, Hamna Pesa Nyinyi"
8:01
Global TV Online
Рет қаралды 661 М.
SPIKA TULIA AMJIBU MWIGULU "MANENO YAKO YAFUTWE"
8:51
TBConline
Рет қаралды 173 М.
Shabiby ampa mbinu Mwigulu, asema kuna upigaji mwingi serikalini
6:16
Mwananchi Digital
Рет қаралды 1,5 М.
Sikia Mapovu ya Mbunge Ally Kessy kwa Wazanzibari!
5:13
Global TV Online
Рет қаралды 79 М.
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 67 МЛН