Yaani nilifikiri mmesahau kumbe bado mko macho... safi sana
@AishaOman-k6f5 сағат бұрын
Nyie.nawapenda.sana.mnajua.kuongeza.chumvi
@mnyamwezicreativebrand38356 сағат бұрын
MUNGU simamia hii kesi haki itendeke maana kesi kama hiz mahakaman zinapigwa chini sana na watu wanalia kwa kuumia mioyo kwakutotendewa haki
@Zillionking6273 сағат бұрын
Eti sio vijana wangu😂😂😂😂
@dianaleo60675 сағат бұрын
Na huyo afande Fatuma vipi? Hashtakiwi au kishatetewa?? Ona sasa hiyo mipolisi mifala inavyotumika vibaya na yenyewe inakubali mwisho wataambiwa wavue mashati yao mkawatishie raia matumbo yenu na yalivyo na njaa yatakubali😅
@evangelistfrank19118 минут бұрын
Sidhani kama kuna ushahidi kama alivyosema wakili wa utetezi
@evangelistfrank19117 минут бұрын
Hawa mahawala wanaumizaga sana familia za watu Mimi hata simwazi
@Lundege_Hips2 сағат бұрын
Kesi kubwa ya hao jamaa yule mtoto wakat wanamfanyia tendo aliomba maji hawakumpa ndio kesi yao kubwa
@simbaedouardo84995 сағат бұрын
Rrrrrraaaaabeeeek
@JumaHasanaly5 сағат бұрын
Tena waliofanya hilo tukio ni maaskari askari ambao walinzi wa wananchi lkn wao ndio wamekuwa wakhalifu haqq itendeke wamemdhalilisha saaana huyo binti
@IssaKigwanya5 сағат бұрын
Kwanii hamkumpa maji musa unazingua😂😂😂😂😂😂
@GeorgeJusto-y4v2 сағат бұрын
Wanatakiwa wakapigwe miti na wao mpaka wanye
@khadijathani90646 сағат бұрын
Watu wanatumika vibaya jamani sijui kulipa fashila
@Queen-be1uf3 сағат бұрын
Kwa hiyo wale jamaa kwenu wamekua kejeli au sio. Limekufurahiiiisha mpaka ukawaita vijana wako. Hamjui la kuchukulia serious na la utani. Kila kitu kwenu ni joke WAPUMBAV WAKUBWA
@SaidBuliba6 сағат бұрын
Ila mussa kipanya ety alivo omba maji jee mlimpaaaa😂😂😂
@RajabuMkonje4 сағат бұрын
Jamani tuko bize na maandamano kwanini hayakufanyika iyo kesi ya binti wa yombo ipumzisheni kdg😂😅😂😂😂
@dianajohnson72686 сағат бұрын
Kitenge😂
@KkhamisKha5 сағат бұрын
Yafungwe tu mashenzi hayo
@lucasbatano3336 сағат бұрын
Eti alipoomba maji mlimpa😂
@KkhamisKha5 сағат бұрын
Ety kujitetea non sas jamn wakati video inainesha Kila kitu
@bakarininga41006 сағат бұрын
Uyoooo mtotoooo
@NanaShpapy4 сағат бұрын
Wanyongwe
@charleslukumai7875Сағат бұрын
Afande yeye je?
@Muheramaneva3 сағат бұрын
Akimu hataki kujibu uku wewe jibi😂😂😂😂😂
@MsNajma-j7e6 сағат бұрын
Ila tz yetu ya hovyo sana uku niripo me ugaibuni ushaid wa video ndio unaotumika kuriko maneno kwan maneno watu wanabadrisha lkn video ndio kila kitu na wafche nn wakanti video tumeziona dunia nzima
@aishafrancis77145 сағат бұрын
Hiyo ndiyo maana ya sirikali kipenzi wangekuwa watu wa kawaida siku nyingi wangeshahukumiwa.