Ninapolemewa na mizigoooo magonjwaa na matesoo sina wasiwasi tenaaaaaa,nipitapo uvuli wa mauti bwanaa gongo lako na fimbo yako vinanifarijiii bwanaaaa."""umenifanya wa thamani mimii,ukanitoa matopeni,niliyekuwa siifaiii ukanibarikiii"""" baba wa rehema eeeeh,Mungu wa hurumaa weee HAKUNA KAMA WEWEE unayenipendaaa""Halooo haloooo,wewe YAWEE"""Asante YESU kwa hiki kipaji huwa najikuta naweka harmonies zangu kila nikisikia nyimbo zako Kisha najiona ni bonge la mwimbaji pamoja na uzee niliyokuwa nao.
@vikickymariki22973 жыл бұрын
@@blandinamnyinga8318 ii I Jk
@vikickymariki22973 жыл бұрын
@@blandinamnyinga8318 ijj
@sylivestermachibula53563 жыл бұрын
Amina sana
@joycertalim50533 жыл бұрын
Amen
@bongatv259 ай бұрын
Wale 2024 tunao guswa na ngoma like zenu
@LaheriBarnabas23 сағат бұрын
Tuliyo lindwa na Mungu adi tumeuona mwaka wa 2025 gongeni like hapa
@lisajoseph59119 ай бұрын
2024 wangapi bado tunabarikiwa na huu wimbo
@trinezb.trinah23328 ай бұрын
Me in jesus name 🙏 🙌🏻 😍
@salumsaid44568 ай бұрын
Tupo
@muhozasoncashman10818 ай бұрын
Tuko kwawingi
@PreciousMhidze7 ай бұрын
Nipo hapa
@PAULMIKIJONAS5 ай бұрын
even me
@LeylatHemed-bb9di8 ай бұрын
2024gonga like kam unasikiliza❤
@RizikimatayoMelishokiАй бұрын
god blessed🤚🤚
@NathasFaraja2 ай бұрын
Nani atafata hii wimbo tena kwa 2025❤
@neattea64712 күн бұрын
Mimi apa
@bahatijulius134Күн бұрын
Wa kwanza 2025
@nurujulius1797 Жыл бұрын
Mungu kanitoa mbali sana kama upo kama mimi tafadhari like comment angu🙏
@sylvianyongesa-fk4kk Жыл бұрын
Huu wimbo wanibariki sana
@hannahgikonyo9135 Жыл бұрын
Am back here again 😊 this song is massive 🙏**2024
@AishaZediy-x8l5 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@magdalenajoel4409 Жыл бұрын
2023 ambao bado yunasikiliza tujuane❤️
@assamwasamwaja405 Жыл бұрын
Apa umeimba jaman mungu akubarki xana
@saidimndenge92524 жыл бұрын
I don't feel tired to listen this song😍😍😍Am a Muslim Ila kiukweli huu wimbo cjawahi pitisha cku bila kuhuckiliza,unanipa hali flani ya kiloho kwamba hakuna gumu mbele zake.Nimepitia magumu,uzuni,kuzalilishwa,shida,zalau ila aminifanya wa thamani now🙏🙏🙏🙏🙏
@WalterChilambo4 жыл бұрын
Asante. ujumbe wako umenipa furaha nyingi.. wewe ni wa thamani
Nyimbo kama hizi hazipewi tuzo sijui kwanini maana zinaujumbe wa muda wote mungu mbariki sana waterchillambo
@realscholarships-bolde.234410 ай бұрын
God Of All 🎉🎉🎉❤❤❤
@majoiejoysmbuya7169 Жыл бұрын
Nani anaye sikiliza wimbo ulio barikiwa mwaka 2023
@YulithaYoram10 күн бұрын
Waliousikiliza huu wimbo dec 2024 gonga like
@mercyjesus66373 жыл бұрын
Walter hii nyimbo inazunguka kichwa changu kila nikilala usiku mzima inaimba tuuu,mpk nihakikishe nimeisikiliza asbh yake,lkn ts my song rotating the head the whole 9night,nikiwa naota bado naota but nyimbo inaendelea katikati ya ndoto(2in 1),sijui Mungu anamaanisha nini
@hassanhalima94822 жыл бұрын
Waaah, same to me, this song is just all over me 247.
@chemutainaomy7465 Жыл бұрын
Amen brother ...God is speaking to u through this song ...you need to accept his will ..
@minzasamwel6874 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅❤❤❤❤❤❤❤❤😂❤
@withowilliam90572 күн бұрын
Nafunga mwaka na hii nyimbo nani tupo pamoja weka like apo
@Gkonlinetv3 жыл бұрын
Huu wimbo una upako frani amazing mungu ni mwema sana kwetu
@FaridahBudesko-hl6ib Жыл бұрын
Hii wimbo hunigusa ninapoisikiza
@TatuYufuramadhan-zw2ln Жыл бұрын
Nilikuwa chukizo kwakila mtu jamn yesu uyu kanifanya wasamni naeshimika tena nimekuwa tegemez nyumbn yesu 😂😂😂😂 asant mungu
@victormtani7170 Жыл бұрын
Hongera sana Bro Chilombo welter. Congratulations Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿 kwa vipaji vya juu vya Uimbaji
@sharifabwamkuu50753 жыл бұрын
Huu wimbo naupenda sana, kila day lazima niangalie unanipa faraja
@WalterChilambo3 жыл бұрын
Asante sana
@everlynkilimba3963Ай бұрын
Wimbo ambao daily ukisikiliza una kitu kizito ndani .mvuto wa Pekee ,❤❤❤❤❤❤
@dottomakanyanga52144 жыл бұрын
Bado nafarijika na hii nyimbo 2021 hongera sana mtunzi
@nicolenabintu25094 жыл бұрын
♥️🙏
@WalterChilambo3 жыл бұрын
Asante saaana msikilizaji 🙏
@jacklinemsangi77183 жыл бұрын
@@WalterChilambo kaka samahani huu wimbo wako unanibariki sana nitafurahi zaidi kama nitaupata WhatsApp 0655549724
@fabyamosi288010 күн бұрын
Likes 10 tu kwa Dec 2024 🙏
@Trish-by2bxАй бұрын
Anyone listening to this banger in November 2024🙏🙌
@MKAGYASANGIMuta26 күн бұрын
Nampenda san Mungu najua alikonitowa ,wimbo kama hiz zinayufanya tuzid kuweka matumaini na MUNGU wetu
@nzingambandibabile81143 жыл бұрын
Nitapoelemewa na mizigo, magonjwa na mateso Sina wasiwasi Tena, umenifanya hodari, ukanipa ujasiri niliyekuwa sifai ukanibariki. Only you JESUS 🙏
@sandramusonye1298 Жыл бұрын
2024🎉 Only You Jesus
@mwemamneka10244 жыл бұрын
Ubalikiwe Sana kaka kwa nyimbo nzur nime balikiwa Sana Asante Sana 🙏
@WalterChilambo3 жыл бұрын
Amen. Asante sana. God bless you🙏
@faithchepkoech9402Ай бұрын
Wale wa November na bado tunabarikiwa,,,,kiss my comment ❤❤
@stanleyeliasi8904 жыл бұрын
Umenitoa matopeni 😍 niliekuwa sifai umenibariki. Blessed sana Walter
@WalterChilambo4 жыл бұрын
Nimefurahi kuskia hivo ndugu yangu..
@loisewanjiru15763 жыл бұрын
Wow its only God who can cleanse our sin
@jaribiwarungwe75923 жыл бұрын
Nice bro be blessed
@hanahnafuna13082 жыл бұрын
Only you Jesus,,, hakuna kama we we Mungu. Umenitoa matopeni,umenifanya Wa dhamani.. This song hunikumbusha mbali sana
@stellawainaina10392 жыл бұрын
Kenyans favourite
@okothcynthia57162 жыл бұрын
2023 and am still here...thank you Jesus for everything for blessing me and those yet to come😇
@neematairo39642 жыл бұрын
Nabarikiwa nawimbo mzuli sana🙏🙏🙏🙏🙏
@missikunda23194 жыл бұрын
Who is still here in january 2021🤗
@WalterChilambo4 жыл бұрын
Thanks Whitney
@deskorydominick32183 жыл бұрын
Here I’m 🔥🔥
@visitDar20113 жыл бұрын
12/02/2021
@abelcherehani83433 жыл бұрын
21/2/2021
@aishafeysal96303 жыл бұрын
3/3/2021
@CHRISTABELIMALI-f1s4 ай бұрын
I still love the song so much blessed be to God 🙏🙏
@paulineedwin15653 жыл бұрын
Nabarikiwa sana kila nikisikiliza huu uwimbo ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
@WalterChilambo3 жыл бұрын
Amen, Mungu akubariki🙏🙏
@magrethmushi35013 жыл бұрын
Mm unanibariki sana
@StephenZangira2 ай бұрын
Mungu huyu aliyetenganisha bahari ya Sham, only you can LORD♥️
@ShilaKageah Жыл бұрын
This is a master piece 🎉🎉🎉. those here in 2023
@FrankNyanza4 ай бұрын
Mungu endelea kutubariki kwa kila jambo ata huyu anayeimba umpatie baraka tele.
@greaterdymer11064 жыл бұрын
Najuw tupo weng tunao usikiliz huu wimbo mpak 2021
@WalterChilambo4 жыл бұрын
Nipo mmoja hapa.. Kama uyu wimbo baraka ziwe always evergreen kwako
@MariamCharles-g6g Жыл бұрын
Walter inyimbo inanifaliji sana wakani wamagumuyang mungu akubaliki
@francis9610-k2p Жыл бұрын
This is a masterpiece, my all time favorite gospel song ,inashika moyo wangu ,nikisikiliza najiskia ahueni ,mazito yote yanaondoka na moyo wangu nauskia mwepesi ,na lazima machozi yanitoke kila ninapousikia huu wimbo, asante sana Walter ,Mungu akubariki🙏🏿
@WalterChilambo Жыл бұрын
Amenn
@AishaZediy-x8l5 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@pendojeremiah18285 ай бұрын
Ni neema tu
@NadiaOsman-j4b5 ай бұрын
2024 here , though i don't understand the language but this song delivered my soul in 2018, To God be the glory 🙏🙏🙏
@stevenchimombe9727 Жыл бұрын
My best song ever watching from zimbabwe brother walter this song flows over my soul
@isaacchepkutto91564 жыл бұрын
Kindly let's make this song a million views. Very blessing song 😘💕💕
@WalterChilambo3 жыл бұрын
Thanks, we got there
@WilliamDmwakanandi Жыл бұрын
Mungu akubariki Sana wewe ulieimba wimbo huu❤🎉
@OFFICIALDASSAYSONMUSIC4 жыл бұрын
When you believe angles go to work when you believe supernatural doors will open when you believe you ll defeat giants when you believe ll accomplish dreams much bigger than you thought
@georgemwila13334 жыл бұрын
I like the song lestining from Zambia
@erastoelias41293 жыл бұрын
peter msechu
@emmanuelmbwile32402 жыл бұрын
This song vely good
@ExpressMovingLexKy Жыл бұрын
Asante yeshua
@njerig59113 жыл бұрын
Me here 2021 it's a blessing
@WalterChilambo3 жыл бұрын
Ameen
@officialyoctanyavani7763 жыл бұрын
🙏
@MicharazoBob11 ай бұрын
2024 🙏🙏🙏🙏💙💙💙💙
@zainabzz72413 жыл бұрын
Umeninifanya wa samani 😭😭 eeeeeeeh asante mungu umenitoa kwenye matope mungu sina chakusema zaidi ya shukrani 🙏🙏
@VeronicaSwai-wy4cy5 ай бұрын
Mshukulu mungu tu sikuzoze
@aliciahmbura Жыл бұрын
2023 still trending Am blessed brother
@henesysolomon819611 ай бұрын
Wimbo unanibariki kila ninapousikiliza, MUNGU azidi kukuinua
@DourahJames-g6kАй бұрын
Jamn huu wimb naupenda sana mungu azid jumtia nguv katika maisha yake❤❤❤❤❤❤
@menginyanga32013 жыл бұрын
Walter na me sitaki kupita bila kukupa baraka MUNGU azidi kukubariki,azidi kukuinua ❤
@ednammbuji21672 ай бұрын
Nikiamua kuusiliza ni zaidi ya Mara mbili, hizi ndo nyimbo buana
@lydiabrown26643 жыл бұрын
Golden voice much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@WalterChilambo3 жыл бұрын
Thank you🙏🙏
@furahamaugo793 жыл бұрын
Hellow call please
@moureenyumbi9359 Жыл бұрын
2023 im here still
@tumpentine81344 жыл бұрын
Haleluyaaaa asante Yesu najua utanivusha salama kuingia 2021
@WalterChilambo4 жыл бұрын
Mwaka wa Baraka
@leokadiafabian81353 жыл бұрын
true jexux ix every thing
@kunihiiraimmaculate70662 жыл бұрын
Am augandan I don't understand Swahili tho i love i had to love this song the moment i listened to it in audio on friends watsapp status who is kenyan
@kenogembo72553 жыл бұрын
What a wonderful song, with a strong message, Mungu anatoa watu matopeni kweli, Ni yeye tu . God bless you my brother.
@WalterChilambo3 жыл бұрын
Amen, Thank You🙏
@wycliffemukanzi78173 жыл бұрын
By U
@victorwilson9253 жыл бұрын
@@wycliffemukanzi7817 j s0Qa
@frankchodau60683 жыл бұрын
Amen
@johnmande4787 Жыл бұрын
2023 now bd naiskiliza kama imetoka juzi tu 🎉🔥🔥🔥
@doreenayeet1680 Жыл бұрын
This song makes me trust i God every hour that passes,it blesses me so much😢😢
@Mercy-n1w4 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤ uniguide hii song
@pardonpatricktz75574 жыл бұрын
Nakukubali sana bro barikiwa sana
@ashusonita3 ай бұрын
So touching and powerful piece 🙏🙏🙏🙏
@madovenambawala68974 жыл бұрын
Niliekuwa sifai umenibariki eeeh! Only you Jesus 💓💓💓
@VelmaNekesa-p6f Жыл бұрын
❤❤ what a strong message... Be blessed Walter...God protect you
@glorympefu77184 жыл бұрын
Nyimbo zako zinanibark sana mtumish ubarikiwe
@WalterChilambo3 жыл бұрын
Amen. God bless you 🙏
@hildakitur7075 Жыл бұрын
Thank you for this song.
@SylviaKageha-ww6wl4 ай бұрын
😭😭😭🙏🙏🙏🙏
@RamadhaniHamisi-m7w2 ай бұрын
Nakuku bari sana
@abraham922684 жыл бұрын
This guy is talented and gifted....yaani nyimbo zake ni nzuli
@WalterChilambo3 жыл бұрын
Amen. Asante sana
@sheckycobb52403 жыл бұрын
Nilikua na mwanangu mdogo 4yrs,mahali Fulani mbali na nyumbani.Tulikua wapweke Sana Sana yaan nilijihisi nipo uvulin mwa mauti kweli,basi tukawa tunaskiliza huu wimbo kwa simu,nikimaliza naomba Sana Mungu na kumlilia mno mpaka naishiwa Cha kusema.Tukaanza kuomba Mungu tuhamishwe,ilikua 2019,Aug 2020nikapata uhamisho...Kila ninapousikia nakumbuka kule Mungu alinitoa pia nakumbuka bidii nliyoweka kwa maombi.ONLY YOU JESUS Baba wa huruma,mwingi wa rehema unaetoa bure. Ninapolemewa na mizigo Sina wasiwasi Tena,HAKIKA
@amanicharles76333 жыл бұрын
Kristo azidi kukuinua wewe na familia yako nzima !!
@sheckycobb52403 жыл бұрын
Amina
@olgaatosha53784 жыл бұрын
J'ai un témoignage avec ce cantique.😭😭😭. Ma fille d'à peine quelques jours de vie etait entre la vie et la mort, les médecins nous ont dit qu'il n'y avait plus d'espoir, mais Dieu dans son amour, nous a secouru. Et aujourd'hui nous pouvons chanter au haut et fort que Seul Jésus delivre et guéri. Merci Baba
@WalterChilambo3 жыл бұрын
Que l'honeur et la gloire soient rendu au Seigneur Jesus Christ. Quil puisse vs recomforter et que sa sa grace divine soit vote portion au nom de Jesus Christ.
@Ukversuskenya3 жыл бұрын
Amen. La Gloire a que Jesu Christ Notre Segneur.
@QueenMatias-zq7mc5 ай бұрын
Mimi jmn kilanitakapo usikia huwaunanibariki sana Mungu akubairiki sana muimbaji Mungu azidi kukuinua utukufu had utukufu 🙏🙏
@beatiejones2 жыл бұрын
2022 and it's still top on my playlist. The song hits me differently everytime. I can never forget the Lord's loving kindness towards me....and this song reminds me that it's because of His mercies that I'm not consumed. Hallelujah.
@victorinenasike6122 жыл бұрын
Mungu anatos watu matopeni amen
@TheForexVillageBoy2 жыл бұрын
@@victorinenasike612 in nnnmmmkl
@veronicajana5225 Жыл бұрын
Amen!!!!!!!!! When I first listened to it yesterday I extremely fall in love with it. Beautiful art
@RejinaKalinga-fq2to Жыл бұрын
Mawazo tuliyonayo na fahamu twaweza kujiona wataktifu ila mbele zake hasara roho ni wadhaifu this song is educated me everyday
@forgivetoday35434 жыл бұрын
My producer made me love this song. great message there.barikiwa zaid chilambo
@WalterChilambo3 жыл бұрын
Thank u... Baraka nyingi kwako
@harietkabiti18373 жыл бұрын
Blessed sana Walter
@VailethSanga-r1j Жыл бұрын
Mungu awe nasi safi xana Kwa Kaz nzuri
@Roselynenjeri Жыл бұрын
Hearing this song this morning...i am blessed by it. My prayer is that God continues to use you for His own GLORY. How good it féels to see young men turn to God . He is our ONLY Hope . Glory and Honour unto HIM
@cutepretty36193 жыл бұрын
Watching from Israel ,,, after my parents rejecting me because they got me when they are still school ,,,nimetolewa Kwa matope ,,,can't believe am only 20 year old working getting a God salary ,,, after my mum sold my three sponsor ship ,but God brought a visa from nowhere ,,,I will never leave God,, parents pllllzzznever reject mtoto wa nje ya ndoa
@karistachusi48743 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua kwa viwango vingine mtumishi. Nimebarikiwa ❤️🇹🇿
@WalterChilambo3 жыл бұрын
Amen. Asante sana.. Only you Jesus 🙏
@EvalynLyimo Жыл бұрын
walter kindly can you also provide instrumetal only for this wonderful song
@edinakiula95264 жыл бұрын
I real love this song congratulations to Walter
@WalterChilambo4 жыл бұрын
Thank you Saana
@rachaelmungai51943 жыл бұрын
2021. every time I listen to this song I feel blessed and I bless you Walter
@labamba344811 ай бұрын
Kwangu ni mwaminifu sana huyu Yesu. Amenifanya wathamani kabisa. Yesu ni njia ya kweli. Hakuna kama yeye.
@musyimidavid75964 жыл бұрын
Walter wewe ni wa baraka kwetu Sana....Nairobi kenya
@stellamichael54463 жыл бұрын
Barikiwa kaka
@WalterChilambo3 жыл бұрын
Amen🙏
@omegammasi82043 жыл бұрын
Unaweza ukalia kwa kusikiliza tu hii nyimbo🙌
@RoseMaloda-p5b Жыл бұрын
Tujinyenyekeze mbele zake tupate thamani milele kwa kumtumikia yeye tu kipande hichi kinanipa ujasili amina
@violettemitchel67724 жыл бұрын
Huu wimbo umenigusa sana. Zidi kubarikiwa kaka!!
@angelinekinandaofficial95412 жыл бұрын
Who is here 2022 listening to this wonderful song 🖐️🖐️
@naominyambura91233 жыл бұрын
I still love this song 2021,, still a blessing 👏 👏