Huyo chalii wa kifua wazi genius, halafu haongei uongo Ila bro wa matatoo inaonekana anafake sana life
@amanimushi40528 күн бұрын
Nimeipenda sana hiii ✊🏾🏁
@RaphaelStephenMyombo10 күн бұрын
Saleh kakutana na wahuni leo kapoa stop engine 😂😂😂😂
@LazandaSweety10 күн бұрын
Mungu awalindee saana hawa vijana jamani ❤
@Shadia5449 күн бұрын
😂😂😂LEO Saleh kapatikana leo 😂😂hakuna mbwa wamekuweza leo wamekuzurulisha 😂😂😂
@mariamkibindo17419 күн бұрын
Awww G7 kitamboo sana 😊😊ukichuka tuu tabata
@EsnathMdeda-k7y10 күн бұрын
Hiyo nyumba sidhanj hata kama wanahamia kweli waongo hao bwana😅😅
@mrnduluog496410 күн бұрын
Wahuni hao
@TheBastarrrd8 күн бұрын
😂😂
@samwelmwailonda7272 күн бұрын
Nlichokubali n wahun kupeana maua, yaan kila mtu kuamin juu ya uwezo wa mwenzie lazima mfike mbali 👊🏾👊🏾
@markkaitira86229 күн бұрын
really life big up👏👏
@imamrema18809 күн бұрын
mshamba uyo maisha magumu mbezi luis nakutana nae anaomba jero nilishaa kinoma
@mrromantic88899 күн бұрын
Best show kabisaaaaa
@youngchyna74410 күн бұрын
Toka lini saleh akaacha kula😂😂
@ErickMombury-e2u11 күн бұрын
Smart son on top
@LettyLussi9 күн бұрын
Salehe leo umependeza sana❤
@ashurajengela392610 күн бұрын
Uyu mwembamba akamatwe aanzishiwe lishe kwa lazima jamani 😂😂😂iweli kila USB na kichwa chake nyie na uyu mwenye gazeti mwilini kapata gazeti lenzie mapenzi shatashata 😂😂😂
@JosephineMpangala10 күн бұрын
😂😂😂😂
@LASTBORN-MEDIA7 күн бұрын
🎉watoto wamekuektia umejaa! rudi kesho uwatafute hapo utafrai
@taylicgreen783 күн бұрын
🔥🔥😂🤘🏿
@greenhills-n7qКүн бұрын
sio poa wamejua kukutembeza
@Catty-e7o10 күн бұрын
Mtu wa Tatoo Mungu anakuona
@jonathandanieligoti8 күн бұрын
unakula mafuta ya taa😂😂😂😂
@cyrusnovel1983 күн бұрын
Naombeni huyo mwembamba anywe supu sana na mtori atakufa vibaya
@wemaMichael-fr4th9 күн бұрын
wanawake wanahuruma sana
@adammayogho3005 күн бұрын
Nan kalipa hapo
@chybuwagwantaz80547 күн бұрын
Hivyo vitanda viwili wametudanganya inaonekana kimoja cha kimbau mbau kimoja cha kaka magazeti ...yaan wakja na madem zao 1room two bed kila mtyu na wake 😀😀😀kwa akiri zao...gonga like km umefkiria km mm.
@TIZZOBOYOFFICIAL8 күн бұрын
Walisema anahama leo
@moreenbwire63154 күн бұрын
Pili pachandu 😅😅😅😅
@Baday_810 күн бұрын
Jamani nime wamiss hao😂😂 nikirudi Tz watakoma🤸♀️24/7🍻🍻😅😅🎉
@RaphaelamourMrimi9 күн бұрын
Maisha haya daah 😢
@JohnNichodemus4 күн бұрын
Jaman tuwe makin Sana na vitu kama hivi , unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo bila kutegemea na hii ndo shida ya sisi watanzania na inatuponza sana unakuta mtu yupo serious kabisa anasoma comment yangu badala aandike ya kwake.😂
@sosbrayantbenjamin970110 күн бұрын
Wahun wako piece kinoma😅
@hamadichopoti29966 күн бұрын
Wanawake wanahuruma😂
@moreenbwire63154 күн бұрын
Bwire 😂
@EsterJustin-u5c9 күн бұрын
Uyo dada kama kiande😂. Hata ajistukii
@yusuphswai68515 күн бұрын
Haw ndio vijan wa ovyo sasa
@Doreenesphor9 күн бұрын
😂😂😂I love them
@AllenKinigu3 күн бұрын
,😂😂😂😂🔥🔥
@elsiekendi179210 күн бұрын
Mbn umepoa Leo Saleh ,😂😂😂
@Mzuri_00210 күн бұрын
Kakutana nawahuni lazima atulie😂😂
@zuberyrufili647210 күн бұрын
Hatar Sana
@Riziki18Mohamedy10 күн бұрын
Hom boyz 1lov😂😂😂👊
@PaulCharles-ox9pg10 күн бұрын
Masha haya kazi sana so poa 😂😂😂😂😂😂
@StellaAloyce-l3i10 күн бұрын
Leo umekoma salehe😂😂😂😂😂😂
@dogobonge9 күн бұрын
Gazeti la nipashe in ze byulding
@omarysaid87259 күн бұрын
Hawa jamaa nawakubali sana hawanaga makuu halafu wako real
@allyahahmed10918 күн бұрын
Nyie uyu mwembamba 🥹🥹🥹hata jamani au ananjaa sana anaweza sababisha watanzania tukaletewa misaada
@sheinmpayo6 күн бұрын
Away away
@sabrinasabrina39748 күн бұрын
Km kawaidaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@verbalverbal20198 күн бұрын
Nimepita kwenye comment kutafuta comment inayobisha kuwa haamii hapo, na nishaiona🤣🤣🤣🤣🤣 .... dah!
@Entertainmen_tv202410 күн бұрын
Nimewakunali sana
@RizoIbrahimovich-z4f9 күн бұрын
Wazee wa USINGIZI HASARA😂
@raymondfrancis79216 күн бұрын
Nmecheka usingiz hasara😂
@Slimsuma10 күн бұрын
🔥🔥
@wizboyfriend7 күн бұрын
brown mwanangu katoka moro 2016 hana tattoos 😂😂saiv kmmk kajaa mwili mzima
@Pyugamc-n2y5 күн бұрын
Hapo 5:07
@OmanOman-m8y10 күн бұрын
Salehe njoo unifanyie namm house tower
@bintmrisho352610 күн бұрын
Muoman umeshahamia kwako😂
@mirnababy501210 күн бұрын
Salehe Leo umwtembea sana ham huna
@allyahahmed10918 күн бұрын
Hata snoppy dog mnene jamani khaa
@lovenessitiku629310 күн бұрын
Yani hiko kidemu hpo kimetoka kujidhalilisha madem wa dar buana mfyuuuu 😅😅😅
@NaomiBwilinde10 күн бұрын
Nilikuwa naitafuta hii comment😢😢 yaan ni huzun na yuko busy kuiangalia camera
@lovenessitiku629310 күн бұрын
@NaomiBwilinde yani kama ana afya ya akili hivi mcheki huyo jamaa na huyo dada ananguvu kabisa ya kutafuta hata biashara lakin yuko kujidhalilisha na watu wake hao
@PaulNdauka3 күн бұрын
@@lovenessitiku6293Tuliza mshono ww.....Kama ww unapendwa na mtu wa bungeni....hiyo ww!!! Kila mtu na itikeli zake
@gembesimba7 күн бұрын
Hawa jamaa wanamisemo yakitaa Stop Engine
@christianluvanga26739 күн бұрын
😅😅😅 huyu skeleton miyeyusho sana
@user-to6up4hg2w20 сағат бұрын
West life are not from USA they're Irish 😂
@sadirashidi642210 күн бұрын
salehe bana eti mim sili mafutata ahahahahaha
@musichealsTz10 күн бұрын
kuna anayejiuliza kama mimi kwamba kizazi kijacho baada ya cha sasa hivi kitakuwaje?
@bennamush46169 күн бұрын
Balaa mkosi😢
@bmtbeatz92010 күн бұрын
Ninewakubali majamaa real lifestyle😅away away
@moreenbwire63154 күн бұрын
Face id
@JulianaNyamhanga10 күн бұрын
Salehe kakomaa ni Away Away yaan
@tembatembele53328 күн бұрын
Away awayiiiiiiiiiiii na homa yakeeeee
@JosephineMpangala10 күн бұрын
basi fungueni bar yenu
@raymondfrancis79216 күн бұрын
Watafte Patner mwenye pesa wawe na club ya brand yao, upande wa promo wanaua wenyewe
Hakuna watu wanajua kupenda kama wahuni muulize zai kijiwe nongwa😂😂😂
@khurlainashly568610 күн бұрын
Kimbao mbao ananifuraisha sana kanavyo jiamini nakamuwili kake😂😂
@SekelaJakson-ls7dd10 күн бұрын
Amna akapime tu😂😂😂wembamba gan uwo
@isamaxisaacmax29058 күн бұрын
Tayari usha
@salomesenkoro63409 күн бұрын
Wanavyoongea ata siwaelewi
@mickeyshaka11 күн бұрын
Stop engine wewe 😅😅😅😅
@tembatembele53328 күн бұрын
Noumaaaaaaa
@BoniphaceCosta-kd2yw10 күн бұрын
Pombe za jero😂😂😂
@RizoIbrahimovich-z4f9 күн бұрын
Wanzuki😂
@SifaMasamba-rq6ee11 күн бұрын
Bona kwag Siyoni imeganada 🙆🙆🙆
@AhmedMWALIM-e9f10 күн бұрын
Haijaachiwa bdo
@johel88210 күн бұрын
mtangazaji kama unavuta bangi acha, ushauri wa bure. i feel like una social anxiety. you get awkward kirahisi. im telling you from experience bruv. i might be wrong
@TheBastarrrd8 күн бұрын
Jamaa hajazoea kukaa na wahuni😂😂
@hemedhamis16527 күн бұрын
Unawezaje hoji machizi ukiwa timamu😂….ni sawa😂
@muuhdaxhilarion84566 күн бұрын
Im glad you see it too,,,ni kama anweweseka wakati yupo macho
@PaulNdauka3 күн бұрын
Ww na ww unaongea nn!!? Kipindi Kiko fresh....ww unatoka ushauri au unakosoa...fanya chako basi
@ManguziTown17 сағат бұрын
Mmi binafsi Huwa nam doubt sana huyu kijana😂😂😂😂
@AholeLifilima8 күн бұрын
Vijana wa ovyo uyu binti nae ajitambui akijakujitambua atakuwa kashacherewa
@BoniphaceCosta-kd2yw10 күн бұрын
Hawa wahuni tu
@tembatembele53328 күн бұрын
Sasa wamerud kulala godoro hamna
@OswardKabasa-p9y10 күн бұрын
Jaama wameivana sana hawa
@faudhiasalum72799 күн бұрын
😅😅😅🤦🏿♀️
@MuddyMussa-iu7by10 күн бұрын
Wazili wa njaa leo kala
@NyangauWest-u7e10 күн бұрын
Maisha ya kwel
@yusuphswai68515 күн бұрын
Ila uyu mwembamba anauwez mkubwa sana na anakipaj cha upraseter