Uyu jamaa anafanana Sana Rj the dj kaka ake daimond...kwel watu wawili wawili...ila uyu mkaka ni mstaarabu na handsome boy mashalah
@juventbyera140819 күн бұрын
Hii interview ya Dj Daddy Vivy. Imekua na session tofauti tofauti imependeza Sana. Noma. 👍🔥
@jamilaathumani548118 күн бұрын
Ndokwamala yakwanza kupenda kipindi hichi na uyu kaka walahi ...jamaa ni mkarimu Sana na anaupendo Sana kitasa mashalah anainjoy sana kuwa na uyu jamaa Yan haboi hachoshi yupo free Sana ...kaka pambana utafika mbali Sana mana unamoyo mzuli Sana safi
@darajalakidatukilomgi236215 күн бұрын
Sahihi kabisa, roho ya kitajiri❤
@giztony200918 күн бұрын
Very inspirational mtu anaishi kuliko mwenye degree! Maisha ni kitu cha ajabu sana😮
@AshuuuBakari17 күн бұрын
Yaaani sasa hivi kusomesha mtoto mwisho fom 4 akimaliza mpe njia ya biashara
@SilverTaric12 күн бұрын
Nimecheka 😂😂😂😂@@AshuuuBakari
@relaxstarman18 күн бұрын
Huyu jamaa ukimsikiliza unajifunza ving sana kwenye maisha ana pwent sana
@winfridathomas771018 күн бұрын
Kumbe Dj Daddy ndo Mpenzi Wa Fetty Kitasa Wa Sasa ...OKEEEEE❤️❤️❤️❤️
@ashurahatibu506918 күн бұрын
mh
@jamilaathumani548118 күн бұрын
Uyu kaka ni mkarimu Sana Yani Hadi raha.. mashalah
@Nooorooa18 күн бұрын
Ninachopenda kwa dj dady anajua kupika hlf smart
@صالحالصوافي-غ5و16 күн бұрын
Pia na usafi❤
@ShamsaHassain18 күн бұрын
Jamn et mapengo mengi saaaaaaana hasa patakuwaje😂❤
@AsmoreTune0718 күн бұрын
Mshkaj unatuwakikusha watu smart kama tunavyotakiwa kuwa
@jamilaathumani548118 күн бұрын
Uyu kaka msafi Hadi raha.. mashalah
@hamidawamba16 күн бұрын
One of the best interviews
@SilverTaric12 күн бұрын
Mwamba yuko vizuri Big up kwake
@feynalabdul599918 күн бұрын
Saleh nakubabali huwez kufa njaa no kujivunga😊😊❤
@RayChausa-g6m18 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂Bhana weeee
@shamilamussa18 күн бұрын
Da babuu kitambo sana na kina haroon kina Robert kitaa kimetulea hongera sana
@صالحالصوافي-غ5و16 күн бұрын
Mansha allah mwanaume msafi kbs
@FatumaKawawa-e6p19 күн бұрын
Hongera sana kijana,mpangilio mzuri inapendeza sana.
@SamiaIbrahim-b3k15 күн бұрын
Masha allah umejibata namufahamu mabibo
@HASSANBAKARI-q9c18 күн бұрын
Nyumba kali,,inakosa tent kwenye parkin😊
@Aziza-tx4jx18 күн бұрын
Kumekucha salama
@accessedcode26Күн бұрын
Mmekaa wawili mnachezea mashine 😂
@aminaali79218 күн бұрын
Walivaa suits za Rangi ya fuchsia 😊
@ziadamrisho732018 күн бұрын
Dj dady anacheza vizuri
@Byme643413 күн бұрын
Nimependa Sana Kipindi Hongereni Wote Yaaani Haichoshi Dj Daddy Vivy Endelea Kuwa na Ukarimu 🙏
@neemammbaga22718 күн бұрын
M ndo napenda niende kwa mtu alaf mwenyej wangu ajue kujali hivi akupikie sio unafika tena kwa mwenyeji mnapiga stry tu uondoke hpn mpikie mtu ale aondoke 😂
@JulianaMwilongo-o7y10 күн бұрын
Mwanaume unakueje na nguo ivoo😂😂😂😂😂kuliko demu
@GiannemzollaEnglibert19 күн бұрын
Mkaka msafi hadi raha
@giztony200919 күн бұрын
Kila mwanaume anapaswa kuwa msafi ila usafi ukizidi kwa mwanaume inaleta maswali mengi na uwalakini
@NaomiBwilinde19 күн бұрын
@@giztony2009kuna wanaume wanaoajiri wa dada wakazi kuwafanyia usafi na kuwapangia .
@Shadia54419 күн бұрын
😂😂Saleh muoga wa mbwa😂😂 mlizi fungulia mbwa 😂😂Kumbee kitasa hapa ndiyo anapopumzika😂😂😂
@Aziza-tx4jx18 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@SHAIMAAL-JABRY19 күн бұрын
Saleh ulafiii Chakula kinakutoaaa kooo🙌🙌😂😂😂
@mwanaidimussa14 күн бұрын
Afu kweli anapenda kulakulaaa kwa watu akienda fany interv🤮
@TIZZOBOYOFFICIAL19 күн бұрын
Saleh inahfaaa tuone kwako pia
@fadhilially735713 күн бұрын
MABIBO STAND UP
@NeemaJanga18 күн бұрын
Sofa imetulia nimependa mno na vitu vyote vyako
@sabribonge286019 күн бұрын
Noma sana dady vivy🎉
@fahadfahmy17 күн бұрын
Fundi Majiko yagesi kalipia matangazo 🤣🤣
@LucyMgopa19 күн бұрын
Ona sasa sales kapata na kiu tana namaji Ana jichukulia yan kaisha kuwa mwenyeji gafla 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 uwiiiiii
@BerthaModest18 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@mwanaidimussa14 күн бұрын
Huy saiv ni kula kula tu
@faudhiasalum727919 күн бұрын
Rang ya sofa nzuri sana
@Aziza-w5h4z18 күн бұрын
Salehe ndo mambo anayoyapenda misosi😅😅😅
@Nooorooa18 күн бұрын
😂😂😂 ametulia anasubili kula
@RayChausa-g6m18 күн бұрын
@@Nooorooa😂😂😂😂😂Sio shida zake huwa
@Mina.1518 күн бұрын
😂😂😂 na yule wa global tv 😂😂
@RayChausa-g6m18 күн бұрын
@@Mina.15 😅😅😅😅😅
@FahmiIssa-j4b18 күн бұрын
Mwenzamgu mmmh uo mziki unamyeyusha tu hata haelewi yeye yuko kwenye msosi
@faudhiasalum727919 күн бұрын
Saleh 🎉chibaba Umependez 6
@JokhaSaid-e1c17 күн бұрын
Hakuna house no mjini jamani geti la blue njano mjini hapo
@mashaali651917 күн бұрын
Kaka msafi uyo😅
@Nuru956818 күн бұрын
Saleh mlooh uyo jamn😂
@KuluthumuMsuwakollo3 күн бұрын
😂😂😂😂
@SalamaMsusa-bb6lk17 күн бұрын
Amefanana na Mudi muzungu paka la baa😂😂😂
@SalhaFadhili-xr3ey17 күн бұрын
Jmn www 😂😂😂 kumbe weng tunapenda dunia
@Tiffa-f2y13 күн бұрын
😂😂 tuliaa@@SalhaFadhili-xr3ey
@JacklineJanuary-n3w10 күн бұрын
😂😂
@YohanaAmbosanga18 күн бұрын
Jamani kitasa kajiingiiza wapi sasa hapo
@yokohamarealse305018 күн бұрын
Nimeona hiyo Olmeca dark chocolate peke yake
@FahmiIssa-j4b18 күн бұрын
Uko pw bro
@aishandayishimiye512718 күн бұрын
Mr misosi 😂😂😂😂😂
@fadhilially735713 күн бұрын
Anaongea ukweli kabisa hom boi uyu kabisa kaanza kujitegemea akiwa mdogo sana.
@ShamsaHassain18 күн бұрын
Diffuser😂
@FatmaKisanga18 күн бұрын
Dj vivi punguza kipako jamaniii😢
@صالحالصوافي-غ5و16 күн бұрын
Na salehe pia😂😂
@ChikuHamisi-o8p15 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@arnoldnicholaus383519 күн бұрын
Hivi Saleh huwezi kwenda kwa mtu bila kula?
@nanaleetz18 күн бұрын
Rangi Inaitwa ZAIN
@FaudhiaWadongo18 күн бұрын
Hatalii
@khurlainashly568618 күн бұрын
❤
@joharifarahani273919 күн бұрын
Wa kwanza
@WARDAMKILALU19 күн бұрын
Mamb unayopend salehe kutafuna tafuna
@YohanaAmbosanga18 күн бұрын
Na wewe salehe tunataka kupaona kwako
@ShukranMwakyambo18 күн бұрын
Kipako kimekolea
@TIZZOBOYOFFICIAL19 күн бұрын
Woza kenya locket inn
@kitonekantasha168719 күн бұрын
ANAPENDAA KULAA HUYUUU AKHAAAA
@Thalath-117 күн бұрын
😂
@Thalath-117 күн бұрын
😂😂
@Chuokitaa25519 күн бұрын
Slang nying 😂😂😂
@rosemsafiri756818 күн бұрын
Mpk sasa natafuta nyimbo ambazo uyu dogo kacheza mnijuze moja wapo nikaangalie
@JulianaMwilongo-o7y11 күн бұрын
Kaangalie nyimbo za diamond
@ChoroTesla19 күн бұрын
Whats wrong with Tanzanians socialite likina suala la shule kipengele sana
@Happy-n5i5x19 күн бұрын
nenda usome mwenyew hiy shule vitu havikuhusu pita wewe
@ChoroTesla18 күн бұрын
@Happy-n5i5x sawa asanteh kwa kusoma unumbe wangu
@TaarabChannel18 күн бұрын
🎉🎉🎉
@didadisminder555918 күн бұрын
@@ChoroTesla unumbe wako kasoma Wewe ulioenda shule 😂😂
@ChoroTesla18 күн бұрын
@@didadisminder5559 haya sawa kaka bado uko na mimi mook?