🎸🎹🥁 WAPIGA VYOMBO MAKANISANI HAWAJAI ROHO MTAKATIFU REV. MOSES MAGEMBE

  Рет қаралды 26,056

MISUFINI CHRISTIAN CENTER TV

MISUFINI CHRISTIAN CENTER TV

Күн бұрын

Пікірлер: 45
@gfydfdf8869
@gfydfdf8869 3 ай бұрын
baba mchungaji waimbaji wengi,hawana maombi,nguvu za Mungu hana, Rohomtakatifu mtakatifu ,ndio maana nyimbo zingine kavu.mchunga nakupenda magembe,lnjili yakweri,
@MkoiTvTz
@MkoiTvTz 3 ай бұрын
MTOTO ANAEGEUKA NYOKA, ANAKUNYA PANZI, ANA MIAKA 10 LAKINI ANA UZITO KILO 200, WANANCHI WAINGIA HOFU kzbin.info/www/bejne/qGTKpJmhaN-VerM MPWAPWA-DODOMA: Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ya kushangaza wananchi wa Kijiji cha Mbori Kata ya Matomondo Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma wamekuwa kwenye mshangao na kuingiwa na hofu kubwa Baada ya kuibuka mtoto mwenye maajabu makubwa. Mtoto huyo mwenye umri wa miaka 10 amekuwa akigeuka nyoka mkubwa, Lakini amekuwa akifariki mara kadhaa wakati wanajiandaa kwenda kuzika huzinduka. Lakini pia amekuwa akijisaidia haja kubwa wadudu aina Panzi aina ya NZIGE, Licha ya umri wake kuwa mdogo miaka 10 Lakini ana uzito mkubwa unakadiriwa kilo 200 hali inayomfanya mama yake kila siku kuwaomba majirani kumsaidia kumbeaba tena lazima wanaombeba wazipungue wati sita. Mkoi Tv online Ilifunga safari hadi Mkoani Dodoma kijiji cha Mbori kwa ajili ya kushuhudia maajabu ya mtoto huyu na hapa tunakuletea makala yote full. Usisahau kusubscribe, Kucomment na kulike pamoja na kushare🙏🏻 Lakini pia unaweza kuwasiliana na chumba chetu cha habari kwa simu no +2555713575718 🙏🏻
@arethi
@arethi 3 ай бұрын
Pianist tujuane hapa weka like hapa
@ChristinaBenjamin-n8y
@ChristinaBenjamin-n8y 2 сағат бұрын
Kwelii baba
@anjelinayasini
@anjelinayasini 3 ай бұрын
Napenda mahubiri yako baba mungu akuinue ,unasema kweli
@rumanyikachange
@rumanyikachange 21 күн бұрын
Na kweli Hayo Majitu yanatia kinyaa 😢
@RajabuKiedu
@RajabuKiedu 3 ай бұрын
Wapiga vyombo wengi wanaroho ya lusifa ndio maana wengi Awana uduma zingine makanisan mwao
@SaraiFeston
@SaraiFeston 3 ай бұрын
Du unapasua kama magufuri nataman ungekuwa baba yangu.
@tumainipeter458
@tumainipeter458 3 ай бұрын
Ameeen mchungaji
@stevenalex9121
@stevenalex9121 3 ай бұрын
Tumefikiwa 😂😂
@amoselia137
@amoselia137 3 ай бұрын
Amen pastor
@Rehemaponera
@Rehemaponera 4 ай бұрын
Aminaaa baba
@DorineChai
@DorineChai 3 ай бұрын
Kuhukumu si kazi yako
@Werema3760
@Werema3760 3 ай бұрын
Fatilia ufaham nn maana ya kuhukum biblically. Kama anahukum bas Yesu alihukumu 100%. NB hakuja kuuhukum ulimwengu bali ulimwengu uokolewe kwa Yeye.
@mabondolawrence1812
@mabondolawrence1812 3 ай бұрын
Kweli inaposemwanhuwa inahukumu, wapiga vyombo na waimbaji wahuni wahuni wabadilike.
@wilisonmikate1652
@wilisonmikate1652 3 ай бұрын
Huwezi kumuelewa kama huna d 2
@alexjosephat9030
@alexjosephat9030 3 ай бұрын
Kwahiyo msionywe, kwa sababu mnaona kama mnahukumiwa, nini kazi ya wachungaji sasa? Au kuwabariki magari na majumba
@nursechunga4470
@nursechunga4470 3 ай бұрын
Ni kweli hajahukum, anaonya!!!
@jeckobass7502
@jeckobass7502 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ila jamani mzee anasema kweli tusimchukie sisi wanamziki atujuhesabu kama niwatumishi hapo kwenye kukaaa nje wakati waneno hapo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kweli kabisa mtakuja kumkumbuka huyuuu mzeee mimi nipo palee😂😂
@tomasluvanda577
@tomasluvanda577 3 ай бұрын
Uko sahihi kabisa mwalungukosi
@WaibeNyantori
@WaibeNyantori 4 ай бұрын
Amina
@NaomiErick-s4j
@NaomiErick-s4j 3 ай бұрын
😂😂😂😂 viwanakwaya vipone
@jairoblessingsjb2722
@jairoblessingsjb2722 3 ай бұрын
Tunaomba kupitia vyomb
@DGKNEWS-it3vf
@DGKNEWS-it3vf 3 ай бұрын
Tumefikiwa jamani
@DanielMugo-vw2wz
@DanielMugo-vw2wz 3 ай бұрын
basi wakati wa maombi tuache vyombo tuombe
@LodvolaLameck-jl5vs
@LodvolaLameck-jl5vs 3 ай бұрын
Kumuelewa huyu mzee unahitaji akili kubwa
@KennedyNgusa
@KennedyNgusa 3 ай бұрын
Ila kweli vijana hamjazwi loho ,kwa Nini ?
@ObedMwankina
@ObedMwankina 3 ай бұрын
Mzee nimekuchoka bwana huna lolote siku hizi umejaa taarabu tu.
@Werema3760
@Werema3760 3 ай бұрын
Pagan mkubwa. Nyoka mwana wa joka utaponaje na jehanam? Geuka YESU ANAKUPENDA.❤ 👉“Enyi nyoka, wana wa majoka, mtaikimbiaje hukumu ya jehanum? ” - Mathayo 23:33 (Biblia Takatifu)
@joshuaandrew386
@joshuaandrew386 3 ай бұрын
Hakika huyu obedi atubu na abadirike la sivyo HUKUMU ya MUNGU haitakuacha salama , Nini amekosea hapo Baba yetu! Kwanza unapata wapi ujasiri wa kusema unamchukia Masih wa Bwana huogopii??? MUNGU akusaidie Sana ndugu ila pia haikuwa lazima umsikilize
@lilyrose7983
@lilyrose7983 3 ай бұрын
Sio bure Obed utakuwa mpiga kinanda 🤣🤣🤣
@erickmutungi8792
@erickmutungi8792 2 ай бұрын
Hukulazimishwa kumwangalia
@DorineChai
@DorineChai 3 ай бұрын
Usihukumu usije uka hukumiwa
@Tanza24
@Tanza24 3 ай бұрын
Haukumuu anaonyaa kanisa.na watumishi wa MUNGU
@bestkatunzi2824
@bestkatunzi2824 3 ай бұрын
​@@Tanza24anahukumu, kama ww sio mwanamziki huwezi elewa
@janesuma-is4wc
@janesuma-is4wc 2 ай бұрын
​@@bestkatunzi2824Biblia imesema na mtoto apewe maonyo wapi kahukumu ilihali ni kweli tupu
@trinityworld9906
@trinityworld9906 3 ай бұрын
Mbona ww ukihubiri hujazwi roho mtakatifu apo unazodoa watu acha uzee
@Werema3760
@Werema3760 3 ай бұрын
Pagan mkubwa. Nyoka mwana wa joka utaponaje na jehanam? Geuka YESU ANAKUPENDA.❤ 👉“Enyi nyoka, wana wa majoka, mtaikimbiaje hukumu ya jehanum? ” - Mathayo 23:33 (Biblia Takatifu
@bestkatunzi2824
@bestkatunzi2824 3 ай бұрын
Umeandika uji​nga@@Werema3760
@ShedrackThadeo-x1x
@ShedrackThadeo-x1x 4 ай бұрын
Uzee naoo,,, yeye anaweza kupiga na kujazwa roho mtakatifu kwa wakati mmoja ????
@Werema3760
@Werema3760 3 ай бұрын
Inawezekana kabisa. Na ndivyo inavyopaswa.
@stevenalex9121
@stevenalex9121 3 ай бұрын
Inawezekana labda iwe kwako tu mzee
@esther9892
@esther9892 Ай бұрын
Amina
HIZI NDIZO NONDO WAKATI WA KUFUNGA NDOA YA JUHUDI NA LEAH
18:37
Dhambi mpya  Hiihapa :  Mch Abiud Misholi
34:25
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 108 М.
Чистка воды совком от денег
00:32
FD Vasya
Рет қаралды 4,9 МЛН
I thought one thing and the truth is something else 😂
00:34
عائلة ابو رعد Abo Raad family
Рет қаралды 16 МЛН
Do you love Blackpink?🖤🩷
00:23
Karina
Рет қаралды 23 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 45 МЛН
Mch Moses Magembe - UTAWALA WA MPINGA KRISTO | KYELA 07
1:56:48
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 10 М.
N0.2;UAMSHO NA MATENGENEZO YA KANISA-MCH.MOSES MAGEMBE
13:57
KUMTAFUTA MUNGU WAKATI WA VITISHO-PR.DAVID MMBAGA
1:00:10
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 17 М.
DALILI ZA KURUDI KWA YESU ( 02 ) Rabbi Abshalom Longan •RUNZEWE GEITA
50:30
Beit Abraham ( Nyumba ya Abraham)
Рет қаралды 176 М.
Чистка воды совком от денег
00:32
FD Vasya
Рет қаралды 4,9 МЛН