No video

WAREMBO WANNE WAMUWASHIA TAA MR RIGHT | AFANYA MAAMUZI MAGUMU | SUZI BALE AMPA ONYO MR RIGHT

  Рет қаралды 96,160

ST BONGO TV

ST BONGO TV

3 ай бұрын

►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

Пікірлер: 106
@joycehaule9717
@joycehaule9717 3 ай бұрын
Hahahahahhahahahahahahahaaaaaaa nimecheka sanaa NAMPENDA SUZY BALE
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 3 ай бұрын
Suzi nae anajichetua Sana 😂 Garab hapend kuambiww tunaondoka wote😂
@MaxwellLegnardoElias
@MaxwellLegnardoElias 3 ай бұрын
Janet i know you from dodom city,hanet village god bless you
@pamelafelix6361
@pamelafelix6361 3 ай бұрын
Ila uyu kaka si alishawahi kuja apa na aliondoka na yule dada mwenye dred kichwani😢😢😢😢😢😢😢😢😢nimelia sana
@user-ju3nm8oc1c
@user-ju3nm8oc1c 3 ай бұрын
Kweli kabisa, aseee hii inafikirisha. Inawezekana huyu jamaa ndio tabia yake. Sintashangaa kumuona hapo tena.
@user-ju3nm8oc1c
@user-ju3nm8oc1c 3 ай бұрын
Kweli kabisa, aseee hii inafikirisha. Inawezekana huyu jamaa ndio tabia yake. Sintashangaa kumuona hapo tena.
@bhokesaid3264
@bhokesaid3264 3 ай бұрын
Wanaigiza hao hakuna hata1 aliyeserious wote ukiwaona huku siku kadhaa utawaona kwenye comedy,music,tangazo na chochote so not serious
@Official83640
@Official83640 3 ай бұрын
Kwani inakuwaga kweli na maigizo tu hayo ht Mwijaku aliwahi kusema unaowaona hapo wote km wanalipwa tu kuendesha kipindi lkn hamna ukweli wowote
@AbdulDc-oc7ps
@AbdulDc-oc7ps 3 ай бұрын
Ndio yy
@SelemanMilumba
@SelemanMilumba 2 ай бұрын
Nampenda sana suzi sitamani aondoke
@asmoretune
@asmoretune 3 ай бұрын
sifuatiliii tena huu ujinga yaan huyu bro alishatokaga nademu wake apo ety kaja na mnamruhusu kuchagua tena kwaio mnatufundisha nn apo ni mahali pakuchukua wanawake kwa muda sindyo😭 idont expect that
@LidiaElias-k6b
@LidiaElias-k6b Ай бұрын
Jaman
@user-db9tu5lv4z
@user-db9tu5lv4z 3 ай бұрын
😢huyu mdada 🙌💔si anaenda kwa lennie beauty Store au sio yy
@FatumaNurdin-ob7br
@FatumaNurdin-ob7br 2 ай бұрын
Uyu dad s alkua kwenye kipnd cha mr uk na uyo bwan wamejfanny wameachan kumbe waongo shenzeiiii
@user-il8wx3eq8i
@user-il8wx3eq8i 3 ай бұрын
Huyo naumbile lake alivyo mnene kigauni kifupi
@sammyzumesh8162
@sammyzumesh8162 3 ай бұрын
Na mkuwe na mbwembwe ka Mr right ya Kenya😂😂😂😂
@habi78121
@habi78121 3 ай бұрын
show za kistarabu so km kwenu kenya fujo tu mwanzo mwisho😂😂😂😂
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 3 ай бұрын
Kwenu wamechanganyikiwa yani wanawake wenu jeuri😂😂😂
@user-xr6xk9lb5c
@user-xr6xk9lb5c 3 ай бұрын
Watu wanajiheshimu tu. Bwebwe za nini?
@bintsaid7696
@bintsaid7696 2 ай бұрын
​@@habi78121😂😂😂ila watu wangu WA +254 Wana npunga banaa Ile ya ma ex walipo kutana😂😂😂😂😂
@reginamtitu5592
@reginamtitu5592 3 ай бұрын
Aenderee Suzi kuwepo kwenye jukwaa
@poulmbogo1770
@poulmbogo1770 3 ай бұрын
Msenge tu huyu jamaa nimejua kipind cha ovyo kabisa kama ushakuj na kuchukua dem inakuaje urud tena kwanza ni kipind cha kujitangaz maan madem wengi waliopita nawaoan wanaigiza igiza vichekesho wengine wapo na akina ndaro wengine jua kali wengine sijui vikatuni mpka hapo nikajua kwamba hawa wapo kujitangaz wapate fursa za usanii usanii maigizo ya tamthilia soon mtamuona eliz nae anaigiz subilini
@iddydanna6641
@iddydanna6641 3 ай бұрын
Big yash😂
@KigorofaniKigorofani
@KigorofaniKigorofani 3 ай бұрын
Janeth❤
@soniamarther5937
@soniamarther5937 3 ай бұрын
Mkuwe mna tuwa full video please
@farajangwema4663
@farajangwema4663 2 ай бұрын
Jamani huo ni uchumba sio ndoa so wakimech tabia wanaendelea wasipo mech wanaachana akimpata wanaemechi wanafunga ndoa
@NsiaNdanshau
@NsiaNdanshau 2 ай бұрын
Jane njo najambo naww sio kwa uzuri wako embu njoo
@MchelliLaizer
@MchelliLaizer 2 ай бұрын
Alafu uyu si alibadisha jina akaijiita fey momo huku anaitwa jina lingine uyu dada mcharuko
@stellakatana3643
@stellakatana3643 2 ай бұрын
Kabisa n huyo😅kumbe umeona kama mm
@innocentkanyata9923
@innocentkanyata9923 3 ай бұрын
Sasa ya nini kumkasilikia mtu? Huyo Bibi mtoen hapo
@deecokujory
@deecokujory 2 ай бұрын
Et sahv wameachana duh mapensi konyoooo
@LovelyCoastline-il1lr
@LovelyCoastline-il1lr 3 ай бұрын
Suzi unaongea mpaka unakera sasa unakuwa kama gigy money
@YazrinKajia-rk8fc
@YazrinKajia-rk8fc 2 ай бұрын
Jamani huyo Suzy anaboa mtoeni kwenye kipind, mdhalilishaji bwana hachagui maneno yakuongea watu watajiskia vibaya isee
@user-sn4fu7hd6u
@user-sn4fu7hd6u 2 ай бұрын
😂😂😂suz jaman punguz kuongea bas
@brunoh_bx
@brunoh_bx 2 ай бұрын
Inaonekana urefu ni deal, mimi na ufupi wangu huu nahangaika wee kupata mwanamke wa kuoa sipat lakin mwamba wanawake wote wanne wanamtaka😮😅🙌
@FATUMACHIPYANGU
@FATUMACHIPYANGU 3 ай бұрын
Uyo mkaka alishawahi kuja apo mbona😮
@danielmllay8332
@danielmllay8332 2 ай бұрын
😅
@RehemaMwampashi
@RehemaMwampashi 3 ай бұрын
Kamchukua na kamuach
@deborahmollel3170
@deborahmollel3170 2 ай бұрын
Huyo mwanamama apunguze maneno inaboa kipindi
@Sara-iz2nr
@Sara-iz2nr 3 ай бұрын
Suzi namupenda ❤❤❤
@user-vi3ck1cw3h
@user-vi3ck1cw3h 3 ай бұрын
SUSY HAFAI ANAONGEA SANAAA😮
@Patrisha600
@Patrisha600 2 ай бұрын
Wameachan kidaa bidad anachat na ex wang inakeraa kwa kwel. Boraa angeondok na sindelelaa ndoa ingekuwepoo😄😄
@devotamutayoba9373
@devotamutayoba9373 3 ай бұрын
Suzi arudi mtaani tu
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 3 ай бұрын
Yaani anachamba km ugomvi!!!😮
@rachelpatrick3749
@rachelpatrick3749 2 ай бұрын
Mtoenii Suzy bale anaongea sanaaa
@N254NK
@N254NK 3 ай бұрын
Yani no one has chosen that chic in green
@user-jx8et3mk1p
@user-jx8et3mk1p 2 ай бұрын
Suzi anaongea haid kunachangamka 😅
@AbdulDc-oc7ps
@AbdulDc-oc7ps 3 ай бұрын
Kama awana watu wapya si waseme mpaka arudie mwamba uyo
@lyidiajuakaly3335
@lyidiajuakaly3335 2 ай бұрын
Wameshaachana tayari hawa🤣🤣🤣🤣 nyie
@Officialrockzompa
@Officialrockzompa 3 ай бұрын
Suzy baleee😂
@user-kp8bp3em7v
@user-kp8bp3em7v 2 ай бұрын
NAONA KAMA MOVE TU KILA MARA NAONA WAKINDOKA NA KURUDI SASA SHIDA INAKUA NI NINI? WALIOOLEWA TOKA KWENYE JUKWAA LA MR RIGT MTUPE NA TAARIFA ZAO NA WATOTO JAMEN
@kissageorge3987
@kissageorge3987 3 ай бұрын
Mi tu hiyo brauzi ya haria uwiii hadi aibu
@Hajer-be2kh
@Hajer-be2kh 2 ай бұрын
Huyo dada aliechaguliwa nimemuona kwenye interview na Mr uky tena alisema ameachwa na bwana bila kujua na walikutana hapo Mr right walidumu km miezi mitatu 😂😂😂 kwaiyo atakua kurudi tena hapo
@salmakasim8390
@salmakasim8390 2 ай бұрын
Sindio na me nashangaa nimemuona pia anajiita fay momo
@user-rk7iw5mw8z
@user-rk7iw5mw8z 2 ай бұрын
C ndio apo kwa Mr right anajiita Lisa kwa Mr uky anajiita faymomo duh dunia Ina watu wa ajab kbx
@MchelliLaizer
@MchelliLaizer 2 ай бұрын
Me mwenyewe nashangaaa
@FadhiliMbise-jo3vr
@FadhiliMbise-jo3vr 3 ай бұрын
Mama agness kasha aribu nyota ya mwanae
@christainc.5217
@christainc.5217 3 ай бұрын
❤❤
@paschalmichael9744
@paschalmichael9744 3 ай бұрын
Lucy
@pilselman2955
@pilselman2955 3 ай бұрын
Kwan Eliza na na zalisha wako wp jaman maan mie sijanglia sikunying
@MariyaChaki
@MariyaChaki 3 ай бұрын
Hhhh ata mmi nimejiuliza wapi wapi au wamejiondokea soko gumu
@MariyaChaki
@MariyaChaki 3 ай бұрын
Hh mienyewe najiuliza
@JeremiaNanyaro
@JeremiaNanyaro 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😢😢😢😢😢
@user-ch2it3qt5z
@user-ch2it3qt5z 3 ай бұрын
😂😂😂 hii nayo n aina ya umalaya wa kidigital yn wa kixomi 😂 mnajiuza kisasa dah
@user-hp6pq9fb2l
@user-hp6pq9fb2l 3 ай бұрын
Ukweli usemwe tu
@user-ch2it3qt5z
@user-ch2it3qt5z 3 ай бұрын
Hahaha et ukwl usemwe
@maryamedi9141
@maryamedi9141 3 ай бұрын
Hyu kaka alikujanga akapata na mchumba mbon tena karudi
@user-hp6pq9fb2l
@user-hp6pq9fb2l 3 ай бұрын
Ni kumega na kuacha hiyo
@pamelafelix6361
@pamelafelix6361 3 ай бұрын
Si ndo nashangaa jaman....watu mna kumbukumbu aisee😂😂😂
@maryamedi9141
@maryamedi9141 3 ай бұрын
@@user-hp6pq9fb2l 🤣🤣🤣
@maryamedi9141
@maryamedi9141 3 ай бұрын
@@user-hp6pq9fb2l duuh hatri
@user-wd2bc7bf5x
@user-wd2bc7bf5x 3 ай бұрын
na huyu ameshamuacha eti kamwambia ana safiri mawasiliano hamna nimetoka kuangalia mahijiano kwa yule mwenzake na kiredio huyu dada anaajita sijui nan momo
@user-lb1nr2fw7t
@user-lb1nr2fw7t 3 ай бұрын
Icho kipindi wanatafuta tu ustar hamna lolote
@Salimuyusufu
@Salimuyusufu 3 ай бұрын
mbona kama huyu jamaa amerudi mara ya pili
@nancyg8664
@nancyg8664 3 ай бұрын
😂kumbe nawewe umeona eee,yan nikajiuliza mbona kama nimewahi kumuona humu
@sophsoph4740
@sophsoph4740 3 ай бұрын
Mi mwenyewe nimeshangaa
@joyce55727
@joyce55727 3 ай бұрын
Ndio yeye kalud
@pamelafelix6361
@pamelafelix6361 3 ай бұрын
Nimeshangaa Sana....alaf na izo bigG zake anatafunaga kama ng'ombe aliyecheua😤😤😤
@mercychepteekilovethismovi912
@mercychepteekilovethismovi912 3 ай бұрын
Hata mi naona hivo
@celinamputacelinamputa3577
@celinamputacelinamputa3577 3 ай бұрын
Saivi washa achana
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 3 ай бұрын
Suzi nae anajichetua Sana 😂 Garab hapend kuambiww tunaondoka wote😂
@user-vz4xv7lg3x
@user-vz4xv7lg3x 3 ай бұрын
😂😂😂 Gara B hatak kabisa kuambiwa ivo😂😂
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 3 ай бұрын
@@user-vz4xv7lg3x 😂😂😂
@restypeter1141
@restypeter1141 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 Yani macho yamtok​@@user-vz4xv7lg3x
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 11 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 96 МЛН
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 148 МЛН
MAPENZI YA BONGO pt1
10:31
Mr Uky
Рет қаралды 79 М.
ROASTING LEONARDO, NALIMI(YANGA) VS NDARO,SAID (SIMBA)
19:13
Cheka tu
Рет қаралды 783 М.
SUZI BALE AVAMIA STAGE YA MR RIGHT ATAKA KUONDOKA NA MC GARA B
3:09
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 11 МЛН