ivi ndivyo waendavyo kuzimu vuiongozi wa nchi, dini, wafanya biashara, wachawi na watu maarufu
@kilogreekachananawatuwasio4054Ай бұрын
UNAJUA NDUGU YANGU JAMAL UKIANZA KIPINDI CHAKO STORY BOOK NAWACHA KAZI KUTIZAMA STORY BOOK ❤❤❤
@freenaturetvАй бұрын
ivi ndivyo waendavyo kuzimu vuiongozi wa nchi, dini, wafanya biashara, wachawi na watu maarufu
@VescaphilipАй бұрын
Ivi kwanini kila mtu anaomba like zinakazi gani 😂 basi namm mnipe like nione zinafanyaje😂
@allahisone6386Ай бұрын
😅Ndiooo_🤦🏿♀️ 😅
@ContentSmartphone-rq6poАй бұрын
Jinga sana wwe😂😂😂
@rogersiddyАй бұрын
Sasa wewe ndo tunakupa like sasa maasna hata mimi huwa siwaelewi kwanini wanaomba like wana kazi nazo gan?kama like unapata kwa kucomment point sio kuomba omba like tu huwa wanaboa watu wa hivi
@user-qq6mv6vh3eАй бұрын
😂😂😂😂afu wew
@user-jc5hd6gr8pАй бұрын
Ukipata like 10 unapewa Dola 10 na you tube😂😂😂
@DezzyJumanne-zy1kzАй бұрын
Me wa mwisho naomb like
@freenaturetvАй бұрын
ivi ndivyo waendavyo kuzimu vuiongozi wa nchi, dini, wafanya biashara, wachawi na watu maarufu
@lenoxkahindi472313 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂❤❤
@WillyJ.LwanjiАй бұрын
Piga kazi Professor. You are the best
@freenaturetvАй бұрын
ivi ndivyo waendavyo kuzimu vuiongozi wa nchi, dini, wafanya biashara, wachawi na watu maarufu
@belitomanuel6240Ай бұрын
I'm the 4th today I need my like mister Jamal April The Best of story book
@sadockkabuko8735Ай бұрын
What do you want do with our likes
@freenaturetvАй бұрын
ivi ndivyo waendavyo kuzimu vuiongozi wa nchi, dini, wafanya biashara, wachawi na watu maarufu
@RamadhainHusseinАй бұрын
Sema ww jamal daah Allah azidi kkuweka apa dunian uzidi kutujuza tusio yajua ❤
@AbdulkasimuDossaАй бұрын
Shukran ndugu jamali kwa story nzuri, lakin kosa moja ktk story yako. "Iran siyo Taifa la kiarabu, bali ni taifa la kiajemi linalotembea na misimamo ya dini tukufu ya kiislamu"
@user-mw9qh7to3yАй бұрын
Jaman naombeni bax na mm like hata5tu
@davidmartins4843Ай бұрын
Like za nini we mpuuzi
@user-mw9qh7to3yАй бұрын
@@davidmartins4843 vp kijan
@user-pp5mx1nx7nАй бұрын
Ungekua wakike ungepewa
@yprealityvsgames4390Ай бұрын
Hamka kijna
@salimmobiletechnology1138Ай бұрын
Zinakusaidia Nini?
@AfricanizationProgramme-hq4gtАй бұрын
Nowadays the #thestorybook inaenda na trending events, anyway i always appreciate thestorybook since day one
@freenaturetvАй бұрын
ivi ndivyo waendavyo kuzimu vuiongozi wa nchi, dini, wafanya biashara, wachawi na watu maarufu
@EdwardWanjama-yj9duАй бұрын
Salute 🫡 to Profesa...From Nairobi, Kenya #LoversofHistory
@user-cw8zn2dn6mАй бұрын
Kiusema kweli mimi nilisikitika sana kusikia kifo cha huyu rais wa Iran. Iliniumiza sana jmn hadi nikajikia vibaya.
@collinsstanley6126Ай бұрын
Israel atak utan😢
@user-qq6mv6vh3eАй бұрын
Mwamba kaumaliza mwendo😢
@freenaturetvАй бұрын
ivi ndivyo waendavyo kuzimu vuiongozi wa nchi, dini, wafanya biashara, wachawi na watu maarufu
@bonifaceomallya9201Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@FridayMwassa29 күн бұрын
Ulisikitika wakati wanawake wengi wa Iran wamefurahia kwasababu aliuwa watu eti kwakuwa hawakuvaa hijab
@prisusmichael2049Ай бұрын
Dah mwisho Jamal umemaliza Kwa uchungu sana professor
@mnyetikulwa4510Ай бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 naipenda The story book, Mungu awatangule
@freenaturetvАй бұрын
ivi ndivyo waendavyo kuzimu vuiongozi wa nchi, dini, wafanya biashara, wachawi na watu maarufu
@danielmacharia5643Ай бұрын
Wakenya tuko huku the story book nipeeni likes
@lenoxkahindi472313 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-ls9vg1dn1zАй бұрын
Nimemkubali Ibrahim Raisi Mwenyezi MUNGU ajaalie kil la kheri
@husseinhemedi9314Ай бұрын
Dah uyu mwamba ni kibo haswa wa wanapenda ushoga Mungu amjaalie kila lakher🇹🇿🇷🇺🇮🇷
@SniperKiller-do5reАй бұрын
Nan??
@FridayMwassa29 күн бұрын
Siku zote kifo cha kiongozi muovu kinakuwa cha aibu
@user-kn1xx6gn5gАй бұрын
Kiongoz mzur hajawah dum... Utata lazima utokee, never play with greats!!
@ramalida2547Ай бұрын
Nan mwingine kaweka mb kwaajili ya the story book
@user-jd4rb5hr5dАй бұрын
Kazi nzurii mkuu
@user-dn7gn6ib4kАй бұрын
May Allah blessing you Mr jamal you're the best.
@jumannemohamedy1456Ай бұрын
Brother huja wahi ni angusha katika utamshi wako wa herufi Vary good for you my brother
@innocentboykid2442Ай бұрын
This is professional
@jumannemohamedy1456Ай бұрын
Jamaa ypo sawa knma@@innocentboykid2442
@felixsyrioАй бұрын
Kazi safi sana apa Jamal April big up to yourself all the way from Kenya 🇰🇪 I love your work, bro, and I hope to meet you one day much love.
@freenaturetvАй бұрын
ivi ndivyo waendavyo kuzimu vuiongozi wa nchi, dini, wafanya biashara, wachawi na watu maarufu
@nasibmussa201426 күн бұрын
@@freenaturetvunawaza nini?
@SalimKombo-xo4pq17 күн бұрын
Usemayo ni kweli ndugu yangu maneno yako. Shukran sana kwa usiwa wako sheikh wangu M.mungu akubariki sana
@kakaabesi4477Ай бұрын
Shida na content za kitanzania kwenye comment section watanzania huwa hawacomment sense, wao husema tu Jamal nakukubali sana, nipe like, kama unamkubali jamal nipe like..Yafaa muandike comment za kuchambua zaidi habari husika.Ingia kwenye content za Kenya muone comment section, we build discussions in comment sections! Bure kabisa.
@thomasponera6018Ай бұрын
Umeongea fact mkuu
@ZeProDJayАй бұрын
Umegonga nyundo penyewe..
@user-vv6pr4bj8pАй бұрын
They can't reason
@captainb.o.b568Ай бұрын
Point umeongea
@sophiaselemani2474Ай бұрын
Sipendi Hiyo tabia et nakukubari sana nakupenda sana chambua point
@captainb.o.b568Ай бұрын
The best story teller mr Jamal 🔥
@zayumar2955Ай бұрын
Innalilah wynalilah rajiuun 🥹💔😢 Allah ampe kauli thabit
@freenaturetvАй бұрын
ivi ndivyo waendavyo kuzimu vuiongozi wa nchi, dini, wafanya biashara, wachawi na watu maarufu
@neveslitos9161Ай бұрын
From Mozambique 🇲🇿🇲🇿
@DoctorBondiaАй бұрын
Unakifahamu kinacho ongelewa?
@neveslitos9161Ай бұрын
@@DoctorBondia Ndio
@maliyawatukim5912Ай бұрын
Jamal jamal jamal nimekuita mara tatu proffer, God bless you kaka,long life
@user-wi8og3sv4jАй бұрын
Mungu akupe mwisho mzuri Ibrahim rais
@kennethsafiel5577Ай бұрын
Kaka Jamal ww ni msomi wa kweli, big up
@aminatanzanya7475Ай бұрын
Mungu ailaze roho yake mahal pema pepon 🙏
@henrylugendo280Ай бұрын
Safi Sana jamal❤
@civianipyana4915Ай бұрын
Greatest of all time Professor Jamal
@johnmwirigi3836Ай бұрын
Mimi ndio 424 likez zangu nahitaji 11😅
@abubakarimsereАй бұрын
Jamali is the best
@KukuWaMayaiАй бұрын
Noma sana story book🎉🎉
@KuliElmagoslmАй бұрын
May Allah 🙏 forgive him and grant him jannatul firdos 🤲🤲🤲🤲🤲🤲
@stevoovlogs8645Ай бұрын
mungu akulaze pema Rais
@mwanjumajongette8187Ай бұрын
Allah amrehem alikuwa shunja
@kituapeterАй бұрын
Naomben like zenu na mm
@cornelytv2839Ай бұрын
Best Jamal ever storyteller ❤❤❤
@Likes_comment_shareАй бұрын
R.I.P RAIS
@AbdallahFahmАй бұрын
Mungu amuweke mahali pema peponi
@NdayisengaProsperАй бұрын
AMin
@balikiabdala823Ай бұрын
Sjachelewa jaman naomba like zenu
@sheffirajab3361Ай бұрын
Ibrahim raising Allah amuingize peponi Amin😭😭😭
@mahersaid258Ай бұрын
Ameen insha allah
@chrismassawe293927 күн бұрын
Sio kazi yako ameshakufa atakuana na muumba wake
@ttss7716Ай бұрын
😢😢😢😢😢😢subhanallah mungu atampa jannat fridhaus me nilijuwa watamaliza alikuwa hataki upuuzi
@GratianaAlexАй бұрын
Anayefahamu kazi ya Like zinazoombwa na watu anifahamishe jamani. Maana comment siku imekuwa kuomba like, kwa nia njema naomba kufahamu!
@adamngaoo7647Ай бұрын
Naombeni like ndugu zangu
@belitomanuel6240Ай бұрын
I'm watching the story book from Mozambique 😢😢😢
@DoctorBondiaАй бұрын
You understand Swahili language?
@AbshirMubaarackАй бұрын
Yaan story yoote ni Tamu na nzr,ila hii speech ya mwsh kuhuc kuwa ipo cku tutaondoka dunian.Dah yan umetupa ukumbusho wa muhm zaid na zaid ktk maisha ye2
@vicenthendry6051Ай бұрын
Nipe like zangu leo
@BennyCrisantoАй бұрын
Safi sana jama 😭😭😭.❤❤❤🇲🇿🇲🇿🇲🇿👍🇹🇿🇹🇿
@MoksMokahАй бұрын
Kazi nzuri brother,niko Mombasa Kenya.🇰🇪🇰🇪
@jabirhamisi803619 күн бұрын
Nami naomba LIKE zangu, kwakuwa muandishi amekikosea heshima KISWAHILI kwa kuandika "AMEUWAWA?" Badala ya neno "AMEUAWA?"
@jicholatatushow.847Ай бұрын
Kuwa unatupea story kama hizi tu❤️❤️
@BenekambaleElecticien-oy7jyАй бұрын
Naomba the story book ya volcano tafazali Jamal April naomba soma commentaire yangu
@KelvinKalinga-rf4jtАй бұрын
The best commentary
@tiktokTviralАй бұрын
NAPENDA SANA UWEPO WAKO #JAMAL..! MUNGU AKUWEKE HAI MIAKA ELFU NA MAELFU KWA KAZI KUBWA UNAYOFANYA..! #THESTORYBOOK HAKUNA KAMA HII TENA.!❤❤
@DellylubungaАй бұрын
From DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 tanks mr Jamal April
@tonyonyura94224 күн бұрын
The best story teller in the world Watching from kenya
@emmanuelmwandu.3126Ай бұрын
Ahsante sana the story book 📖 Kwa taarifa hizi Muhimu
@nunniznurcky9724Ай бұрын
Inna lillahi wa inna ileyhi rajiun😢
@kalistomkorongwe9711Ай бұрын
Leo na mimi mnipe hata likes 5 basi
@annamwangajilo4238Ай бұрын
Jamaliii jamal emu nipe skills piaa dah
@GeraldNnkoАй бұрын
Aisee apanacheza na Taifa la Mungu
@abdullahhashimu2380Ай бұрын
Alie muua Ibrahim Rais ni Allaah Ila aloe sababisha ndio atujui ni nani.!
@user-cm6bm7wd1oАй бұрын
Kazi poa jamal please tupee story ya the book of enoch
@user-sh6yx8ih2oАй бұрын
Jamali mstapha kwenye sehemu ya mwisho kuhusu mwanadamu hapo umenikosha sana umeeleza vizuri tamaa ya mwanadamu inasababisha maafa makubwa sana.🙏🙏🙏🙏 Asante kwa ujumbe huu
@user-oo8kg9qi3iАй бұрын
Israel walitoaga coment kuwa watalipa je ndio wao na kama ni wao basii wapo katika uongoz kuna mtu waooo na wana data zoteee
@HajjiSilima-rd3uhАй бұрын
Big up jamal
@yuscoramadhan8462Ай бұрын
Someni jamani taifa teule ndio hilo lenye kisimamia ushoga kwa ukubwa taif teule lilishapita huko sio sasa
@LastdayJesu4153Ай бұрын
Bado taifa teule kwa sababu huwezi kusema Saudi siyo mji wa kiislamu kwa sababu kuna vilabu vya pombe usisahau shetwani yupo kila mahala Rama
@IddiSulaimanАй бұрын
@@LastdayJesu4153wala hautupingani na hilo lakini kama kiongozi wa nchi pamoja na sekta zenye nguvu zinasimama na kupitisha LGBTQ utataka useme nini tena hapo Zaid ya laana tu
@rosegodson4633Ай бұрын
chochote anachosapot mmarekani, kuna uchafu kuna ushetani, na mm n mkiristo ila naungana na wanaoilaani israel, mana ukichek hata video israel hawataki ukirsto na hawamuamin yesu na tena wanakejeli vibaya, MUNGU fanya jambo kwa hawa wa Israel wasiokujua wewe
@anastaziamathias8861Ай бұрын
@@rosegodson4633Mbona Saudia wanaisaport marekani na ndo sehemu waislamu duniani huwenda kuhijji? Bado NI Taifa teule huo ndo ukweli huyu jamaa alisema eti ataifuta lslael kwenye ramani ya dunia sasa Mungu kamfuta yeye
@anastaziamathias8861Ай бұрын
@@rosegodson4633halafu Nikusaidie Tu waislael sio wakristu hata Yesu hakuwa mkristu alikuwa myahudi Mungu hawezi kufanya Jambo kama unavyowaza wewe sababu hata biblia yako yoote imejaa habari za waislael Tu hivyo wewe Aidha c mkristu au hujui unachoongea
@user-nr4iq2sq7f11 күн бұрын
Naomba utuletee historia ya kabila ya wangindo kaka Jamal
@alcardgeorge2207Ай бұрын
Asante sana kwa habari zilizojaa ufundi sana na kina
@konradmachugu-li9inАй бұрын
Ni kwa nini eneo la Middle East limeishi kuwa vitani ingawa dini kuu 3 zina mizizi humo? 😮 Hii haifai. Mwenyezi Mungu awarehemu na amani, Amiin ya Rabbil 'alamin.
@CedricMUHIMPUNDU-yf7hk12 сағат бұрын
Big up my Bro.i follow you a 100℅
@jeremiblaze7876Ай бұрын
Very insightful.
@Alphanso007Ай бұрын
Mungu atunusulu na vita vyote amen
@sharifahabsi5004Ай бұрын
Pamoja frome 🇴🇲
@godymastermind9534Ай бұрын
This is Jamal April, super dupa🎉
@kleenheart12 күн бұрын
Heri umerudi..from kenya 🇰🇪
@arnoldbahati3259Ай бұрын
Welcome back Jamal professor 💪🏽💪🏽💪🏽
@makavl-gi5qe29 күн бұрын
Na mm naomba like
@user-ps5co3pc3f6 күн бұрын
Inna Lilah wa inna ilyh raji'uun
@stanslaus777515 күн бұрын
Kwan like mnafanyia nn wazee, mm sitaki like ya mtu 😂
@wanjirupatrick6697Ай бұрын
Jamal tafadhali tupe story book ya magufuli pombe. Najua aliuwawa na si ati alikufa na corona ...
@antazypoka3752Ай бұрын
Ujumbe mzr Sana Apo mwisho
@rajabbinjumah9026Ай бұрын
Ukitizama Vzur Nikama Imetunguliwa Na Bomu La Masafa Marefu
@jumakapilima729517 күн бұрын
Umetumia radar ipi?
@MethodJulius-fu9hfАй бұрын
Kka hujawai kufeli mmi sintokuita tu professor ila Goat🐐 Jamal Mustafa uishi zaid ili vizazi vingi vikushuhudie.
@jacksonmsendo3478Ай бұрын
We muongo irani sio waarabu hao ni waajemi au persians
@YassinThomas-br8ezАй бұрын
AllahAkbar
@MosesMelau-um3byАй бұрын
Auwaee kwa upangaa atakufa kwa upanga
@MustahiKhalid21 күн бұрын
Naomba nipewe wakat story book zikitolewa please 🙏 Jamal
@YelemiaElidadi-cq9djАй бұрын
Mungu ibariki tanzania
@abdulnaseermrisho4342Ай бұрын
Masahihisho - Iran sio taifa la kiarabu,ila ni taifa la kiislam, Ahsante kwa simulizi na uchambuzi
@LastdayJesu4153Ай бұрын
Na hata wewe unatakiwa kusahihishwa ni taifa la Washia😅
@abdulnaseermrisho4342Ай бұрын
@@LastdayJesu4153 THE ISLAMIC REPUBLIC OF IRAN ndio linavyo itwa hivyo official lete andiko au sehemu ambayo wana tambulika kama Shia republic of iran