Mashabiki bwana wamesajili vijembe wasinqe sajili vijembe. Sasa mnaona iwe je
@PaulMasolwa-ir4fp4 күн бұрын
Siyo kweli wachezaji wazawa hawapewi nafasi tu
@dnashkiba90104 күн бұрын
Watatu hapa
@HairuIssa-f9y4 күн бұрын
Xahih nikukubr oxcar
@user-pr3hv1uk8y4 күн бұрын
Wamesajiri wavulana ambao hawawezi kucompete kimataifa kutokana mentalities zao
@muksinimbaruku12334 күн бұрын
Sawa
@magutumogeko69364 күн бұрын
Poa
@saidsoudamiri40543 күн бұрын
umewaona wale wavulana wa Spain wanachokifanya Euro?
@Kabeya4104 күн бұрын
Wazawa wanaofaulu simba hakuna wote wanawaua viwango ila Yanga tu wana hilo mzize, kibwana, job, ibra baka, kibabage, mudathir, na kuna boxer
@kendricromaaa4 күн бұрын
WE AKILI HUNA KWO WANAOTAJWA KINA ZIMBWE JE
@Kabeya4104 күн бұрын
@@kendricromaaa Akili huna wewe huna kumbu kumbu enzi za zimbwe na mkude hao wazee sasa enzi hizo siyo sasa kila kijana anaeningia anaua mpira akitoka anaenda kuwaka wengi wameshindwa kuendelezwa kwa kuwa wanakariri wachezaji wao wazee
@omarhababuu31594 күн бұрын
@@Kabeya410😮
@user-bt6ep3yb2h4 күн бұрын
Waache wajichanganye, mbangula anawasubiri kuwapiga ndani nje.