Wapenzi wangu msijichoshe sanaa story ya Diamond inaanzia dkk ya 14🎉
@user-pk1yl7zt8p17 күн бұрын
We naye Kama mb zaky ww zinakukopa ustuchoshe
@mfalmekaitaba242517 күн бұрын
@@user-pk1yl7zt8p tuliza kinembe kenge ww
@Ibrasleen17 күн бұрын
😂😂😂
@MarcellySumaye-bv5lh17 күн бұрын
Nimefuata huko huko
@Rizikialiamechannel76317 күн бұрын
Asante sna 😂😂😂
@mwajomberobert17 күн бұрын
Maneno mazuri sana kwa wasanii wetu wa kizazi kipya Ahsante Rais wetu mstaafu J.Kikwete
@rashidsimba368016 күн бұрын
Interview Bora sana ,na maneno mazuri sana Kutoka kwa Mzee wetu JK, kama una D mbili huwezi kumuelewa
@yohanamaiga303117 күн бұрын
Ushauri mzuri sana kutoka Rais mstaafu Kikwete umetupa maneno mazuri ya kufikia mafanikio na mafanikio ambayo ni endelevu.
@ramamwanga755116 күн бұрын
Nimependa management
@kaundasutikaunda776915 күн бұрын
Mzee Kikwete umetoa ushauri Mkubwa sana kwa hawa wanamuziki vijana. Mungu azikidi kukulinda Mzee wetu tunakupenda sana.
@JumaSaidi-xq7ui17 күн бұрын
Raisi wetu kipenz mungu akupemaisha malefu❤
@LawiLazaro-h3e17 күн бұрын
Much respect to him.
@MALCOM_TV60211 күн бұрын
Takes notes harmonize ✍️
@mfalmekaitaba242517 күн бұрын
Mzee leo kawa #Kungwi sijui anamsema #Harmonize!!!!
@MALCOM_TV60211 күн бұрын
Harmonize ajifunze hapa✍️
@user-pb3ub3gl4q13 күн бұрын
Nice furniture
@LaurentBahebe16 күн бұрын
Big brain with Big Idea
@JellyRuba202216 күн бұрын
Filbert Bay nilimjua kwenye ngoma ya Kala Jeremia/Nay wa mitego na moo music
@MasudiJuma-rs4gj15 күн бұрын
mko vizuri watangazaji
@SadikiMapesa-fj2ks16 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯
@user-hi8le2vb7z16 күн бұрын
MZEE KAONGEA POINT,,ILA WATU WASITEGEMEE DAI KUSHUKA,,,AMETOKA KIPINDI AMBACHO MTANDAO NDO UNATEKA SOKO KIDUNIA...NAYY AKAFANIKIWA KULITEKA...MAMBO HUKWAMA ILA KWA MIZIZI ALIYOTENGENEZA UYO MCHIZI..NI MUNGU APENDE KAMA AMBAVYO NYNY MNAZEEKA NAZO.
@abelhilonga109515 күн бұрын
Kweli kuanzia dakika ya 10 mondi anaongelewa
@iamobadia329516 күн бұрын
Mzee kamkataa kitenge kitaalamu
@user-rb8uf6oq7w17 күн бұрын
Muheshimiwa mbona mabibi wamesisitizwa hapa kijembe kinamuhusu mmakonde mwenzangu, I huo ndiyo ugonjwa wa sisi wamakonde, tuvumilieni tu tutabadilika baadae kidogo.
@JosephKessy-jq2om17 күн бұрын
Ila harmonize 😂😂😂😂
@jedidahbintidaudi82419 күн бұрын
Mh, panga basi siku moja uongee na vijana kuhusu kesho yao..naona umetoa madini mazuri na huenda unayo mengine mengi baba..unalionaje hilo baba yetu?