Nilikuwa nasubiri kwa hamu history book,maana zote nilishamaliza kuangalia Good job Kaka wa Taifa 💪🏻🇹🇿
@yunaisamidd75874 ай бұрын
Mimi pia jaman 😅😅😅
@atenionesmo_A104 ай бұрын
duh! watu mnafatilia
@ChaumaraAli-z5i4 ай бұрын
really story quran congratulations my brother for good history have a good days
@MuganwaPatrick-jy3fx4 ай бұрын
Kama unamkubalu Jamal ebu gonga like we're families guys I love y'all
@mesha_photographer4 ай бұрын
Sawa
@SaimonKalemera-im5dq4 ай бұрын
Ni kumkubali sio kubalu
@heavenlightsamuel4 ай бұрын
@@SaimonKalemera-im5dq😂😂😂😂
@AboyChivaChiva-sx3bv4 ай бұрын
Sasa mbona wa indu wanna abudu mashenamu
@MuganwaPatrick-jy3fx4 ай бұрын
@@AboyChivaChiva-sx3bvHuyu ni uongo mtupu mimi nimekomenti Kwa sababu nipate zangu likes zenu
@PaulMawira4 ай бұрын
Kutoka Kenya, nipeni likes jameni
@nicholaskato27093 ай бұрын
Umefanya nini mpaka wakupe like?
@SarapiaMfoi-o2x3 ай бұрын
Unazifanyia kazi gan
@SarapiaMfoi-o2x3 ай бұрын
Unazifanyia kazi gan
@thisisivyy4 ай бұрын
Finally been waiting for a notification..🇰🇪♥️
@JosephKimaro-u7d23 күн бұрын
Jamal your the best story teller hii ndo historia yangu Bora ya mwaka 2024... Naiona mpaka 2030 the best one🌟✨ upew maua Yako🌹🥀
@fanuelfedrick28124 ай бұрын
Mwaga like za upended kwa professional
@jamilaathumani54814 ай бұрын
Ibilisi kwel ni mnafki ...mwenyezimungu atuswamehe na atupe mwisho mwema inshallah...sisi na vizazi vyetu na wazazi wetu nafamilia zetu inshallah
@allahisone63864 ай бұрын
ALLAHUMMA AAMIIN BIIDHNILLAH KWA SOOT NDG
@jamilaathumani54814 ай бұрын
@@allahisone6386 Amin 🙏 ndugu yang wa iman
@Dullywahyd4 ай бұрын
Amiin
@theheartofafricatvАй бұрын
2:17 2:20 2:20 😊 2:25 😊😊
@msazorhazard73954 ай бұрын
Kwa wale wanaojiuliza ibilisi anawez aje kuongea na binaadam kwny hii story. Ibilisi huja kwenye sura na maumbo tofauti na huwatumia binaadam kufikisha maovu yake. Naamin hata wew kuna siku ibilisi alishawahi kukutumia kufanya ovu Fulani. Mungu atuepusha na fitna za Ibilisi, Ameen.
@AMJtiktok4 ай бұрын
Bilisi huwa anavaa sutti na ana iphone 15 promax ❤❤ gari ibilisi haji nayo duniani mmtamuonea chuki wabongo
@Fm-MornStar20144 ай бұрын
@@AMJtiktokI 😂🤣 😂 🤣 Aya bhana!
@leonardmhagama58284 ай бұрын
Kama shetani anaweza kuja ktk maumbo ya mnyama au binadamu.. Kwann waumini wengi wa kikristo wanakataa Yesu sio Mungu, na wanaoamini wanasema Mungu alikuja duniani kwa sura na mfano wetu kupitia mtoto Yesu, na tunawakatlia!?
@Theparzarcade4 ай бұрын
@@leonardmhagama5828Yesu alifanya meditation na kuamsha chakra zote saba, na alitafuta elimu yake maeneo tofauti tofauti ikiwemo kuingia katika giza ndio maan kuna mtoza ushuru alimfuata akamwambia nifanyeje eeh mwalim mwema akamuuliza kwann unaniita mwema angali hayupo aliye mwema kumshinda mungu kwaiyo yesu anasiri nyngn kanisa linazificha ili kuchukua utukufu kupitia stori yake ya juu juu na stori ya yesu ndio inalipa kanisa nguvu ya kutawala dunia.
@MARIOTHERAPPER4 ай бұрын
Wewe kunywa maziwa bangi itakuchizisha sawa sasa unataka kusema shetani ni sawa na mungu ama wanafanana wewe fikiria kwanza@@leonardmhagama5828
@AishaTabi-e2z4 ай бұрын
Naomba Mungu akuongoze na akupe maisha marefu na elim yako❤
@YassirRashidjuma4 ай бұрын
Allah ni mwingi wa huruma na nimmpole kwa wajawake
@lidamudy28424 ай бұрын
Kutoka burundi 🇧🇮 nip like ata 5
@NoelyGasto-g6s4 ай бұрын
Jamal April prolofesa nakubali kazi zako
@hudhaifaramadhan4 ай бұрын
Allahu Akbar
@mesha_photographer4 ай бұрын
Amen😊
@jameskinuthia44804 ай бұрын
Professor the best of the best 💯💪💪💪
@omariochumu9354 ай бұрын
Profesa jamal naomba ufanye makala ya jinsi ya kuswali kwa kiislamu na neno kwa neno kwa maana yake ahsante.
@جمل_264 ай бұрын
KZbin zipo video nying mkuu
@ArafatIssahamis4 ай бұрын
Safi jamali nakukubali unajuwa kak naomben like ndugu zangu Kam wote tunaipenda story za jamali
@salumukatani03-u8b4 ай бұрын
Hongera Kwa story hii yenye mafundisho Kwa maisha yetu
@BrianPrudenceOngera4 ай бұрын
It's Great story of Noah (Nuhu) professor Jamal April mustapha God is Omni presence to you 🙏🙏👏👏
@Mahuns-i2z3 ай бұрын
👏👏
@abedymtore27074 ай бұрын
Kuhusu chakula na vyakula vya wanyama kwakua swala lilikua laki Mungu apo Azani kama kuna tatizo iyo operation iltekelezwa na MOLLAH mwenyewe apo no dout.kazi nzuri professional profeor
@neozoran2444 ай бұрын
mkuu.., humu umeua sana.., hakika kwenye ulimwengu wa story telling unastahili Heshima yako.., Pokea maua yako kaka 🙌🏽
@AishaTabi-e2z4 ай бұрын
Asante sana jamali nilikua na hamu nakusupiri ❤❤❤❤
@AMARNsengi4 ай бұрын
Kama wewe nimzima na hauna tatizo lolote la kiafya zidisha kumuomba kheri mungu Jamal april 🔥🔥🔥🙌🔥
@dennissitawa60204 ай бұрын
I like it. Good work Professor. You have explain it in clarification, intensity and diversity manner.
@silakhaemba60844 ай бұрын
Kazi nzuri Sana Jamal napenda hizi fafanuzi
@godfreystephano49924 ай бұрын
Naisubiria kwa hamu sana hadithi ya henocko
@kiamedia18294 ай бұрын
Tayari alishatoa
@JanipherLopez4 ай бұрын
Kazi ya mungu ni ngumu sana ninajua mungu alikua anawalisha uko ndani ya safina
@mariamfritsi49434 ай бұрын
Nimeipenda sana hii hadithi ya Nuhu, nilikwisha ona movie yake miaka ya nyuma, nimeipenda sana .hii dunia ilianza zamani sana ,na watu wakaidi walishakuwepo tangia hizo enzi.tumuombe sana Mungu, maana wakorofi sasa hivi ni wengi mno.16.08.24.
@ZaxAbudo-n2t4 ай бұрын
Comments Zango nikizipeleeka amunipi like naomba hi iwe yankuanza kupata like nyinge natokea Moçambique Mano Jamal eu gosto de ti muito você tás na lista dos shiekh ❤ bem
@kinegandambalilo42954 ай бұрын
Mwenyezi Mungu mkubwa 🙏🙏🙏🙏
@King_Of_Everything4 ай бұрын
Nothing can stop Nature.✌️
@TonybreaLukasiАй бұрын
Pureee Jamal 💯 💯
@HildaLyimo-u9l4 ай бұрын
Dahhh qur ann amefafanua kwakina sana
@renndag87424 ай бұрын
Jamal namkubali sana, kutoka DRC🇨🇩🇨🇩
@Mahuns-i2z3 ай бұрын
From 🇹🇿
@hamzafishten95604 ай бұрын
Nakukubali sana
@MunezeroHabiba-td3mv4 ай бұрын
Mwenyeezi Mungu Subhanau Wataala hashidwi nalolote wala chochote kula kulala kuishi midhali alimtuma mtumishi wake humo ndani ya safina kilakitu kilikuwa tayari maana yeye ni KUN Faya Kun
@henrylugendo2804 ай бұрын
Safi sana jamal
@AminRound4 ай бұрын
Fantastics story like nyingi
@HashimuMilanzi-ko8xm4 ай бұрын
Jamaa unajua sana ww
@finetechkenya4 ай бұрын
Watching from Kenya feel loved professor of creativity ♥♥!!!
@davidmchomvu22104 ай бұрын
Professor jamal anajua 🎉
@benjaminbrucesports39454 ай бұрын
Nimekuwa mtu wa 60 ,, Nakubali Mkuu Kwa Historia Kama Hii
@civianipyana49154 ай бұрын
Greatest of all time once again ❤❤❤
@EstherMazengo4 ай бұрын
Mungu uwe nami mpaka mwisho wa dunia
@amanmalima9404 ай бұрын
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@maliyawatukim59124 ай бұрын
G.O.A.T Professor jamal keep it up 🙌👏
@tanzcanmediatv44734 ай бұрын
Nakakumbuka kaleckawimbo Nuhu alifanya kama vile alivyoagizwa na Mungu.kwamba atengeneze safina.....
@DJQueenBeeOG4 ай бұрын
Nime isubiria sana hii aisee atimae
@barakae.n64184 ай бұрын
Tunaofatilia story book kila wiki tujuane hapa 👍
@isaselogistics72663 ай бұрын
yeah
@remmymwaga11343 ай бұрын
👍
@kingkittah67484 ай бұрын
PROFESSOR 🙌🙌🙌🙌
@OnesmoMwipopo-co8dr4 ай бұрын
Hii story nilikuwa nasubili kwa hamu sana
@CaptainJaphet-lp1km4 ай бұрын
You're best Bro 👍 good work
@rogatusmeleki16604 ай бұрын
Stori nzuri kabisa kwa mwaka 2024 Kuna la kujifunza hapa Kwann binadamu hatupendan n kwann kuna adhabu ya kifo
Hizi ndo story tunazopenda sio zile za siasa tunataka za kidini ❤❤❤❤
@jacksonseleman42924 ай бұрын
Sas ndin na siasa c ni kitu kimoja tu
@allahisone63864 ай бұрын
DINI NASI NDINI
@rayv5194 ай бұрын
Mwambie ajue spellings kwanza😂@@allahisone6386
@atenionesmo_A104 ай бұрын
zote zinaumuhim zinaumuhim kukingana na mda wake
@KeithKipleting-ot6wc4 ай бұрын
Kazi nzuri Jamal
@JacksonThomas-or4zc4 ай бұрын
Gonga like kama Unamkubali Jamal
@christopheritambo13154 ай бұрын
Nzulii hii 😁
@amosdai1936Ай бұрын
Unique story like guys
@RawdhaTv4 ай бұрын
Mashaallah
@JosephFredrick-ev1tw4 ай бұрын
Appreciate bro unajuwa bhana live long Life
@petronsemwa97724 ай бұрын
Hatimae umerudi jamala
@omarymayunga28894 ай бұрын
Wa Saba daah leo
@MalaikaBrighton3 ай бұрын
Baba muumba mbingu na nchi na vyote viliyomo jina lako litukuzwe milele yote 🙏🙏🙏amen
@gracenizigama6954 ай бұрын
MUNGU niwetu sote ❤
@GeofreyMtensa4 ай бұрын
Huyu nabii ISSA anazungumziwa juu kwa juu...lkn ...inaonesha sio mtu wa kawaida km tunavyomchulia....kuna kiwango cha imani kimeongezeka kwng juu ya kumwamini issa bin Mariamu(YESU KRISTO)
@Richforever664 ай бұрын
Tena waislam wamesema yeye ndio nabii wa Kwanza aliye fanya miujiza dunian kuliko nabii yoyote yule
@RamadanPaul4 ай бұрын
Kwa hiyo ni Mungu sio😅
@RamadanPaul4 ай бұрын
@@Richforever66... kwa hiyo atakuwa Mungu sio😅
@KevinAtito4 ай бұрын
Endelea kueka imani kwake utamjua zaidi
@alimoe97693 ай бұрын
@@Richforever66hapana akuna muislam anasema hivyo kila mtume amekua na miujiza yake
@TheRedArmy9804 ай бұрын
Jamal the king 👑 Nikiskia tuu "The Story book..." Nasisimka tuu
@christopherwilbard27114 ай бұрын
hakika mungu nimwema
@NyandaAmos4 ай бұрын
Good broo
@JolieLila-q7t4 ай бұрын
iyi story ni mzuri sana kweliii❤
@petertosh77264 ай бұрын
At least Leo cjachelewa,pita n like
@DalissaThomas27 күн бұрын
❤ ninoma san
@SwadyChino-z2h4 ай бұрын
Natokea Mozambique 🇲🇿 kama una mkubali jamal gonga like apa ❤
Congratulations,,I admire your story telling. ❤thumbs God bless you.
@issamakau58414 ай бұрын
Shukran Kaka kwa ufafanuzi huu ila swali ambalo ni jibu kwa kila mwenye shaka ni hili, Je ni kipi kigumu zaidi ya haya, kubuni kisichokuwepo kikapatikana na kutengeneza muundo wa chombo ya kilichokuwepo,kipi ni rahisi? Wabunifu wote wa sasa hivi na ujuzi wao wote wanarudi kwenye matukio ya kihistoria ya kale ili kubuni waliyoyasoma..k.m Mungu kaeleza kuhusu safina ya Nuhu(a.s) na kwa upana wake na uweza wake yote yaliyopo kwenye maandiko yakatimia, ijapo vipimo vya ujenzi huo huenda vilikoseka...ukubwa wa Mungu utabaki tu daima
@benwagema37314 ай бұрын
jamal alwas makes my day. his resech is perfect
@shadrackmwampote46153 ай бұрын
We really like the way you narrate👍👍👍bigup bro!!
@lilfourcreatives4 ай бұрын
I requested this story book of Noah .. thanks Professor Jamal Mustapha ...baraka nyinyi kwako ndugu ... From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 with love
@kivuswahilitv68334 ай бұрын
Profesa Jamal intelligent historien 💪💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@Mahuns-i2z3 ай бұрын
💪💪
@benwagema37314 ай бұрын
Nefeli reflects the ethereal and delicate essence associated with these celestial formations. In ancient Greek mythology, Nefeli represented a beautiful nymph transformed into a cloud by Zeus
@Rycmasterda14 ай бұрын
Best of the best 💪💪.
@Mahuns-i2z3 ай бұрын
💪💪
@vangaboy4 ай бұрын
Wa kwanz leo daah
@OscarMsechu-c9x29 күн бұрын
Excellent sana kaka Jamal
@joselineamosy55072 ай бұрын
May God bless you Jamal ❤❤
@rajabuSaid-hj7fm3 ай бұрын
Hongera kaka👏👏
@salumukatani03-u8b4 ай бұрын
Jamal April once again👏🔥🔥
@skynet-timazi4 ай бұрын
Kutoka Kenya, nipeni likes jameni...
@LangxSheby4 ай бұрын
history mzuri Kinachoniuzi the story Book inakua ndefu ndefu kama move Daah
@MohammadKhamis-ib7dz4 ай бұрын
Mmmh 🤔 mbn
@gilbertgodfrey63763 ай бұрын
We ulitaka iwe fupi and then
@LangxSheby3 ай бұрын
@@gilbertgodfrey6376 sasa and then ndionini ivyo vingelezavyenu vyaku mix mix vinaboa kinoma sikuizi kama kimombo shuka kimombo kama kiswahili shuka kiswahili Bhana 🤣🤣