Jamaa Linex ana kipaji kikubwa sana. Ana vocal nzuri, ni mtunzi mzuri, yaani ni full package shida kubwa ni hizo media zinapromote wasanii wabovu wanaoimba matusi.
@ibrahimomari24585 ай бұрын
Hapo ulizingua sana...yoyote mwenye akil asingekwenda
@ramadhanitokwete80696 ай бұрын
Kwaio wew babalevo Huwezi kumsadia mtu hadi ukamuombee msaada sehem nyingine akati unasema unapokea mil 10 mshahara kwa mwezi! Shwain
@lamekkauka90566 ай бұрын
Baba levo kaongea kweli kabi hoyo mwamba anaiba jamani
@babahaytham56116 ай бұрын
Misaada ya masimango ni ya kisenge
@BilaliBilaliamri5 ай бұрын
Iyo tiba ipo kabisa kigoma mimi nshawahi kuungwa mguu uliovunjika kwa kienyeji nilikua na umri wa miaka 9 sikwenda hosptal, hata siku moja mzee nikua naona anashika kisu anasimama kwenye jua na mimi na simama kwenye jua ndo anafanya take, huyo mzee alikua anatwa richard balilula kutokea kijiji cha mkongoro kigoma bila shaka alishatangulia mbele ya haki