Ndugu hizo ni siraha chache nchi yetu haiwezi ikauza siri kwa maadui hata na wageni waalikwa wanajua hizo ni gelesha tu
@ThobiasMarandu3 жыл бұрын
Akina Kenyatta Nahisi Wamecheka sana, Sina la Ziada!
@bizekago40603 жыл бұрын
Kwanini unasema wamechaka
@zikirination67693 жыл бұрын
Watachekaje wakati wasomali wanamshinda😁acha mawazo ya kikolon
@fritschenterprises19063 жыл бұрын
@@zikirination6769 kuna tofauti ya mapigano baina ya jeshi kwa jeshi na jeshi kwa waasi wanaojichanganya na watu.. kweli kwa upandewa silaha kenya wako mbali sana.
@smukelomkhize97753 жыл бұрын
Anamaanisha kwamba Kenya wanavifaa Vizuri kuliko vyakwetu , Usikute wanavyakawaida Kama Vya Kwetu watu wengine bwana!!!
@zikirination67693 жыл бұрын
@@fritschenterprises1906 sasa Kama unavifaa vya kisasa nivyakazi gan ilihali alshababu tu wanawatoa ulimi nje ustrong sio vita vya jeshi kwa jeshi Bali ni kuanza kuleta heshima ya jeshi na vifaa vyako vyakisasa ndo sehem nzr yakujipima Kama jeshi so point Yako bado hajanishawish mzee
@claudsaprapasen90683 жыл бұрын
Sasa rafiki zangu Mungu atakapotimiza unabii huu hivi karibuni hizo siraha si tutazigeuza majembe na funiture tu! Hahahaaaa! Zaburi 46:9 "Anakomesha vita katika dunia yote. Anauvunja upinde na kuuvunja mkuki vipandevipande; Anayateketeza magari ya vita motoni"
@fzafza67463 жыл бұрын
Kwani ivi vyote mnavifanyia kazi mmh Hamza aliwatetemesha kumbe mna mafunzo makubwa hivooo🙌🙌
@Ralianstyle1543 жыл бұрын
tofaotisha polisi na JWTZ...HAO NI jwtz
@fzafza67463 жыл бұрын
@@Ralianstyle154 😂😂😂😂hawana lolote haoo
@carlosn_tz3 жыл бұрын
Hivi vifaa ni vingi sana atakuwa alivinunua JPM cash bila kuwaambia
@zachariangangaa6583 жыл бұрын
I dream of world without weapons, how did our father lived without this thing.
@ephraimkihahu96153 жыл бұрын
That might never happen because there will always be evil people in this world.
@stephanomoses76943 жыл бұрын
Da aisee tuko nyuma jaman da. Silaha gani hizi sasa utadhani maonyesho ya silaha za jadi. Eti kombora la kutungua ndege ikiwa kimo cha chini drons inapita hicho kimo cha chini au cha kati kufanya nini. Da yaan mungu tuepushie vita maana dah!
@pettiecranwel75883 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@salomemchewa51873 жыл бұрын
Mungu atusadia .. Wenzetu wanamabomu wakitupa moja tanzania tunakufa wote ,
@fatmanuri463 жыл бұрын
Hayo wenye mabom makubwa na kila kukicha machafuko ayaichi so achana kusema taif lako japo liko nyuma unalla unaamka uckii ata mlipuko japo unalalamika silaha dhaifu elim ya uzalendo inaitajika J.k nyerere alisema sana kuusu uzalenda kwel Leo tunaona
@amanimadinda60813 жыл бұрын
😆😆 silaha za jadi
@boazmirish9762 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@Davistoto19493 жыл бұрын
African inafaa kubadilika, silaha ni siri ukionyeshana hivi tunawapa madui nafasi
@paskalmasake33423 жыл бұрын
Mbona south Korea na USA wanaoneshana vitu vyao
@Davistoto19493 жыл бұрын
Kuna tofauti kubwa sana African na American ama Korea. Hao police 1 analinda raiya 1 , African police 1 analinda watu 100
@kabuletepierre75063 жыл бұрын
@@Davistoto1949 ukweli mimi naunga mkono toto Davis. Hakuna haja ya kuonyesha silaha namna hiyo. Kwa mfano, adui akija atakuwa tayari anajuwa nguvu zenu.
@yusufmohamed88743 жыл бұрын
Hiyo ni sehemu ndogo sana ya silaha zilizopo
@alvinmaro29923 жыл бұрын
Sawa lakini kwa uelewa wangu hiyo ni sehemu ndogo Sana ya silaha na ni zile basic tu maana na wao Kama watalamu wa ulinzi na usalama wa nchi lazima hiyo hoja yako wanaijua
@salumselemani10593 жыл бұрын
Hongera jeshi letu wanaotaka mechi wanaweza kutuhalika
@saidmbilinyi59553 жыл бұрын
Daah kumbe tunawAnajeshi wauhakika nchin big up
@eliekalonji78053 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 Hamnakitu hapo bru trust me 😂😂😂
@meekman18053 жыл бұрын
Africa bhana wanashangaza sana wanamiliki mavifaa ya gharama ambayo umuhimu wake ni mdogo ukilinganisha na mahitaji ya wananchi, wanaacha wananchi wanapata tabu ya maji safi.
@noelynjelekela54062 жыл бұрын
Hiiiiiiiiiiiii mambo naifuraia sana
@zkytv69263 жыл бұрын
😃😃😃screpa kutoka kwa mabeberu, mambo ya silaha za kivita mwachieni kim
@chaliokumu80543 жыл бұрын
Umesema ukweli
@fatmanuri463 жыл бұрын
Hata tulipo nunua ndege tulisema chakavu sasa cjui watanzania tunataka tukienda kununua serikal ichukue tz nzima labda ndyo tutaamini cha kwetu dah kwakumalizia hata kama scraper kikubwa vinafanya kazi na kuendelea kulinda nchi yetu.
@johnjohn20804 ай бұрын
HIYO A100 na BM30 multiple rocket launcher ni hatari mrusi hadi now anazitumia
@jogoomohamed26523 жыл бұрын
Safi sana jeshi letu imara na lenye nidhamu ya kutosha
@salehalzakwani32833 жыл бұрын
Bado Sana kii vita mama Inn shaa Allah ataweka vitu illa twaweza kujilinda
@proper73 жыл бұрын
Yaani hawa wanamuonesha adui silaha sio kila nchi inakupenda!!!
@rosetreffert67273 жыл бұрын
Kwa kweli watu huwa haonyeshi vifaa vyao usalama zaidi
@ehraimkililo50893 жыл бұрын
Adui Ni Nani Sasa?
@Ibnseifjr3 жыл бұрын
Maa Shaa Allah jeshi letu limekwiva.. Twendeni tukaombe mechi ya kirafiki na North Korea
@tumainiprtv5533 жыл бұрын
Sio kweli 😃🙆🏾♂️
@youngloyclassic31733 жыл бұрын
Kaka acha nicomment kwako maana nimwjikuta nachek tu
@edwinalexander11703 жыл бұрын
@ Ibn Seif vifaa vya zamani sana.
@imamuhamisi44213 жыл бұрын
🤣🤣
@simonandrew14893 жыл бұрын
Atupig ata risas moja tunateketezwa wote in one min
@joycemajala43553 жыл бұрын
Nice one
@eliekalonji78053 жыл бұрын
What's is nice about it 😂😂😂 the is nothing there 😂😂😂😂😂
@karimilucah27023 жыл бұрын
Tanzania Military the best ii east Africa
@muhsinsalum80093 жыл бұрын
Silaha zote hizo ni kwa ajili ya binadaamu tu😁😁😁
@mua24-b2d3 жыл бұрын
Umenifurahisha kwa swali hili, Kwa kweli hii ni kwa ajili ya binadamu tu?
@grationkamgisha46272 жыл бұрын
Perfect
@mlungumasaba17863 жыл бұрын
Sikuna kiwanda cha nyumbu tunatengeneza vifaru🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪💪💪💪💪
@amenipasanga98653 жыл бұрын
Watanzania na akili zenu mnaponda jeshi lenu aisee, jeshi hata Liwe bovu Ni letu wakuliboresha Ni sisi tuwe na moyo wa uzalendo kwa nchi yetu bhna
@sheisgodorait57213 жыл бұрын
Yaani na ndio maana hatuendeleI Daima na sijui mchawi wetu ninani Tanzania Kila siku iko nyuma na Yule alietaka kuijnga ndio huyo masikini mungu amrehemu
@josephgomalo413 жыл бұрын
hao hata JKT hawajaenda wakajifunza.. ndio tatizo lao. Wanafikiri kuabudu Kenya kutawapa salvation! Hata Wakenya wanacheka kwa kukos akwao akili..! Shida tupu. Wanafikiri silaha zinajifyatua zenyewe..!
@deograsiamgeni57162 жыл бұрын
Nani kaponda? Mbona linategemewa sana ktk nchi za Africa
@rechalbarama6758 Жыл бұрын
jeshi liko vizuri hizo siraha , ni mifano ya siraha tu haiwezekan kuonyesha kila ulicho nacho
@rechalbarama6758 Жыл бұрын
sema kwa upande wa kiongoz wa inch hatuna kiukweli
@makenziandrea21372 жыл бұрын
Mh! Kumb tz tupo good
@christinainnocent36623 жыл бұрын
Sasa huyo Magu mnamkumbuka nini hapa sio mahali peke. Hapa wa kukumbukwa ni Nyerere tu alieleya uhuru na kumn'ia Iddi Amin
@gitahigichohi39843 жыл бұрын
Didn't know in terms of military power Tanzania wako chini hivi, am even surprised. Bt luckily they are surrounded with peaceful nations
@rachelnkembo34373 жыл бұрын
Kuna kitu kinaitwa deception plan...usidhani jeshi halina akili lionyeshe vifaa vyake vyote mbele ya maraisi wa nchi jirani...Amin Tanzania imejidhatiti sanaaa
@shureymahmed53662 жыл бұрын
Nice
@kennedyodhiambo85163 жыл бұрын
Angalau nyinyi wa Tanzania, sisi huku Kenya Uhuru ametumia takribani mabilioni na mabilioni ya pesa kununua silaha hatari za kuvita ambapo zina lala zikingojea kuzeeka huku rahia wakikosa vitu muhimu za maisha. Why spend heavily to buy hi tech weapons of mass destruction if you cannot even put up a decent hospital and clean water. Upumbavu wa Africa.
@saidiamani28763 жыл бұрын
maoni yako tunayakubali ila jua ni moja wapo kujilinda kwa maana vita haitangazwi mdaa wowote vinatokea na ukiwa huna vifaa vya kujilinda utambulia mapigo
@saidjumanne56213 жыл бұрын
Tunasherekea uhuru huku vijana wakifukuzwa kwa rungu wasifanye biashara pembeni ya barabara (Rest easy huko uliko Nyerere utabaki kuwa baba wa Taifa la Tanzania milele.Sijui uliwezaje kuiongoza Tanzania bila hivi vitu) Badala tukae tufirie suala lakutoa Taifa kutoka ulimwengu wa tatu kupitia hawa vijana ambao waana elimu na hawana ajira na wengne wana maarifa lakin hawana ajira
@absm8084 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅 kwa usalama huwezi kuonesha kila kitu
@sammyibrahim66542 жыл бұрын
Wanaotengeza pia huwa wanaonyesha kama hamjui,angalieni na muache panganga kama vile hamjui,shida hatutengenezi sisi,hata hapa kenya hatuna, hizo lakini najua uhuru ataenda kula mkopo akope anunue kama vile tanzanian wamekopa Wakanunua ,afrika mashariki kwanza ndio tuko nyuma ya kalenda sana kama huwezi jitengezea kitu basi ,tuko mwisho wa dunia sisi
@Kanyukatv Жыл бұрын
Vizuri sana
@wardatiddi78453 жыл бұрын
Apo sijaona radar ya long ranger zaidi ya kuona makombora ya short ranger kwa iyo hawana uwezo wa vifaa vya kutambuwa ndege ambayo ipo mbali ya anga lao
@khalidibrahim45793 жыл бұрын
Tanzania hawatengenezi silaha hizi zote wamepewa na mabeberu
@patrickmukundichalamila30383 жыл бұрын
Hata simu unayotumia niya mabeberu
@youngcarlos63433 жыл бұрын
@@patrickmukundichalamila3038 mwambie uyo kwani iyo sim yenyewe anatumikisha ku type imetumikwa na kina nani
@omarylukindo53063 жыл бұрын
Kweli kabisa beberu apewe heshima yake
@Ralianstyle1543 жыл бұрын
kuna kupewa na kununua..bajeti ya jeshi ni tofaut na bajeti nyingine, kwa taarifa yako selikali inaweza isitatue tatizo la maji ila ikanunua ndege za kivita sabab nchi imara inatokana na jeshi,huo uhuru ulionao ni hao wanajeshi wanashinda mipakani kukulinda wewe..waulize watu wa lindi kuhusu wanajeshi wanavowapigania alshabab wasiingie..la sivyo wangeshaingia muda sana,huoni wanavoisumbua kenya
@abbyvanny3 жыл бұрын
@@patrickmukundichalamila3038 yaambie kaka yamezd kulalamika sana wakat haya ndo yale hata hyo vita itokee yatajificha mamae spend ma mtu yanayopenda lawama
@sabihimnyetuka71783 жыл бұрын
Hongera sana makamanda wetu
@khalidibrahim45793 жыл бұрын
TANZANIA LEO NI KAMA mwanamke asiekuwa na fadhila
@laurentraphael54703 жыл бұрын
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
@muzneali3873 жыл бұрын
Khalid Ibrahim Niko pamoja na wewe Ila kitu kimoja sio mwanamke Tu hata wanaume wasio na fadhila wapo sema Binaadamu asie na fadhila hujasikia ule msemo Bora kumfadhili mbwa atakulinda kuliko Binaadamu ndio hao watu Wana comment na kucheka lkn wanasahau hao wanaowacheka ndio wanaowafanya wapumzike Kwa Amani Binaadamu hatari
@fatmanuri463 жыл бұрын
Kabisa nimesoma comments nying watu wanaponda jeshi lao na taifa lao wanasahau kuwa wanalala salam wanaamka salama aya mungu ibark tz na afrc
@dalshmak_tv2 жыл бұрын
Tanzania one
@youngsimbawcb18143 жыл бұрын
ILOVE MY COUNTRY
@AhmedAli-gh1lm3 жыл бұрын
Hizi silaha wanatishiwa Chadema, ndio wanaonekana magaidi wakiongozwa na Mw. Mbowe ambaye ni 'kiongozi wa hilo genge la magaidi'.
@rosetreffert67273 жыл бұрын
😄🤣🤣😂😂😂
@salomemchewa51873 жыл бұрын
Hivi mbona nchi za ulaya, wanashekea , kama sikuku ya kawaida, wanakenda kanisani, hafu kila mtu anapika chakula kizuri nyumbani kwake, ikulu tu ndo kunakuwa na wageni waalikwa ,mambo ya uhuru yanazunguwa huko, wengine wote tunaangalia kwenye tv, mtu anapewa shahada mpaka nesi, mpaka dereva wa basi, ambaye atakuwa amefanya vizuri, mambo ya vifalu hakuna. Na wao walipata vita, kwanini sisi hata vita hatukupata, tunaonyesha siri za nchi,,, kwa tusifanye kama wenzetu ili kuokoa pesa, na ninchi masikini.
@salumumakombo91363 жыл бұрын
we dada msomi ee.unaishi ulaya wewe eti,,nimekuelewa vizuri sana hapa
@MatovuDerrick-mk3tj9 ай бұрын
HiAntony
@nuke16txj793 жыл бұрын
Here in Kenya we don't show much weapons bec they're busy at work
@d.a.nicholaus3 жыл бұрын
Vita gani mnavyopigana mpk useme busy at work?
@nuke16txj793 жыл бұрын
@@d.a.nicholaus Ziko busy pale Somalia....
@keffajacob89523 жыл бұрын
hamunaga kitu hapa...njia pekee yakujilinda na maadui nikufa mazindiko mipakani🙈🙈🤣🤣
@jubiercib30742 жыл бұрын
Old is gold
@Napotech13 жыл бұрын
Huu ni upumbavu kwa mawazao yangu! Nchi inauhitaji mkubwa wa kutengeneza mazingira ya vijana kujiajiri badala yake mnatunesha silaha ambazo umuhimu wake ni mdogo sana. Alafu silaha zote zimenunuliwa na za misaada kwa Bei kichaa. Badala muwaze kushirikiana kiafrica viongozi mnamawazo duni. Gharama zilizotumika leo Mkumbuke mnatutosa huku ambayo ni chungu kuliko tozo la kichwa kipindi hicho. Sipendi kuona matumizi mabaya ya fedha za Uma.
@fredrickmosimbete16903 жыл бұрын
Poa
@batholomewmkajakamba54593 жыл бұрын
Pole sana frañk William. Nchi inahitaji kulindwa kwa gharama kama ilivyo thamani yake. Hailiñdwi kwa mapanga .
@sadickkalinga60843 жыл бұрын
Tunapaswa kuonesha vifaa vya kivita tulivyo tengeneza wenyewe sio kununua
@flova70223 жыл бұрын
Pesa zilizotumika leo mngeajili manesi na walimu watusaidie kazi Kwa uhaba WA manesi, madaktari na walimu uliopo nyie mnafanyiaa hayo dahh.. Tanzania
@ismailothman80633 жыл бұрын
Wekweli unamawazo ya kimasikini yani mtu akifika chakula kizuli wewe unampangia bajeti ungepika ufuli na ngulu
@flova70223 жыл бұрын
@@ismailothman8063 sio kosa lako ...third world countries especially za subsaharan ,, zinafeli kupata maendeleo sio kisa hatuna uwezo no ,, Bali ni failure of prioritizing .Kwa hiyo Leo pesa zizotumika ungepeleka kwenye kipaumbele cha kusaidia wananchi katika sector nyeti ungekua umewasaidia Sana...hapohapo wemwenyewe ukija hospital tukikwambia dawa hizi hatuna kanunue unaaanza kupiga kelele...
@saidinyoni49763 жыл бұрын
Kweli wapigaji tu hao
@allymadunda79313 жыл бұрын
Huyu mama kibiko,hakurupuki kama farao wa misri enzi zake
@flova70223 жыл бұрын
@@allymadunda7931 hoja yako iko wapi.
@DavidMunyoki-or9cr4 ай бұрын
come and explore in Kenya please
@franklinmganga7363 жыл бұрын
viti2 noma 🧐🧐
@jabiraxmed78983 жыл бұрын
Hizo silaha sio za hatari ni za kizamani kenya Rwanda wana silaha zaidi ya hizo Rwanda wana mpaka drone munajitia aibu tu yaani silaha toke vita pili ya dunia
@mahamoudduchi33183 жыл бұрын
Vipi unaweza kuuanika mwili wa mkeo hadharani tuone kila alichonacho au
@sylvanusnyamsika21313 жыл бұрын
kumbe hujui,,East Africa nzima imeshangaaa
@jacksonombati83173 жыл бұрын
Nakubaliana na wewe Rwanda sio mchezo Wana Silaha zaidi ya hizi
@Nedjadist3 жыл бұрын
Watu huonesha vifaa walivyovitengeneza!
@lawmaina783 жыл бұрын
Umegonga penyewe haswa, wenzetu Ulaya hupitisha zana zao walizotengeneza.
@njerithiongo79013 жыл бұрын
As a Kenyan,I find this phony...TZ nunueni silaha za maana namwache ubradifakin
@josephgomalo413 жыл бұрын
Si uvamie uzione..! Maneno ya bure yanasaidia nini..?
@njerithiongo79013 жыл бұрын
@@josephgomalo41 jeshi yenu ni ovyo kabisa n that's why it has Neva been into any battle ground in any country .KDF has been in Siera Leone, Somalia,Namimbia,DRC,...jus to name afew
@walterngowi58352 жыл бұрын
@@njerithiongo7901 We kweli kuma huelewi kitu xix Tanzania tulimpiga ldd Amin wa Uganda tulimpiga Kanal Bakar wa Comoro tulipiga M 23 ya Kongo tulipigana Searalone tunalinda Aman kwa xaxa Congo Durfuu Sudan Kenya kwetu xix ni kama sisimizi kwa tembo tunawapiga mapema tu mbwa nyinyi ni midomo tu mnajua sio vita omben friend match tuwaonyeshe
@robertjunior99163 жыл бұрын
Kinachoshangaza silaha zote Duniani zinamlenga mwanadamu 😭
@rechalbarama6758 Жыл бұрын
😂😂
@judithbutler39322 жыл бұрын
Jameni hizi ni silaha tangu wakati wa Hayati Nyerere, Africa tuko nyuma sana
@kajinjirashid55903 жыл бұрын
😆😆kuna watu wana mitambo..hata wakioneshana..zenu mtachoma..hzo ford na leyland mnaonyesha..silaha za mtu 1..kwenu serikali yote silaha ni hzo hee..wonders nevercease
@homemohammed32442 жыл бұрын
Alama tosha ya anko maguful ni jambo tosha la kumkumbuka mno mungu amuweke huko alipo
Hakuna ubaya kuonyesha ubaya ile nachukia mm wanaonyesha vitu ambazo si wao wametengeneza,African bado sana,hakuna inchi ya African iko na uwezo wa silaha kama hawetengezi labda afadhli waarabu kidogo na hata si ichi nyingi za kiarabu,sembuze sisi wa Africa mashariki ni bure wote
@geseconyumbani63283 жыл бұрын
Mpaka siraha hizo zitaexpire bila kazi yeyote na baadae kuanza kuwalipua ninyi wenyewe Kama ilivyokuwa mbagara na gongo la mboto
@sundymolls96732 жыл бұрын
Tanzania tuna ujuzi wa kuvunja tofali na mkono ila silaha bado hizo ni za miaka ya 70
@mossymtwana64223 жыл бұрын
Magu tutakikumbuka Daima vivaa tunavyo na nguvu tunazo Jeshi tunalo tutunze mipaka yetu hongera saana Mkuu wa Majeshi kwa Usalama
@twahiluiddi53123 жыл бұрын
Kwamba magu ndio kanunua au maana sija kusimo
@mossymtwana64223 жыл бұрын
@@twahiluiddi5312 vilinunuliwa kwenye awamu yake sasa sijui hutaki au hupendi kusikia Jina lake maana hata sikuelewi any way nimemaliza.
@tomlepski83062 жыл бұрын
Tanzania also have their WO1 Gibson Mwandawiro for the military commentaries.
@abelipacha25303 жыл бұрын
Kwayete tusimsaau mwenyez mungu
@emanueldaud55503 жыл бұрын
Upumbavu uliopitiliza, sasa mnazitangaza mtandaoni ili iweje silaha zenyewe zimepitwa na wakati wenzenu wanatumia virusi na chemichali mbalimbali nyinyi bado mmejikita kwenye mavifaru tu utazani bado tuna vita na nduri!!
@jabiraxmed78983 жыл бұрын
Asante kaka bora uwafahamishe watanzania washamba sana hizo silaha za kizamani zilipenwa hapo kenya Rwanda wanacheka tu wako mbele sana Rwanda wanatumia drone wao kushambulia angalia hizo sam zakizamani
@Ralianstyle1543 жыл бұрын
@@jabiraxmed7898 hivi nyie kwa akili zenu mnahisi jeshi litaonesha silaha zote..jaman me nmewahi kukaa kibaha kuna muda wanajeshi wanapitisha masemitrela yamebeba rockets,mabomu,ndege zinapitaga juu sio za kawaida,hapo wanaonesha baadhi tu,they cant show all weapons,..na mkumbuki jeshi la TZ ni jeshi bora la nchi kavu africa..we unakaa hapo kwako hujui huko mipakan nn kinaendelea na mbaya zaid huwa hawaoneshi ili kuwatoa hofu wananchi..wanaoishi mipakan wanajua
@reginaphilimon7823 жыл бұрын
@@jabiraxmed7898 mshamba ni wew ulieacha mambo yko nakufatilia mambo ya kishamba wew ulitak wajianike silaha zote ili iwehe wew ndie mwalim wa mshamba wote dunia 🤪🥴
@rachelnkembo34373 жыл бұрын
Yaani Jeshi la Tanzania lina akili sanaaaa...ndio maana halijataka kuonyesha Silaha zake zote...hiyo ni njia ya kumdanganya adui...nalipongeza sana jeshi letu👏
@waheedahtanzania49123 жыл бұрын
Mmmhu unacoment ukiwa maeneo gani kwasasa 🚶🚶🚶
@alhajikenya63353 жыл бұрын
Vifaa vya kijeshi ambavyo vimepitwa na wakati
@jameslizomba98833 жыл бұрын
Kwa hyo ulitaka waoneshe kila kitu ama? Zuzu ww
@fathmaoman11863 жыл бұрын
Watoe Siri zote tena vp
@margarethalyimo54753 жыл бұрын
Hata mm nimeshangaa🤔
@ismailidrisa76853 жыл бұрын
Kaa na ww ugundue vyako tukuone kila kitu munakosoa
@deogratiuskweka84883 жыл бұрын
Come and test it
@onelovetz79352 жыл бұрын
Mfalume Ezekia alipoonyesha Siri za ufalume wa yuda mungu alimwambia watoto wako watakuwa watumwa
@wilfredmmbando689 Жыл бұрын
😊
@gerkombo65123 жыл бұрын
Mnatakiwa mjue kuwa hapo wanaonyesha vifaa vilivyokuwa vinatumiwa miaka 60 iliyopita, hivyo vifaa vya kisasa mnavyotaka muonyeshwe havihusiani na tukio la leo.
@delicesuley61083 жыл бұрын
Hizo ni silaha za kizamani teknolojia ya sasa ni kubwa ni taknoloji
@wardatiddi78453 жыл бұрын
Sababu hawana utalamu wa kunua vifaa vya kisasa kama longer range icbm ballistic missile rocket project artillery lunch drone zaid ya silaha za zamani tu
@mwanikimwaniki68013 жыл бұрын
@@ibunazo They are speaking facts lol. These weapons are easily over 60 yrs old
@tfl49633 жыл бұрын
Oops! Silaha kwa kweli ni siri ya undani mno. WaTZ oyee!! Walakin', Nami hapa niko busy hapa 🇰🇪 watching "Chuma kwa Chuma" comedy ya Kingwendu 😄
@didierlola13963 жыл бұрын
Duh Africa bado tuna tabu sana hizi silaha zote ni vifaa vilivyo tumika katika vita ya kwanza ya duunia .ilikuwa ni 1940-1945. ila leo hiyi 2021 ndio Africa inavitambulisha Kama silaha zao . Mungu okoa Africa Nzima
@tumainiprtv5533 жыл бұрын
Sasa ulikuwa unapenda watoe siri 😃🤦🏾♂️
@didierlola13963 жыл бұрын
,😀😀😀ndio Bro wangeambia watu ukweli
@Ralianstyle1543 жыл бұрын
@@didierlola1396 hawawez toa silaha zote..unajua gharama za kuzitoa huko makambini just for maonesho!..hawawezi kuonesha silaha zao zote hata siku moja
@didierlola13963 жыл бұрын
@@Ralianstyle154 Kaka sio hivyo .sisi wa Africa tumezowea kutumia vitu vyenye vimesha pitwa na wakati jiulize . Kifafafuru kimetumiwa kupigana Vita ya kwanza ya dunia . ila leo 2021 ndio inatambulishwa kwenye sherehe ya miaka 60 ya uhuru kweli kabisa?
@Ralianstyle1543 жыл бұрын
@@didierlola1396 nijiulize nini sasa we unauhakika gani hiyo ni model ya zaman?alaf kingine, me nliangaliaga maonesho ya miaka 50 ya uhuru kipindi kikwete rais,walioneshaga vifaa vikubwa na vya kisasa zaidi, nakumbuka walioneshaga rockets na bombs kubwa zaid..nnachojua hawawez onesha silala zote sabab ya usalama,muda na pia huez toa silaha zako zote kumuonesha adui..usikariri maisha jeshi ni kitu kingine kabisa ndugu..
@amanilucy3 жыл бұрын
Uhuru na kagame wamecheka sana
@alexkenya74063 жыл бұрын
Didn't know tanzania is fully armed
@mr.ab_officially65073 жыл бұрын
guys let me ask something kama hii pesa ya leo ingeenda kununua dawa kijiji X mama y wangapi wangapi wangenusurika kifo ......?
@omarkhalfan52393 жыл бұрын
Mm naona wangeboresha zaid ktk mabot aua submarine visiwan vifaru vingi sana sio poa
@StAr-yu3vz3 жыл бұрын
Hivi ukionyesha siraha hazarani mnawapa nafasi maadui watajaribu na hizo siraha zenu
@franciskiunga47963 жыл бұрын
Kuonyesha sillah sio mbaya, lakini niulize swali rahisi tu, kwa manjeshi yote ya afrika 2021 mko n0 ngapi? Ki uwezo wa kivita 😼na mchunge sana hizo ma silaha,kuna magaidi wanazunguka uko wakilipua lipua, ueda dizo wamemulika 🔦😬😬😬
Mbona sjaona kombora la masafa marefu lenye uwezo wa kwenda kongo na kurudi
@daviechenry24453 жыл бұрын
Lirudi wapi
@hoodnation68653 жыл бұрын
@@daviechenry2445 😂😂😂
@spaice9953 жыл бұрын
Sasa kifaa cha kimo cha chini kugundua ndege wameshindwa mpata yule mwanafunzi alietoloka na ndege hadi leo 😣
@salhamrisho81383 жыл бұрын
🇹🇿🇴🇲❤❤❤❤❤❤
@amirlehao89453 жыл бұрын
Sasa si tuombe mechi ya kirafiki na jirani zetu aise hizi silaha zitaharibika bure tufanye majaribio
@sikujuasikujua90363 жыл бұрын
Umeonaeee silahazetu Zita expaaa buleee bila matumizi yake
@happyjohn58823 жыл бұрын
@@sikujuasikujua9036 vinatumika kwenye mafunzoo
@dianarobert39893 жыл бұрын
Ungekua unaishi nchi kama za Congo,Somalia, Afghanistan, Iraq usingesema huu upuuzi
@amirlehao89453 жыл бұрын
@@happyjohn5882 hahahahaha vitachakaa tu huko
@amirlehao89453 жыл бұрын
@@dianarobert3989 basi fuwaazime huko wazijaribu ama unaonaje bro
@lulanjamd38863 жыл бұрын
Safi Sana Tanzania
@thedriver.michael.39753 жыл бұрын
Vita vimekuwa zaid ya technology 🙄 bado tunatumia vifaa vya zamani wenzetu wana ndege zisizo na rubani siongei tena
@StAr-yu3vz3 жыл бұрын
Mabomu yariktoka ngolamboto hakuna ariweza kuuzima mabomu sisi watanzania tumuombe tu Mungu vita visitokee
@shinjemackenzie62563 жыл бұрын
Wew usituone ss watz ni mbulula kama nyie mnaokosoa vifaa vya kivita hii hata asilimia 0 ya vifaa vyetu hatujaonyesha hata hao majirani zetu mziki wetu wanaujuwa
@eliekalonji78053 жыл бұрын
😂😂😂 Kwani hao majiranizenu wana nini wote hamnakitu mnatuonyesha magari ya jeshi eti ni silaha acheni mnachekwa na watu wenye akili
@mponjolibmwaipopo19653 жыл бұрын
Kumbe tz tuko sawa ,bs tuombe mechi ya kirafiki na korea kaskazin,tutajua hatujui
@musason16803 жыл бұрын
Kwa kipi vifaa vya kizaman hivyo watu saiz wako developed kwenye hayo mambo sisi vta vya chin t na saiz vita vya chini vlishapitwa na wakat
@alfanismail54562 жыл бұрын
Urus
@saumsaum19163 жыл бұрын
Kwl bila jeshi nchi haiwezi kuwa salama
@nassirali74993 жыл бұрын
Izo ni silaha za kawaida tu. Vikundi vya wapiganaji kama hizbollah Lebanon wanamiliki zaidi ya hizo
@wardatiddi78453 жыл бұрын
😂😂😂😂 ni kweli kabisa kaka nakubali
@ramadhanbakarimtambo20243 жыл бұрын
Duh kumbe tumepima hatua zana kali za kivita kama china
@kevinochieng64583 жыл бұрын
Kumbe bado mko na hizi vifaa, nikiziona nakumbuka 2nd World War kule Vietnam
@prasntagolekwa51563 жыл бұрын
Ambaye Ana silaha hawezi kuonesha ujinga Kama huu
@wtinessmasunga77562 жыл бұрын
Nitanzania.imala
@andulilemwakihabha20483 жыл бұрын
🙌🏼🙌🏼
@EphraimWekesa-je7gy Жыл бұрын
Wazungu ni wabaya. Wamepanga kupiga Africa muzima
@twahirimbegebege89953 жыл бұрын
Kwa silaha hizo sasa inabidi tuombe mechi ya kirafiki na nchi jirani HahahaaAaaa
@saidlucas12162 жыл бұрын
🤣🤣
@Dtv7323 жыл бұрын
Huu no ujinga huwezi onyesha silaha za nchi adhara hii unamfanya adui akujue na ajue jinsi ya kukupiga,utoto sana.
@mozby-dj13583 жыл бұрын
Kweli kabisa
@mudighurayra3 жыл бұрын
Mtoto wewe kwani nchi gani iliokua haionesh silaha zake, silaha hazioneshwi zote nyengine ni siri pimbi weee
@jameslizomba98833 жыл бұрын
Akil zako bhanaa..unazan wameonesha kila kitu?
@gerkombo65123 жыл бұрын
Kamuulize kim jong A.K.A mapanki alionyesha silaha za kisasa mmarekani akagwaya. Tanzania imeogopa nn kuonyesha za kwake? TZ Tunatakiwa tukombolewe fikra ili tutokomeze uoga.
@EliyacostantinoPius3 жыл бұрын
Dhumuni la maonesho ya hivi vifaa kwa wananchi huwa ni nin??Mwenye kiherehere mmoja anieleeze please