Рет қаралды 1,741
Marekani imeonya kuwa mkutano kati ya Kim Jong Un na Rais wa Russia Vladimir Putin huenda ukapelekea makubaliano ya silaha kwa kwa ajili ya vita vya Moscow dhidi ya Ukraine. Idd Ligongo anatuarifu zaidi
#VOASwahili
Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.