Washirika Tanzania Stars(Kalala) - Yaliyopita Si Ndwele

  Рет қаралды 79,580

Tizedboy Zilipendwa Channel

Tizedboy Zilipendwa Channel

Күн бұрын

Пікірлер: 23
@nasirally9098
@nasirally9098 10 жыл бұрын
hapo ktk kinanda (keyboard) yupo Abdul Salvador (Father kidevu), Washirika Tanzania Stars ktk ubora wake.. Pia ni band pekee iliyokuwa inatumia trumboard, achilia mbali trumpet na saxaphone.. Eddie Sheggy na Adam Bakari ktk ubora wao
@kakozidaudi7535
@kakozidaudi7535 7 жыл бұрын
jamaa walikuwa wanajuwa sana aitatokeatena
@yassinrashid5750
@yassinrashid5750 2 жыл бұрын
Hapo ni baada ya komandoo Hamza Kalala kupata ajali na kuachwa bila msaada na swahiba wake Maneti ndipo akafyatua kibao hiki akiwa na bendi yake.
@toshamezaw1460
@toshamezaw1460 9 жыл бұрын
Father Kidevu, Abdul Salvador humu. Tisha sana humu hicho kinanda kinanikumbusha mbali sana,
@chidiomari.65
@chidiomari.65 7 жыл бұрын
Vya kale ni dhahabu kweli daah...
@nurukapoja7759
@nurukapoja7759 4 жыл бұрын
Hakika wimbo Jana wa juzi haupoi
@MrKhatibu
@MrKhatibu 10 жыл бұрын
Hii nyimbo ilikuwa ni kukumbushana wakati wapo Vijana Jazz
@nasirally9098
@nasirally9098 10 жыл бұрын
bila kusahau Washirika Tanzania Stars walikuwa wanatumia drums za umeme
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 7 жыл бұрын
kumbukumbu safi sana.25.03.17.
@sangomamourice9425
@sangomamourice9425 4 жыл бұрын
Asante
@tonyvilla7264
@tonyvilla7264 5 жыл бұрын
namkumbuka bro wangu shy town
@severinerwiza4633
@severinerwiza4633 3 жыл бұрын
Shy mtaa buzuka mwinyimvua upo
@thomasmagige1985
@thomasmagige1985 7 жыл бұрын
original yake iko wap jaman me naihitaj anaye jua anisaidie.
@madlipzkenyamadlipz2951
@madlipzkenyamadlipz2951 5 жыл бұрын
Hata mm naitaka
@azizakhereem5799
@azizakhereem5799 5 жыл бұрын
Ndio hii og yake
@marthastephen6600
@marthastephen6600 3 жыл бұрын
Kuna nyingine kaimba Kalala peke ake
@fundisayore201
@fundisayore201 2 жыл бұрын
@@marthastephen6600 Hii ni original hiyo unayosema ni marudio/remix ya hii.
@abdallaabdulrahman8319
@abdallaabdulrahman8319 5 ай бұрын
Hii ndo Original broo.
@fadhiliakida8609
@fadhiliakida8609 9 жыл бұрын
Hebu nisaidieni, kwa sababu hii nyimbo wakati inapigwapigwa sana mi enzi hizo nipo primary tena hukoo kijijini, ao inanikumbusha mengi sana, nataka kujua kama imeishia wapi namaanisha akina eddy sheggy na wenzake
@noelmarapachi1808
@noelmarapachi1808 6 жыл бұрын
Fadhili Akida Eddy Sheggy na Adam Bakari aka sauti ya Zege walifariki alitangulia Eddy Sheggy baadaye akafata Adam Bakari, ila Hamza Kalala Bado yu hai ana bendi yake inaitwa Bantu Group ila hina nguvu kama ilivyokuwa wakati ina anzishwa
@owenmulenga7870
@owenmulenga7870 3 жыл бұрын
Huu wimbo Hamza Kalala anmwambie Hemedi Maneti aliekuwa kiongozi wa vijana jazz . Alumtetekeza alipougua
@franciskagimbo7973
@franciskagimbo7973 8 жыл бұрын
wap original yake
@noelmarapachi1808
@noelmarapachi1808 6 жыл бұрын
francis kagimbo Hii ndo Original ile ya Kalala Jr ni Remix Version
Nawashukuru Wazazi Wangu
7:10
DDC Mlimani Park Orchestra - Topic
Рет қаралды 1,7 МЛН
Dunia Imani Imekwisha Marijan Rajabu
7:11
Balantanda
Рет қаралды 734 М.
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 52 МЛН
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 15 МЛН
Human vs Jet Engine
00:19
MrBeast
Рет қаралды 142 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 43 МЛН
Mziki wa dansi zilipendwa- Washirika -Julie
6:56
Eddie Nassor
Рет қаралды 122 М.
Tanzania - Marijani Raajab - Namsaka Mbaya Wangu
8:26
Tizedboy Zilipendwa Channel
Рет қаралды 583 М.
Mlimani Park Orchestre - Mnanionyesha Njia Ya Kwetu
6:18
Power Nguzo
Рет қаралды 555 М.
DDC Mlimani Park - Barua Toka Kwa Mama
7:49
Tizedboy Zilipendwa Channel
Рет қаралды 928 М.
DDC Mlimani Park - Uzuri wa Mtu Sio Sura
6:35
Tizedboy Zilipendwa Channel
Рет қаралды 442 М.
DDC Mlimani Park - Celina
7:36
Tizedboy Zilipendwa Channel
Рет қаралды 509 М.
Orchestra Maquis Original - Niweve Pekee
7:00
dinkotom
Рет қаралды 374 М.
Saida karoli Eiyembe (Officel audio)
5:01
Saidakaroli_original
Рет қаралды 177 М.
Ten lesser known but vital facts to know #3/5
3:20
Tizedboy Zilipendwa Channel
Рет қаралды
Ten lesser known but vital facts to know #4/5
3:24
Tizedboy Zilipendwa Channel
Рет қаралды
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 52 МЛН