Mashallah TANZANIA nzima ya wanaume wote aliyeongoza kwa mapenzi ya kweli ni Sajuki peke yake hatotokea Mwanaume yeyote Tanzania yetu kama Sajuki Mola amrehemu huko alipo maskini Allahumma ighfillaha warhamha waskanha fii janna yaa Kareem 👏
@aishahamis1609 Жыл бұрын
Aamin
@angelmashauri69614 жыл бұрын
Watching from "Home Sweet Home" Dar-Es-Salaam, Tanzania🇹🇿. Pole sana Wastara kwa unayopitia. Mwenyezi Mungu akujalie hitaji la moyo wako...🙏
@masibosvlogmasibos97384 жыл бұрын
Ameen yarab 🤲
@aairraahseif56484 жыл бұрын
Pole da wastara,Mungu atakuvusha na usikate tamaa utapata mtu sahihi mnae endana,na kujua ninani mtu sasahihi ni vigumu, kila mtu anakuja kwako kwa style yake,na usumfurahishe mtu au kujali nani anakusema, wee vuta subra one day utapata mtu sahihi, wee mrembo sana dada,maisha yako ya mahusiano yamenigusa, na najua unavyo pitia maumivu yako dada, nakupenda dada wastara ❤️Mungu awe nawe utafika sehemu utasahau maumivu yako
@mamahusna9054 жыл бұрын
Pole wastara ni mapito tu yatapita
@zerahwilbert27423 жыл бұрын
Fanya tu uje kua mke mwenzangu yataisha ayooo......
@zerahwilbert27423 жыл бұрын
Ajee tu kwangu tuyavunje maumivuu.....aseee dini inaturuhusuuu....
@aairraahseif56483 жыл бұрын
@@zerahwilbert2742 really?🤭🤭Maashaaallah uko na dini hivyo? Wee unatania dear😄sijawahi ona wallahi, hivi kumbe wapo wenye moyo uliotosheka na Dunia kama wewe, Allah hibarik
@zawadimakila77184 жыл бұрын
Pole sana Wastara, mie kwa uelewa wangu ni kwamba wewe unapenda ila hupendwi wanakuja kwako kwa sababu ya kitu fulani, hebu tafuta mwanaume ambaye sio staa na mwenye uoga na Mwenyezi Mungu. Mastaa watakuumiza sana tu achana nao.
@nuryatmussa99664 жыл бұрын
Pole sana wastara inshaalah Mwenyez Mungu Atakupa atakaekufuta machoz🙏 from Bahrain
@aishaaisha96364 жыл бұрын
Natokea Riyadh Saudi Arabia,,,,Wastara usihofu,,,Mungu ndo muongozi wa yote,,,,na inshallwah MUNGU yupo pamoja nawe,,, nakupenda sana mum
@Hustlingqueen2544 жыл бұрын
Yunbu saudia arabia
@evacharles6784 жыл бұрын
Pole sana mummy mungu atakufanyia wepes inshallah wanadamu tuna jisahau sana hata wewe ulikuwa mzima kama sisi yote ni mipango ya mungu utapata faraja yako 🙏
@MariamMuhala11 ай бұрын
Asalm alkm nakuhurumia sana mdogo wangu wanaume mamayao ni mmoja na babayao pia nimmoja kwahiyo mungu atakupa kipoza moyo na sajuki mungu pia alaze kwenye mitume wema wa mwenyezimg(AMIN)
@magrethmanintveld54774 жыл бұрын
Love from The Nederland Amsterdam, kazana mdogo wangu kazi nzuri sana, Wastara Mungu akutie nguvu
@fatumasulaiman88524 жыл бұрын
Ee to to to to ee to to ee
@nashehedhadho94214 жыл бұрын
Niko saudia
@agneskabura68234 жыл бұрын
Nagupenda San napenda kuongea nawewe
@agneskabura68234 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@jumakalukule53124 жыл бұрын
Pole sana kwanza fanyasana ibada muombe mungu akupe akupendae kwadhati achakuzini utapata tu unaeendananae nahato kuumiza kumbuka maneno ya mungu mchamungu ataowana na mchamungu mzinifu ataowana na mzinifu fataushauli huu utanambia
@hellacredis55554 жыл бұрын
Wastara jamani kwa urembo Mungu Alikupendelea,you look good chimami,Linda moyo wako mwanaume mzuri Mungu atamleta
@fatmamkubwahamis80654 жыл бұрын
Pole sana
@muhammadmuhammad50434 жыл бұрын
Pole Sana Mungu Atakupa Afya Njema yarabiy Nakilalakheri Zake Tatizo Nini Ulilo Nalo Huo Ulemavu Kiasi Nimekusikiliza Umenitowe Machozi Usijali Mungu Mkubwa ??????
@hakibaferuzi5024 жыл бұрын
Hivi watu wanajua maana ya love au wanacheza na Mapenzi tu, Mapenzi ni kujari ila wewe Mungu atakuja kukupa Mupenzi wa kweli
@Ryoof-qo7if4 жыл бұрын
Mm naona 2 hawa watesa watu kwa mapenzi hawajuwi nini love kabisa ata si wastara2 twateswa ata cc
@estherhassan68984 жыл бұрын
Mtu alokuwa akimpenda kwa dhat bahat mbaya au nzr mungu alimpenda zaid yawez tokea mwngn
@baimarrajahbuayan62374 жыл бұрын
Amiii. Tupo weng si yeye yu
@faidakabenje80804 жыл бұрын
Pole sana
@miriamcharles13003 жыл бұрын
Sema weng hatusemi yaan achen
@yusrashabani29834 жыл бұрын
From USA 🇺🇸, nampenda sana dada Wastar Mungu ampe nguvu anapitia mengi sana sana
@devotajoel37304 жыл бұрын
,,😘
@masibosvlogmasibos97384 жыл бұрын
Dada wastara kua na subra na Alahh Ata kupa mume mwema inshalah 🤲
@nurafedrick3784 жыл бұрын
Sajuki ndoalikuwa mwanaume tofauti kabisaa shida naraha Mwenyezi Mungu azidi kumpumxishaa kwaamani Kutoka Qtr🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦
@aairraahseif56484 жыл бұрын
Hujapata mume sahihi, wao wanakuja kwako kupitisha time yao kwako na kisha huondoka na kutojali maumivu yako, hao ni hatari sana kuwa makini wapo wengi watakuja na kuondoka kuharibu heshima yako dada,wao hawaonekani kwa ubaya ubaya unakuja kwako, wsnakuchafua, Pole sana ndo maisha yetu sasa tusiwaamini tena waume wa aina hii
@babyhamisi53314 жыл бұрын
Kweli tunatakiwa tujipende na kujijali Sana na mungu atatupa wepesi
@aairraahseif56484 жыл бұрын
@@babyhamisi5331 wanaume udugu wa paja wao,wataka kukufunua tuu, wanaingia Katika maisha yako kwa kauli tamu tamu, na kukuita majina mazuri yooote ili uvutike nao, ngoja uone wakisha seti maind yako ukawa dhaifu ukawa amini basi hapo ujue umekwisha,utapigwa matukio na huna unachoweza kufanya zaidi ya maumivu, tujihadhari tutakufa siku si zetu kwa mawazo na kuwaacha watoto wetu wakiteseka
@mishiabdhallah52283 жыл бұрын
Wastara my favorite person nakupenda Sana una ustaarabu kma mamangu unanijaz Sana sanaa
@denicegabriel66164 жыл бұрын
Wastara ni mwanamke mzuri sema 2 utulivu kidg hakuna anaweza kupata sheikh mzuri akafanya nae maisha.......una upendo wa kweli ona anachokifanya kwa marehemu mume wake. MUNGU atakutoa kwenye majonzi hutoteseka maisha yako yote wastara😭
@salmacazzy19154 жыл бұрын
Watching from Dubai Sharjah Pole sanaa da Wastara kwanza tulia ili upate mume bola hao unaowapata wamezoea Kulelewa sio hao tuu wapo wengi sasa wanaume Wa dizaini Iyo Kikubwa Omba san mungu akupe mume bola
@mwanahalimamwachili96794 жыл бұрын
Pole Kwa Yote Wastara, Tulia Kwa Sasa Utapata Mwema Atakaye Kujali In Shaa Allah. Nakupenda Sana Dadangu.
@swalehbogibo27254 жыл бұрын
Watubiye sasa haleke kwa ALLAH
@mwanahalimamwachili96794 жыл бұрын
@@swalehbogibo2725 ln Shaa Allah.
@irichardonsenga53113 жыл бұрын
Pole dada,endelea kumwamini Mwenyezi Mungu.
@dianajavana94354 жыл бұрын
Like kwa mtangazaj yuko vzr anampa MTU mda wakujieleza na akimtwanga swal swali linakuswa lamhim sana like kwake upo vzr na wengine mnaokrupkia fani za wat mwe mnachukua mifano kwa wtu kama hawaaa yupo vzr mtangazaj👏👏👏
@ashamohamed8574 жыл бұрын
Wastara jipe moyo mitihani ni moja wapo ya maisha dada. Ukimuamini Allah kila kitu kitakua chepesi. Mbona wewe uko na bahati kubwa sana waallah. Una kila kitu una weza kuangaika, unanyumba, unawatoto, we mwenyewe mzuri, na umejaliwa kuhaika. Kubwa ujishushe na umpe mpenzi wako maneno mazuri . Hata wewe una kasoro kubwa sana tabia yako mbaya sana. Unacho taka ni nini? Mtu wewe. Halafu tatizo unapenda kulalamika sana. Ishi karibu na mungu na umuombe sana Allah atakupa mume alie mwema. Wewe ni mwanamke mwenye GUBU
@asiasamweliy2644 жыл бұрын
Wastara mwenyezi mungu atakusaidia
@خسنموس4 жыл бұрын
MaashaAllah, Nikimuona Wastara Juma Nakumbuka MBONI YANGU huyu mama mpole anasubra anayopitia ivyo ndio inatakikana.
@naamohamed99644 жыл бұрын
Tamu San mbon yangu😘😘😘
@nunuuali53163 жыл бұрын
From France,Dada pole sana nina imani Mungu anasikia kilio chako ipo siku utacheka dada. Be strong
@liliansamson6744 жыл бұрын
Wastara unakera sio hupendwi kwa vile unaulemavu, wapo wasiokua na ulemavu na hawapendwi, Wewe sio lazima upendwe jipende mwenyewe fullstop.
@najmasalimsalim27414 жыл бұрын
Asante sana nimeipenda hii point yako
@babyhamisi53314 жыл бұрын
Point shukran Sana mungu anatupenda na Ilo ndio muhimu kwetu
@mozasaid38694 жыл бұрын
Kweli kabisa
@asiasalim46344 жыл бұрын
Tatizo mnapenda watoto wadogo angalieni sahizi yenu.. Tulia omba mungu wapo waume wa natamani kuoa mwanamke mwenye kumuogopa mungu Unayataka mengi jiangalie unakosea wapi pia
@mackenzikamuga72834 жыл бұрын
Maumivu umekuwa sehemu ya maisha yako pole sana wasara.amini ipo siku utasimuliya ya furaha
@sarahpatrick80124 жыл бұрын
Ishi maisha yako tu mamy, Wanume kama SAJUKI Waaachache Sana Dunian.pole kipenz
@georgembugua15654 жыл бұрын
Kenyan boy 🇰🇪🇰🇪 watching you from Jubail Saudi Arabia
@MwinyiSalim-d4j5 ай бұрын
Saudi Arabia masenge mboro 😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉😅😅😅
@aminaluhamba93874 жыл бұрын
Pole sana Wastara mi nakushauri sali sana muombe sana Mungu ipo siku utampata mwenye kheri na wewe
@ahmedanwar12104 жыл бұрын
Much love to you wastara boy from qatar Allah AKUHIFADHI NA MAHASIDI
@pricilamwakalebe11174 жыл бұрын
Wengi wamo!! Yaan !! Mungu asimame kwakweli!! Upendo umeshapotea umebaki wa Mungu tu!! Aminini
@aminanamoyo834 жыл бұрын
🤔 pole wastara kwa uliyopitia but jitafakari na we mwenyewe pia wapi unakosea haiwezekani wanaume au ndoa zote 4 kama nimekosea niwie radhi + Z-Anton ni wabaya kutoa marehemu sajuki, lakini pia unaona sajuki alikuwa perfect man for you kwasababu pengine alikuvumilia na kukubali mapungufu yako si kila mtu anaweza kuvumilia watu hawalingani,hivyo kabla hujaingia tena ktk ndoa jitafakari mwenyewe kwanza maana unapenda kuolewa,lingine ningekuwa mimi ndio wewe walaah nisinge hangaika tena na wanaume kama kuolewa umeshaolewa tena si ndoa moja zaidi ya moja,watoto umebarikiwa, uwezo wa kujikimu ki maisha unajiweza hata bila mwanaume nini unataka mpendwa?any way si lazima ufuate ushauri wangu ishi utakavyo na si watakavyo.❤🇹🇿🇨🇭
@rhodaathuman96604 жыл бұрын
Dada Ushaur wako ni Mzur Sana. Hata kama mim nikiachika ndoa moja ukwel siwez Olewa tena. Sasa ndoa 4, Unataka nin Kipya? Hapo ni kutulia na kujiweka karibu na Mungu na kufanya kaz tu.
@aminanamoyo834 жыл бұрын
@@rhodaathuman9660 thanks dear 🙏❤
@moshimgaza56424 жыл бұрын
Funga kwa maombi upate hitaji lako kutoka kwa mungu..achana na hao walevi, m.mungu akujalie mume mwema
@zuwena1zuwena1144 жыл бұрын
Mashaallah dada mrembo sana lakini bahati haukujaaliwa ila wazuri wengi wanakua hawana bahati
@asifiwekaluta18253 жыл бұрын
Wastara u cute , iam ASIFIWE KALUTA following up from USA
@denisimaliyaweni91834 жыл бұрын
Acha kuwa na mastaaa mchukue MTU mwenye iman na mungu na cyo staaa
@yahyahamad18024 жыл бұрын
Ushauri mzuri ulompa ni kua akae amrudie allah na aangalie mtu mwenye kumjua na kufanya ibada afunge ndoa
@agnesgervas80704 жыл бұрын
Yes unawezkana hao mastaa hawajatuliz akili zao kuwa km mababa wa family
@mickeyraymond80074 жыл бұрын
Chukua Pepsi apo ntalpa
@mariammapendo60744 жыл бұрын
Kbs kwel iy🙏usia mzuri
@agnesgervas80704 жыл бұрын
@@mickeyraymond8007 hahahhh jmn utalipa kwli
@lovenessloveness76794 жыл бұрын
Nakupenda sana da wastara, Mungu akupe maisha marefu.
@sitatinaomi59424 жыл бұрын
Wastara wee mrembo..na Una hekima...I wish u the best.. watching from Athens Greece
@adamabubakar75694 жыл бұрын
Dah!pole Sana Allah atakufungulia na kukujaalia mwenye mapenz ya kweli inshaallah
@kessynurutajiri49404 жыл бұрын
Dada Wastara hilo ulopata ni Funzo kubwa. Usirudie makosa ya kulea Wanaume, wengi hawanaga fadhila. Wanaume wasio na Mapenzi ni wengi sana, usikate tamaa. Hauko peke yako my Dear.
@juwagoodwell45624 жыл бұрын
Atulie tuuu.au atafute mwanaume ambae sio tajir
@omaryabas23164 жыл бұрын
Pole Sana zidi kumuomba mungu atakupa mwana umesahihi kwako
@qwnlynuzlah31154 жыл бұрын
Polee Dah Mitiani Tumeumbiwa Sisi Binadamu,Mlilie Allah Kwa Sana Yeye Ndiye Anaempanga Na Kupangua Subra Muhimu Na Swala Kwa Sana Dada.
Tatizo mnapendana sana wasanii tu ebu badilikeni kuangalia mapenzi ya Sana'a wengi wenu wasanii wanapenda maisha ya kuigiza njoo kwangu nikuonyeshe mapenzi
@juliusjaliwa98874 жыл бұрын
Chris, am watching from Canada 🇨🇦, sister Wastara just pray and believe God one day atakushangaza trust me, ubarikiwe dad
@juliusjaliwa98874 жыл бұрын
@travelstylish nurse siko Toronto niko Ottawa
@beatriceshauri44974 жыл бұрын
Ameen
@sherifaali72684 жыл бұрын
Salam vp huko wakusha ruhusu kuingia wageni au airport bado zimefungwa?
@juliusjaliwa98874 жыл бұрын
@@sherifaali7268 kama wewe ni mgeni for now isn't easy coz kuna process works because tuko lockdown
@sherifaali72684 жыл бұрын
Alaah sawa shukran sana
@aishamother99434 жыл бұрын
Pole sana dadaa wastara mungu atakupa mwengine inshallah wakkupenda kama sajuki kuwa na imani na uvumilivu love u more from 🇰🇪
@neemaoscar92034 жыл бұрын
Huyu dada kuna muda anataftaga matatizo alaf kuyakabili hawezi anaanza kutumia ulemavu kama kigezo cha kujitetea anashindwa kutulia kufanya majukumu mengne mwishoni anaanza kulia wanamuonea
@khatwabisadathil34234 жыл бұрын
Yaani neema ni kweli unachosema.
@husseinomar19963 жыл бұрын
nimefuatilia interview za stara angependa apate mpenzi wa dhati laki ajafanikiwa usijali mungu yuko na wewe
@naimanaima47154 жыл бұрын
Acha kulalama Dada wanaume hawakunyanyas kisa Et mlemavu mbona Ata ss wazima matukio t unapigwa kila kukicha kiuchache Hawa viumbe wanaume tupunguze shobo kwao lasivyo t utakufa kibudu wallah
@nurukhalifa94134 жыл бұрын
Esma platnumz mwenyewe kapigwa na sio mlemavu😁😁😁😁😁😁😁😁😁
@fidesbenard28364 жыл бұрын
@@nurukhalifa9413 hahahaa
@ashanalinga87194 жыл бұрын
Nikweli kabisa
@subiraboi93974 жыл бұрын
Ustake mapenzi the same ya Sajuki c wote wanaelewa dda acha kudeka na mshukuru mungu uko salama
@aishachambo32934 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@sapnaabdallah10844 жыл бұрын
Jamani pole Sana dada wastara Mungu ni mwema Ipo siku utafrahia maisha ya ndoa usikate Tamaa
@salimhemed33214 жыл бұрын
C kila aliyedumu kwenye ndowa hapitii machungu ndowa zinahitaji uvumilivu
@taburechipia42913 жыл бұрын
Cyo anaumizwa anajiumiza mwenyewe,hiv km Z Anton na yy nitofauti kbisa,akaingia mitandaon kumgombania,leo anarud tna htaaibu haoni jmani
@everlyneiminza57224 жыл бұрын
Nakufeel sana my dia, wewe ni ma age unachosema nikweli ila Mungu yupo nawewe, ❤❤❤
@ashnuhu14204 жыл бұрын
Zidi kumuombea dua mme wko hkik allah atakupa mme bora mwenye kukujali n kujua samani yko
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n524 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/q3WaYmObiqd6gac
@ramhuudulla89214 жыл бұрын
WASTARA USHAURI WANGU GEUKIA UPANDE WA PILI AMBAO SI WATU MAARUUFU NA WENYE NACHO BIIDHNILLAH UTAFANIKIWA JIHIFADHI JISTIRI ITAFUTELTE ELIMU YA DINI YAKO MSHIKE ALLAH S.W HUJACHELEWA
@taimourahmed92664 жыл бұрын
I'm in qatar Mm na mpenda sana wastara mashallah
@beatriceshauri44974 жыл бұрын
Vizr karibu
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n524 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/q3WaYmObiqd6gac
@mosekasudu65414 жыл бұрын
Pole sana mdogo wangu tulia tu, mwachie Mungu atakufariji utapata mume bora anaye jua samani na faida ya mwanamke
@misungwikids5634 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu bado ana mpango na ww WASTARA#NEVERGIVEUP💪
@annaathanas52254 жыл бұрын
Never give up wastarah
@pendopeter17903 жыл бұрын
Pole dada angu, Mungu wetu anaishi atakupatia tu mwanaume ambaye atakuwa ni sahihi kwako.
@jamescassien74294 жыл бұрын
Minaitwa James nipo Finland nawapenda saaana ❤ Mnafanya kazinzur sana hongeren sana brother
@GM-itire4 жыл бұрын
Hi bro
@ashurajuma90914 жыл бұрын
Nakupenda wastar na mungu naamini atakuonyesha mnae endana nae!
@bukuruhassan97514 жыл бұрын
Mimi niko CAPE TOWN SOUTH AFRICA Mama wastara wewe unaitaji mume wewe ni mzuri achana nao mapepe
@maggienyambura46144 жыл бұрын
Wastara much love from Kenya,Nakuelewa dadangu
@Mk-odeth4 жыл бұрын
Dada vumilia iposiku utapata unachokihitaji ❤❤❤
@saramm70814 жыл бұрын
Dada yangu pole sana .ila usikate tamaa mungu anawapenda wenye mitihani.zidi kusubiri na uamini kwamba ipo siku moyo wako utatulia . Achana na mastaa mpende mtu wa kawaida .mastaa wanapenda kujiremba 2 hawana mapenzi ya kutulia
@jamilasalimvilog67524 жыл бұрын
All the way from kenya watching from Iraq
@mishibabu89464 жыл бұрын
Am watching this frm 🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦pole dadaa ila mungu yuko pamoja na ww utapata tulizo la moyo wako🤲🤲🤲
@richmontanna79344 жыл бұрын
Mishi
@bellahofficial27484 жыл бұрын
Love not fear 🙆😪😭 MUNGU atakupa chakwako kabisa mamaangu😪
@zainabboss56194 жыл бұрын
Mie nipo omani
@aishamwinyi50484 жыл бұрын
Pole sana wastara yaan unapoongea sana unatuumiza mpenz pole sana dada angu tunakupenda sana 💕 Allah akupe subra🙏
@hadijamagufuli26614 жыл бұрын
Dada Wastala wanaume Hawana shukrani, wanaume Hawana mzima au mlemavu watu wanasalitiwa Sana, so Hilo sio sababu
@WinWilly41624 жыл бұрын
Zidisha maombi,Mungu si mchoyo atakupa mwenzi sahihi
@swalehbogibo27254 жыл бұрын
Si wote mwambenda kufata mtu.mwenye Jina mwisho unakuwa huwo
@zuhurasaid32674 жыл бұрын
Pole sana aunty mithihani yapata wanadamu chamsingi penda watoto wako sana na usichoke kumuomba mungu iko siku wakheri Atakuja Inshallah 🇰🇪
@mwanarusiropia83634 жыл бұрын
Niko saudi pole sana dada mungu atakupa wako wa kwel inshaallah kikubwa ni dua tu.
@waheedahtanzania49124 жыл бұрын
Subhannallah Allah atakulipa kwa hilo kama ulimtoa gizani huyo Z anti ukamleta kwenye mwanga na sasa kakugeuka basi inshaallah atarejea tena gizani kama dua la kuku halimpati mwewe basi Z anto litampata
@elizabethwanyonyi54774 жыл бұрын
I can feel your pain dear.. Kindly please love your self first and your kids..
@aminanamoyo834 жыл бұрын
Exerctly 👌🏿
@pettyhellen91374 жыл бұрын
💯💯💯
@habibrwegoshora66244 жыл бұрын
Kuwa tu na subila ... m'mungu si mwenye kughafilika kila kitu anajua
@MmMm-lq1wh4 жыл бұрын
From Oman 🇴🇲💯. Vizur sana brother
@alexkalonga36324 жыл бұрын
Upo Omani sehem gani Dada tuonane bhna,,, mi Ni mtanzani lkn kwa saizi Niko Oman
@maulidzahoro10644 жыл бұрын
Habar
@mishiabdhallah52283 жыл бұрын
Pole mammy Allah athakufanyia wepesi kwa kila jambo
@hanifaally46944 жыл бұрын
M/mng atakupa dada In'shaallah kikubwa dua na utulivu mpnz M/mng atakupa wakundana na ww muombee sana dua mumewako
@jumamadobe69744 жыл бұрын
Miee kutuka mocambiqui
@rhdimpoz60194 жыл бұрын
salaam aleykum warahmatullah wabaralatuh...ahaaa me npo dubai nilimfahamu didii wastarah kupitia kaole mwaka 2006 alimpenda sana marahemu kaka ytu sajuki alikuwa ana mpnz ya dhati sana marehemu alikuwa mwalimu wngu na tulkuwa marafiki kwa ucheshi wake na ukareemu wake kwa kila mtu tulikuwa tukikaa na marehemu humsifia sana wastarah na alisema ni mwanamke wa ndoto yke ..na ndoto ilitimia nakufunga ndoa lkn ndio hivyo allah katuumbia mitihan ..innalillah wainnalillah rajiun
@suzannablaise83934 жыл бұрын
All the love from USA 🇺🇸 😘❤️
@maulidzahoro10644 жыл бұрын
Habar mrembo
@shamalhabsi35634 жыл бұрын
Pole sana dada kwa matatizo yote unayoyapitia ila usivunjike moyo hiyo ni mitihani yake allah anakupima imani yako iko vipi ipo siku utasahau kila kitu zidi kumuomba allah...... sham frm oman 🇴🇲
@biabuhafidhi8684 жыл бұрын
Kenya,,Allah akuifadhi wastara,,I love u more mumy
@saalimlubeya42364 жыл бұрын
Wastara mimi nipo tayari kukuoa na nipo tayari kuishi na wewe kwa upendo mkubwa na nitakuthamini na kuheshimu daima. Nitashukuru kama utanielewa. Ahsante.
@stay_onit3604 жыл бұрын
Live your life mom sio lazima uishi namwanaume leatu watoto wako jmn 🇨🇦
@laurentraphael54704 жыл бұрын
Ni kweli.
@aishashandia16504 жыл бұрын
😢😢🇮🇶🇮🇶🇮🇶👌
@mashamasha28544 жыл бұрын
Sio ivo jua huyu anakulaanashiba na damu inachemua itakuwa ngumu kukaa bila mume
@ALIMOHD-bk9lr4 жыл бұрын
Analeaje watoto tuu bila kupata haki ya tendo la NDOA. Shida ninayoiona KWA huyu dada Ni kupenda kuanika KILA Jambo lake. Anapaswa ajiheshimu ILI INSHALLAH apate wa kumheshimu.
@mrsliverpool42354 жыл бұрын
Nyege nazo ataishi nazo vipi, na sote tunajua nyege zilivyo
@fatumahengo68494 жыл бұрын
Napenda sana akiwa anahojiwa wastara ni muongeaji mzuri sana Inshaalah utapata mwingine dada yangu . Mimi shabik yenu toka Oman nakipenda kipind cha SNS big up sana
@lucialeonard67344 жыл бұрын
Shida inakuja wanaume mnaochukua nyie ni wale wenye pesa marufu, tafuteni wanaume wanyonge wenye imani jamani
@rhodamkungu42374 жыл бұрын
Kila mwanzo wa mwaka mwambie MUNGU nipe nguvu ya kuendelea mbele. Nikutazame wewe. Kila siku ukimuwaza Sajuki, unaendelea kuwa na huzuni tu na ukweli ni kwamba yeye hakusikii. Unatakiwa kusonga mbele, waza maisha yako mtu aliyekufa amekufa, hakuna mahusiano kati ya mtu aliyekufa na aliye hai. Pole MUNGU akupe neema yake uendelee mbele....!
@babyhamisi53314 жыл бұрын
Kweli wastara anahitaji kwanza akubali wanaume wote hawawezi kuwa Kam sajuki pia Hakuna upendo wa Aina yoyote unoweza kubadilisha tabia yake, mtu anabadilika kwa kumjua mungu na sio mwanamke, heri akae single ajiulize kwanza anakosea wapi na arekebishe wapi na ajipende na ajikubali
@josphinechizi58344 жыл бұрын
Wastara you make me Cry ..same situation for me but be strong and love yourself
@babyhamisi53314 жыл бұрын
We have to be strong, we have to learn through our mistake, we don't heve to regret
@theblessedone75264 жыл бұрын
Josephine Chizi love your comment
@doctajosue11314 жыл бұрын
Namupenda wastara sababu ni mwanamke responsable. Shida wanaume hawajuwi ayo.l love her
@beautyibrahim84284 жыл бұрын
😂😂😂Wastara ni mimk kabisa maana sijuagi ladha ya hela ya mwanaumee kwa kwelii
@beatriceshauri44974 жыл бұрын
Hahaaaahaaa yaan ww
@asinatikarim54014 жыл бұрын
Haha
@beautyibrahim84284 жыл бұрын
@@beatriceshauri4497 😂😂😂kwel wang
@beautyibrahim84284 жыл бұрын
@@asinatikarim5401 😂😂😂ni maswala ya kupeana pole kwa kwrli
@ramadhanmakame13284 жыл бұрын
Wanaume wote sio sawa ila una tatizo katika kuchagua (selection), angalia vigezo (criteria) zako ktk kuchagua mume. Usiwe unalaumu wanaume tu, aina ya wanaume unaowataka wewe pengine wasanii na watu maarufu au watu wengine kwa vigezo vyako ndilo linalokupelekea maumivu yako. Na pengine labda uwe na subra na uendelee kufanya mahusiano mpaka itokezee bahati kama ilivyokuwa kwa marehemu mumeo. Na pia ufikirie kuwa huenda pia aina ya maisha yako na mazingira yako yanachangia tatizo hilo unalopitia kama vile wanavyopitia watu wengine mfano wako, kwani kila siku kwa wasanii tunashuhudia kuvunjika ndoa na mahusiano yao mpaka imezoeleka kwamba kwa Wasanii kuvunja mahusiano ni kawaida. Pana tatizo kwa kweli, na hili ndio mana nyinyi wasanii filamu zenu zote mnaonyesha kwamba kila siku ndoa zina maumivu na usaliti tu, na hatujawahi kuona filamu za uaminifu wa mwanamme au mwanamke utadhani hakuna, kumbe maisha ya Usaliti ndio maisha yenu Wasanii na mnadhalilisha ndoa na kuonyesha hazifai. Mna matatizo kwa kweli. Ushauri wangu angalia 1) vigezo vyako ktk kuchagua mume 2) aina ya maisha unayoishi, huenda kuna mambo inabidi ubadilishe aina ya maisha yako.
@mauayusufumauayusufu78624 жыл бұрын
Na kupata kutoka Dubai Ab Dhabi, pole sana dada wastara
@salmacazzy19154 жыл бұрын
Masha Allah me nipo Sharja
@mwakahassan87424 жыл бұрын
@@salmacazzy1915 sehem gani my
@glorysepeku96724 жыл бұрын
Daah pole sana Mungu atakusaidia usijali
@rahimkessyesmail92894 жыл бұрын
Love from Munich,Germany🇩🇪
@rahimkessyesmail92894 жыл бұрын
@@philipinaswai6270 😊
@peaceisrael81584 жыл бұрын
Im in Kempten too wie gehts!
@rahimkessyesmail92894 жыл бұрын
@@peaceisrael8158 hier alles gut..✌️
@rosemarykatogomusanga16194 жыл бұрын
@@rahimkessyesmail9289 wie geht's dir?? Bin aus Stuttgart
@rahimkessyesmail92894 жыл бұрын
@@rosemarykatogomusanga1619 Nein, ich lebe und studiere in München
@gloriarobert65824 жыл бұрын
Dada Wastara Mie nashauri, ungekaa mwenyewe tu, ukatulia turi, zaidi tafuta riziki yako tu basi.
@baiaaa28094 жыл бұрын
Wanaume ndio walivyo usiwaze eti kwa sababu ya hali yako ya ulemavu
@leokamil62844 жыл бұрын
Angepaswa kuangalia waliowazima na wanatendwa.Na yy ni mgonjwa wa mapenzi tu kwani lazima awe na hao wanaumme si atulie tu mtu anawatoto lkn anataka ahangaike na viruka njia .Tena utakuta wanamtumia tu wanatake advantage. Wewe Wastara pambana na maisha yako na watoto wako acha kulea wanaumme kesho na kesho kutwa akifanikiwa anakutenda anakukimbia unabaki unalia mitandaoni. Kama huna bahati na wanaumme tulia wala usijiseme ati kwa kuwa unamapungufu je wasanii wangapi wazima na wanatendwa au hawana mabwana.Achana na kuwa desparet kwa wanaumme wakijua weekness hii nayoiona utalia kila siku mpaka ukome
@mariamm27244 жыл бұрын
Pole.mamy mungu yupo nawe na hajakuacha kuwa na subra pia kuhusu mahusiano yako nakushauri usitafute Mastaa tafuta wa kawaida unayajuwa atakupa mapenzi ya kweli
@everlineeverline1054 жыл бұрын
Wastara live ur life like asingle mother. Na ulee watoto wako wanaume watazidi kukuchezea sababu uko loose.grow up.
@mejumaamwachirero73244 жыл бұрын
Nakupenda sana Wastara ,pole sana kwa unayopitia usikate tamaa kupenda ,Mungu anakuona mawazo yakuwa wanafanya hivyo kwakuwa wewe nimlemavu yaondoe hata ungekuwa na viungo kamili Wange kufanyia tu. Strong love❤️❤️! am in Austria but from Kenya