No video

SABABU 3 ZA MWANAMKE KUKUACHA

  Рет қаралды 35,528

Mbeki TV

Mbeki TV

Күн бұрын

Kama wewe ni Mwanamke zisikilizi sababu hizi kwa makini ili usije ukamuacha Mwanaume kwa kukurupuka na matokeo yake ukajuta. naomba usisahau ku Subscribe.

Пікірлер: 335
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
wewe ni miongoni mwa The best of the best advicer kupata kutokea unakitu tofauti sana
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@kwisa4899 asante sana ndugu yangu, inatia moyo kuona wapo wanaoelewa🙏🤝😊
@user-xs9gg6xi8q
@user-xs9gg6xi8q 5 ай бұрын
Mimi nilipambania ndoa 19yrs paka maombi lakini ndiyo kwanza anakuona kama takataka saivi nime move on never come back
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Myb haikuwa riziki
@YasminaMkali
@YasminaMkali 19 күн бұрын
Yaani umesema ukweli ulio wazi...maana mie nilimuacha wangu bila yeye kujua, na siku nilivyo toka, sikuangalia nyuma...alisema siwezi muacha...😂😂😂alijidanganya. Na siwezi rudi nyuma. Alisubiri! Alisubiri! Alisubiri! Nafurahia maisha yangu peke yangu.
@mbekitv693
@mbekitv693 14 күн бұрын
@@YasminaMkali duh😀
@anithamsoke2329
@anithamsoke2329 9 ай бұрын
Duh! Kaka unaongea point tupu yaani kama najiona mm hapa kwa hizo sababu3. Barikiwa sana!
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
Amina mpendwa😀🙏
@IsmailKajonjo
@IsmailKajonjo 5 күн бұрын
Manager dadaangu nyiny ndy tatz
@marylynliseche773
@marylynliseche773 8 күн бұрын
Ukweli kbs I salute you kaka😂😂
@mbekitv693
@mbekitv693 2 күн бұрын
@@marylynliseche773 asante sana mpendwa😊🙏
@mwanahawashayo2795
@mwanahawashayo2795 9 ай бұрын
Woooow amaizing lesson 🙏 thank you broo
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
Asante mpendwa karibu sn
@EsterNko-kh6of
@EsterNko-kh6of 6 ай бұрын
Waoooooo nimepata iyo
@user-bs6et9vy4q
@user-bs6et9vy4q 6 ай бұрын
Haaa kaka yaani umegonga ndipo
@mohammedalghannami3150
@mohammedalghannami3150 4 ай бұрын
Mwanamke mwenye AKILI TIMAMU, hawezi kukubali kuvunja ndoa yake kirahisi, Ndoa zote kila moja na changamoto zake, Talaka zinasababisha watoto kukosa malezi bora, Familia mbili kuvunjika mapenzi na hasara nyingi. Mwanamke ni kiumbe ambae akisimama ktk sehem yake na maumbile yake kwa mumewe nyumba inakua na Amani. Ushauri Subra, Subra, kusubiri na kuvumilia ni bora zaidi
@Asiamachosefu
@Asiamachosefu 3 күн бұрын
Hivyo ndivyo mnavyo jidanganya mna wafanyi visa na vituko wanawapenda na kuwajali ndo mnawaona taka taka , kisa wana watoto ndo hawato choshwa na tabia zako😅
@Mpakauseme
@Mpakauseme 24 күн бұрын
Salute 🫡 home boy
@mbekitv693
@mbekitv693 14 күн бұрын
@@Mpakauseme bless
@user-er3cb9mb9m
@user-er3cb9mb9m 4 ай бұрын
Much love from Kenya guys like back umenifunza kitu kakangu❤
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
Karibu ujiunge katika darasa langu la whatsapp tupate kujifunza mengi pamoja 0659152333😊🤝
@bas2823
@bas2823 3 ай бұрын
THANKS FOR SHARING🙏 GOD BLESS U AMIN🤲
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
Amen
@Asiamachosefu
@Asiamachosefu 3 күн бұрын
Hata mimi niko najihakikishia kuwa maisha yangu bila yeye yataenda nikisha jihakikishia hilo tu , nampa amani yake naondoka , mana , hindoa kila siku mimi ndo nimekuwa naifosi idumu ila yeye , ana ,ipuzia kisa anajuwa nampenda , sasa ndo niko kwenye kujihakikishia maisha bila yeye nikiona naweza tu , nampa amani yake ,naondoka
@mbekitv693
@mbekitv693 2 күн бұрын
@@Asiamachosefu ni changamoto kwakweli
@user-cx7tw1xd6i
@user-cx7tw1xd6i 4 ай бұрын
Nmekifunza kitu Asante Sana kaka❤
@mbekitv693
@mbekitv693 3 ай бұрын
Karibu katika darasa letu la whatsapp tuzidi kujifunza pamoja na kushauriana zaidi.. 0659152333😊🤝
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 3 ай бұрын
For sure absolutely you right,we know how to tolerate any kind of men behavior but when we get tired’there is not any excuse ll be is enough 🙌 mafuzo yako mazuri sana .
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
Thanks
@user-gw4jc9so5p
@user-gw4jc9so5p 3 ай бұрын
Kweli kabisa👌
@mbekitv693
@mbekitv693 3 ай бұрын
Karibu kutazama video yangu mpya
@MishersKhalid
@MishersKhalid 10 күн бұрын
Mpaka nalia yaan wangu sikio la kufa haambiliki
@user-sx3id3rv8l
@user-sx3id3rv8l Ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@mbekitv693
@mbekitv693 14 күн бұрын
@@user-sx3id3rv8l 😊🙏
@MariamObotte
@MariamObotte 9 ай бұрын
Uliyo yasema yote mm ndio yaliyokuwa maisha yangu!! Jamaa alikuwa ananifanyia vitimbwi vyakila aina!!! Lakn navumilia!! Siku niliyo amua kuondoka hakuamini adi sasa anahangaika kwa waganga ili nmsamehe yaan haamin kama nimm!!!
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
Eeh
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
Eeeh😀
@justinmushagalusa1350
@justinmushagalusa1350 7 ай бұрын
Kaka umenena haki-Mungu akubariki-it my first time to visit the channel
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
Oh karibu sn🤝
@leahraymond6290
@leahraymond6290 9 ай бұрын
Ahsante,nimejifunza
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
Oh karibu tena
@leahraymond6290
@leahraymond6290 9 ай бұрын
Ahsante
@user-wn5te1wg4m
@user-wn5te1wg4m 6 ай бұрын
Amen 🙏 mungu àkubariki sana
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Ameen🙏🏼
@glorymlawa7078
@glorymlawa7078 4 ай бұрын
Kwakweli ya mwisho hyo Imenikuna sawa saw❤❤❤
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
😊
@stellahbwari
@stellahbwari 9 ай бұрын
From tiktok to KZbin thanks kwa kutuchanua
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
Ooh mpendwa karibu sn
@kadzowanje1791
@kadzowanje1791 7 ай бұрын
Nkweli kabisa yani unamuvulia mpaka.unafika mwisho❤❤🎉
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
Changamoto sn
@winnymbula
@winnymbula 6 ай бұрын
Wow umeogea vizuri
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Asante saaana
@evalyinesalama2535
@evalyinesalama2535 7 ай бұрын
Ni kweli broo hongera sana
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
Asante sn mpendwa😊🙏🏼
@user-rn7gl9yy7y
@user-rn7gl9yy7y 9 ай бұрын
Hakika kaka asante wanaume wajifunze hapa
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
Kabisa
@bas2823
@bas2823 3 ай бұрын
ABSOLUTLY WRIGHT👍 VERY TRUE👌
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
Thanks
@bettymariga
@bettymariga 4 ай бұрын
Hongera bro
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
Asante
@veronicandakaba4639
@veronicandakaba4639 5 ай бұрын
Mafunzo yako yanagusa sana hongera
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Asante sn mpendwa🙏
@user-wm5nk4dt1x
@user-wm5nk4dt1x 5 ай бұрын
Abroo umetisha
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Asante sn
@HamidakomboKombo-xs2ju
@HamidakomboKombo-xs2ju 8 ай бұрын
Uko sawa kaka yaani kama umeniona! Mimi Niko Ivo yan
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
Pole sn
@ChannyAlia
@ChannyAlia 9 ай бұрын
Ukweli kbxaaaa🎉
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
Kabisa
@user-zs1fv9wc6z
@user-zs1fv9wc6z 5 ай бұрын
Uuh Yani Kaka ndohiv hivo umepatiy
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
😀
@shidasyassini6457
@shidasyassini6457 7 ай бұрын
Yaani maelezo yako na hizo sababu 3 ni mafunzo tosha Sana kwa sisi wanaume Asante Sana!
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
Hakika kaka
@asmaafamau8307
@asmaafamau8307 9 ай бұрын
Swadakta bro
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
Asante
@PBeauty-bd9ks
@PBeauty-bd9ks 9 ай бұрын
Weee kaka hongera umenifanya nijiamn akk
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
Woow hiyo ni nzuri sana😀💪
@glorymlawa7078
@glorymlawa7078 4 ай бұрын
Wanaume Kula chuma hiyoo😂😂😂mniazime my crophon 😂😂😂😂
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
☺️
@user-lb7qf9or9e
@user-lb7qf9or9e 9 ай бұрын
Ubalikiwe Sana kwa kutuelimisha. Kaka
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
Amina mpendwa amina 🙏
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 8 ай бұрын
Upo sahihi kk 🎉🎉
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
Asante😀
@user-kg6gh5uj1z
@user-kg6gh5uj1z 6 ай бұрын
Kabisa kaka kama umeniona vile jmn
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Karibu sn🤝
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 6 ай бұрын
Naharibiwa ndoa kisha mnajiona mnaa akiili😂.
@user-xh9py9rh2q
@user-xh9py9rh2q 6 ай бұрын
Asante sana kaka kwa elimu yako nzuri sana
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Asante sana mpendwa
@rosamairusya-dk6eb
@rosamairusya-dk6eb 6 ай бұрын
🤣🤣🤣Wewe kaka Nimecheka Kwa Sauti!
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Kwanini😀
@frijinswai6049
@frijinswai6049 5 ай бұрын
Nimecheka kwa sautii😂😂😂😂😂
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Why😀?
@AthumaniMwajambo
@AthumaniMwajambo Ай бұрын
N kweli bro tukichika ndio kiume
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@AthumaniMwajambo 😀
@SelineBhokeseline-go5eu
@SelineBhokeseline-go5eu 8 ай бұрын
😂😂😂😂kaka umenena ukweli.pewa soda kwa bill yangu 😊😊😊😊daa
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
😅
@Ethlo-bf4oo
@Ethlo-bf4oo 6 ай бұрын
Hahaaa,eti pumziko😂
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
😀
@tausimohammedy
@tausimohammedy 7 ай бұрын
asante kaka❤
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
Karibu sn
@laylayl5166
@laylayl5166 9 ай бұрын
Nimeichukuwa hiyo Sahihi kabisaa yaani
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
Kabisa
@user-zc7ip3ut5c
@user-zc7ip3ut5c 4 ай бұрын
Kaka yangu unachosema nikweli.atamimi siwezi kubwatuta na mwanaume.nafanyaga maamuzi.
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
Good
@mashiassenga8849
@mashiassenga8849 9 ай бұрын
True bro umenena❤
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
Hakika
@user-rw9od9ly9d
@user-rw9od9ly9d 8 ай бұрын
Kweli kabisa 💯💯👌
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
Hakika
@RahelMrope
@RahelMrope 3 ай бұрын
Namba tatu pigia mstari kaka😂😂😂
@mbekitv693
@mbekitv693 3 ай бұрын
ahahaha
@biashadotti2294
@biashadotti2294 9 ай бұрын
Daah umeuuwaa. Ukweli mtupuu. Naipataje hii
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
Nicheki WhatsApp 0659152333
@user-uq4he9zy7v
@user-uq4he9zy7v 9 ай бұрын
Upo sahihi kaka
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
Asante
@reemareemo2698
@reemareemo2698 6 ай бұрын
Amin❤❤❤
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Amin🙏🏼
@user-pk7rx7gp4t
@user-pk7rx7gp4t 9 ай бұрын
Thank you broo
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
Karibu mpendwa
@SalhaAlly-sf7tk
@SalhaAlly-sf7tk 2 ай бұрын
Mim kabisa 😂😂
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
Karibu katika darasa langu la WhatsApp tuendelee kujifunza mengi pamoja, na kushauriana mambo mbali mbali. 0659152333.
@AnnehEdward
@AnnehEdward 4 ай бұрын
Kijamaa kinamfariji fariji 😂😂
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
Karibu katika darasa letu la whatsapp tujifunze zaidi na kushauriana😊🤝 0659152333
@NeemaPhilibart
@NeemaPhilibart 4 ай бұрын
Yaani kaka nashukur kwa ushaur wako namm niko ivo ukiniaid kit skuachi ata kwa dawa ukikmlsha ndo mazima 😂😂
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
😀
@dominic4727
@dominic4727 9 ай бұрын
Bro nime kukubali
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
Asante sn 😀🙏
@WinfridaKasonya-uf5ud
@WinfridaKasonya-uf5ud 8 ай бұрын
Asante kwa ujumbe
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
Karibu mpendwa🥰🤝
@user-to6xs9ri1h
@user-to6xs9ri1h 6 ай бұрын
Imepenya hiyo!!!!
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Asante😀🙏. Ila Usiache ku subscribe ili tuendelee kujifunza pamoja.
@liliancheruto6708
@liliancheruto6708 8 ай бұрын
Barikiwa
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
Amen🙏
@user-gt8hc6gp8l
@user-gt8hc6gp8l 6 ай бұрын
Wanawake ni wafumilifu Sana katika ndoa
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Ni kweli
@agnesmwangombe6999
@agnesmwangombe6999 7 ай бұрын
Hiyo kwelii kabisa
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
Hakika
@GodenBMDaniel
@GodenBMDaniel 6 ай бұрын
Umeongeya ukweli ndugu yangu
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Bless kaka
@user-cf3iu8we8n
@user-cf3iu8we8n 9 ай бұрын
Hapo bado sijaelewa mbona wengine akimuacha mwanaume anaanza kuomba kurudi Tena .
@jeffhard5773
@jeffhard5773 8 ай бұрын
Uko sawa atoe ufafanuzi kwanini wanarudi sometimes huwa Wana bet matokeo huja tofaut na matarajio ghafla hukumbuka aliko Toka na akirudi pandisha tinted
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 6 ай бұрын
HUYU JAMAA ANAWAPA MOYO WAKE ZA WATU WAFANYE UMALAYA BADALA KUJIREKEBISHA TABIA ZAO. ATI MWANAMKE MWENYE AKILI TIMAMU ANAFANYA UMALAYA, NA MWANAMKE ASIE AKILI HUTULIA KWENYE NDOA. 😂😂😂
@devothangovano9729
@devothangovano9729 4 ай бұрын
Elewa mwanamke mwenye akili ukiona hayo jua hyo mwanamke Hana akili maana syo wote wanaakili
@user-tb5jq2js1y
@user-tb5jq2js1y 9 ай бұрын
😂 kaka ukweli, mtupu
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
Asante sn mpendwa☺️🤝
@boyauto333
@boyauto333 7 ай бұрын
Wow nabadilika kuanzia Leo nitamtunza mke wangu😢
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
Oh vizuri sana kaka👏👏
@ceciliafissoo6601
@ceciliafissoo6601 9 ай бұрын
Fact ☑️☑️☑️✅✅
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
Asante❤
@user-df5qu1rd6z
@user-df5qu1rd6z 9 ай бұрын
Yaan uko vizur kala
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
Asante sn
@fahidashishi255
@fahidashishi255 9 ай бұрын
😂kaka vipi wewe umeoa
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
😂
@user-mc6um1it1r
@user-mc6um1it1r 9 ай бұрын
Kweli kabisa yani kama umenileng'a mm
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
Pole
@BiyuwaSimba
@BiyuwaSimba Ай бұрын
Huyu ni mimi wallah
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@BiyuwaSimba eeh
@AmissaBintikapiki
@AmissaBintikapiki 4 ай бұрын
Iyo ya Tatu imenigusa sana
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
Karibu katika darasa letu la whatsapp tujifunze zaidi na kushauriana😊🤝 0659152333
@rosamairusya-dk6eb
@rosamairusya-dk6eb 6 ай бұрын
💯%TRUE
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Hakika
@NaisoSimon
@NaisoSimon 6 ай бұрын
Kweli kabisa kaka
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Hakika
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Hakika
@NeemaMateleka
@NeemaMateleka 6 ай бұрын
Jamani hayo ndo maisha tunayopitia haswa wanawake jamani
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Poleni sn
@abdultandala6576
@abdultandala6576 9 ай бұрын
Sisi ni zaidi ya hao mbwa! 🤣🤣🤣🤣
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
Hatari
@user-wr6uz1rx1o
@user-wr6uz1rx1o 8 ай бұрын
Ulizaliwa na mwanamke kwaiyoo na wew ni mtoto wa mbwaa
@lydiahnabwire128
@lydiahnabwire128 6 ай бұрын
😢😢ulizaliwa na mwanamke kumbe ni umbwa akazaa umbwa dume wewe afu watoto wako wa kike ni maumbwa na mkeo mbwa pia shame on you big fool heshimu wanawake umbwa mwitu
@user-ow2ht5sp8k
@user-ow2ht5sp8k 9 ай бұрын
Kwel kabisa
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
Hakika
@eliminalaurent-kc6kg
@eliminalaurent-kc6kg 3 ай бұрын
Yani yote uliyaongea ni yakweri kaka
@mbekitv693
@mbekitv693 3 ай бұрын
Karibu kutazama video yangu mpya
@user-su8il2rh1m
@user-su8il2rh1m 3 ай бұрын
Umesema kweli
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
Hakika
@SelinaKahonzi
@SelinaKahonzi 5 ай бұрын
Yes
@user-ho9vv7vb4t
@user-ho9vv7vb4t 6 ай бұрын
Ukweli kabiza unachokisema
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Hakika
@user-tb5jq2js1y
@user-tb5jq2js1y 9 ай бұрын
👍👍👍
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
🙏
@marydzidzi8448
@marydzidzi8448 9 ай бұрын
Kweli kaka ukweli kabisa
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
Hakika
@EstaMwangoge-eg5go
@EstaMwangoge-eg5go 9 ай бұрын
Yeah asent kaka
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
Karibu sn mpendwa, je imekusaidia?
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
Vizuri sn mpendwa..
@zawiyamtulia4333
@zawiyamtulia4333 9 ай бұрын
Imenisaidia nimejifuza kitu hapa asante kk nimekuelewa vizuri sana
@zawiyamtulia4333
@zawiyamtulia4333 9 ай бұрын
Kuna kitu nimekiwlewa sana daa umetisha kk
@rahmaadam9957
@rahmaadam9957 9 ай бұрын
@@mbekitv693 yaan Kaka upo sahihi kabisa ndio mm kabisa😂😂
@judithnyantikanyaboke6363
@judithnyantikanyaboke6363 7 ай бұрын
Very true
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
Hakika
@user-ny2ke2ou8k
@user-ny2ke2ou8k Ай бұрын
Mimi nimetoka naye chini lakini penyemungu amemuinua mimi nimekua takataka
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@user-ny2ke2ou8k pole sn
@LidyaMwakajinga
@LidyaMwakajinga 4 ай бұрын
Umeongea ukweli mchungu😭😭😭
@mbekitv693
@mbekitv693 3 ай бұрын
Karibu katika darasa letu la whatsapp tuzidi kujifunza pamoja na kushauriana zaidi.. 0659152333😊🤝
@MarthaGeay-qm4ob
@MarthaGeay-qm4ob 7 ай бұрын
Hakikaaaa
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
Kabisa
@user-cf8re1vm7o
@user-cf8re1vm7o 5 ай бұрын
Yani we kakaa ulijuaje?? Ndivo tulivo wanawake😂
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Eti eeh😀
@user-zu2dc2bj6z
@user-zu2dc2bj6z 5 ай бұрын
Nikweli tunaacha kimyakimya ❤❤
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
😅🙌
@user-tw7xc7tc1s
@user-tw7xc7tc1s 5 ай бұрын
❤❤❤
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
🥰
@bonifacendunguru4234
@bonifacendunguru4234 7 ай бұрын
Mm nafikiri Cha msingi ni kutafuta pesa za kutosha, mm nafikiri ukiwa na pesa za kutosha halafu ukawa mtulivu, hauwezi kuachwa milele
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
Vizuri😀
@winfridamchelema2030
@winfridamchelema2030 4 ай бұрын
Uwe na pesa alafu unitese nikae kwasababu ya pesa
@annamnyazi8206
@annamnyazi8206 9 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
😍😍
@LidyaMwakajinga
@LidyaMwakajinga 4 ай бұрын
Unaongea ukwel mchungu😭😭😭😭
@adellahmgaya9404
@adellahmgaya9404 9 ай бұрын
Yaan ukweli mtupuuu
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
Hakika
@gracekyajimba4745
@gracekyajimba4745 5 ай бұрын
Kweli kabisa
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Hakika
@user-tt5mx6bc5t
@user-tt5mx6bc5t 7 ай бұрын
Km umeniongelea mimi vile, np kwenye kujitafuta, nikijipata hata amini!
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
Ni changamoto kwakweli
Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende
10:14
Please Help Barry Choose His Real Son
00:23
Garri Creative
Рет қаралды 22 МЛН
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 5 МЛН
Prank vs Prank #shorts
00:28
Mr DegrEE
Рет қаралды 9 МЛН
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
DALILI NA TIBA ZA MTU MWENYE MSONGO WA MAWAZO (STRESS)
9:26
MASOMO YA KARNE
Рет қаралды 13 М.
NJIA 3 ZA KUMUACHA MTU UNAYEMPENDA.
8:50
Mbeki TV
Рет қаралды 18 М.
SIFA TATU (3) ZA MKE | DEO SUKAMBI
1:03:07
Deo Sukambi
Рет қаралды 140 М.
UKOMAVU WA KIAKILI (MENTAL TOUGHNESS) - JOEL NANAUKA
1:11:22
Joel Nanauka
Рет қаралды 189 М.
JOEL NANAUKA - MUDA SAHIHI WA KUKAA KIMYA
8:09
Joel Nanauka
Рет қаралды 79 М.
Makosa saba (7) ya kuepuka kwenye mahusiano yako
12:24
Chris Mauki
Рет қаралды 99 М.
AINA10 ZA WANAWAKE WASIOPENDWA
20:49
Mbeki TV
Рет қаралды 121 М.
Please Help Barry Choose His Real Son
00:23
Garri Creative
Рет қаралды 22 МЛН