KIMEUMANA! WIZI wa TV 15 HOSPITALINI - RC MTAKA AWATUMBUA WATUMISHI - "UKWELI ni UPI?"...

  Рет қаралды 2,634

Global TV  Online

Global TV Online

7 ай бұрын

KIMEUMANA! WIZI wa TV 15 HOSPITALINI - RC MTAKA AWATUMBUA WATUMISHI - "UKWELI ni UPI?"...
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Antony Mtaka ameagiza kusimamishwa kazi na kupisha Uchunguzi Watumishi wa Idara ya Manunuzi Pamoja na Katibu wa Afya katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe baada ya Kuibiwa kwa Tv 15 Kati ya Tv 36 zilizopelekwa katika Hospitali hiyo kwaajiri ya Matumizi mbalimbali.
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Antony Mtaka amezungumza hayo mara baada ya Kufika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe na Kuzungumza na Watumishi wa Hospitali hiyo Kufuatia Wizi Wa Computeter 15 zilizoibiwa katika Hospitali ambapo ameaagiza Kusimamishwa kazi kwa Watumishi hao pamoja na Vyombo vya Uchunguzi Kufanya Uchunguzi wa Kina Ili kubaini Ukweli wa Tukio Hilo ambalo linaonyesha Wizi Huo Ulikuwa Wa Kupangwa na Watumishi Kutoka Idara ya Manunuzi.
Akizungumza na Watumishi Hao Mkuu wa Mkoa wa Njombe ameonyesha kusikitishwa na Tukio hilo ambalo linatajwa kutokea kuanzia mwezi wa Saba Mwaka Huu Lakini Halikulipotiwa katika Vyombo vya Usalama.
Aidha Mkuu wa Mkoa amewataka Watumishi wa kada mbalimbali Mkoani hapa Kuzingatia Uzalendo Katika Utumishi wa Umma.
Aloyce Kavumika ni Mkuu wa Kitengo cha Manunuzi amesema kuwa baada ya Kubaini Kutokea Kwa Wizi Huo Walikubaliana ndani ya Kitengo cha Manunuzi Kugharamia Tv Hizo Ili Zilejeshwe kwa gharama zao ambalo Mkuu wa Mkoa amlipinga Vikali huku wakieleza namna Tukio Hilo Lilivyotokea.
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PESA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 8
@globaltv_online
@globaltv_online 7 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@tasukutechnologies2573
@tasukutechnologies2573 7 ай бұрын
Watumishi wa serikalini wanaitia sana hasara serikali na kampuni za ulinzi kwa tamaa zao
@husseinmaula4965
@husseinmaula4965 7 ай бұрын
Mnatoa wezi hapo mnawarudisha halmashauri wapangiwe sehemu nyingine za kuiba .
@user-dt9uv3hj6n
@user-dt9uv3hj6n 7 ай бұрын
MHESHIMIWA HAO SUKUMANDANI
@user-cj1ft4mw2l
@user-cj1ft4mw2l 7 ай бұрын
Huyu RC sina imani nae
@AvityNjau
@AvityNjau 7 ай бұрын
Wekandani sukumandaniii nimesema mimi
@zainabumbondei8635
@zainabumbondei8635 7 ай бұрын
😅😅😅 hela haijatosha wamepata hizo
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 7 ай бұрын
Wizi wa.kijinga
МАМА И STANDOFF 2 😳 !FAKE GUN! #shorts
00:34
INNA SERG
Рет қаралды 4,8 МЛН
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 7 СЕРИЯ ФИНАЛ
21:37
Inter Production
Рет қаралды 525 М.