Asante ustadhi mm pia paka nateseka juu ya wazazi wng hawataki niolewe na mpendea..kwa kweli sina amani..
@aminangalunda8348 Жыл бұрын
hawa wazazi ni kwel hutukosea hata namm wazazi walitaka niozesha mtu ambae alikuwa na tabia sizo ila kwavle walmpenda waltaka niende hvyo hvyo ila alhamdulillah ALLAH alizckia dua zangu natabia zake mbaya zikadhiri kabla ya ndoa na wakactisha maamuz yao
@zaerajuma9159 Жыл бұрын
Ivi ume olewa
@hashimali7910 Жыл бұрын
Well said.. Sheikh
@kabibimohamedmohamed5763 Жыл бұрын
MashaAllah umesema ukweli
@farajomar8678 Жыл бұрын
Aslmu aleikum mm nlitaka kuowa msichana aliachwa lakin mamake alikataa Kwa kujazwa maneno na mamangu WA kambo akaolewa na mume wa pili sahi ameachwa
@kabibimohamedmohamed5763 Жыл бұрын
Assallam Aleikum warahmatullah wabarakatu ustadh Mm niko naswali ni haki. Kijana amzalisha msichana halafu amwambie msichana atoreke aenda kwao kisha baba kijana na mama wambie msichana tukufunge doa waja mjulishamamake msichana au familllia kuja ni haki hivio mm sijui
@mohammadahmed8013 Жыл бұрын
Asalamu aleikum warahmathullah wabarakat sheikh tutakapo shika mambo na Dunia basi tutabaki kua ma dhalim paka turegee Kwa dini yetu paka dollar islamia isimame utaowa utakae kama wakati wa Rasulla Allah Sahi huwezi kuozesha binti mwenye miaka 14 Sheria ya Kenya sio ya kislamu
@mohammadahmed8013 Жыл бұрын
Tutakapo shikamana na staree za Dunia basi dollar islamia hio yapotea mtu Mohammad SWA Rehma na Amani zimehukie yeye Denmark ilimchora cartoon na kumtusi wewe hapa baridi wataka kuowa wanawake warembo watu wataka ma hurun ain watu wajitolea Kwajili ya Allah ndugu zako wauwa Palestine ushawahi kutangaza Tu fanye Dua wewe ni kutaka wanawake ndio iliobaki masheikh wetu hata hakuna aibu Dunia utaiwacha in SHA Allah Sisi twataka huurun ain
@jimjam4148 Жыл бұрын
MASHA ALLAH
@khadijaali4657 Жыл бұрын
Assallam aleykum warahmatullahi wabarakatuh Shekh? Mm pia nakuunga mkono hapo kwa mzazi kukataa mwanaume mm pia mume wangu wa kwanza alileta posa na mzazi wangu akaikataa ikaridi na hataki niolewe mpaka leo hii naskia uchungu sana wallahi tena 😔😔😔
@hamad-yu4qs Жыл бұрын
Pole dada sema Alhamdulillah Halahala subra
@zohoraramadan4540 Жыл бұрын
We si uko omani au umerudi
@maisarah6819 Жыл бұрын
@@zohoraramadan4540 hajui Siri ya wazazi wataka wale riyal,sasa akiolewa riyal watazipata wapi🤣🤣
@malak-lz6kx Жыл бұрын
@@maisarah6819 🤣🤣🤣😍😍🤣
@evamlay8997 Жыл бұрын
Wazazi Wana tuumiza Sana
@joanjoan8722 Жыл бұрын
Wallah sah sah
@mohammadahmed8013 Жыл бұрын
Hivi sheikh hivo ndio pepo ya Allah ndio yatafutwa hivo kama nimchezo wafanya ama comedian angalia masheikh waliojitolea Kwajili ya uislamu na wakapotezwa kwajili ya Allah nakutangaza Dini ya Allah sio mchezo mchezo siku ya kiama watasema ya rabbi nimeuliwa kwajili ya kutetea Dini yako Islam na hadith za mtume Mohammad SWA wewe sheikh keti usubiri warembo ndio pepo hio kulu nafsi dhalika thul maut tafakari Sana
@mamyomar1241 Жыл бұрын
Sasa Shekh wewe mfano unamwanao wakiume, hajawahi kukwambia hata siku Moja nataka kuoa akenda oa . Na wale wenye mtoto wa kike wakamuozesha binti Yao bila ya kuwajua wazazi wenziwe ni sahihi hiyo.
@zulfahmchina2791 Жыл бұрын
kwanz hpo c sahih maan mzaz wa kike hawez kumoz mwanae hli ykua wazz wa kiume hatambulik
@ramadhansalimu8164 Жыл бұрын
Ndio mtoto wA kiume Hana walii
@hamad-yu4qs Жыл бұрын
Alhamdulillah
@kadijahajali3918 Жыл бұрын
Bass haya mimi nasikiliza tu
@ابومعاذاحمدناصر Жыл бұрын
Muogope mola wako ewe uloweja picha ya mwanamke hapo
@adiliinvestment2977 Жыл бұрын
Subhanallah
@mishiomarabdhallah627 Жыл бұрын
Swadaqtah sheikh,,mm pia posa yangu ilikataliwa mbaya Zaid wakipigiwa simu jibu lao tutawajulisha mpaka sasa hawajapiga na miezi yafika mitano Sasa 😭😭
@saumkisira9328 Жыл бұрын
Kilio cha wengi
@salehesalehe2967 Жыл бұрын
Nenda kajiozeshe mwenyewe kaka yako atakuozesha
@saumkisira9328 Жыл бұрын
@@salehesalehe2967 itajuzu maana mm kila aje baba yuasema Sei cjui Kwa nn
@salehesalehe2967 Жыл бұрын
@@saumkisira9328 inajuzu mwambie kaka yako wa kuzaliwa akuozeshe