WAZIRI ATETEMEKA AKILA KIAPO, ASHINDWA KUSOMA MBELE YA MAGUFULI

  Рет қаралды 128,690

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 244
@hassanjuma6254
@hassanjuma6254 3 жыл бұрын
Dah! Siyakucheka, mungu tusaidie tu viumbe vyako
@mariacosmas5061
@mariacosmas5061 3 жыл бұрын
Kweli Kuna uchawi walimpiga upofu wa chap
@lucyisrael6121
@lucyisrael6121 3 жыл бұрын
Duuuhh binadamu wabaya jamani kweli mtu ghafla tu anashindwa kuapa kweli? Si bure kachezewa na kamati ya ufundi,pole sana mungu atakupa nafasi nyingine
@floridajonhmatata4365
@floridajonhmatata4365 3 жыл бұрын
uchawi upoo
@faustafrancis3462
@faustafrancis3462 3 жыл бұрын
Hii si bure raisi angalie kwa jicho la tatu uchawi upo jamani
@faustafrancis3462
@faustafrancis3462 3 жыл бұрын
Jamani huyu aape tena wamemchezee huyu si bure
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 2 ай бұрын
Duuuuh
@faudhiasalim2371
@faudhiasalim2371 3 жыл бұрын
Jmn kwani aliwezaje kuapa bungeni ashindwe leo duh so sad
@scholarmawala4815
@scholarmawala4815 3 жыл бұрын
Hivi ninyi watu wa kusini mna lkn??? mnawapa wenzenu vigugumizi vya kutumwa !!!!😃😃😃hatari sana.
@greatiq7835
@greatiq7835 3 жыл бұрын
Dhana mbaya inaingiza dhambini
@lweshatv
@lweshatv 3 жыл бұрын
nilichofikiri ni kwamba mh.Rais angempa muda kuliko kumpa maneno mazito mbele ya kadamnasi na inatudhihirishia kuwa kiubinadamu tunatofautiana yawezekana ni imani zingine zimehusika NAMUOMBA MH.RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ulifikirie hilo kwa mapana na inavoonesha kiutendaji mteuliwa yupo vizur sana ndio maana akamteua hyo ni wizara nyeti sana ambayo umeipigania kurudisha heshima ya wizara ya madini na inayoongoza kwa kukusanya mapato mengi serikalini.GOD BLESS MTEULIWA NA TANZANIA KWA UJUMLA
@deogratiuslwamboya4032
@deogratiuslwamboya4032 3 жыл бұрын
Fact. Ampe nafasi tena, kosa si lake. Dunia adaa walimwengu shujaa!!! 🇹🇿✍️
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 3 жыл бұрын
Amepigwa kipapai uyo Uchawi upo jamani😥😥😥
@tanzaniatouristsattraction1622
@tanzaniatouristsattraction1622 3 жыл бұрын
Si kawaida nahisi kuna kitu hapo watakuwa wamemchezea au kapaniki sijui
@joelnaja9935
@joelnaja9935 3 жыл бұрын
Naweza kuamini maneno yako kbsa
@salehejongo2799
@salehejongo2799 3 жыл бұрын
Pole Fransic
@upendoamani8164
@upendoamani8164 3 жыл бұрын
Yesu wangu! Huyu alikuwa mhasibu wa Tanroad na baadae akateuliwa kuwa mkurugenzi,, na mwaka huu kachaguliwa kuwa mbunge. Mungu amjaze faraja,, hii kitu sio ya kawaida... Sasa naamini uchawi upo
@happyjohn5882
@happyjohn5882 3 жыл бұрын
Hahaaa nadhani akumuaga mkewe hahaaaaaa
@upendoamani8164
@upendoamani8164 3 жыл бұрын
@@happyjohn5882 yupo hapo na familia yake wanashuhudia hayo yote. Sijui ni simanzi gani iliyowakuta
@happyjohn5882
@happyjohn5882 3 жыл бұрын
@@upendoamani8164 nadhani ni mshtuko tu wa tukio lenyewe,ila mh inaumaa sana sana
@bongofunnyJOKES5867
@bongofunnyJOKES5867 3 жыл бұрын
SUBSCRIBE kwa nyimbo kali za BONGO..kzbin.info/door/z8GpuDs61Z_Le4p_hSyCrw
@janetybubegwa5272
@janetybubegwa5272 3 жыл бұрын
Hii hutokea mtu anakuwa anafanya jambo kubwa...Rais asimuondoe ampe muda atupe kisha maendeleo na kiapo
@syksyk7295
@syksyk7295 3 жыл бұрын
Duuuh Subhaana lah Kmb at serikaln wanalogana jamaa karogwa katiwa kigugumiz uyo il achemke kula Kiapo
@hawajohn749
@hawajohn749 3 жыл бұрын
Daaa!!!! Mungu yu pamoja nawe kaka hata kuacha kama ulivo
@bongofunnyJOKES5867
@bongofunnyJOKES5867 3 жыл бұрын
SUBSCRIBE kwa nyimbo kali za BONGO..kzbin.info/door/z8GpuDs61Z_Le4p_hSyCrw
@jackjoshua3666
@jackjoshua3666 3 жыл бұрын
Raisi kua na moyo Pengne anae kigugumizi chukua mfano kwa raisie wa Zanzibar
@severnymlowe6376
@severnymlowe6376 3 жыл бұрын
Kamati ya ufundi hiyo
@christophertarimo5047
@christophertarimo5047 3 жыл бұрын
Noma sana, mtumbue chapchap
@alexanton9183
@alexanton9183 3 жыл бұрын
Mungu simama mwenyewe juu ya haya
@njonjodorice5926
@njonjodorice5926 3 жыл бұрын
Huyu baba ana kigugumizi ,watu wenye kigugumizi ndo walivyo wakikwama lazima waanze tena mwanzo
@obeyshadrack6341
@obeyshadrack6341 3 жыл бұрын
Duuuh, kweli nimeamini uchawi upo, Au ndo malipo hapa hapa duniani
@bongofunnyJOKES5867
@bongofunnyJOKES5867 3 жыл бұрын
SUBSCRIBE kwa nyimbo kali za BONGO..kzbin.info/door/z8GpuDs61Z_Le4p_hSyCrw
@mr.elevator4567
@mr.elevator4567 3 жыл бұрын
Hayo ndo malipo ya duniani.
@cosmaskomba2723
@cosmaskomba2723 3 жыл бұрын
Sijaelewa point ya kusema kashindwa kuapa, mbona kaenda sawa au ishu ni kusuasua?
@frankmathew1779
@frankmathew1779 3 жыл бұрын
Ndio ivo itakuwa
@angelmbanga3206
@angelmbanga3206 3 жыл бұрын
Mtu anahapa anatumbuliwa macho Kama Mimi jamani duuu
@sospetercharles4575
@sospetercharles4575 3 жыл бұрын
Uchawi huu kabisa khaaa🙆‍♂️💀💀
@bongofunnyJOKES5867
@bongofunnyJOKES5867 3 жыл бұрын
SUBSCRIBE kwa nyimbo kali za BONGO..kzbin.info/door/z8GpuDs61Z_Le4p_hSyCrw
@hamadiyasini4810
@hamadiyasini4810 3 жыл бұрын
Daah dunian kuna maajabu sana jamaa sijui kakumbwa na nini
@chainbre275
@chainbre275 3 жыл бұрын
Ogopa wanadamu hpo kunaushirikina umefanyika sibure
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 3 жыл бұрын
Hahahahaha. Kawaida tu hiyo
@bongofunnyJOKES5867
@bongofunnyJOKES5867 3 жыл бұрын
SUBSCRIBE kwa nyimbo kali za BONGO..kzbin.info/door/z8GpuDs61Z_Le4p_hSyCrw
@mr.elevator4567
@mr.elevator4567 3 жыл бұрын
Madhambi ndio sababu. Mnawakosea sana watu na wake zenu. Mungu anaamua kukuumbua tu.
@salmamohammed3915
@salmamohammed3915 3 жыл бұрын
Mwenyezumungu atamueka panapo stahili nakama kachezewa basi atapata haki yake kwa mungu pole sanaa😭😭😭😭
@teddymwageni1763
@teddymwageni1763 3 жыл бұрын
Mambo ya kiswahili hayo akaage vizuri kwao
@halimajamaniamekuwamndeme9617
@halimajamaniamekuwamndeme9617 3 жыл бұрын
Mmmmmmmmmm!
@robertotieno5638
@robertotieno5638 3 жыл бұрын
Jamaa anajuwa kusoma mcho tuuu ndio issue.
@zwatts38
@zwatts38 3 жыл бұрын
Duh...
@salimalaquimane2640
@salimalaquimane2640 3 жыл бұрын
Aiseee
@devothamwamwezi2036
@devothamwamwezi2036 3 жыл бұрын
oh my GOD What this
@joelgibson853
@joelgibson853 3 жыл бұрын
Jaman uchaw upooo
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 3 жыл бұрын
Reading Disorder: Dyslexia
@joelgibson853
@joelgibson853 3 жыл бұрын
@@RuzoOwzy hapn mbna bungeni aliapa vzr
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 3 жыл бұрын
@@joelgibson853 Cjaona akiapa bungeni
@joelgibson853
@joelgibson853 3 жыл бұрын
@@RuzoOwzy khaaa kuna mbunge amby akuapaaa
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 3 жыл бұрын
@@joelgibson853 Najua aliapa, ila cjaona video yake
@jackjoshua3666
@jackjoshua3666 3 жыл бұрын
Poleee ndugu yetu c Hali yankawaida
@daprince7545
@daprince7545 3 жыл бұрын
Kula kiapo sio kitu rahisi ndugu zangu 😄😄😄
@greatiq7835
@greatiq7835 3 жыл бұрын
"Kitengo cha Macho" cha taasisi za Afya "kihusike."
@richardmusika3380
@richardmusika3380 3 жыл бұрын
llllllllll)l
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 3 жыл бұрын
Reading Disorder: Dyslexia
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 3 жыл бұрын
Masikini pole Sana kaka
@gideonelias5379
@gideonelias5379 3 жыл бұрын
Inasikitishaa sana pole yakeee
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 3 жыл бұрын
Duuh aisee huu ni uchawi kabisa dah!!
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 3 жыл бұрын
Reading Disorder: Dyslexia
@naimasaid7763
@naimasaid7763 3 жыл бұрын
Hicho kipengele ni kigumu sana sio kipengele cha mchezo, ukikimaliza salama inabidi umshukuru mungu
@radhiaoman2454
@radhiaoman2454 3 жыл бұрын
Jamani jamani dah
@shedrackmwaipopo9427
@shedrackmwaipopo9427 3 жыл бұрын
Uchawi upo jamani
@ruthstephen2791
@ruthstephen2791 3 жыл бұрын
Mh! Maskini. Hadi nimetamani ningeweza kumsaidia. So sad
@salumdinongo3273
@salumdinongo3273 3 жыл бұрын
dah pole yake hapo kidogo angejifungua kuku uchaw upo
@gracemakoye7487
@gracemakoye7487 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 3 жыл бұрын
Reading Disorder: Dyslexia
@bettyetanga1907
@bettyetanga1907 3 жыл бұрын
😂😂😂 only medicine know that
@titomachite5020
@titomachite5020 3 жыл бұрын
Daaa atar
@Wabriged
@Wabriged 3 жыл бұрын
Zongo wajumbe sio pw
@floridajonhmatata4365
@floridajonhmatata4365 3 жыл бұрын
😂😂😂
@mussataliye7815
@mussataliye7815 3 жыл бұрын
Kwel uchaw upo🙌🙌
@levocatusgatu4295
@levocatusgatu4295 3 жыл бұрын
Nimaigizo yahao washenzi kunajambo wanalififiza hajashindwa hata kidogo nimaigizo2
@chifupromise9575
@chifupromise9575 3 жыл бұрын
Hofu mbaya sana ikikuingia tu mambo yote yanaalibika
@angelmbanga3206
@angelmbanga3206 3 жыл бұрын
Hapo panaitaki nguvu ya maombi xn
@johnmalila1485
@johnmalila1485 3 жыл бұрын
Inahudhunisha sana na inasikitisha sana
@zainabungitu9773
@zainabungitu9773 3 жыл бұрын
Binadamu wabaya kweli
@KADALAtv255
@KADALAtv255 3 жыл бұрын
Mungu wangu Mkurugenzi wetu duuh
@bizzboy5490
@bizzboy5490 3 жыл бұрын
Morning speach alikuwa hatak Acha twende.
@NancyMwaibula7634
@NancyMwaibula7634 3 жыл бұрын
Duuuuh uchawi koma nimeamini uchawi upo jamani
@rashidkalabi8212
@rashidkalabi8212 3 жыл бұрын
Watu wa lindi mungu anawaona
@lidyamathayo8343
@lidyamathayo8343 3 жыл бұрын
Vaaa Miwani husijidai uoni
@lazarohamisi5202
@lazarohamisi5202 3 жыл бұрын
Maisha Ni Matukio 😢
@badenbensoni7516
@badenbensoni7516 3 жыл бұрын
Cheo ni karama hata iweje huwezi kulazimisha. Mungu tu ndiye atakayeamua
@NancyMwaibula7634
@NancyMwaibula7634 3 жыл бұрын
Kabisa kama Mungu alimpangia itakuwa na kama hakupanga amemuepusha na jambo baya
@wardaheluwa734
@wardaheluwa734 3 жыл бұрын
Huyu yuwajuwa kusoma tena vizuri ela shida ipo
@ibrahimjonasmamu8201
@ibrahimjonasmamu8201 3 жыл бұрын
Mmmhhh kuna kitu hapo si kawaida msomi kushindwa kusoma maneno ya kiswahili Kabisa hayo ni mamba ya kishilikina kabisa
@bongofunnyJOKES5867
@bongofunnyJOKES5867 3 жыл бұрын
SUBSCRIBE kwa nyimbo kali za BONGO..kzbin.info/door/z8GpuDs61Z_Le4p_hSyCrw
@habarimpya5732
@habarimpya5732 3 жыл бұрын
Ndo shida ya kujifanya kabla ya kula kiapo ona sasa umepigwa uchawi wa machooo
@africanpowermusic
@africanpowermusic 3 жыл бұрын
Taniya watanzania wewe jama kapigwa mazingaombwe kimbola kikikali sana
@davidbahati2308
@davidbahati2308 3 жыл бұрын
Sijaona kosa walivyo mchagua wali jirithisha na nn coz sio sababu
@amirhamis1422
@amirhamis1422 3 жыл бұрын
Kwan kiapo kimeandikwa lugha gan
@lucylucy2404
@lucylucy2404 3 жыл бұрын
Magufuli masome mtu bas anakigugumis wajua. Na uchawii juuu y jua
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
Amepanic,,,,,halikuwa kosa la kumuondoa uwaziri!!
@marympango9247
@marympango9247 3 жыл бұрын
Hukum ya binadam!??..... Ni mbaya sana.....mungu atusaidie hapa dunian tu.
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 3 жыл бұрын
🙆‍♀️😔 maskini jamani, mheshimiwa Rais tafadhali mpe nafasi nyingine hii si kawaida mkono wa mtu umepita hapo,oooh 🤔
@vibetz9991
@vibetz9991 3 жыл бұрын
Wachawi acheni Basi Mambo yenu 😩😣🙄
@ICEBERGMEDIA
@ICEBERGMEDIA 3 жыл бұрын
Ndulane challenge 😂😂😂😂😂
@iranangole7007
@iranangole7007 3 жыл бұрын
Uyu anatetema 2 apo mbele sio pamasiala
@florahemmanuel8323
@florahemmanuel8323 3 жыл бұрын
Jamani,daaaaa
@listerngoliga9758
@listerngoliga9758 3 жыл бұрын
Duh
@allyhamadi678
@allyhamadi678 3 жыл бұрын
jamani uchawi upo
@cleofasnyoni3836
@cleofasnyoni3836 3 жыл бұрын
Siasa ni siasa tu
@charlestonkimario4322
@charlestonkimario4322 3 жыл бұрын
Mke wake katingisha kichwa ila nmaumivu makali sana kayapata
@jacobstephanonaziadi4724
@jacobstephanonaziadi4724 3 жыл бұрын
MUNGU mwema amtie nguvu siamin kama hawezi kusoma kuna mambo mengi apo
@michaelnkwabi8477
@michaelnkwabi8477 3 жыл бұрын
wame mtengeneza baba wa watu watu wabaya sana!!!!!!!
@aloycekiwia8613
@aloycekiwia8613 3 жыл бұрын
Amepatwa na KICHOMI.
@fabiusmukuna4967
@fabiusmukuna4967 3 жыл бұрын
Daah😪
@mohdchande3058
@mohdchande3058 3 жыл бұрын
Mh rais amsamehe tuu asee
@humphreyvidonyi253
@humphreyvidonyi253 3 жыл бұрын
Pole yake. Lakni mpaka kufikia uteuzi huo inamaana hajawai kusimama mbele ya watu. Au ndo over confidence
@bongofunnyJOKES5867
@bongofunnyJOKES5867 3 жыл бұрын
SUBSCRIBE kwa nyimbo kali za BONGO..kzbin.info/door/z8GpuDs61Z_Le4p_hSyCrw
@lawrencegwerino1656
@lawrencegwerino1656 3 жыл бұрын
Shida ni macho mupeni miwani
@ayishaayisha8053
@ayishaayisha8053 3 жыл бұрын
Pengene haoni macho
@mussatairo717
@mussatairo717 3 жыл бұрын
Duuuh! Aisee
@enpgeneralsuppl4472
@enpgeneralsuppl4472 3 жыл бұрын
Huyo ni mbuuuu
@mwanaishamlima2047
@mwanaishamlima2047 3 жыл бұрын
Labda alikua mgonjwa na stress si kweli kama hawezi kusoma
@deborahmollel3170
@deborahmollel3170 3 жыл бұрын
uchawi upo jmn, hii sio bure! Magu usimuhukumu bila kuchunguza vzuri
@bjzee1981
@bjzee1981 3 жыл бұрын
Hawa ndio walio pita kwa kura nyingi wakati wa uchaguzi kwa ticket ya ccm. Aibu hadharani.
@levinekalikuela4916
@levinekalikuela4916 3 жыл бұрын
Buy for him spectacles. He does not see well.
@vicelasway6971
@vicelasway6971 3 жыл бұрын
Magu kalogwa uyoo msamehe siunaona mtwara m2 kapara laiz
@byaomberichard4260
@byaomberichard4260 3 жыл бұрын
Ajasoma huyo
@frankmagesa2998
@frankmagesa2998 3 жыл бұрын
Sio bure kuna kitu
@LohRaMusic
@LohRaMusic 3 жыл бұрын
Inatia huruma sana
@fredyjohnwaifakaratanzania29
@fredyjohnwaifakaratanzania29 3 жыл бұрын
Nimesoma koment nyingi humu nimegundua watamagonjwa ya saikologi
@bjzee1981
@bjzee1981 3 жыл бұрын
ccm oyeeeee
@mauwezohouseofjeansmauwezo6062
@mauwezohouseofjeansmauwezo6062 3 жыл бұрын
uchawi upo jamani
@alexbaynet3426
@alexbaynet3426 3 жыл бұрын
Sijaelewa logic ya yeye kuambiwa kuwa hawez kusoma wakati kasoma vizuri tu japo kasuasua kidogo sana,haijafikia hatua ya yeye kutoapishwa na kuachishwa uwaziri.
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
Hatuna utawala wa sheria kaka,,,,
@isackyusuph68
@isackyusuph68 3 жыл бұрын
Uchawi jmn
@zedianagasper9475
@zedianagasper9475 3 жыл бұрын
Masikini
@pariskatene
@pariskatene 3 жыл бұрын
Uchawi
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 3 жыл бұрын
Hata Wewe ungemtoa tu kwenye Uwaziri Maana Watanzania kwa kulaumu na kukosoa tungesema mengi.... Hila Kama Rais ameona hilo ilibidi amwajibishe.....
@bjzee1981
@bjzee1981 3 жыл бұрын
Nani kaona and bong'onezwa kwanza mbele ya magu 😂😂😂😂
@hapabongo8047
@hapabongo8047 3 жыл бұрын
HAPO HAKUNA CHA KUROGWA WALA NINI.. HIZO NDIZO SIASA ZENYEWE, HUO NI MPANGO NA ULISHAPANGWA KITAMBO.. HEADLINES😎
@NancyMwaibula7634
@NancyMwaibula7634 3 жыл бұрын
Nikwamba hakupenda au sijakuelewa?
@neemamandara9629
@neemamandara9629 3 жыл бұрын
Badilisha mwonekano sasa kwa kuipa thamani nyumba/ofisi yako Karibu follow page yetu @nitraclassic @nitraclassic
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 7 МЛН
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 4,7 МЛН
怎么能插队呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:12
火影忍者一家
Рет қаралды 27 МЛН
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 33 МЛН
Rais Magufuli Akila Kiapo
9:01
SIMU. Tv
Рет қаралды 108 М.
ASKARI ALIYEMKOSHA RAIS MAGUFULI NA KUPANDISHWA CHEO
1:31
Bongo5
Рет қаралды 1,3 МЛН
President Obama Makes Historic Speech to America's Students  -  English subtitles
16:34
Fahamu muda sahihi wa mtuhumiwa kukamatwa na Polisi
10:26
Millard Ayo
Рет қаралды 11 М.
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 7 МЛН