Hapo huyo mama anataka kumdhulumu hao watoto. Kwanza...huo mfumo slaa unakosea sana
@salimmalaka2567 ай бұрын
@@farijalakhalid5558ANATAKA KUWADHULUMU VP WAKATI YEYE HAPATI HATA SHILINGI??
@farijalakhalid55587 ай бұрын
@@salimmalaka256 sio slaa bali huyo mama Anaujua kama alisha achwa hata kama hakuna cheti charita Talaka kwenye uislamu inathibitishwa na Mungu sio na rita. Kwa hiyo kama aliachwa na katumia uchochoro wa rita Basi hakimu yupo ambae ni muumba wa mahakimu
@ZeyanaHamoud7 ай бұрын
Mungu akuweke mh wetu waziri wa ardhi kazi ngumu sana mungu akupe subira na maamuzi ya busara na akulinde unatufurahisha sana wanachi kwa haki unayotenda
@SaimonBetwelАй бұрын
Mungu akulinde mweshimiwa akuoe maisha marefu ❤❤❤
@thelalas92047 ай бұрын
Yani huyu ni zaidi ya waziri.M mungu tuekee awasaidie wazee wetu na vizazi vyetu.Mama samia umepata hapa.Ila makamisheni waliowengi wa Ardhi watubadilishie.Na watunge miongozo na sheria zenye adhabu na ufanisi kwa wafanyikazi wote wanaofanya kaxi kwa mazoea na kukwepesha haki.Leo waziri yupo kesho hayupo sote tunapita tuu.
@supa70774 ай бұрын
Waziri mwenye akili nyingi. Ana chapa kazi sana. Safi sana
@kheriakida33097 ай бұрын
Slaa mungu akuweke sana kwa msimamo huu nakukubali 💯 % safi
@MCNgakungaJunior7 ай бұрын
HONGERA MUHESHIMIWA!YOU ARE THE BEST!
@KadumaIssa7 ай бұрын
Hongera Kwanza mama Samia kwakumchagua waziri wa Ardhi Jerry silaa jembe sioutani
@yusuphsaid30137 ай бұрын
MIAKA 25 HAKUWEPO HAPO, MUMEO KAFARIKI ANA MIAKA 20!!!!😮 ULIKUWA WAPI??? MUMEO ANAKUFA HATA KUJA KUMZIKA HUKUJA KWELI!!!😮. UKWELI KUHUSU HUYU MAMA, HIYO FAMILIA INA MATUMBO MANNE NA INA JUMLA YA WATOTO KUMI NA TANO(15). TUMBO LA KWANZA KUNA MTOTO MMOJA. TUMBO LA PILI KUNA WATOTO NANE (WATOTO SITA HAWATAKI MAMA YAO KUDHULUMU KATIKA SUALA LA KURITHI KINYUME NA SHERIA YA IMANI YA KIISLAMU KWASABABU MAMA YAO ALISHAACHWA TANGU MWAKA 1982. WAWILI TU KATIKA NANE NDIO WAPO NA MAMA KWASABABU YA MASLAHI YAO, MAMA ANA MIAKA INAYOKISIWA 87, NA HAO WATOTO SITA HAWAJAKATAA KUMLEA MAMA YAO). TUMBO LA TATU WAKO WATOTO WAWILI NA TUMBO LA NNE WAKO WATOTO WANNE. HUYO MZEE ALIKUWA ANAONA NA KUACHA HAPA TANZANIA KWA HAO WAKE WATATU KWA KUANZIA MKE WA PILI. NA WOTE ALIWAACHA KABLA HAJAFARIKI ISIPOKUWA MKE WA KWANZA TU AMBAE ALIMUACHA AKIISHI NCHI YA YEMEN BARA LA ASIA. SASA KATIKA WATOTO KUMI NA TANO AMBAO NDIO WARITHI, KUMI NA TATU WOTE WAKIWEMO WATOTO SITA WA HUYO MAMA, WAKUBALI UHALALI WA MAMA WA KWANZA AMBAE NI MAMA YAO WA KUFIKIA KUWA NI MRITHI NA KUMKATAA MAMA HUYU KWELI????? TUSIKIMBILIE KUHUKUMU BILA KUJUA UKWELI WA PANDE ZOTE MBILI! NA UNAAMBIWA HUYO MAMA YEYE KUPITIA HUYO MTOTO WAKE ALIEVAA FLANA NYEKUNDU KWENYE VIDEO WALIPELEKA SHAURI MAHAKAMA YA WILAYA NA KUIFUNGA NA SASA WAMEIFUNGUA SHAURI TENA MAHAKAMA YA MWANZO WAO. HAO HAO WASHTAKI WANAENDA TENA KWA WAZIRI WAKATI KESI INAENDELEA MAHAKAMANI NA WAO NDIO WANASHTAKI😮😮😮 KWANINI WASIPELEKE USHAHIDI WA UHALALI WAO MAHAKAMANI NA KUIACHA MAHAKAMA IFANYE KAZI YAKE KUITAFUTA HAKI???? WAZIRI UNAIKATAA MAHAKAMA KWELI???? NGOJA TUONE UPANDE WA PILI NA WAO TUONE WATAELEZEA NINI KUHUSU HILI SAKATA.
@nanguniMtaita-hz4zt7 ай бұрын
Jerry Slaa waziri, wewe kichwa. Tena mtu wa haki wa Mungu hakika. Japo umeajiriwa na Serikali ambayo imepoteza dira, ww unanyoosha haki, Mungu akulinde na kwa wewe Samia Suluhu abarikiwe alipokutoa.
@Alllifeneedsislearning5 ай бұрын
Ukishaona mtoto anajua sana mapenzi ya baba ake na mamaake, MALI 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@KihiyoSalim14 күн бұрын
Kiongozi umenyooka safi Sana...🎉
@MarcoPeter-y5n7 ай бұрын
MUNGU Akubariki Sana Mheshimiwa Waziri
@margarethpolepole74387 ай бұрын
Sawa kabisa Mhe Slaa unatendq kazi vizuri watoto sasa hivi dhulumati wanawanyanyasa wazazi wao na mungu atawalaani
@MrsM123877 ай бұрын
Mungu atamlaani anaedhulumu na sio wtt wanaodai haki yao
@EddyYusuf-k9w4 ай бұрын
Kazi Safi sana mkuu
@jumapiliissa48357 ай бұрын
Duuu aisee wazili unnakazi kubwa sana hongera mkuu
@OscerShop7 ай бұрын
Mawazori wetu wote wangekua Kama huyu nadhani shida nyingi kwa wananchi zingepungua ama kuisha kabisa ona anavoongea kwa unyenyekevu utadhani sio waziri kwakweli mungu akujalie maisha marefu .
@beatrice47807 ай бұрын
Mwenyenzi Mungu azidi kukutunza Mhe. Waziri!
@lovemusicnoreen91857 ай бұрын
JERRY BIG UP WATZ WENGI MIHEMKO SHERIA HAWAZIJUI PLUS TAMAA YA MALI BAADA WAKATAFUTE VYAO WATT WATU WAZIMA HOVYO
@RahimBoy-lh4nc7 ай бұрын
Asante sana munge wetu,najivunia mwana ukonga kuwa na kiongoz bora kama ww,mungo hakurinde sana
@shanimbaruku207113 күн бұрын
Nampenda Sana huyu mwamba🎉
@margarethsaramaki39667 ай бұрын
Mwenyezi Mungu amlinde kila cku inayoitwa kesho na afunikwe kwa damu ya Yesu pamoja na familia yake na libarikiwe tumbo lililokuzaa Be blessed Mh Jerry 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@sofiakhan97064 ай бұрын
I'm mama samiha ministry package he hav (Golden puzzle ministry this unique one and his gold medal and very very understanding ministry and he knows how to keep family in one plate just god saved him from devil eyes (this Dr salaa ameen )🎉🎉🎉🎉
@shady-on4jx4 ай бұрын
Yaan nataman niserve haya maelezo ni mazuri kwelezea vizur sana
@omarabubakar1917 ай бұрын
A different person...we are deeply moved.Ana busara sn huyu Waziri for sure
@ukuvukiland23877 ай бұрын
Nice one silaa mjane lazima wamtunze ,watoto wanajua mirathi tuu hawajui kutunza mama zao ,nawakumbuka msondo ngoma tunatoana roho yarabii kwa mali alizoacha baba.
@dinocastico84957 ай бұрын
Sheria za nchi haziwez kuwa na juu ya killa kitu itapo fikiwa hivyo ni kukaribisha magugu ktk shamba la ngano. Hivi ikiwa ukiishi na mwanamke kwa miez sita bila ndoa serikali ina amini hiyo ni ndoa tayari na ukiowa intakiwa usajili ndoa na usipo fanya hivyo mkiishi pia ina hesabu ni ndoa pindi mkiachaa wana ndoa ina takiwa msajili talaka. Sheria ya uislam ukitamka tu kua ww c mke wangu talaka ipe swihi ila serikali bado mpaka usajili . Inamaana aliyo sema mungu kwao si ya maana. Na usipp sajili talaka siku ukifa yule mwanamke ana rithi kama mke hili ni tatizo. Kwahio huyo mama aliachwa na watu wana faham ila leo analia anataka arithi. Sheria za nchi haziwez kuwa juu ya killa kitu mambo ya kiroho ni kitu kingine.
@salimmalaka2567 ай бұрын
@@dinocastico8495NINAVYOJUWA MIMI NDUGU WA MUME HAWANA CHAO IKIWA MAREHEMU ANA WATOTO NA MAMA YAO ANA HAKI YA KUPEWA URITHI PIYA.
@hamismkude5533 ай бұрын
Uyu jamaaa anajua sana sheria mama asingemuamisha sana
@ibrahimyussuf33507 ай бұрын
Mashallah Allah akupe afya njema uzisimamie haki za watu kiadilifu asidhulumiwe Mtu
@dr.abdallahngenya97807 ай бұрын
Hata kama kiislamu mama hana haki sababu aliachika kitambo hao watoto watumie busara ..baba yao alizaa watoto 10 na huyo mama , baada ya mirathi kupita basi katika kile chao wawagawie mama zao wote kama sadaka tu .. kumbuka amebeba mimba 10 na marehemu hata kama alimuacha ..
@yusuphsaid30137 ай бұрын
MIAKA 25 HAKUWEPO HAPO, MUMEO KAFARIKI ANA MIAKA 20!!!!😮 ULIKUWA WAPI??? MUMEO ANAKUFA HATA KUJA KUMZIKA HUKUJA KWELI!!!😮. UKWELI KUHUSU HUYU MAMA, HIYO FAMILIA INA MATUMBO MANNE NA INA JUMLA YA WATOTO KUMI NA TANO(15). TUMBO LA KWANZA KUNA MTOTO MMOJA. TUMBO LA PILI KUNA WATOTO NANE (WATOTO SITA HAWATAKI MAMA YAO KUDHULUMU KATIKA SUALA LA KURITHI KINYUME NA SHERIA YA IMANI YA KIISLAMU KWASABABU MAMA YAO ALISHAACHWA TANGU MWAKA 1982. WAWILI TU KATIKA NANE NDIO WAPO NA MAMA KWASABABU YA MASLAHI YAO, MAMA ANA MIAKA INAYOKISIWA 87, NA HAO WATOTO SITA HAWAJAKATAA KUMLEA MAMA YAO). TUMBO LA TATU WAKO WATOTO WAWILI NA TUMBO LA NNE WAKO WATOTO WANNE. HUYO MZEE ALIKUWA ANAONA NA KUACHA HAPA TANZANIA KWA HAO WAKE WATATU KWA KUANZIA MKE WA PILI. NA WOTE ALIWAACHA KABLA HAJAFARIKI ISIPOKUWA MKE WA KWANZA TU AMBAE ALIMUACHA AKIISHI NCHI YA YEMEN BARA LA ASIA. SASA KATIKA WATOTO KUMI NA TANO AMBAO NDIO WARITHI, KUMI NA TATU WOTE WAKIWEMO WATOTO SITA WA HUYO MAMA, WAKUBALI UHALALI WA MAMA WA KWANZA AMBAE NI MAMA YAO WA KUFIKIA KUWA NI MRITHI NA KUMKATAA MAMA HUYU KWELI????? TUSIKIMBILIE KUHUKUMU BILA KUJUA UKWELI WA PANDE ZOTE MBILI! NA UNAAMBIWA HUYO MAMA YEYE KUPITIA HUYO MTOTO WAKE ALIEVAA FLANA NYEKUNDU KWENYE VIDEO WALIPELEKA SHAURI MAHAKAMA YA WILAYA NA KUIFUNGA NA SASA WAMEIFUNGUA SHAURI TENA MAHAKAMA YA MWANZO WAO. HAO HAO WASHTAKI WANAENDA TENA KWA WAZIRI WAKATI KESI INAENDELEA MAHAKAMANI NA WAO NDIO WANASHTAKI😮😮😮 KWANINI WASIPELEKE USHAHIDI WA UHALALI WAO MAHAKAMANI NA KUIACHA MAHAKAMA IFANYE KAZI YAKE KUITAFUTA HAKI???? WAZIRI UNAIKATAA MAHAKAMA KWELI???? NGOJA TUONE UPANDE WA PILI NA WAO TUONE WATAELEZEA NINI KUHUSU HILI SAKATA.
@AbdullahOmar-be4wy7 ай бұрын
@@yusuphsaid3013yani mama analia ili adhulumu watu
@danielmakelemo23956 ай бұрын
Sheria zingine za dini ni kandamizi Kwa jinsia ya kike yaan Hana haki kweli na wakati huyo Marehemu henzi zake alikuwa akirudi na mawazo anajipoza TU anampa mimba dah aisee
@fatmahamid30486 ай бұрын
Hakuna lolote mama huyo mushasema ana 87 mali hiyo apeleke wapi waachee tamaa muna uhakika kaachwa kama watoto munashindwa kutumiya busara mukamweka pazuri huyu mama watoto wake hawana mapenzi naye nina uhakika kama wanampenda mama yao wasingekubali adhalilike na mafungu ya watoto wanane wakiamua wamfanyiye mamayao chochote hata hiyo mirathi asingedai tatizo tamaa mama ana miaka 87 mpeni mapenzi sio mda ataondoka duniani watu wanatamani wawe na mama yao huyo ni mama kawazaa je mtu wa kando ingekuwaje je mama akisema kuwa watoto wawili nimewazaa ndani ya ndoa 6 ni waharamu mutakubali
@marrypius5766 ай бұрын
@@yusuphsaid3013ni sawa umeelezea vizuri ila mweny mali keshakufa kaka hiy mali igawanywe kwa kila mama kila mtoto biashara yakuja kusema oooh wew hatukitambui sio mama eti mara sio ndugu yetu huo ni ujinga na tamaa za mali mapenzi ya wazazi wenu msiyalete hapa kweny mali kinachotakiwa hap ni mgawanyo wa mali maan mweny mpunga wake keshadanja shida hiy familia ya mtu nne inatamaaa ten naaandika kwa herufi kubwa INATAMAAAAAAA full stop ✋
@clevermngao75657 ай бұрын
Mheshimiwa Waziri Silaha! Wee unaukosha moyo wangu!! Naipenda sana kazi yako Mheshimiwa
@josephineokama22007 ай бұрын
yaani ningekua mungu silaha angeishi Miaka yotee
@ZayZaham7 ай бұрын
@@josephineokama2200 umekosea Sana kujifananisha na mungu
@josephineokama22007 ай бұрын
@@ZayZaham hiv kusoma unajua kweli ? omba basi hata jirani Yako akusaidie kusoma
@MrishoMzelela-xb9bb5 ай бұрын
Uongozi ni hekima na busara sio nguvu.mashaalah waziri wa ardhi.
@Johnsonzakaria-mt1uu4 ай бұрын
Huyu ndio kiongoz boraaaa
@thomastemu33327 ай бұрын
Safi sana waziri kazi nzuri sana waziri hongera
@lionelanwar36076 ай бұрын
Waziri Jerry MashaAllah, watanzania mpeni Urais haraka ipasavyo
@aliswaleh17477 ай бұрын
Ndio shida zilizo kwetu we hv been facing same problems bt mama kaachwaa
@lanezboy70167 ай бұрын
Daaaaaaaaaa anaelekeza vizur ssna
@ummukamillah4 ай бұрын
SubhanAllah, Yaa Raab stara
@SelemanAthuman-ke1gh7 ай бұрын
Ongera San mkuu kwa kuwana ukarbu na wanannchi mungu akupe nguv
@kapilimaibra25407 ай бұрын
Kwakweli mh unakazi kubwa sana katika hii wizara na m/mungu akusimamie haswaa.
@laylayl51667 ай бұрын
Yaani waziri.umenifurahisha kwelii wallahi mungu akulipe
@luqmanmohamedy38607 ай бұрын
Daaah watoto wana laana
@rithadonatus81107 ай бұрын
Jamani pole sana mama Mungu ajalie vizazi vyangu
@hermanjackson93107 ай бұрын
Nimekukubali boss uko vizur
@emmanuelkayavugwa80497 ай бұрын
Mweshimiwa unapambana tunaona kazi yako
@marymremi10517 ай бұрын
Mumgu akubariki
@MarwanBakhamis14 күн бұрын
Waziri uko sahihi kabisa ,,,we ni mfano wa kuigwa
@chemstry4097 ай бұрын
Wallah kuzaa si kupata ...but tutafute pesa haya mambo ya kujifanya mjuaji kwenye mambo ya mirathi hayana mpango....
@oscarmkumbo74517 ай бұрын
Mh. Jerry Mungu akubariki sana na akuongoze daima .
@RoseMziray4 ай бұрын
Safiiiii mwenyewe ayupo
@verbalverbal20197 ай бұрын
Mtu wa maana kabisa Muheshimiwa waziri...
@HassanSaid-e1w7 ай бұрын
allah akupe moyo huo mm nakukubaki kwa haki mola akupaishii upate kazi kulikonya uwaziri ata raisi kuwa inafaaa
@yusuphsaid30137 ай бұрын
MIAKA 25 HAKUWEPO HAPO, MUMEO KAFARIKI ANA MIAKA 20!!!!😮 ULIKUWA WAPI??? MUMEO ANAKUFA HATA KUJA KUMZIKA HUKUJA KWELI!!!😮. UKWELI KUHUSU HUYU MAMA, HIYO FAMILIA INA MATUMBO MANNE NA INA JUMLA YA WATOTO KUMI NA TANO(15). TUMBO LA KWANZA KUNA MTOTO MMOJA. TUMBO LA PILI KUNA WATOTO NANE (WATOTO SITA HAWATAKI MAMA YAO KUDHULUMU KATIKA SUALA LA KURITHI KINYUME NA SHERIA YA IMANI YA KIISLAMU KWASABABU MAMA YAO ALISHAACHWA TANGU MWAKA 1982. WAWILI TU KATIKA NANE NDIO WAPO NA MAMA KWASABABU YA MASLAHI YAO, MAMA ANA MIAKA INAYOKISIWA 87, NA HAO WATOTO SITA HAWAJAKATAA KUMLEA MAMA YAO). TUMBO LA TATU WAKO WATOTO WAWILI NA TUMBO LA NNE WAKO WATOTO WANNE. HUYO MZEE ALIKUWA ANAONA NA KUACHA HAPA TANZANIA KWA HAO WAKE WATATU KWA KUANZIA MKE WA PILI. NA WOTE ALIWAACHA KABLA HAJAFARIKI ISIPOKUWA MKE WA KWANZA TU AMBAE ALIMUACHA AKIISHI NCHI YA YEMEN BARA LA ASIA. SASA KATIKA WATOTO KUMI NA TANO AMBAO NDIO WARITHI, KUMI NA TATU WOTE WAKIWEMO WATOTO SITA WA HUYO MAMA, WAKUBALI UHALALI WA MAMA WA KWANZA AMBAE NI MAMA YAO WA KUFIKIA KUWA NI MRITHI NA KUMKATAA MAMA HUYU KWELI????? TUSIKIMBILIE KUHUKUMU BILA KUJUA UKWELI WA PANDE ZOTE MBILI! NA UNAAMBIWA HUYO MAMA YEYE KUPITIA HUYO MTOTO WAKE ALIEVAA FLANA NYEKUNDU KWENYE VIDEO WALIPELEKA SHAURI MAHAKAMA YA WILAYA NA KUIFUNGA NA SASA WAMEIFUNGUA SHAURI TENA MAHAKAMA YA MWANZO WAO. HAO HAO WASHTAKI WANAENDA TENA KWA WAZIRI WAKATI KESI INAENDELEA MAHAKAMANI NA WAO NDIO WANASHTAKI😮😮😮 KWANINI WASIPELEKE USHAHIDI WA UHALALI WAO MAHAKAMANI NA KUIACHA MAHAKAMA IFANYE KAZI YAKE KUITAFUTA HAKI???? WAZIRI UNAIKATAA MAHAKAMA KWELI???? NGOJA TUONE UPANDE WA PILI NA WAO TUONE WATAELEZEA NINI KUHUSU HILI SAKATA.
@faizadiriye13847 ай бұрын
Manshaallah ww ni kiongozi
@MikidadiMahumbi7 ай бұрын
Nimeipenda iyo pole waziri unakazi ngumu
@PaulRPaul-z1q7 ай бұрын
Well said Mh. Jerry Slaa and stay blessed.
@yusuphsaid30137 ай бұрын
MIAKA 25 HAKUWEPO HAPO, MUMEO KAFARIKI ANA MIAKA 20!!!!😮 ULIKUWA WAPI??? MUMEO ANAKUFA HATA KUJA KUMZIKA HUKUJA KWELI!!!😮. UKWELI KUHUSU HUYU MAMA, HIYO FAMILIA INA MATUMBO MANNE NA INA JUMLA YA WATOTO KUMI NA TANO(15). TUMBO LA KWANZA KUNA MTOTO MMOJA. TUMBO LA PILI KUNA WATOTO NANE (WATOTO SITA HAWATAKI MAMA YAO KUDHULUMU KATIKA SUALA LA KURITHI KINYUME NA SHERIA YA IMANI YA KIISLAMU KWASABABU MAMA YAO ALISHAACHWA TANGU MWAKA 1982. WAWILI TU KATIKA NANE NDIO WAPO NA MAMA KWASABABU YA MASLAHI YAO, MAMA ANA MIAKA INAYOKISIWA 87, NA HAO WATOTO SITA HAWAJAKATAA KUMLEA MAMA YAO). TUMBO LA TATU WAKO WATOTO WAWILI NA TUMBO LA NNE WAKO WATOTO WANNE. HUYO MZEE ALIKUWA ANAONA NA KUACHA HAPA TANZANIA KWA HAO WAKE WATATU KWA KUANZIA MKE WA PILI. NA WOTE ALIWAACHA KABLA HAJAFARIKI ISIPOKUWA MKE WA KWANZA TU AMBAE ALIMUACHA AKIISHI NCHI YA YEMEN BARA LA ASIA. SASA KATIKA WATOTO KUMI NA TANO AMBAO NDIO WARITHI, KUMI NA TATU WOTE WAKIWEMO WATOTO SITA WA HUYO MAMA, WAKUBALI UHALALI WA MAMA WA KWANZA AMBAE NI MAMA YAO WA KUFIKIA KUWA NI MRITHI NA KUMKATAA MAMA HUYU KWELI????? TUSIKIMBILIE KUHUKUMU BILA KUJUA UKWELI WA PANDE ZOTE MBILI! NA UNAAMBIWA HUYO MAMA YEYE KUPITIA HUYO MTOTO WAKE ALIEVAA FLANA NYEKUNDU KWENYE VIDEO WALIPELEKA SHAURI MAHAKAMA YA WILAYA NA KUIFUNGA NA SASA WAMEIFUNGUA SHAURI TENA MAHAKAMA YA MWANZO WAO. HAO HAO WASHTAKI WANAENDA TENA KWA WAZIRI WAKATI KESI INAENDELEA MAHAKAMANI NA WAO NDIO WANASHTAKI😮😮😮 KWANINI WASIPELEKE USHAHIDI WA UHALALI WAO MAHAKAMANI NA KUIACHA MAHAKAMA IFANYE KAZI YAKE KUITAFUTA HAKI???? WAZIRI UNAIKATAA MAHAKAMA KWELI???? NGOJA TUONE UPANDE WA PILI NA WAO TUONE WATAELEZEA NINI KUHUSU HILI SAKATA.
@laylayl51667 ай бұрын
Nyie watoto mungu anawaona hamna huruma hata kidogo
@AbdallahHamadi-d4c9 күн бұрын
Namuelewa kiongozi upo sawa wanawatumia watoto wawatu wakichoka wanawatupa wanaowa vijana watumiaji wakati mama kalachunga Kwa ajili ya ujenzi
@ShellaMoshi4 ай бұрын
Kazi ipo. Binafsi nilifungua mahakamani moja kwa moja. Niliona wananichefua tu . kikao cha familia. Wanahamasishana tupike kura. Dunia ina mambo hii.
@geofreywayesu56387 ай бұрын
Fact waziri yuko vzr
@salumally6637 ай бұрын
Waziri Silaa japokuwa wenzako watakuandama...Nitazidi kukuombea uzidi kusimamia haki na hata uwe raisi siku moja ...
@sabihaibrahim1437 ай бұрын
wewe muislamu vipi mtalaka anarithi na anakaa kizuka
@yusuphsaid30137 ай бұрын
MIAKA 25 HAKUWEPO HAPO, MUMEO KAFARIKI ANA MIAKA 20!!!!😮 ULIKUWA WAPI??? MUMEO ANAKUFA HATA KUJA KUMZIKA HUKUJA KWELI!!!😮. UKWELI KUHUSU HUYU MAMA, HIYO FAMILIA INA MATUMBO MANNE NA INA JUMLA YA WATOTO KUMI NA TANO(15). TUMBO LA KWANZA KUNA MTOTO MMOJA. TUMBO LA PILI KUNA WATOTO NANE (WATOTO SITA HAWATAKI MAMA YAO KUDHULUMU KATIKA SUALA LA KURITHI KINYUME NA SHERIA YA IMANI YA KIISLAMU KWASABABU MAMA YAO ALISHAACHWA TANGU MWAKA 1982. WAWILI TU KATIKA NANE NDIO WAPO NA MAMA KWASABABU YA MASLAHI YAO, MAMA ANA MIAKA INAYOKISIWA 87, NA HAO WATOTO SITA HAWAJAKATAA KUMLEA MAMA YAO). TUMBO LA TATU WAKO WATOTO WAWILI NA TUMBO LA NNE WAKO WATOTO WANNE. HUYO MZEE ALIKUWA ANAONA NA KUACHA HAPA TANZANIA KWA HAO WAKE WATATU KWA KUANZIA MKE WA PILI. NA WOTE ALIWAACHA KABLA HAJAFARIKI ISIPOKUWA MKE WA KWANZA TU AMBAE ALIMUACHA AKIISHI NCHI YA YEMEN BARA LA ASIA. SASA KATIKA WATOTO KUMI NA TANO AMBAO NDIO WARITHI, KUMI NA TATU WOTE WAKIWEMO WATOTO SITA WA HUYO MAMA, WAKUBALI UHALALI WA MAMA WA KWANZA AMBAE NI MAMA YAO WA KUFIKIA KUWA NI MRITHI NA KUMKATAA MAMA HUYU KWELI????? TUSIKIMBILIE KUHUKUMU BILA KUJUA UKWELI WA PANDE ZOTE MBILI! NA UNAAMBIWA HUYO MAMA YEYE KUPITIA HUYO MTOTO WAKE ALIEVAA FLANA NYEKUNDU KWENYE VIDEO WALIPELEKA SHAURI MAHAKAMA YA WILAYA NA KUIFUNGA NA SASA WAMEIFUNGUA SHAURI TENA MAHAKAMA YA MWANZO WAO. HAO HAO WASHTAKI WANAENDA TENA KWA WAZIRI WAKATI KESI INAENDELEA MAHAKAMANI NA WAO NDIO WANASHTAKI😮😮😮 KWANINI WASIPELEKE USHAHIDI WA UHALALI WAO MAHAKAMANI NA KUIACHA MAHAKAMA IFANYE KAZI YAKE KUITAFUTA HAKI???? WAZIRI UNAIKATAA MAHAKAMA KWELI???? NGOJA TUONE UPANDE WA PILI NA WAO TUONE WATAELEZEA NINI KUHUSU HILI SAKATA.
@peacemwesiga7 ай бұрын
❤❤❤❤Yesu unayemwamini waziri usimwache tetea watu w Mungu
@charlesrimiru9301Ай бұрын
WISDOM .
@Worldunite7 ай бұрын
Waziri nakupobgeza sana kwa kusimamia haki
@yusuphsaid30137 ай бұрын
MIAKA 25 HAKUWEPO HAPO, MUMEO KAFARIKI ANA MIAKA 20!!!!😮 ULIKUWA WAPI??? MUMEO ANAKUFA HATA KUJA KUMZIKA HUKUJA KWELI!!!😮. UKWELI KUHUSU HUYU MAMA, HIYO FAMILIA INA MATUMBO MANNE NA INA JUMLA YA WATOTO KUMI NA TANO(15). TUMBO LA KWANZA KUNA MTOTO MMOJA. TUMBO LA PILI KUNA WATOTO NANE (WATOTO SITA HAWATAKI MAMA YAO KUDHULUMU KATIKA SUALA LA KURITHI KINYUME NA SHERIA YA IMANI YA KIISLAMU KWASABABU MAMA YAO ALISHAACHWA TANGU MWAKA 1982. WAWILI TU KATIKA NANE NDIO WAPO NA MAMA KWASABABU YA MASLAHI YAO, MAMA ANA MIAKA INAYOKISIWA 87, NA HAO WATOTO SITA HAWAJAKATAA KUMLEA MAMA YAO). TUMBO LA TATU WAKO WATOTO WAWILI NA TUMBO LA NNE WAKO WATOTO WANNE. HUYO MZEE ALIKUWA ANAONA NA KUACHA HAPA TANZANIA KWA HAO WAKE WATATU KWA KUANZIA MKE WA PILI. NA WOTE ALIWAACHA KABLA HAJAFARIKI ISIPOKUWA MKE WA KWANZA TU AMBAE ALIMUACHA AKIISHI NCHI YA YEMEN BARA LA ASIA. SASA KATIKA WATOTO KUMI NA TANO AMBAO NDIO WARITHI, KUMI NA TATU WOTE WAKIWEMO WATOTO SITA WA HUYO MAMA, WAKUBALI UHALALI WA MAMA WA KWANZA AMBAE NI MAMA YAO WA KUFIKIA KUWA NI MRITHI NA KUMKATAA MAMA HUYU KWELI????? TUSIKIMBILIE KUHUKUMU BILA KUJUA UKWELI WA PANDE ZOTE MBILI! NA UNAAMBIWA HUYO MAMA YEYE KUPITIA HUYO MTOTO WAKE ALIEVAA FLANA NYEKUNDU KWENYE VIDEO WALIPELEKA SHAURI MAHAKAMA YA WILAYA NA KUIFUNGA NA SASA WAMEIFUNGUA SHAURI TENA MAHAKAMA YA MWANZO WAO. HAO HAO WASHTAKI WANAENDA TENA KWA WAZIRI WAKATI KESI INAENDELEA MAHAKAMANI NA WAO NDIO WANASHTAKI😮😮😮 KWANINI WASIPELEKE USHAHIDI WA UHALALI WAO MAHAKAMANI NA KUIACHA MAHAKAMA IFANYE KAZI YAKE KUITAFUTA HAKI???? WAZIRI UNAIKATAA MAHAKAMA KWELI???? NGOJA TUONE UPANDE WA PILI NA WAO TUONE WATAELEZEA NINI KUHUSU HILI SAKATA.
@ritapiusnicolaus70687 ай бұрын
Mungu akulinde mh slaa🙏🙏❣️🥰🌹
@SalmaPeteriziki7 ай бұрын
Me love you JERRY
@dotnatajoseph26207 ай бұрын
Mwenyez Mungu akuhifadhi wazir wetu inshallah
@shafiisaidygongoro71817 ай бұрын
Good work
@mulolemary13177 ай бұрын
ALLAH atuongoze na piya aongoze wanetu mhhhh watoto kama hawa ALLAH awaongoze
@richarddavidmk7 ай бұрын
Brother Jerry Mungu akutunze.na akupe taifa hili uliongoze
@irenemichael10 күн бұрын
Mh msiba watajiri nishida😢
@saloomidd10847 ай бұрын
Huyu waziri ni kichwa sana anaijua kazi yake sheria zote anazijua sio mbabaifu,najifunza mambo mengi kupitia kwake
@sleymankassim43327 ай бұрын
Kiongozi Mungu akubariki
@muhydinaden5527 ай бұрын
Tamaa imewaponza watoto kama sharia imewashinda kupata suluhu sheria ya serikali itawahukumia mkiona ....hasara kwenu tafuteni yenu!
@IsmailJuma-zb5ni7 ай бұрын
Wewe mama muogope Mungu
@hejmabohejhej96 ай бұрын
Kivipi
@katumabiyan50907 ай бұрын
Hongera, sana slaa.Sheria unaijua
@joycekisamo48967 ай бұрын
NI MWANA SHERIA (Lawyer)😅
@samsonhaule36477 ай бұрын
Hizi dini zingine zinawakandamiza Sana kina mama.
@SoyaDispensary6 ай бұрын
Hakuna Wakristo wanaogombaniana malii?
@yasminmohamed6047 ай бұрын
Raisi wangu ajae mungu pokea duwa yangu alha aandike jina lako
@miriamdavis38937 ай бұрын
Wasije wakamuua maana utendaji wake ni viwango vingine
@valenakomba76867 ай бұрын
ALAA OYEEEEEE. UBARIKIWE SANAA. NINAKUFUNIKA KWA DAMU YA YESU. MALAIKA WAKUTANGULIE KILA UPITAPO. KILA ANAYE KUPANGIA MABAYA WAFYEKWE KWA PANGA ZA MOTO NA KUFA.
@ScopionScopion-zj9cd7 ай бұрын
watoto kauzu zaidi ya kambale dah kweli kuzaa sio kupata pole mama mungu yupo
@AgripinaKisava4 ай бұрын
Ndoa ya kihisiram hata sijawahi kuzielewa dini na mali tofauti kabisa
@mwatumsaidi51047 ай бұрын
Allah akulipe kila la heri muheshimiwa haya mambo yapo mengi zanzibar sio mahakama wana serekali inaowatetea wanyonge
@AbdullahOmar-be4wy7 ай бұрын
Tatizo imani ila Zanzibar afadhali tofauti na bara ukiwa mtoto nje ya ndoa unarithi wengi hawafuati uislamu
@mwatumsaidi51047 ай бұрын
@@AbdullahOmar-be4wy zanzibar watoto wa ndowa na mahakama inawazulumu hakuna haki kabisa mahakama za zanzibar zulma majaji hadi wakili
@AbdullahOmar-be4wy7 ай бұрын
@@mwatumsaidi5104 unazungumzia mahakama ya kadhi au ya serekali
@salimmalaka2567 ай бұрын
@@AbdullahOmar-be4wyHAYA SHEKHE WANGU UNASEMAJI KUHUSU HAO WATOTO WA NDOWA NA WANADHULUMIWA ZNZ UISLAMU UPI WANAO UFUWATA ZNZ???
@AbdullahOmar-be4wy7 ай бұрын
@@salimmalaka256 mm nimesema mahakama ya kadhi Zanzibar sio mahakama ya serekali najuwa ya serekali wanafuata katiba ya nchi
@salehemohamed29377 ай бұрын
Kiongozi Jerry, hongera sn kwa kusaidia wanyonge
@babuuosama87527 ай бұрын
Watoto kumi eti injee ya ndowa Nyiee mlikuwepo kushudia hawakufunga ndoa Mnamtapeli mke wa kwanza wa mwenye nyumba Eti baba yenu lakini watoto kumi waliozaliwa kabla amjaa zaliwa mnawabagua kwajili ya urithi Mcheni mollah wenu Mama na watoto wake 8 wapate haki zao.
@wechemakambo21827 ай бұрын
Waislam wanajua kubagua ikija suala la watoto wa nje ya ndoa..ila Mama aliolewa na akaachika for so long.Lia yake ni ya kubaraguza ina maana hakuwa mjane aliyeachwa na Marehemu na angekuwa mjane angestahili kithumni km mirathi ingeenda kidini ila kwa vile hao watoto wa tumbo lingine wanadai walishaenda mahakamani basi hawako kidini unless pale mahakamani wakaseme kuwa baba yao alikuwa mcha Mungu na wanataka waende Bakwata...Wanawake muwe makini kujua sheria za ndoa kabla ya KUOLEWA na wanaume pia .
@evelyneshirima50487 ай бұрын
Waziri Jerry uko vizuri sana
@AziziSaid-k7h7 ай бұрын
Nakukubaki sana
@SalehKarama-uv4yr7 ай бұрын
Solution ni mahakama ya kadhi tuepoke udhalili.maana sheria za nchi zinakinzana na sharia za mungu inshallah
@AbdullahOmar-be4wy7 ай бұрын
Yes lkn wakiristo wanaokwamisha ndio haya leo yanatokea
@leonardjohnson20587 ай бұрын
Mungu yupi kaweka hizo sheria 😂
@bintyemeniya47317 ай бұрын
@@leonardjohnson2058waislamu tunafata kitabu chetu Quran, hakijabakisha kitu kwenye mambo ya maisha, mwanamke akiwacha ikipita miezi mitatu na siku 10 hawezi kumrithi mume, besides huyo mama Ana watoto wao km kaolewa kwa sheria ya Dini ya kiislam ndio watamrithi baba yao
@bintyemeniya47317 ай бұрын
Waislamu hatuhitaji documents kuachana muhim mashahidi wawili wanaume
@AbdullahOmar-be4wy7 ай бұрын
@@bintyemeniya4731 ndio jambo zur
@PascasMathew7 ай бұрын
Waziri Mungu akubariki kwa kutoa elimu ambayo wengi hatuyajui . Wanasheria mko wapi mbona haya hamyasemagi? Watu wamefilisika kwa kukosa elimu ambayo ingetusaidia sana.
@farijalakhalid55587 ай бұрын
Unapo dai mirathi ya kiisilamu usisahau kuna Mungu na kuna kufa. Kama mwanamke alisha achwa hatakiwi kurithi. 😊😊😊😊😊😊 Mtu akienda kushtaki serekalini wataangalia vifungu vya kiserekali na atapewa anacho dai Lakini aigope siku ya qiyama kwenye kile alicho pewa.
@leonardjohnson20587 ай бұрын
Ulipo ongea na allah alisemaje kuhusu hilo
@DeboraKibassa10 күн бұрын
Daa jamani kama aliyejenga nyumba ameiacha nyie ni nani mbele za Mungu?
@aminaomary55677 ай бұрын
Yaan waziri uko vizuri wewe' yaan Rais wangu hapa umepatia kumchagua Huyu Silaha.❤❤❤🙏🙏🙏👍👍👍👍
@hanspop69617 ай бұрын
Yani Wewe ni Waziri Mungu akueke
@abdallahakbar52327 ай бұрын
Waislam hatuendi mahakani kuvunja ndoa sisi hatuna vyeti viwili vya ndoa kama aliachwa kabla ya kufa mumewe Hana urithi usiingilie Imani za watu waislam tayari Wana hukumu za mirathi mwanamke aliemkalia eda mumewe ndio anarithi
@josephwilliam58137 ай бұрын
Kama ndiyo ilivyo kwanini mfungisha NDOA anasajiliwa na serikali?
@hejmabohejhej96 ай бұрын
Tatizowanayo talaka katika hao watoto
@albertchuma43135 ай бұрын
Tatizo elimu imewapita kushoto, mjue kutofautisha serikali na dini, dini inaweza sema ndoa imevunjika lakini kutokana na sheria za serikali ikawa inatambulika bado ni ndoa. Kuna taratibu za kufata kuivunja
@romanambelle63564 ай бұрын
Shida kubwa hapa.ni shule watoto 10 halafu Hana ndoa a Hana haki ya mirathi looooh
@deusdeditswebe89307 ай бұрын
Njoo Mwanza uwasaidie wananchi
@hijamwinyi323312 күн бұрын
Watoto mtihani
@senixdanethox7 ай бұрын
Hao watoto wanamfanyianhv mama yao duh
@pascalntandu12177 ай бұрын
Walau wizara hiyo imepata mrithi madhubuti wa kumrithi waziri mstaafu lukuvi.
@khalsasalim79307 ай бұрын
Usemi wa kuzaa sio kupata
@HabibuRajab7 ай бұрын
Mwamba mmoja uyo hekima nyingiiii
@sheikhshafii2007 ай бұрын
Mwanamke ameachika zaidi ya miaka ishirini baada ya hapo ndio Mwanamume anafariki dunia,katika hali kama hiyo mwanamke hana haki ya kurithi chochote ktk Mali ya marehemu.
@rabsonchisumo66407 ай бұрын
Aujasoma Sheria wewe kasome usikariri
@MahmoudDouchi6 ай бұрын
Tupe dalili juu ya hili.
@josephmihayo62366 ай бұрын
Sheria ya ipi? Acha ukasuku.
@gladistaemanueliy63367 ай бұрын
Hivi kabla waziri huyu aliyekuwepo anafanyaga kazi kazi? Asante waziri