Asante Sana mtaalamu... Ndugai anataka kutumia ubabe inaonekana ameshapewa chake yule
@doricejoel61853 жыл бұрын
Umeonaaa kweli kashibisha tumbo lake
@denismnubi70013 жыл бұрын
Kweli
@renatusrevocatus38953 жыл бұрын
Kwani ndege zenyewe situliambiwa ni huduma.,.... Hata hiyo ifanyeni huduma
@chidiomari.653 жыл бұрын
Aisee uyo mtallaam kaongea vitu 100%+✓Point,Tujenge kwa pesa za ndani.Madeni yataingiza Nchi yetu ktk kipindi kigumu.Mungu akupe maisha marefu mtallaam🙏🇹🇿
@sigfridprotas56953 жыл бұрын
Tuangalie mfano kwa jiran yetu hapa Zambia maden yamezid hati wakuu wa vyomb vya ulinz na usalam ni wachina sas mh speaker hebu lingalie kwa makin hilo swala unalo ng,ang,ania, watakoa pata tabu ni sis vijana na wajukuu wako sio wew!!!
@dossanimangakengwa66093 жыл бұрын
Mkuu unaongea vitu vizuli sana
@eliasg.bihayi34773 жыл бұрын
) lll
@mariamkhamis23183 жыл бұрын
Mtaalam tunakuhitaji sana sema sema....kweli tupu..
@josephlugala31823 жыл бұрын
Mtaalamu unaongea vitu tunavyovipenda Sana wa tz
@user-zh8wg3lc4i3 жыл бұрын
Tunakushukuru sana mtaalam wetu Mungu akujaalie ufanye kazi yako vyema na utaalamu wako. Mungu akujaalie tunakuombea kila la kheri.
@rosetreffert67273 жыл бұрын
Safi sana elimisha hao mazuzu, ndugai hajitambui kigeugeu kama kinyoka msaliti, msiturudishe kuleeeee !!!!!!!!!!Magufuli tutakukumbuka daima
@mkushiandikayakoachananaya79443 жыл бұрын
Mpango wake ni kutuuza, napata mashaka kama hajapewa chochote huyo Ndugai!
@elishakayagwa93713 жыл бұрын
Wameshaturudisha ni Sisi kuamua kuwatoa madarakani kwa nguvu tu
@neemakilomoni42583 жыл бұрын
Mtaalam uko vizuri sana tujenge bandari kwa pesa zetu kama tume weza reli bandari tuta weza pia swali nani ajenge???M China 🇨🇳 BIG NO .Mh Mwinyi Mwenyezi Mungu akuweke miaka 200 una busara sana sio kama yule mnafiki mwingine 😏
@josephnchunga12473 жыл бұрын
Mtaalam uko vizuri sana una point 200℅ na mfano mwingine hao hao wachina wamechukua airport ya entebe Uganda lakini bado wanaruhusu mazungumzo hii bandari ya bagamoyo hapo kuna maslahi ya nani hapo watuambie huo Mkataba na china unafaida gani kwa watanzania.
@tumainimnzava3203 жыл бұрын
Point sana kaka aisee tunaweza wenyewe mbona tumeweza mengine? Inauwezekano wakujenga kidogokidogo, kuliko kuuza utu Wetu
@verosanga44773 жыл бұрын
Nakuelewa Sana Viva😍😍😍😘😘😘😘
@gastermdegela41532 жыл бұрын
Mtaalamu Nguhuls nimekuelewa sana kuhusu maswala ya bandari.
@laprincevonkingpin77933 жыл бұрын
hongera mshauri,,, tunahitaji watu kama nyinyi,,,
@hadijajohn74343 жыл бұрын
Mtaraamu uko vizuri sana nimekuelewaa watanzania tuwe makini sana
@mkushiandikayakoachananaya79443 жыл бұрын
Jamani katika suala la BANDARI YA BAGAMOYO, Mimi nimeguswa sana, wengine tulioguswa wangapi?
@edwardmizambwa2373 жыл бұрын
Umeguswaje, weijenge au la?
@mkushiandikayakoachananaya79443 жыл бұрын
@@edwardmizambwa237 Ijengwe sio kwa mkopo wa mtego wa China bali ifanywe hiyo kwa hela ya ndani polepole. Ile SGR ikamilike pia. Tanzania ikiamua inayaweza mengi sana, uduni wa kulilia mikopo tunajitakia na wengi walioko madarakani huwa wanataka wamfurahishe kila mtu katika kipindi chao ndio sababu hukimbilia mikopo. Wanawazia leo sana, kizazi hakifikiriwi! Hivyo, bandari kama inaamuliwa kutekelezwa kwa hela ya ndani iendelee lakini kama ni za hao wakoloni wa kisasa bandari hata kujadiliwa usitishwe kabisa!
@edwardmizambwa2373 жыл бұрын
@@mkushiandikayakoachananaya7944 niko pamoja nawe
@ambitiousholyspirit3953 жыл бұрын
Naona tutumie hela za ndani
@hadijamagufuli26613 жыл бұрын
Tatizo mshaambiwa tatizo ninani
@hadijajohn74343 жыл бұрын
Safii sana nimependa tujenge kwa pesaa zetuu tunaweza
@aliaminmbeo99983 жыл бұрын
Mtaalam, nakushukuru sana, tujenge wenyewe, nasmini baada ya kumaliza Sgr, bwawa la Nyerere, na meli za maziwa zote kufanya kazi, na vyanzo vingine, nchi itakuwa na hela nyingi then tujenge bandari ya bagamoyo
@mussabalola84063 жыл бұрын
Nashangaa sana leo kuona Speaker Ndugai leo anaunga mkono bandari ya Bagamoyo. Jamani tamaa mbaya. Hiyo ndo Issues iliyo muuwa Hayati Magufuli. Angalieni Wachina walivo fanya Zambia, na Nchi zingine. Ndugai! Wazungu leo wanafanya maendeleo ya vizazi vijao ila ww unataka kuuwa vizazi vijao... nitamkumbuka MAGUFULI hadi kufa. Kama ninavo mkumbuka Kadafi.
@hebertleader83883 жыл бұрын
Mtalaam huo nawapenda inchi yake kabisaa ! Jenga na pesa zenu..nawapenda saana
@stephensigonda99273 жыл бұрын
Hongereni sana kwa kumleta mtaalamu huyo
@margaretmbongo34403 жыл бұрын
Sawa kabisa kazi iliyombele yetu ikamilike kwanza bagamoyo baadae .
@c-48393 жыл бұрын
Good luck kumdanganya mtanzania wa sasa☺️ Wananchi tumeshaona uongozi unatakiwa uwaje,
@karolikisaka89913 жыл бұрын
Mtaalamu uko vzr nakuomba uwemtu wakuishauri serikali by Amos be blessed for you positive opinions
@sadikiramadhani56313 жыл бұрын
Umenie limesha sana mtalam nilikuwa siyajui mambo mengi ila hongera xn
@alexurassa34833 жыл бұрын
Mimi kama mdau naomba tujenge kwa pesa zetu wenyewe
@alexkihongola7983 жыл бұрын
Jamaa yangu Julius upo vizuri mno, Mimi nakujua vizuri. Tema madini kaka.
@ntegrity2773 жыл бұрын
Swala Kama Hilo Ni mhimu Sana huo mzigo HAUNA MAANA!
@andrewsaktay98653 жыл бұрын
Naunga hoja mkono, bandari ya bagamoyo ni muhimu sana, lakini ijengwe na sisi wenyewe kwa pesa zetu, wala hatushindwi, hyo habari ya mkopo tusifurahie kabisaaaaa
@flavialeonardissangu13113 жыл бұрын
Hii kweli ilikuwa shule , kwahiyo ni muhimu Sana kusikiliza ushauri serikali ingemchukua huyu mtaalamu na kumweka ktk uongozi wa bandari zetu ,
@kimsaid58593 жыл бұрын
big yes kwa huyu jamaa ana madini sana
@stephanokigosi6563 жыл бұрын
well said..issue ni mkataba mbovu
@danielmbalwa93073 жыл бұрын
Mmmmm nashaurii tuendeleee kuziendeleza zilizopo!hapo baady tutaongeza hiyo ya bagamoyo na sio kwa interest za watu
@simongwandu73922 жыл бұрын
Umesema vizuri sana Wachina ni hatari sana
@HJ-wf2vi3 жыл бұрын
Mbarikiwe sana
@christiankambuga93383 жыл бұрын
Asante sana mtaalam bandari pls tujenge bandari ya bagamoyo kwa pesa yetu kwa sababu cc tz ni taifa tajili wachina wajikate but SGR tren kwanza
@ngwanafabian96683 жыл бұрын
Tukitenga 2trilioni kila mwaka je hatuwezi kujenga bandari kwa miaka 10?
@allydady55323 жыл бұрын
Tutajenga wenYewe tulishaoneshwa njia na baba yetu jpm kuwa tunaweza
@sheikhmzee47003 жыл бұрын
Nakupongeza sana brother wachina ni watu wabaya sana katika Africa ni nchi chake zilizo nusurika na kutaifisha mashirika ya uma na wachina zikiwemo Zambia Kenya ethiopia nk wasiiweke nchi pabaya kwa muda mfupi tu wa kuondoka mhe maguful
@stephanokigosi6563 жыл бұрын
huyu jamaa MZALENDO sana, halafu kaongea points tupu. good
@abdallahmhando57433 жыл бұрын
Naomba niwashauri watangazaji wa global tv mpeni nafasi ya kutosha mzungumzaji atiririke acheni kuingilia ingilia tena bila utaratibu. Mi naona kama mnamfanyia fujo mtaalam. Nashauri awepo mtangazaji mmoja au wawili.
@eliakisiri66133 жыл бұрын
hapo kuna siri kubwa hapo kuna watu wachache wanapata maslahi hapo na ha ukiona bunge limeshaanza kugawanyika kuhusu bandari baga naelewa fika kuna mtu katoa posho kwa baadhi ya wabunge watetee bandari hiyo kwani kuna mtu kaokolewa na hiyo mkataba qa bandari hivo hiyo bandari ni hasara kwa taifa hili
@laprincevonkingpin77933 жыл бұрын
yani jamani mimi nipo tayari kuchangia ujenzi,,,kwaowachina nani kajenga?
@jonesmarwa49133 жыл бұрын
tujenge bandari ya bagamoyo wenyewee ; mama samia na spika, mtuelewe wananchi , tunataka kujenga bandari ya bagamoyo wenyewe
@brysonmalongoza54223 жыл бұрын
Shida tunataka kuifikia marekani kwa siku moja jambo ambalo haliwezekani!
@bernardoleonard73313 жыл бұрын
@@brysonmalongoza5422 Bora tusiwafikie lakini syo kuuzwa Kama zambia na nchi nyingine kwa hao wachina
@samsonzacharia23293 жыл бұрын
Cjackia vzr spika amesema lzma kuwe na bandari isiyo kupwa na kujaa? Ipo bahari icyo kupwa na kujaa? Ipo kweli?
@jumannehussen30363 жыл бұрын
Mimi nakuelewa Sana mtaalamu hata HAYATI magufuli huwa lengo ni kufanya miladi kwa pesa zetu we mzalendo sana
@safiyasafiya50143 жыл бұрын
Point mjenge wenyewe itakua bora zaidi
@stephenndagalla81833 жыл бұрын
Mh. Ndugai, Oman hajengi bandari yoyote bali anatoa fedha kwa mjenzi. Hivyo usidanganye eti Oman inajenga bandari Z'bar. Vivyo hivyo Oman wasingejenga bandari B'gm bali wangetoa fedha kwa kampuni la Wachina ambao tungeingia nao mkataba wa kifisadi.
@z.nalnabhani71943 жыл бұрын
Kutoa pesa ndoo kujenga na wewe,labda huelewi,mtoa pesa ndiyo mfanyaji ,kwani rais anabeba tofali?lakini tunasema rais kafanya
@mtumzito40453 жыл бұрын
Kweli kabisaaaa tujenge heli zetu za ndani jamani
@edisonkashaija40673 жыл бұрын
Ndiga.. ameanza kuzeeka na cc vijana wa kesho tukue tukute nchi yote imeishauzwa vipande vipande akwende zake na cku mbuge yyte akijangia hoja ya kubinafsisha bandari ile hasirudi jimbon kwake kuwaeleza mambo hayo watamuhengua
@josiamwambona27853 жыл бұрын
Tz ni tajiri tumalize mirad iliyopo tuende tujenge bagamoyo kwa fedha za ndani tunakimbilia wp tz ipo saana hata vizazi vijavyo vitajenga
@edwardmizambwa2373 жыл бұрын
Sawa kabisa
@zachariaboniphace29643 жыл бұрын
Viongozi c mmefundishwa na Magu jins y ukusanyaj kod? Namaanisha bandar tutajenga kw hela zetu wenyewe
@selinanyerembe29153 жыл бұрын
Wanaotaka kujenga bandari ya bagamoyo kwa kutumia mchina wameshakula pesa, sasa wanatishiwa maisha yao, hivyo hawanyamazi!
@rehemashabhay22053 жыл бұрын
Hapo watu hawakatai faida au hasra.twjua faida ipo na hasra itakuwepo.Hapo tukataa masharti ya Wachina ya kukataa TRA kukorecti kodi miaka 30 na miaka 90 kufanya ardhi ya Bagamoyo yao...jamani Ndugai Muogope Mungu.. Waomani Waoman unajua wanachotaka?????????????.mmm.tupo.Mungu saidia Tanzania.
@josephnchunga12473 жыл бұрын
Bunge linapelekwa pelekwa kama Gari bovu ,hata hii bandari ya bagamoyo wanayo ipigia debe ijengwe wakati mh hayati john pombe Magufuli aliukataa huo mradi lakini sasa hivi Hawa viongozi wamekubali mazungumzo yanini kama hakuna maslahi binafsi kwao.jpm ndie Aliekuwa na maono mazuri.
@eyumededu29483 жыл бұрын
Kwa nini asingesema wawekeze kwa fedha ndani kama ni muhimu tuna raslimali za kutosha kwa nini wasitafute pesa za ndani
@benmboya68563 жыл бұрын
Tecknology inakua kimaajabu. Nikiangalia mbele sana, yawezekana train za mizigo zikajengewa madaraja baharini zikafikia meli huko baharini meli "zinakotua"
@RamaTraceur3 жыл бұрын
Anaitwa Mr Julius Nguhulla...huyu ndiyo mzalendo na Mtu makini sana,, wape elimu hao wabunge wasije waka uza nchi yetu.
@MichaelCharlesBishubo3 жыл бұрын
Nyie wana habari muwe mnamuacha mtu anazungumza sio kumdakia kila baada ya sentensi. Ebo! Mnaboa. Mjadala mzuri sana tena sana, kasoro ndio hiyo tu.
@tinyaanosiatha11183 жыл бұрын
Ndungai kasema wanaojua hiyo bandari ya bagamoyo wamebaki watu watatu. Tu anasema wasiposhugulia hiyo bandari ya bagamoyo wakati wako hai. Wakifa leo hakuna Wa Kusimamia huo mradi anasema ndungai hawatapata mtu wa kuendeleza huo mradi..
@jumaamartin79292 жыл бұрын
Kwakweli watanzania tumtangulizen mungu kwa kila jambo letu
@isakabaragomwa2963 жыл бұрын
Mengine yamewezekana ndani yetu iweje hili lishindikane.?? Tutaijenga wenyewe kwa maslahi yetu na sii vinginevyo.
@stevenmabungi32453 жыл бұрын
Hii sawa tujenge kwa fedha za ndani naunga hoja mkono🤝
@gynae84073 жыл бұрын
Tujenge wenyewe huyo jama Spker analake jambo. Tutajenga wenyewe kwani tumefanya mangapi tena makubwa kuliko hiyo bandari. Wachina sio
@kiliantereba65022 жыл бұрын
Kweli Bagamoyo km muhimu tuijengebkwa pesa zetu sio kila kitu mikopo
@lotionetv28333 жыл бұрын
Safi kabisa, reli ihishe kwanza alafu bandari Bagamoyo ifuate kwa pesa yetu, kwa shilingi yetu Wtz. Uko good sana iyo
@tinyaanosiatha11183 жыл бұрын
Ukome umezidi kuropoka kwa bandari ya bagamoyo ndungai umegonga mwamba. Kama wachina walishakupa pesa rudisha haraka sana. Jpm alishawaamisha watanzania ule mkataba ni hovyo . Kichaa tu ndiye anaweza kusaini ule. Mkataba.
@designdesign44263 жыл бұрын
Good apeech lakini kwa tz nnavyoijua tz watatafutwa wakubwa kazaa watafinyiwa chao watasaini mkataba
@leonardmayunganyamfanka96233 жыл бұрын
Ijengwe kwa pesa za ndan na co ianze kujengwa katika awam ijayo
@bisekolugola20823 жыл бұрын
Jamani,kwani mda wote huu wa uongozi wake mhimili wa binge,Mh.Ndugai ni tatizo?
@neirahaule78302 жыл бұрын
Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ufanywe kwa pesa zetu na sio kuwategemea Wachina .
@narcissusmakenge47102 жыл бұрын
kupanga ni kuchangua tumalize miradi iliyokwishaanza reli, bwawa la umeme n.k kisha bandari ya Bagamoyo kama mradi wa muda mrefu si lazima ajenge Kikwete.
@burnmotto18763 жыл бұрын
Wanasiasa wanataka kuuza nchi hii, wanajifanya wanakuja Sana, ndungai nae siku hizi msariti tu Kama kikwete kiwete
@jaffaryally26253 жыл бұрын
Kabisa vyombo vya habari na wachambuzi asanteni sana sana kwa uchambuzi huo wa banndali_ kwasababu ukiambiwa uchague akili na pesa ?utachagua pesa kwasababu akili umezaliwa Nazi_tunakaka miladi ya reli iishe na Umeme uishe;*kwani wanatengua wanalazimisha bandali kuna ni ni hukoj? Nchi hii sasahiv hatutaki kuyumbishwa hayati jpm alisimama sawasawa kwa maslahi ya watanzania
@bakarhasany36943 жыл бұрын
Kweli mugufuli alikuwa anajua yajayo NDOO maana hajajenga miradi yake na mikopo maana tunaingia hasara halafu tunadaiwa ingekua shidaa xana mungu amrehem jpm hii bandari tujenge sisi ndugai anataka kuzaa nchiiii
@muhamedishukukurani28983 жыл бұрын
Msiwe mnaweka hiyo background Music Wakati wa interview. Mnaboa sana interview nzuri inaharibiwa na hiyo. Acheni kabisa hiyo
@stephensigonda99273 жыл бұрын
Mtaalamu upo vizuri
@michaeljpm55973 жыл бұрын
Salute sanaaa kwake
@fredialfredi2023 жыл бұрын
Julius wewe ni mtalam kweli kabsaaaaaaaaaa!
@mwalimusalimu54612 жыл бұрын
Tunaomba serikal ijenge kwa pesa zetu upo sahihi mtaalam
@fredkyara32783 жыл бұрын
Jaman ujumbe huu umfikie ndugai na serekali yake. kuwa watanzania hatutak huo uwekezaj wa ujenzi wa bandari ya bagamoyo. wachina wajenge. tuamue tujenge wenyewe kama mrad wa umeme wa rufuji kwa fedha zetu wenyewe mbona Magufuli kaonyesha mfano na tunaweza? tafadhalini hatutak tujenge wenyewe mstuuzie nchi apa
@aizackbenedicto14563 жыл бұрын
Daaaaa hapo ndipo uwaga nankumbuka magufuli alikua mwanaume sio suluali tu
@yusuphswaibu85322 жыл бұрын
Hapo mimekuelewa hapana kukopa tujitegemee wenyewe kukopa ni sawa najanga la ukimwi
@hadijamagufuli26613 жыл бұрын
Wanatanzania mh magu kashaondoka duniani ila kama ni kutufumbuwa bas kashatufumbuwa kwasasa tusikatake kuendeshwa kama hyo bibi anavyoendeshwa
@abu-hasheem64223 жыл бұрын
Hawa watangazaji mbona vilaza sana......huyu jamaa ni mtaalam sana na namna wanavyomuhoji......dah
@azizawadh59733 жыл бұрын
Wahuni
@kisalaTV3 жыл бұрын
Hovyo sana mikelele2
@hassanmbwego42333 жыл бұрын
Mm naona tusimjaji mchina kwa nchi nyingine alivyofanya kwan hata hao unaowataka wamezifanyia nchi nying mabaya ukitaka nizitaje uwanja wa meseji utakuwa mdogo
@timboxlee9193 жыл бұрын
Acheni ufisadi wenu wenu hapa ninyi, hatutaki hiyo bandari yenu ya bagamoyo,mnataka kuuwa bandari ya dar
@mwanajumaomahundumla65043 жыл бұрын
Wazalendo bado tunao sana sema hawapewi nafasi Tujenge na pesa zetu hata kama ni miaka 100 wachina au mikataba ya kununua nchi hapana kama kuna watu washapokea vya matumbo yao waache mara moja
@rahakesho55503 жыл бұрын
Kikubwa kwa kweli tujenge kwa pesa zetu hiyo bandari kama tunaweza kwa kweli .
@magessamagessa75613 жыл бұрын
ila kweli ogopa mtu natoa pesa zake ufayie kazi kwa liba je biashara ikigoma ujue lazime akunyangenye vitu ili afidie pesa zake
@beaugosseadam68313 жыл бұрын
Huu Genge la Kikwete, Ridhwan Kikwete, Nape, Makamba, Muhongo,Ndugai, Assad na Vibaraka wengine watampoteza.
@renatusrevocatus38953 жыл бұрын
Assad anaingiaje hapa?
@charlesmwambinga43553 жыл бұрын
Wachina watafungua dumping gate ya bidhaa zao..East na Central Afrika.
@edwardmizambwa2373 жыл бұрын
Eti ndani ya siku mia na bandari Zanzibar inajengwa, watu wa familia moja kila mmoja atakuwa na mtindo tofauti ya maisha. Bandari hii tuijenge sisi wenyewe (kwa pesa zetu za ndani).
@stewartstepgen38313 жыл бұрын
Tunashida na tv presenters. Hoja ni muhimu lkn utoto mwingi
@stanleybupambambogo33342 жыл бұрын
Stewart Stepgen
@allydady55323 жыл бұрын
Na Kwann watake kujenga bandar ya bagamoyo kuna nini bagamoyo tuwe makini jamanii hao waNakuja tu kutuibia
@sadanishabani33213 жыл бұрын
Yaani bagamoyo ni eneo kubwa la kutosha kujenga moja ya bandari kubwa duniani kama singapole sasa huwezi kujenga mradi kama huo ambao una manufaa makubwa arafu ukamuachia mchina aijenge aiendeshe yeye arafu kwa miaka 99 huko nikuiuza nchi nakuvuta bangi sio bule
@joharikitundu3 жыл бұрын
Mungu Mungu anazidi kutuletea vipaji Tutajenga tu tukipata 10 kama wewe Tuache kuwasiliza walio nje
@janethpallangyo26333 жыл бұрын
Nakukubali sana mtaalam
@kawiche49113 жыл бұрын
Hatuna imani na Ndugai jamani anasema tusijenge railway Noo Ndungai jiuuzulu tuu
@kisalaTV3 жыл бұрын
Kabisa, chawa sana huyu bana
@sheikhmzee47003 жыл бұрын
Huyu spika wa bunge ni mnafiki sana hanatumiwa na wakina kikwetu hawa watauza nchi
@deusimtewele23013 жыл бұрын
Mheshimiwa Ndugai hiyo bandari iyo itajengwa na mabeberu au watanzania?
@hansdedes19033 жыл бұрын
Kipindi cha TV hii kweli Mambo 🍌 banana cha uzalendo kina elimisha wazalendo wakitanzania , tafadhali Sana" mkuu" (mtalaam )endelea kisomo na kuwafungua macho!!**Shukrani Sana.
@dinahnyagosaima12593 жыл бұрын
Mkataba wa kujenga bandari hiyo ndiyo unatisha ingieni kuangalia mikataba 11 walitufunga
@barakajulius84393 жыл бұрын
Nkujenga kwa pesa zetu basii.... awo wa nje watatutesa saaaana tumkumbuke baba hayati Magufuli alichokisema kwamba tunaweza kujenga nchi yetu sisi wenyewe mikopo hii itatuuwa