WAZIRI MKUU -AGEUKA MBOGO MA-RC, MA-DC HAKIKISHENI MIRADI YA MAENDELEO INAKAMILIKA

  Рет қаралды 30

Ngasa Tv

Ngasa Tv

Күн бұрын

*Asisitiza ianze kutoa huduma kwa wananchi
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya wasimamie miradi yote ya maendeleo kwenye mikoa na wilaya zao na kuhakikisha inakamilishwa ili ianze kutoa huduma kwa wananchi.
“Kwenye eneo la usimamizi wa miradi, Wakuu wa Mikoa hakikisheni mnazo taarifa za utekelezaji wa miradi hiyo; hii ni fursa yenu ya kujua benki tuliyonayo ya utekelezaji wa miradi yote ya tangu mwaka 2021. Angalieni ni miradi gani imepata fedha, na mjiridhishe kama imekamilika au la, na kama bado haijakamilika, fuatilieni ni kwa nini haijakamilika.”
Waziri Mkuu ametoa maagizo hayo leo (Jumatatu, Julai 22, 2024) wakati akizungumza na Kamati za Usalama za Mikoa na Wilaya Pamoja na viongozi wa CCM wa Mikoa kwenye kikao kazi alichokiendesha kwa njia ya mitandao (video conference) kutokea ofisi ndogo ya Waziri Mkuu iliyoko Magogoni, jijini Dar es Salaam.

Пікірлер
How the Most Elite Spy Agency Operates
22:42
Newsthink
Рет қаралды 1,9 МЛН
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,1 МЛН
Israel kills Hamas leader Yahya Sinwar in Gaza
22:04
Channel 4 News
Рет қаралды 345 М.
WHY AN ISRAELI NUCLEAR STRIKE ON IRAN IS NOW POSSIBLE
14:05
ATE CHUET
Рет қаралды 193 М.
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
Kalamutz
Рет қаралды 115 М.
WAZIRI JERRY SILAA AKUTANA NA UONGOZI WA JUU WA VODACOM GROUP
1:18
MJUKUU WA NYERERE AUTAMANI URAIS.
7:02
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 87 М.