Waziri Mkuu wa Hungary azidi kuwaumiza vichwa Magharibi, baada ya PUTIN akutana na XI Jinping China

  Рет қаралды 10,548

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 24
@fellaforlife2948
@fellaforlife2948 2 ай бұрын
Masubi upo vizuri sana broo
@omarisombi9284
@omarisombi9284 2 ай бұрын
Hongera sana waziri Orban kwa juhudi zako, M.Mungu atakulipa
@amosstimamaroba1054
@amosstimamaroba1054 2 ай бұрын
Leo wa kwanza ally unaanza kuongea kama mchambuzi sasa maana awali ulikuwa unaongea as if hauna uhakika na unachoongea good job keep it up
@johnsam4942
@johnsam4942 2 ай бұрын
Anatumwa uyo vita imewashinda NATO God blessing #RUSSIA
@JacksonLukumayi
@JacksonLukumayi 2 ай бұрын
Ni kweli mkuuu
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 2 ай бұрын
Hii vita haiwezi kuisha mpaka ukrein ikubali kuacha mpango wake wa kujiunga na NATO, afu hiyo ukrein ikubali kuachia maeneo yake yaliyochukuliwa na Urusi, afu na marekani na NATO waache kupeleka silaha pale ukrein. Hapo kweli itakuwa mwisho wa hii opareshen ya Russia nchini ukrein. Bila ya hivo ujue ni vita mwanzo mwisho hadi kieleweke.
@malkiawagiza1327
@malkiawagiza1327 2 ай бұрын
Nakubaliana nawe kabisa, umegonga ndipo 👍
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 2 ай бұрын
@@malkiawagiza1327 hahahahahahaha ahsanteeeeeee
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 2 ай бұрын
Habari Kama isi kaka Fredrick bundala ndo anafaa kuripoti
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 2 ай бұрын
Good
@AlexChonanga
@AlexChonanga 2 ай бұрын
Good job Russia ❤❤❤❤❤
@ajsmainde5138
@ajsmainde5138 2 ай бұрын
kwani hao wa US safari km hizi hawazijui kwani....? m nahisi km wamemtuma huyu jamaa ilimradi dunia isjue km wamesanda
@DottoMussa-ro6rw
@DottoMussa-ro6rw 2 ай бұрын
kabisaaa ila wanataka waimalize hii vita ki propaganda flani hv,,yaani wasionekane wameshindwa Bali wametafuta mpango wa amani ambao Russia na Ukraine wameridhia,,ila ukweli ni kuwa NATO na kafara wao wamecheze,, ndio maana jamaa anazunguka kumaliza vita,Putin kashajua hiyo mbinu ndio maana kule kwenye uwanja wa vita dozi inaendelea mpaka zelensky asipo kimbia basi kwa kunywa chake akiri kushinda,ili Dunia ijue ukitoa USA ipo nguvu nyingine kubwa na yenye uwezo wa juu kivita,,hivo mezani ubalanse,,na mataifa yanayo ishi kwa hofu ya america yatoe hiyo hofu,,yaanze kujiamulia mambo yake mwenyewe bila hofu ya kumuudhi america yakitumai kuwa Russia nae yupo..na kwa hii vita japo Russia kawekewa vikwazo lukuki ila imemsadia sana kumtangaza duniani kuwa Russia ninani na kupata marafiki wengi na wapya ambao zamani hawakumjua,,hivo Putin ameshinda vita mbili kwenye uwanja mmoja
@ce-08
@ce-08 2 ай бұрын
Hii safari mbona alisema baada ya kutoka Ujerumani
@WadySaidi
@WadySaidi 2 ай бұрын
Marekani akili Awana eti aman bila urusi ni kujichokonoa puani
@ShedrackShedrack-c2b
@ShedrackShedrack-c2b 2 ай бұрын
Midia ii yaunazi mamboleo
@MAHAN-SMART
@MAHAN-SMART 2 ай бұрын
Kawani nchi kuwa kwenye nato ndio hairuhusiwi kutembelea nchi nyengine
@fellaforlife2948
@fellaforlife2948 2 ай бұрын
Hpn unaruhusiwa, sema ni janja janja za marekani tu izo
@hamisisalum6116
@hamisisalum6116 2 ай бұрын
Ulaya wanashikiwa akili na Marekani, wakija kushtuka wamechelewa na uchumi wao utakuwa umekufa kabisa
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 2 ай бұрын
​​@@hamisisalum6116Watachapisha pesa nyingi na kuja Afrika huku na kununua madini,gesi,mafuta,mbao,magogo,mazao na n.k.Wao hawana shida na pesa maana wanauwezo wa kuchapisha makaratasi mengi Yale na kuyaleta nchi masikini.
@hamisisalum6116
@hamisisalum6116 2 ай бұрын
@@GeorgeAkasha-zx2rj Hapana, Urusi tayari ameshaanza kuweka misingi ya uhusiano na nchi za Afrika, hao mashoga wakija watakuta Putin ameshaziba njia zao zite za ujanja ujanja. Ameanzia africa magharibi huko kawatimua Ufaransa, na sasa anamshikisha adabu Ruto anayejifanya kibaraka wa Marekani
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 2 ай бұрын
@@hamisisalum6116 Tatizo mkuu Mifumo ya pesa na masoko bado unashikiliwa na magharibi zaidi kwa sasa, Russia ana kazi nzito sana kwa sasa kuweza kubadilisha kutoka unipolar to Multi-polar world
@aishaarusha894
@aishaarusha894 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 16 МЛН
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 16 МЛН
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 5 МЛН
How to win a argument
9:28
ajaxkmr (ajaxkmr1986)
Рет қаралды 588 М.
YAFAHAMU MENO BANDIA
4:11
Alexia Hospital
Рет қаралды 5 М.
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 16 МЛН