WAZIRI SILAA ALILIWA NA MBUNGE MTEMVU |MGOGORO WA ARDHI WANANCHI 214 NA KAMPUNI YA TRANSCONTINENTAL

  Рет қаралды 2,926

RAI TV

RAI TV

8 күн бұрын

MBUNGE MTEMVU AIANGUKIA WIZARA YA ARDHI.
Mbunge wa jimbo la Kibamba ambaye ni mwekezaji mdogo Issa Mtemvu katika shamba linalodaiwa ni la Kampuni ya Transcontinental eneo la Kikongo ,Kibaha vijijini ,mkoani Pwani amemuangukia Waziri wa ardhi Jerry Silaa atende haki katika kutatua mgogoro huo.
Mgogoro huo ni wa muda mrefu ambapo unahusisha wananchi 214 pamoja na kampuni ya Transcontinental.
Kwa upande wa Silaa alipokea taarifa za pande zote mbili za wenye mgogoro na kusitisha shughuli zote katika eneo hilo hadi hapo atakapoangalia namna ya kulipatia ufumbuzi suala hilo.
Silaa amesema mgogoro ni mkubwa unahitaji kupata ufafanuzi na uhakiki zaidi hivyo pande zote zivute subira.

Пікірлер: 1
@khalidmwakabuta5045
@khalidmwakabuta5045 7 күн бұрын
Mh waziri wa Ardhi tafadhali tunaomba msaada bado huku Singida mjini tunaendelea kuteswa na wadhulumati wa ardhi mkoani hapa ,tunaomba msaada wako Mh Waziri , wazazi wetu wananyanyaswa na wale waliopewa mamlaka ya kusimamia haki zetu bila kujali rangi wala kipato
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
Самое Романтичное Видео ❤️
00:16
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 4,9 МЛН
| UKUMBI | Mikakati ya Rais Ruto baada ya maandamano ya Gen Z [Part 1]
29:22
ANG'ALULA MOSAIPA LERO PA 10 July 2024
27:53
HOT 265
Рет қаралды 4,3 М.
Такого они не видели😱😍
0:55
Следы времени
Рет қаралды 3,5 МЛН
СРОЧНО ДОМОЙ! Эта НЕ КОНФЕТА!
0:21
Клаунхаус Kids
Рет қаралды 1,2 МЛН
БЕЛКА ПЕРЕПУТАЛА ТАРЕЛКИ #юмор #cat #топ #cats
0:13
Когда покупки идут не по плану🤯
0:32
FilmBytes
Рет қаралды 1,8 МЛН