WENYE CHUKI NA DAWAH WAANZISHA MPIRA KATIKATI YA MAHOJIANO LAKINI DAWAH IMEFIKA.

  Рет қаралды 5,700

Straight Path Dawah

Straight Path Dawah

Күн бұрын

Dawah inaendelea kufika katika sehemu mbali mbali Alhamdulillah. Please subscribe ‪@StraightPathDawah‬ for more Islamic related videos.

Пікірлер: 47
@haibazinjibari3020
@haibazinjibari3020 24 күн бұрын
Allah azidi kuwabariki na awazidishie subra Allahuma amin
@josemu870
@josemu870 24 күн бұрын
To be a Muslim is a massive from Allah barikiweni sana sana kwa mafundisho bora Allhamdhillah
@salmaminja7714
@salmaminja7714 24 күн бұрын
Allah awape subra kwn mwenye kusubir yupo pmj na Allah. Ucjal kwn hata mtume wetu SAW walimfanyia vituko na sitizai ivyo mbele daima nyuma mwiko, hao km ni chai imekolea sukar ndio mana wanafanya ivo. Hakika mna fungu kuuuuuubwa kwa Allah naye ndio atakauewalipa. Allahumma Amiin Waa- Iyyaka.
@Khalifaathumani-cy5om
@Khalifaathumani-cy5om 24 күн бұрын
Kazi hii inataka moyo na subrah kubwa. Allah azidi kuwaongoza kwenye haki amiin yarabb.
@samxx411
@samxx411 24 күн бұрын
Asalam Sheikh Ramadhan mie niliwaza kuwa ni vyema daawa pia ikawahusu waislamu mana kuna wengi hawasali wala hawafuati maandiko wanahitaji kukumbushwa..Allah ametuita umma bora kwasababu tunakatazana mabaya na tunaamrishana mema..hivyo mkipata muislamu pia mpigeni dawa japo kusali, kuenda madrasa na kujiepusha na mambo mabaya
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 23 күн бұрын
Allah anapenda walio na subra. Allah awatie moyo.
@alyaqdhan5206
@alyaqdhan5206 24 күн бұрын
جزاك الله خيرا شيخ رمضان
@TheSwahiliStudent-yq6ni
@TheSwahiliStudent-yq6ni 24 күн бұрын
Dini ya kiislamu na lugha ya kiswahili, hivo vitu viwili vitajenga Kenya imara. Mungu ibariki Kenya.
@Fumokale
@Fumokale 23 күн бұрын
Wataelewa tu...kazi itaendelea inshaAllah na Allah awajaalie IKHLAS na aalipe magaza mema
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 24 күн бұрын
Mashaallah Allha 💖💖💖
@fatmaali6780
@fatmaali6780 22 күн бұрын
Mungu azidi kikujaza subra sana cz unapitia mitihani nyingi SubhanaAllah
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 24 күн бұрын
Allah yakupe subra na nguvu kazi dawa dini ina changamoto nyingi usikate TAMAA
@user-fh7wu8vx1y
@user-fh7wu8vx1y 19 күн бұрын
ALLAH. Awalipe jana
@saadnaim5518
@saadnaim5518 22 күн бұрын
Nzuri tunafaidika sana kutpitia chanel yako Allahu aza wajah Akulindine
@user-mc2xd4eu2p
@user-mc2xd4eu2p 24 күн бұрын
Maasha Allah Allah awalipe kheri awatie nguvu sio kazi nyepesi daawa😊
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 24 күн бұрын
Ameen
@sweetheart2548
@sweetheart2548 24 күн бұрын
Mash Allah
@adanabdulahi8219
@adanabdulahi8219 24 күн бұрын
MashAllah
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 24 күн бұрын
Kazi ngumu hii
@user-ie7yt9db6f
@user-ie7yt9db6f 24 күн бұрын
Mwenyezi mungu azidi kuwalinda na kuwatia nguvu kila siku muwe n moyo huo wa hekma
@mohamudAbdullahi-xt4ku
@mohamudAbdullahi-xt4ku 24 күн бұрын
Mashallah
@KENNEDYANDERA
@KENNEDYANDERA 24 күн бұрын
VP kwema njoo huku eldoret
@issackSalah-xh1bg
@issackSalah-xh1bg 24 күн бұрын
Good work ❤❤❤❤❤
@SheeMaryam.M
@SheeMaryam.M 24 күн бұрын
Sikuhizi sioni notification sijui kwa nn Sharrif ikiwezekana , heri aende mukurueni asome juu alisema ako tiyari
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 24 күн бұрын
Inshallah ataenda
@Wekesa-n3b
@Wekesa-n3b 24 күн бұрын
Mbona mlokata kwingine. Kama nyinyi ni wa kweli mbona hamkuweka yote
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 24 күн бұрын
Hiyo ni part one wacha kujiaibisha
@SheeMaryam.M
@SheeMaryam.M 24 күн бұрын
@@Wekesa-n3b ulijuwaje imekatwa yet you were not the one who was recording.. hujaona imeandikwa "END OF PART 1"??? kula mzizi utulie upangwe ... Next prt is coming
@Sal.0
@Sal.0 24 күн бұрын
Mafundisho BORA again! WAZungu walio teka Palestina NYARA in 1948, na HALAFU kuji ITA 'wa (NCHI ya) israeli' , hawa WaZungu, SIO uzaa wa 'WANA wa YAKUB', walio itwa 'Wa YAHUDI', katika QURAN! Hawa WAZUNGU wanaoji ITA 'jew' SIO 'Wana wa YAKUB', kwa sababu hilo Neno 'jew' ni NENO ilio TUNGWA na the ENGLISH 'KJ Version' Bible, in 1814AD. Therefore WAZUNGU walio anzisha 'judaism' in 1860AD, na halafu in 1948, kui TEKA Palestina NYARA ni 'jews', au Neno laku TUNGWA! Na 'WANA wa YAKUB' ambaye ali pewa cheo cha 'izrael', wana itwa WA YAHUDI, jwa sababu Grandmother wake SARA'H ali kuwa UZAA wa Nabi HUD! Therefore please do NOT MIX the MZUNGUS who call themselves by the MZUNGU Word 'jew',.... with the Children of Yakub who are the YAHUDIS, whose IRAQI great Grandmother SARA'H w/o IBRAHIM, was a descendant of PROPHET HUD! Therefore, SUMMARY...> Hawa WaZungu Katil ni: "Wa.... NCHI ya 'israel'." Na WaYAHUDI ni: " WANA.. wa Bani Izrael". SEE the difference? TabarakAllah Team
@Sai.Mo69
@Sai.Mo69 24 күн бұрын
Swadakta. Wa..israhelli, wote n8 WaZINGU, kutoka mainly Eastern Bloc RUROPEAN countries. Kama Netayahoo ni from POLAND, na weng8ne kutoka Serbia, Ukraine, Slovakia na wengi kutoka US!
@andrewnjuguna688
@andrewnjuguna688 24 күн бұрын
Kama muhamed ni mtu wa allah ni wapi alijisemea yakwamba muhamed ni mtume wake?
@suleymanali431
@suleymanali431 24 күн бұрын
Sio wewe wa kwanza kuuliza kama muhammad ni mtume wa mwenyezi mungu walikua wengine kabla yako na mwenyezi mungu akawajibu katika qurani tukufu.(Aya wa (33) sūrat l-aḥzāb Muhammad si baba wa yeyote katika wanaume wenu, bali ni Mtume wa Mwenyezi Mungu na mwisho wa Manabii. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa kila kitu (Katika Quran yote, Muhammad anajulikana kama Mjumbe wa mwenyezi Mungu na ni Mtume". Maneno mengine yanatumika, ikiwa ni pamoja na "Mwonyaji", "mtoaji habari njema", na "mwenye kuwaalika watu kwa Mungu Mmoja" (Q 12:108, na 33:45-46)
@Sal.0
@Sal.0 24 күн бұрын
Hio ni Swali ya Upuuzi! Dunia MZIMA ina jua habari za MTUME Wetu, saw!
@andrewnjuguna688
@andrewnjuguna688 24 күн бұрын
@@Sal.0 na mnakasiriko😂😂😂,,ama hapo allah alisahau kusema
@andrewnjuguna688
@andrewnjuguna688 24 күн бұрын
@@suleymanali431 bro hapo ni maneno mengi ambayo hayajibu swali langu,kama halina jibu ni sawa
@suleymanali431
@suleymanali431 24 күн бұрын
@@andrewnjuguna688 kwani swali lako ni ipi. Si ume uliza wapi Allah amesema muhammad ni mtume wa mwenyezi mungu,Ama hasa suali yako ni ipi .ebu fafanua kwa maana muhammad 10000% ni mtume wa mwenyezi mungu
@peternyaga-jh7zb
@peternyaga-jh7zb 24 күн бұрын
Mbna kudanganya watu waislamu .. sefania 3:9 haisemi Arabic ndio lugha moja ni baada ya Dunia kuteketezwa kwa moto ukianza verse 8 ... Wah Ramadhan ata wewe niwakubadika maandiko
@thekingdragon8358
@thekingdragon8358 24 күн бұрын
WACHA CHUKI DOGO
@SheeMaryam.M
@SheeMaryam.M 24 күн бұрын
@@peternyaga-jh7zb twambie ni lugha gani watu wanaitia jina la MUNGU kwa lugha moja... Ila sio lazima uamini lazima upinge ndio ALLAH Aishi kuwa mkweli...
@Lucian-v5p
@Lucian-v5p 24 күн бұрын
Mnafanya editing. Mbona hizo zingine Hua hamuweki part 1or 2. Au mnaogopa kuonyesha kilichowapata
@saumbliz8983
@saumbliz8983 24 күн бұрын
Wewe una nyege tafuta Mume akutoe toka hapa​@@Lucian-v5p
@SheeMaryam.M
@SheeMaryam.M 24 күн бұрын
@@Lucian-v5p ata ya juzi ilikuwa na part 1 na prt 2 wacheni hasira msubiri, na kama video sio ndefu, kunahaja gani waweke prt na hakuna, kwa screen ishasema ni prt 1 kuweni wapole alfu ndio mrushe mawe baadaye
@haibazinjibari3020
@haibazinjibari3020 24 күн бұрын
Allah azidi kuwabariki na awazidishie subra Allahuma amin
WALIOCHAGUA KUSIKILIZA DAWAH BADALA YA KUCHEZA MPIRA WAELIMIKA
44:26
Straight Path Dawah
Рет қаралды 6 М.
VITIMBI VYA WANAWAKE KANISANI
1:11:09
Straight Path Dawah
Рет қаралды 4,4 М.
Самое неинтересное видео
00:32
Miracle
Рет қаралды 2,1 МЛН
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
Cadrol&Fatich
Рет қаралды 6 МЛН
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 14 МЛН
MCHUNGAJI ASHANGAA KUONA MAKATAZO YA ULAJI NGURUWE KWENYE BIBLIA
1:00:32
Straight Path Dawah
Рет қаралды 9 М.
Polygamy Debate Between Brother Dahud & A Bishop Part 2
1:01:04
The Early Church of the Lord Yeshua Nairobi
Рет қаралды 222
ASKOFU ATOKWA NA JASHO NYEMBAMBA NA KUONEKANA KULEMEWA NA HOJA.
39:58
Straight Path Dawah
Рет қаралды 8 М.
MASWALI YA BANDAUA NI UPI UMUHIMU YA YESU KWA M/MUNGU
38:06
ISLAAH ISLAMIC TV
Рет қаралды 16 М.
KWA NINI NIMESILIMU 22 August 2024
29:36
Abu Shuraim
Рет қаралды 89 М.
JE, BIBLIA IMEPOTOSHA AU IPO SAHIHI? (PART 1)
1:02:09
Straight Path Dawah
Рет қаралды 9 М.