Whozu - ROBOTI (Official Music Video)

  Рет қаралды 1,847,074

Whozu

Whozu

Күн бұрын

Пікірлер
@godywyne7671
@godywyne7671 3 ай бұрын
Nani yupo apa 2024 🔥🔥
@selemanimsahani3919
@selemanimsahani3919 5 жыл бұрын
Kama umekuja kuhakiksha kwa mala ya mwisho kuwa huyu mdada katangulia mbele za haki gonga like
@edigerjoseph6565
@edigerjoseph6565 5 жыл бұрын
Selemani M sahani 😀😀😀😀
@michaelkimaro9905
@michaelkimaro9905 5 жыл бұрын
R I p Martha wasalimie wot
@happnesmakorongo1973
@happnesmakorongo1973 5 жыл бұрын
Dah
@Fatu-yq3pr
@Fatu-yq3pr 5 жыл бұрын
Rip
@siwemaking7658
@siwemaking7658 5 жыл бұрын
@@michaelkimaro9905 wwe kiboko wasalimie wakinanani
@empaul3612
@empaul3612 5 жыл бұрын
Kama umekuja kuitazama nyota ilio zima jitambulishe kwa 👍
@isabelaleonard1691
@isabelaleonard1691 4 жыл бұрын
Kibosho oooooyyyyeeee
@OfficialKiliPaul
@OfficialKiliPaul 5 жыл бұрын
Kwahiyo Siku hizi chuga mademu ndo wanakalisha,hahahah,good job Whozu
@surusuru1994
@surusuru1994 Жыл бұрын
😂😂😂 wanatusingezia😂
@unambwegoodluck
@unambwegoodluck 9 ай бұрын
nic
@Selphar-u6i
@Selphar-u6i Ай бұрын
Kipaji kizuri saaana
@victorvancharlz
@victorvancharlz 5 жыл бұрын
Mbwa wew mamae, hii nyimbo inaniamshaga popote nilipo.. Juzi imepigwa nipo ukweni nikaenda kuicheza chumban. Ma mkwe akanibamba kumbe nae ngoma imembamba nae akaanza kulicheza
@sadamdominic7030
@sadamdominic7030 5 жыл бұрын
Duu,nimekuja kumuangalia martha tu.
@ishanhisharjun6469
@ishanhisharjun6469 5 жыл бұрын
2ko wengi
@barakachami8218
@barakachami8218 5 жыл бұрын
Roboti Good song pambana chaliangu pambana yaelayote Dingii lay Akuna kufeli
@lameckntahondi8073
@lameckntahondi8073 5 жыл бұрын
Duuu poleni sana watanzania kwa kumpoteza MATHA ,, R.I.P matha ulinichekeshaga sana kwenye hii video.... Sasa eti haupo Duniani
@yusuphjulius9853
@yusuphjulius9853 5 жыл бұрын
Whozu waga mwehu sana Ila namkubali sana coz yuko tofauti na wengine #robot🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@stanisdory2998
@stanisdory2998 5 жыл бұрын
Whozu hanaumia akiikumbk hii xku pole taif kumpotez mwanadad R.I.P BOSS MARTHA mung akurehem uko ulipo
@faridahmustafa3866
@faridahmustafa3866 5 жыл бұрын
Nmekuja kumwanglia hyu mdada vzr 😭 r.i.p
@ismailramole1700
@ismailramole1700 5 жыл бұрын
Piga kazi mdogo wangu...uko vizuri sanaaa 100%.unakipaji ya pekee.down low.
@blackmamba7553
@blackmamba7553 5 жыл бұрын
kila nikiingia KZbin lazima niiangalie naiona namba #01 on trending keep it up #WHOZUUUU
@fatnahiddy3530
@fatnahiddy3530 5 жыл бұрын
martha mi sizani kama nitakusahu my inaniwia ngumu sana siamini na staki kuamini kama kweli umekufa
@khadijamsafili7632
@khadijamsafili7632 5 жыл бұрын
iko poa Sana'a kweli muziki wako whozu unanoga sana ukiweka comedy like zenu tuone wangapi tunainjoi na comedy kwenye muziki wa whozu
@MabantuOfficial
@MabantuOfficial 5 жыл бұрын
Ulipo tupo big yani #kamatulivyo
@elisantesamweli9052
@elisantesamweli9052 5 жыл бұрын
whozu the baddest😱, mambo ni mingiiii na muda ni mchacheee😃
@renieartist
@renieartist 5 жыл бұрын
wee unajua 254 tunakupenda kweli
@Kaskazinimixtv
@Kaskazinimixtv 5 жыл бұрын
Good song Nyimbo kali endelea kufuatilia KASKAZINIMIX kupata interview zote za Whozu na wengine wote😀😀😀😀
@bobjimmy93
@bobjimmy93 5 жыл бұрын
huyu dada mwenye vest ya white..kwenye chorus anacheza vizuri sana...big up ninja bonge la ngoma
@wizkhamad4240
@wizkhamad4240 5 жыл бұрын
Kama umekuja uku baada ya kuskia uyu demu kafa gonga like ya hudhun😵
@edigerjoseph6565
@edigerjoseph6565 5 жыл бұрын
Wiz Khamad 🏃🏃🏃
@neymasilvester4802
@neymasilvester4802 5 жыл бұрын
Hahahahah
@rojamusa5650
@rojamusa5650 5 жыл бұрын
Hata mm pia nipo
@mulodenis9453
@mulodenis9453 4 жыл бұрын
Mungu. Mlaze. Pema. Madha%
@gbrizz_brizzyboy6498
@gbrizz_brizzyboy6498 4 жыл бұрын
Eka sa,.. Unajua bro
@yvonnelisah7739
@yvonnelisah7739 5 жыл бұрын
My favorite Tz artist 💋💋💋💋. This song is an anthem daily lazma niskize❤❤❤
@younginspired3899
@younginspired3899 5 жыл бұрын
Whozu baddest.. At list sijachelewa sana.. Haya waliorudia Mara 2 tujuane hapa.. Kichupa nikikali nachakinyamwezi 🔥🔥🔥🙌
@denisigaza9797
@denisigaza9797 5 жыл бұрын
Yuko vizuri kijana akaze buti
@unambwegoodluck
@unambwegoodluck 9 ай бұрын
coomedy! ulikiwasha big up my friend
@ommynaah3801
@ommynaah3801 5 жыл бұрын
Noumaaaa sana hujuag kukoxea dngoooooooo Unamjuaaa. Dingoooo
@oktaviandeo2486
@oktaviandeo2486 4 жыл бұрын
Ommy Naah harmoniže
@dreamz16349
@dreamz16349 4 ай бұрын
Huyo dada kulia kwa Whozu ,knows how to smile before Camera🎉🎉❤
@fabricemugheni2950
@fabricemugheni2950 5 жыл бұрын
Poa sana bro Team 243 Tunakubali tz Kuna vipaji
@saadiyahirsi8458
@saadiyahirsi8458 5 жыл бұрын
Tupo pamoja
@fabricemugheni2950
@fabricemugheni2950 5 жыл бұрын
Kongo +243
@yusuphandrea2083
@yusuphandrea2083 5 жыл бұрын
Huy mbwa anajuaaa sanaaaa mpk anakela sanaa namwona mbali sanaa kweny tasinia ya muzk wetu hap bong
@ebenezajibrian
@ebenezajibrian 5 жыл бұрын
kali kinoma yani kama unaamini s2kizzy haangushi mtu gonga like hapa
@selemanabduli2602
@selemanabduli2602 5 жыл бұрын
R I p Martha
@aniphakhamis5522
@aniphakhamis5522 5 жыл бұрын
R.I.P. boss martha hatimae leo umetuacha amakwel sie wanadam ni maua tu kusinyaa muda wote pumzika kwa aman na sie tuliobaki tukumbuke siku zetu zinahesabika
@selem2ungwe421
@selem2ungwe421 5 жыл бұрын
Whozu unaumiza 🙌🙌 ngoma kali sana
@masakaupdate1488
@masakaupdate1488 5 жыл бұрын
Daa uyuu dada Matha kafa daa video queen daa TUMKIE R.I.P bonge la song
@nambilili4269
@nambilili4269 5 жыл бұрын
whozu we ni msanii tena noma wadau km unaamen whozu anaweza weka like apo aone jisi gan.twamuelewa
@etabiboykb4524
@etabiboykb4524 4 жыл бұрын
Wimbo Mzuri sana bro whozu
@mwanambokahauliers1295
@mwanambokahauliers1295 5 жыл бұрын
Waliokuja hapa kwa ajili ya kifo cha matha tujuane
@muranisalim3572
@muranisalim3572 5 жыл бұрын
Mapenzi sineme 😆😆😆😃 nc kadunda ka roboti hiii cool whoz
@propertymedia8090
@propertymedia8090 5 жыл бұрын
I have seen pure Talent....the next Super star...254 tuko pamoja
@khadijakhamisi945
@khadijakhamisi945 5 жыл бұрын
Huyu jamaa ni xhda akoxeagi bhana
@mahamdummbaga2733
@mahamdummbaga2733 5 жыл бұрын
whozuuuuuuuu..... duuuhhh broo na apriciate ur work broooo unajua xanaaa
@djmatomatreezee4909
@djmatomatreezee4909 5 жыл бұрын
WHOZU, THIS IS A GURANTEE AND ASSURANCE FROM ME, DJ MATO MATREEZEE FROM 254.AM YOUR NUMBER ONE FAN
@nadyajuma5223
@nadyajuma5223 5 жыл бұрын
Nakupenda mpk kizungu zungu nyimbooooo kaliiiii 💕💕💕💕💕💕
@mwanatalenttv
@mwanatalenttv 5 жыл бұрын
#Whozu kaza sana mziki wa bongo mgumu sana kama umegundua uyo #mamsi ni toto la chuga gonga like kwa #whozu kama unamkubali #whozu gonga like twende sawa
@juliusmkwiji283
@juliusmkwiji283 5 жыл бұрын
Huu wimbo kila nikitafuta option ya ku like mara mbili naikosa! Jamaa yupo so creative. Wimbo mtamu sana
@vascovickodindo
@vascovickodindo 5 жыл бұрын
KANUNA KAMA NINIII .... KANUNA KA ROBOTI PIGA LIKE KAMA UMEKUBALI WHOZUUU NI FIRE
@rabyaramadhan9650
@rabyaramadhan9650 4 жыл бұрын
Vasco Vick ODINDO 🤔🤔
@jumannenyamohege
@jumannenyamohege 5 жыл бұрын
Singer and comedian hiyo ndo maana nzima Artist Big up Man mpaka wakurya Musoma tunakukubali We no mbayaaa TATA.
@alvinkirk2904
@alvinkirk2904 2 жыл бұрын
Dance moves check Talented check Beat check This guy is the best if you are still here in 2022 u are a legend . 254
@saidamsami508
@saidamsami508 5 жыл бұрын
anavyokula huo ugali sasa!!! , safi Whozu keep combat.
@nicsuu6062
@nicsuu6062 5 жыл бұрын
This Guy has never disappointed me ever since he came to the music industry. Lol +254
@eliasmrosso9939
@eliasmrosso9939 5 жыл бұрын
Good sana ma. Boy whozuu.....u atoaga upudated song and ya style is so unique keep it up
@everinallynn6940
@everinallynn6940 5 жыл бұрын
Mwaka huu ni shemela#mimimars ft #whozu
@samuelmwakyusa6737
@samuelmwakyusa6737 5 жыл бұрын
Ngoma Qal umejitaid whozu in fireee
@originalflo9829
@originalflo9829 5 жыл бұрын
Kama huna mkubali the only whozu gonga like yako apo chini 👇👇 Love this song Watching from 🇺🇸🇺🇸
@jkeyikashindi2471
@jkeyikashindi2471 5 жыл бұрын
Yeah💝💝💝💝💝💝@ayubutz26 whozu
@murutadhwamohamed9871
@murutadhwamohamed9871 5 жыл бұрын
Mpira wa simba
@rajeemohmmed5441
@rajeemohmmed5441 5 жыл бұрын
oy vp mbona kmya
@kigoseven9942
@kigoseven9942 5 жыл бұрын
Hlw ukowapi ww
@emilucydaniely4151
@emilucydaniely4151 5 жыл бұрын
nooma sana mzeee inatisha sana pambana mungu iko na ewe asante
@lenjeevara3407
@lenjeevara3407 5 жыл бұрын
Pwaaaaaaaaaaa I REALLY DON'T UNDERSTAND THE LANGUAGE BUT HUYU MSENGE JAMAN ANAWEZA
@samuelniyknkuru1168
@samuelniyknkuru1168 5 жыл бұрын
😂😂😂
@ruthshango7269
@ruthshango7269 5 жыл бұрын
😂😂😂😂
@Bnduati08
@Bnduati08 5 жыл бұрын
Chekini uyu mchizi 😁😁😁
@catherineewald4041
@catherineewald4041 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nmecheka jamaa msenge kwel asa umejuaje ka kaua ka uelew😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@gastomushi6880
@gastomushi6880 5 жыл бұрын
.....ooooooh my MAMILOOOO .....NKAPELEKE KIIIIIIIBOSHOOOOOO....PALE KINDI NKALISHE NDIZI INANAMBO.....KAKIIIINA .......NAKAUWA....KAKIIIIII...NAKAUWA.....
@pogbapogba4702
@pogbapogba4702 5 жыл бұрын
Ngoma ipo 🔥🔥🔥🔥
@mudyjef2225
@mudyjef2225 5 жыл бұрын
Ngoma Kali sanaa mzee
@emanuelsilayo7070
@emanuelsilayo7070 5 жыл бұрын
Atakapeleka kibosho akale ndiz aki whozu we trick sana
@sophiadaudi5218
@sophiadaudi5218 5 жыл бұрын
Duuuh endelea kupumzika kwa amani Martha 😢
@GPVEVO
@GPVEVO 5 жыл бұрын
Kama una mwelewa whozu nipe like
@irenimakuri
@irenimakuri 5 жыл бұрын
Gene
@AfricaYangu
@AfricaYangu 5 жыл бұрын
The acts btn u n ua girl zilikuwa chache but very fun. Nimependa.
@iddyshabani4144
@iddyshabani4144 5 жыл бұрын
kwel nakubal whozu
@NdayishimiyeAndre-l7l
@NdayishimiyeAndre-l7l Жыл бұрын
Kweri❤❤❤❤
@fabricemugheni2950
@fabricemugheni2950 5 жыл бұрын
From congo,nimeuzunika San kupata taharifa za kifo chako BOSS MARTHA Mimi na mdogo wangu tulikuwa shabiki wako sana Rip 😭😭😭MARTHA
@Mariam.kassiva
@Mariam.kassiva 5 жыл бұрын
Two favorite people in Tz, hamuendi mbinguni Kwa nilivyo cheka
@festobatuliko_tz
@festobatuliko_tz 5 жыл бұрын
Hili song nikiliskia huwa sichoki hata kidogo.
@mackykempstv7512
@mackykempstv7512 5 жыл бұрын
Hahaahaaha... Ila whOzu wee shwAiiin Sana'a! Ur born talented... Maana sio kwa mbio zilee za kupokea simu
@pascasiohubert2687
@pascasiohubert2687 5 жыл бұрын
umetisha sana man pia directer Fundi sana
@paulsantanatzee8301
@paulsantanatzee8301 5 жыл бұрын
Wee msenge mbunifu Sana utafika mbali kinoma me nakuelewa Sana whozu hili bonge la ngomaaa
@tensotv
@tensotv 5 жыл бұрын
Safiii Bhuda.... Umeua
@nurdinnatai7005
@nurdinnatai7005 5 жыл бұрын
Dingiii kaza man!! Huyo ndio manzi ya chuga
@imbatokamoyoni2209
@imbatokamoyoni2209 5 жыл бұрын
I luv the dance I luv the performance I luv the swag I luv the musicality I luv the location I luv the colour I luv creativity I luv how funny this guy is I JUS LUV THE SHOW BUT MOST IMPORTANT I NEED YOUR LIKES OR COME #IMBATOKAMOYONI#
@omarymalilo2953
@omarymalilo2953 5 жыл бұрын
IMBA TOKA MOYONI umetixha
@minmachineIX
@minmachineIX 5 жыл бұрын
Done
@rw_MM
@rw_MM 5 жыл бұрын
haya mazeee!!
@richardfaustinekiba1823
@richardfaustinekiba1823 4 жыл бұрын
Namkubali SNA jamaa
@Ashaidd-o1v
@Ashaidd-o1v Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉​@@omarymalilo2953
@jaymapepefatma5936
@jaymapepefatma5936 Жыл бұрын
This is love from Moçambique 🇲🇿🇲🇿
@witnessmaganga6683
@witnessmaganga6683 5 жыл бұрын
Rest in paradise.... video vixen matha 😖😖😖😖
@kuruthumngayonga3590
@kuruthumngayonga3590 5 жыл бұрын
Kufa kufaana nyimbo ya whozuu watu km woootee
@buharimwanga284
@buharimwanga284 5 жыл бұрын
ndugu ujue we international kabisa sema ukatuni mwingi decide kitu kimoja jombi
@naominandy94
@naominandy94 5 жыл бұрын
Kama unakubali Hwozu nipe like 👇🏼👇🏼🙏
@bahatimroki6357
@bahatimroki6357 4 жыл бұрын
Maqn
@hillaryoyaro5399
@hillaryoyaro5399 5 жыл бұрын
Heeeheeee hii ngoma si imenibamba ni comedy tu full time heeheee
@officiallewiskhan
@officiallewiskhan 5 жыл бұрын
First comment keep going bro
@shedlcknashon9894
@shedlcknashon9894 5 жыл бұрын
sanaaaaa borooooooo tupeee v2 vikali kama hiiiiiiii 👏👏👏👏👏👏
@aisharamadhan8778
@aisharamadhan8778 5 жыл бұрын
Nice one❤❤❤much love from Kenya☺☺☺☺☺
@richardmichael7523
@richardmichael7523 5 жыл бұрын
napenda jinsi muziki wake ulivyokwa na ujumbe pamoja na vichekesho
@sosteneskmboya5516
@sosteneskmboya5516 5 жыл бұрын
This Creativity is next Level.Nice one @Whozu
@sheilaporomoka8079
@sheilaporomoka8079 5 жыл бұрын
Wa kwanzaaa..... Nipo hapa tangu asubuhi....
@salomemwendo4281
@salomemwendo4281 5 жыл бұрын
jaman nyimbo nzuri like zen
@onjenikatindasa7315
@onjenikatindasa7315 5 жыл бұрын
Daaahhhhhh.......Whozu ......uwezo binafsiiii
@hdesantos8435
@hdesantos8435 5 жыл бұрын
#Mars anatak mwnaum wa Aina gan
@switbird24love57
@switbird24love57 5 жыл бұрын
Mbele ford nyuma container 😍😍😍😍i lov it
@hmedofficiel5201
@hmedofficiel5201 5 жыл бұрын
Je comprends pas mais suis fans💯✅
@BLASSMEDIATZ
@BLASSMEDIATZ 5 жыл бұрын
Upo vizurii whozu
@ewaldmrema909
@ewaldmrema909 5 жыл бұрын
Nipen like 300 kama mnamin wozu kaua na simba ita ua leo
@jcconfleakkid8328
@jcconfleakkid8328 5 жыл бұрын
we simba kama kawaidaaaaaaaaaaaa
@gilberthmdemu6495
@gilberthmdemu6495 5 жыл бұрын
Whozu kauua, ila simba wanafungwa
@saidilikwena7391
@saidilikwena7391 5 жыл бұрын
Umeikosa like yangu kusikia simba
@queentz7956
@queentz7956 5 жыл бұрын
Ewald Mrema tupo juuuh 🥰🥰🥰 wemefunga Kweli
@estargodfrey8458
@estargodfrey8458 5 жыл бұрын
keng ww
@davidngaga
@davidngaga 5 жыл бұрын
Hujawahi kuharibu toka uanze. Big up hommie
@zaddy2549
@zaddy2549 5 жыл бұрын
Love from🇰🇪🚀🚀
@isaackm3620
@isaackm3620 5 жыл бұрын
Pierre Dance 2:04 😂 😂 😂 mama nakufa .....
@faridatomno8784
@faridatomno8784 5 жыл бұрын
Ngoma iko on top from kenya
@imbatokamoyoni2209
@imbatokamoyoni2209 5 жыл бұрын
Another genius,,, Safi sana kama unataka kupata ujanja wa kuimba kama huyu mwamba #imbatokamoyoni# Ndio suluhisho lako
@Visibleeyemedia
@Visibleeyemedia 5 жыл бұрын
love from 254 Kenya
WHOZU - Huendi Mbinguni (Official Music Video)
3:13
Whozu
Рет қаралды 2,5 МЛН
Dj Mushizo x Ibraah Ft Jay Combat Ft Baddest 47 - WIVU Remix ( Official Video )
3:49
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
Whozu &  Baddest47 - AAH WAP!! (Official Music Video)
2:37
Whozu
Рет қаралды 3,4 МЛН
HARMONIZE - MATATIZO (Official Video )
4:01
Harmonize
Рет қаралды 30 МЛН
Misso Misondo - Tera Ghata (Official Music Video)
3:52
Misso Misondo
Рет қаралды 2,9 МЛН
Whozu x Director shaibu - Buku Remix (Official Music Video)
3:30
Whozu - Ding Dong (Official Music Video)
2:58
Whozu
Рет қаралды 652 М.
Lava Lava - Tuachane ( Official Music Video )
4:05
Lava Lava
Рет қаралды 24 МЛН
Whozu - Mazoea (Official Music Video)
3:26
Whozu
Рет қаралды 567 М.
Zuchu feat Toss - SIji (Official Music Video)
3:42
Zuchu
Рет қаралды 11 МЛН
Alikiba - Mwana (Official Music Video)
3:55
Alikiba
Рет қаралды 38 МЛН