Salama Na VANNY BOY Ep 54 | NDAGHA PART 2

  Рет қаралды 219,429

YahStoneTown

YahStoneTown

Күн бұрын

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #0762797291
Support us through anchor.fm/yahs...
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
Audiomack Link bit.ly/YahSton...
‪KZbin Link bit.ly/KZbinS...
Kutoka kwao Mbeya mpaka Dar es Salaam kwaajili ya kutafuta maisha bora na maendeleo kama wengi wetu ndo ilikua nia na madhumuni ya Raymond wa enzi hizo. Ingawa kuna kipindi ilifika alikua hataki kabisa kuskia habari za muziki, ila alipoambia kama kuna pesa ndani yake katika huo mchongo wa mashindano ambayo aliitiwa na akiangalia nyumbani moja haikai na mbili haijulikani ilipo akaona basi sawa, kwani nini? Na huo ndo ulikua mwanzo wa safari nzuri ya ki superstar ambayo anaishi nayo sasa.
Najua wengi wenu mlikua mnadhani labda yangezungumziwa madhila alokua nayo sasa ila kwa bahati mbaya (kwako) na nzuri kwetu, sisi tulizungumza naye kabla. So hii ilikua free na natural kama ambayo utaiona au kuiskiliza. Wengi wetu huwa tunapitia madhila na mitihani mingi tu kabla ya kujielewa na kusimama sawa sawa, na kupitia hayo ndo kujifunza na kuwa BORA kunatokea. Kuna msemo mmoja wa Kiswahili unaoenda kama, ‘asipo chafuka, atajifunzaje’, something like that.
Mimi Ray huyu nilianza kumsikia vizuri zaidi kutoka kwa AY ambaye ali spend naye muda mwingi hapa Bongo wakati wanafanya rekodi remix ya Zigo na nchini Afrika ya Kusini wakati Zee ameenda ku shoot video ya wimbo huo ambao Diamond Platnumz ndo ameshirikishwa, ila Vanny Boy alikuwepo all the way na mpaka kwenye video akatokea. AY aliniambia kuhusu ucheshi wake na uhodari wake, na uhodari huo ameuzungumza humu kwenye maongezi yetu mimi na yeye. Aliniambia jinsi ambavyo alikua akitumia kipaji chake enzi hizo kwa kuwaandikia wenzake wimbo mmoja na pengine mpaka album kwa shilingi ELFU THELATHINI TU.
Njia ambazo watu wengi wamepita haiwezi kuwa ndo njia ambayo kila mmoja wetu atapitia pia, ila kunaweza kuwa na mifanano ya hapa na pale, na hii ndo nia na madhumuni ya kipindi hiki. Tunataka wewe usikie na ujifunze ili ujue ‘unatokaje’ au watu walipenya vipi mpaka wakafika!
Sasa ni mmoja ya wasanii wakubwa tu hapa barani Afrika na duniani anafahamika. Bango la album yake linaning’inia kwenye mitaa ya Times Square huko NY City kwenye mji ambao raia wa nchi mbalimbali duniani wanaishi na kupitia. Sidhani kama wakati anahangaikia kufua nguo zake zilizomwagikiwa mafuta ya mawese wakati akiwa safarini kwenye lori kutoka Mbeya kuja Dar aliwahi kuwaza jambo kama hilo.
Mimi na yeye tulizungumzia pia mahusiano yake na wazazi wake, familia ya kufikia ya Baba yake ambaye aliachana na Mama yake na kuhamia na mtu mwengine si mbali na wao walipokua wanakaa. Tumeongelea mapenzi yake na muziki na kipaji chake cha uandishi. Tumeongelea jinsi ambavyo Madee alimpokea na Babu Tale ambavyo alikua na kama kusita hivi kwenye suala la yeye kusajiliwa WCB na mambo mengine mengi ya maisha. Yangu matumaini kama ilivyo ada, hapa utajifunza jambo pia.
Tafadhali enjoy.
Love,
Salama.
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz

Пікірлер: 366
@jamilahathumani4222
@jamilahathumani4222 3 жыл бұрын
Mliopenda rayvann kuhojiwa na salama tujuane
@jumajames2907
@jumajames2907 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nJuUnoJmer-BhrM..
@thaddeusjoseph8059
@thaddeusjoseph8059 3 жыл бұрын
Dunno if you guys gives a shit but if you are stoned like me during the covid times then you can watch pretty much all of the latest movies and series on InstaFlixxer. Have been binge watching with my gf recently =)
@victorxander6630
@victorxander6630 3 жыл бұрын
@Thaddeus Joseph yup, have been watching on instaflixxer for since december myself =)
@walaaabdallah3236
@walaaabdallah3236 3 жыл бұрын
I love you dady 😂😂😂ila rayvann ni mcheshe sana yaani uchoki kumsikiliza ila salama tunaomba umlete na diamond
@cj_ixi6865
@cj_ixi6865 3 жыл бұрын
Aise vanny kunakitu nimejifunza kutoka kwako God bless you my brother
@OnlyRuky
@OnlyRuky 3 жыл бұрын
This is my first time kuangalia na kusikiliza interview ya Rayv coz of salama sikujua km he's just kid and yupo very poa.
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 3 жыл бұрын
Kabisa
@jumajames2907
@jumajames2907 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nJuUnoJmer-BhrM..
@fridamshana9265
@fridamshana9265 3 жыл бұрын
Kooookkkkoo
@DRIPPINGPAIN
@DRIPPINGPAIN 3 жыл бұрын
ww VIIPPPII
@ismailmjessa6663
@ismailmjessa6663 3 жыл бұрын
Andaa interview na mond tunaisubiri sana mashabiki wako wewe salama na wa mond
@jumajames2907
@jumajames2907 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nJuUnoJmer-BhrM..
@NickolaussiNgassa
@NickolaussiNgassa 7 ай бұрын
Mbn washafanyaga mzee
@turukimedia
@turukimedia 3 жыл бұрын
Nimeipenda sana hii intaviw VANNY BOY big up sana nimejifunza kitu kupitia historia yako fupi uliyoitoa kwenye #Yahstonetown ... Big up Salama Jabir
@rebeccaamani8180
@rebeccaamani8180 3 жыл бұрын
Haya ndo maisha tu atakuwa kuish Han dharau hajib vibay anajiheshm swala la Paula linatokea tu hata kwa mtu wa kawaida namsikilizaga nyimbo zingine zinaniliza simchoki kbs pambana nataman uwe Zaid ya hapo.
@jumajames2907
@jumajames2907 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nJuUnoJmer-BhrM..
@stevenmashallo9756
@stevenmashallo9756 3 жыл бұрын
Aiseeee bonge la Interview ❤️🙌 salama screen shot hii comment yangu "Unafanya poa sana na uwezo mkubwa sana" Ipo siku nitakaa kiti hicho cha upande wa pili nitasimulia mafanikio yangu na wewe ndio utakae kua unanihoji.....love you mom❤️
@jumajames2907
@jumajames2907 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nJuUnoJmer-BhrM..
@mariasixmund7964
@mariasixmund7964 3 жыл бұрын
Kila la kheri
@yosephawilliam7043
@yosephawilliam7043 3 жыл бұрын
Kweli
@stevenmashallo9756
@stevenmashallo9756 3 жыл бұрын
@@mariasixmund7964 shukrani 🙏
@irenemaope9274
@irenemaope9274 3 жыл бұрын
Ooh my god napnd xna kuigiza na nakipaji lkn. Xjpta nafs hyo plz and plz nahtj hiy kituu
@greeneraston9728
@greeneraston9728 3 жыл бұрын
Dada salama tuletee nyingine salama na msanii mwingine siangilii tv ni hiki kipind tuuu uko very creative aisee
@jumajames2907
@jumajames2907 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nJuUnoJmer-BhrM..
@awadhijumaa939
@awadhijumaa939 3 жыл бұрын
Vanny boy namuelewa long time Mungu amlinde bila kumsahau salama jabir my c" kaz mzr
@jumajames2907
@jumajames2907 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nJuUnoJmer-BhrM..
@samniza1763
@samniza1763 3 жыл бұрын
Very impressed by his upbringing!! Don't loose that sight young man.
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
Daah rayvanny ame piga bonge la interview
@jumajames2907
@jumajames2907 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nJuUnoJmer-BhrM..
@theceefamily7764
@theceefamily7764 3 жыл бұрын
Rayvanny ujue uko pia na kipaji Cha kuigiza kabisa,nakuomba ukivumbue plz💪🌞🙏🇰🇪@Kenya.
@benikillahjoseph7996
@benikillahjoseph7996 3 жыл бұрын
Vanny kauuuua sana hii intetview👏👏👏👏
@jumajames2907
@jumajames2907 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nJuUnoJmer-BhrM..,
@rehemaedson5732
@rehemaedson5732 3 жыл бұрын
Wow nimejifunza kitu kwa hii historia fupi ya Vanny Mungu ana makusudi kwa kila hatua unafanya na marufuku kukata tamaa na pia hongera sana Salama kwa kazi nzuri nimependa interview yako kwa kweli imetulia sana mbarikiwe kwaa pamoja MAMA LA JAMII kutoka Egypt Misr
@mejuomar4397
@mejuomar4397 3 жыл бұрын
I did'nt knw you soo funny Mr.ray Thou its ma first time seeing you interviewed..254 we love you
@jumajames2907
@jumajames2907 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nJuUnoJmer-BhrM..
@sifamugwaneza8774
@sifamugwaneza8774 3 жыл бұрын
Yaani #Salama me nakukubal san wengi tunajikut tunajifunza kupitia vipindi vyako Mungu azidishe kukueka inshaallah pia #VanyBoy kajielezea vizuri mnoo
@ansijl
@ansijl 3 жыл бұрын
One of the best interview I have watched 🔥🔥🔥🔥🔥
@jumajames2907
@jumajames2907 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nJuUnoJmer-BhrM..
@BongoPlatformTv
@BongoPlatformTv 3 жыл бұрын
SAFI SANA SALAMA KWA INTERVIEW NZURI. LET ANOTHER 1 D. SALUTI KWA VANBOY
@fatnahsaleh860
@fatnahsaleh860 3 жыл бұрын
Nakupenda bure Rayvanny ❤
@achawanunetv1167
@achawanunetv1167 3 жыл бұрын
Mjinga tu wewe
@saraaudax8138
@saraaudax8138 3 жыл бұрын
Ata me nampenda kinyama
@Miss_Adisa
@Miss_Adisa 3 жыл бұрын
This was such an awesome interview!This boy is funny as hell who knew 😂. As usual Salama’s interviews are always entertaining and informative too.👏🏾
@jumajames2907
@jumajames2907 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nJuUnoJmer-BhrM..
@DRIPPINGPAIN
@DRIPPINGPAIN 3 жыл бұрын
TULIAAA kingereza chenyew shida
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 3 жыл бұрын
another Shem 😁😁😁😁vannyboy frm green city 💖💖among the best interview ever''✌️salama
@jumajames2907
@jumajames2907 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nJuUnoJmer-BhrM..
@bustani-inn7328
@bustani-inn7328 3 жыл бұрын
Great interview...nlikuwa simjui huyu kijana, multitalented
@jumajames2907
@jumajames2907 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nJuUnoJmer-BhrM..
@lutusigaza2148
@lutusigaza2148 3 жыл бұрын
Hii interview ilikuwa ni hot Sana nimeifuatiria kwa makini part zote 1&2 nikaja kugundua kwamba salama ametunyima uhondo yani ameikata Sana story nyingi ameziondoa
@jumajames2907
@jumajames2907 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nJuUnoJmer-BhrM..
@samuelnjogu5456
@samuelnjogu5456 3 жыл бұрын
True
@Sofiasad9659
@Sofiasad9659 3 жыл бұрын
Rayvannya na kukubali sana ila salama na mimi nataka ufanye interview na mimi mana uhomsosi so wa inchi hiiiii😋😋😋😋😋😼
@cash_boy254
@cash_boy254 3 жыл бұрын
Nmecheka😂😂😂😂
@jumajames2907
@jumajames2907 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nJuUnoJmer-BhrM..
@FromTanzaniatoNorway
@FromTanzaniatoNorway 3 жыл бұрын
While watching, i was just wondering, nikiitwa hapo na salama nitaongea nini😂😂 Salama unauliza maswali in a very smart way, i love your show! I see you somewhere else in 5 years to come! Love from Norway❤
@jumajames2907
@jumajames2907 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nJuUnoJmer-BhrM..
@salmaibrahim8725
@salmaibrahim8725 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@kazok892
@kazok892 3 жыл бұрын
Grassroot interview....I like this chic Salama .nice interacting questions...down to earth artist Rayvan...what a humble guy! Overall it was dope! Kizazi sana!
@fatmaharoun1534
@fatmaharoun1534 3 жыл бұрын
Nakupenda Sana da salama Sana pia vanyboy nakuelewa Sana🤲🤲🤲👍👍
@mamymamy4623
@mamymamy4623 3 жыл бұрын
Nakufatilia Sana salama napenda maswali yako
@safariadrien5348
@safariadrien5348 3 жыл бұрын
Tuma barua kwa platnumz pia tunamuitaji pia
@victoriadaizy5277
@victoriadaizy5277 3 жыл бұрын
Raymond mtuwangu inyeshe liwake❤️❤️❤️ 👌👌
@dafxclass
@dafxclass 3 жыл бұрын
Wangapi waliomaliza part 1 wakaja direct huku kwa part 2. Piga Kelelele🤣😄
@hamiskengwa6148
@hamiskengwa6148 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣💪💪💪🙌🙌🙌kwel
@dianamashala426
@dianamashala426 3 жыл бұрын
😃😃😃 vp Kuna walio shidwa?
@dafxclass
@dafxclass 3 жыл бұрын
wapoooo
@mwasimbega8712
@mwasimbega8712 3 жыл бұрын
One sijachek nimekuja two....
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 жыл бұрын
Tupo wengi🤣🤣🤣🤣
@musamowino3674
@musamowino3674 2 жыл бұрын
Salama Angekua bibilia ningekua poster ...salama nakufuatilia toka wakati wa planet bongo..nakukubali sana
@jamilahathumani4222
@jamilahathumani4222 3 жыл бұрын
Da exclusive bonge la exclusive aya bwana rayvan
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 3 жыл бұрын
Salama mda uko poa kbsaaa.mda ukiwa mrefu UNACHOSHA.dunia ya sasa mambo ni mengi.vichwa vmejaa.vanboy naona kakataa kuulizwa khsu paula.ila album yke ni FIREEEEE.fahma mrembo lkn si MSIKIVU.
@saudafakir5421
@saudafakir5421 3 жыл бұрын
Rayvanny on point always best interview ever.
@arabgandaempire
@arabgandaempire 3 жыл бұрын
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
@jumajames2907
@jumajames2907 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nJuUnoJmer-BhrM..
@nicksonbeyanga5267
@nicksonbeyanga5267 3 жыл бұрын
my best musician in Africa
@olimpasteven1968
@olimpasteven1968 3 жыл бұрын
watu wa ilalabwe biga kelele Tukuyu moja tukuti ndagha figho gwakumyitu tulipamupene
@lameckntahondi8073
@lameckntahondi8073 3 жыл бұрын
Hiiii damuuu kweli,???? Acha samaki watuiteee vampire... Hahahahahaha weka like..
@kmtormi6408
@kmtormi6408 3 жыл бұрын
😂😂
@hamzarashid9705
@hamzarashid9705 3 жыл бұрын
😂😂😂
@doricekaizirege8153
@doricekaizirege8153 3 жыл бұрын
Kirafiki sana Interview za Salama in Love nazo upo vizuri Mno 💌
@jumajames2907
@jumajames2907 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nJuUnoJmer-BhrM..
@ujenezasandrine6854
@ujenezasandrine6854 3 жыл бұрын
I really like samala's interviews..yqni salama is my one and only presenter or journalist in tz.nampenda hadi mwisho yiu know why? Interview zake hazina umbeya yani zinajenga tena za kisomi...haki kweli salama go higher you deserve it
@jamilahathumani4222
@jamilahathumani4222 3 жыл бұрын
Daimond nifundi yani yana anamaalifa mengi sana simba nimtu mmbadi sana
@jumajames2907
@jumajames2907 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nJuUnoJmer-BhrM..
@florianachilongola7618
@florianachilongola7618 3 жыл бұрын
Great interview. Make sure to show the shoes when announcing sponsors..
@innocentmushi1550
@innocentmushi1550 3 жыл бұрын
you have noticed the details🙌
@charlesmakena3731
@charlesmakena3731 3 жыл бұрын
Ya Leo kubwa sana,akili nyingi zimekutana yaani hautamani iishe,ingawa inakula BANDO,ya leo fupi sana
@jumajames2907
@jumajames2907 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nJuUnoJmer-BhrM..
@slimsan3859
@slimsan3859 3 жыл бұрын
DUH...!! JAMAA KAFANANA NA MZEE YUSUF
@shanatatrigger6537
@shanatatrigger6537 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@utunyaafunntengo4774
@utunyaafunntengo4774 2 жыл бұрын
Nimeipenda sana conversation yenu
@Belalargib
@Belalargib 3 жыл бұрын
NICE ONE
@rubyalyah5098
@rubyalyah5098 3 жыл бұрын
vanny nimempenda bure
@theddymsangy8441
@theddymsangy8441 3 жыл бұрын
His story is very motivational, inatoa matumaini sana kuwa usikate tamaa hata mara moja.
@alextanzania
@alextanzania 3 жыл бұрын
Waliosikia neno"utanasa" mara nyingi kuliko maneno mengine likes zenu hapa.
@jumajames2907
@jumajames2907 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nJuUnoJmer-BhrM..
@rammapenzmapenz8626
@rammapenzmapenz8626 3 жыл бұрын
Mimi nmependa sanaaa na nmejifunza ki2 kutoka kwenye this interview
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 3 жыл бұрын
Ahsante Qboy
@azizishauqiytz364
@azizishauqiytz364 3 жыл бұрын
Rayvanny anakula sana 😁😁😁
@humairamajengo6616
@humairamajengo6616 3 жыл бұрын
Mbona hujamuuliza ishu ya paula
@inocentibojo8204
@inocentibojo8204 3 жыл бұрын
Salama tudondoshee mjengoni mondi bin ladeni
@jumajames2907
@jumajames2907 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nJuUnoJmer-BhrM..
@mesatagirassane4853
@mesatagirassane4853 3 жыл бұрын
Uyu dada mnafiki sana, muongo sana
@prosphinarichard9283
@prosphinarichard9283 3 жыл бұрын
Nimejifunza vitu vingi sana
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 3 жыл бұрын
Namkubali sana vannyboy💪🇹🇿.
@happyalex9338
@happyalex9338 3 жыл бұрын
Nimekubl xan hii
@jayso5197
@jayso5197 3 жыл бұрын
Kuna wadau walikua wanasubiri swali la paula hawaamini kama interview imeishia hivi hatuwezi fanya part 3
@aishajafa4139
@aishajafa4139 3 жыл бұрын
hii inteview ni ya muda toka kile kipind cha nyange
@myinaprodigy583
@myinaprodigy583 3 жыл бұрын
Jaman yan hii interview nime enjoy sana nmecheka mno big up👍
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 Жыл бұрын
Pamoja sana 👏👏👏 mmetisha sana
@eliudmwadena3120
@eliudmwadena3120 3 жыл бұрын
Yuko juu na soo kind bro big up
@mohamedmaprosoo2457
@mohamedmaprosoo2457 3 жыл бұрын
Salama mtafute basi na Muheshimiwa Eric Shigongo
@mariambhake1075
@mariambhake1075 3 жыл бұрын
Kiukweli rayvan mungu akujalie Ila naomba hata kazi ya kugagia nipate mtaji
@classchomoclasschomo8773
@classchomoclasschomo8773 3 жыл бұрын
Acha samaki watuite vampare🤓🤓🤓
@elikanahadams8692
@elikanahadams8692 3 жыл бұрын
Salama kavalishwa viatu na JUSTFIT mbona huwa havionyeshi viatu venyewe
@harrietmwanyae4778
@harrietmwanyae4778 3 жыл бұрын
Vanny Nakuelewa afu nakukubali bro
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 3 жыл бұрын
Another shem!another one 🤣🤣❤🇨🇭🇹🇿
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 3 жыл бұрын
it's a question and answer Vany and Mond
@priscillakageha1689
@priscillakageha1689 3 жыл бұрын
Thus true you go with other one
@hamzanasry8011
@hamzanasry8011 3 жыл бұрын
Nimrtizama part1 mpaka mdaa nimeipata part 2
@keyfrancatsf7600
@keyfrancatsf7600 3 жыл бұрын
Fresh live in Moçambique
@emilymideva8783
@emilymideva8783 3 жыл бұрын
Nice interview vanny Boy l like it #254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🌷🌷
@jumajames2907
@jumajames2907 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nJuUnoJmer-BhrM..
@cruiseasphotographer
@cruiseasphotographer 3 жыл бұрын
kwa kwel nimeipenda hii 🔥🔥
@waidhungaweje1235
@waidhungaweje1235 3 жыл бұрын
So fantastic vanny boy
@davidnchoji
@davidnchoji 3 жыл бұрын
Salama you're always the best interviewer, i love you.
@abubakaryabby8529
@abubakaryabby8529 3 жыл бұрын
Tunaomba aje diamond
@fatimamubarak536
@fatimamubarak536 3 жыл бұрын
I really love your qution salama 😘
@GivenTobago
@GivenTobago Жыл бұрын
i didnt know that Rayvanny Is kind of a funny guy i love this interview makes me lough all the way
@shijasalyungu9589
@shijasalyungu9589 3 жыл бұрын
Naomba utuletee harmonize tembo
@moshiomarymnyeda8907
@moshiomarymnyeda8907 3 жыл бұрын
Chuiiii kama vivany boyyy 🐆🐆🐆🐆🐆
@awadhijumaa939
@awadhijumaa939 3 жыл бұрын
Watangzaj waige mfano wa salama sio mkrupuke
@balegadaffi4472
@balegadaffi4472 3 жыл бұрын
Jamanii baba Paula huku 😂😂😂😂
@yohanahbyzehomba1352
@yohanahbyzehomba1352 3 жыл бұрын
Wimbo baada ya show uko vizuri
@khalidtv6200
@khalidtv6200 3 жыл бұрын
Salama ana mapaja mazuri ii
@reginaphilimon782
@reginaphilimon782 3 жыл бұрын
Kunawatu walikuwa Wana subiri maswali ya Paula hawaamin wanachokiona😀😀
@denismvula6713
@denismvula6713 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂Tumepigwaaa
@reginaphilimon782
@reginaphilimon782 3 жыл бұрын
@@denismvula6713 🤣😀pole
@mahmoodalghefeili5370
@mahmoodalghefeili5370 3 жыл бұрын
@@denismvula6713 nahis hii inteve kabla ya sakata
@fahadmbonhaissa7127
@fahadmbonhaissa7127 3 жыл бұрын
Yan katik interviw ambazo huwa naenjoy bn van huw naenjoy san kwanz nd intrvw ambazo naangali had inaisha Nivan pekeake
@thisiszai2045
@thisiszai2045 3 жыл бұрын
Ienjoyedwatchinghis interview
@jumajames2907
@jumajames2907 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nJuUnoJmer-BhrM..
@mwanaidsalehe1109
@mwanaidsalehe1109 3 жыл бұрын
Salama tuletee platnum
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 3 жыл бұрын
Sema nn interview kama fupi hivi sema hiko poa sana
@jumajames2907
@jumajames2907 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nJuUnoJmer-BhrM..,
@tariqdasulley
@tariqdasulley 3 жыл бұрын
Rayvanny He's very talented 😎
@irenemaope9274
@irenemaope9274 3 жыл бұрын
Napnda jaman naomben xnaa plz and plz madam xalama
@onesmosuccess8434
@onesmosuccess8434 3 жыл бұрын
Salama iyo nyimbo niya msani gani! Iyo inayo pigwa mwisho WA pindi
@FlorenceDDR
@FlorenceDDR 3 жыл бұрын
Another shem 😂and thank you both for entertaining us 🤎
@jumajames2907
@jumajames2907 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nJuUnoJmer-BhrM..
@jumajames2907
@jumajames2907 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nJuUnoJmer-BhrM..
@lalaslove7831
@lalaslove7831 3 жыл бұрын
Salama huwa namkubali
@faidaryjuma9906
@faidaryjuma9906 3 жыл бұрын
😀😀😀 daah, ray anajua Sana alaf comedy.... Namqubali sana
@anorderick7162
@anorderick7162 3 жыл бұрын
Namkubali Vanny Boy sana..!
@paulsamweli2349
@paulsamweli2349 3 жыл бұрын
Hii ngoma ya background ni ya nani..!?
@SadimMavoice
@SadimMavoice 2 жыл бұрын
WATCHING IT TODAY
@elianeirakoze8562
@elianeirakoze8562 3 жыл бұрын
Nimeipenda sana
Salama Na Profesa ep 55 | MAPINDUZI HALISI Part 1
41:30
YahStoneTown
Рет қаралды 118 М.
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 1,5 МЛН
Synyptas 4 | Жігіттер сынып қалды| 3 Bolim
19:27
kak budto
Рет қаралды 1,2 МЛН
Epic Reflex Game vs MrBeast Crew 🙈😱
00:32
Celine Dept
Рет қаралды 39 МЛН
Salama Na VANNY BOY Ep 54 | NDAGHA PART 1
39:49
YahStoneTown
Рет қаралды 467 М.
Salama Na JOTI Ep 47 | SIMPLY SPECIAL PART 2
31:03
YahStoneTown
Рет қаралды 305 М.
Salama Na Idris Ep 8 | TROOPER Part 1
33:07
YahStoneTown
Рет қаралды 313 М.
Inawezekana Kufikia Malengo Yako Usikate Tamaa   Joel Arthur Nanauka
23:06
Mkasi - S02E03 with Steven Kanumba
26:51
MkasiTV
Рет қаралды 1,3 МЛН
Salama Na MR BLUE SE6 EP69 KHERI PART 1 SendTip MPESA LIPA NO 5578460
25:09
Salama Na JOTI Ep 47 | SIMPLY SPECIAL PART 1
35:15
YahStoneTown
Рет қаралды 473 М.
Salama Na Baba Levo Ep 26 | ALL IN ALL Part 2
23:11
YahStoneTown
Рет қаралды 227 М.
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 1,5 МЛН