Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@halimaramadhan29752 жыл бұрын
Jazzakum llahu kheir
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Amiin
@tumaserah50942 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aZK3dGiVpLqXmLc kitu taaam
@saebajoma8419 Жыл бұрын
@@zvpOnlineTvshekhe kuacha bila mashahidi je inaswihi nakwa SMS tuu bila kutamka
@nassabimohd1518 Жыл бұрын
Assalam aleykum...Mimi mume wang nimetengana nae mwaka wa tatu ....na kanambia niwe huru nikipata mume niolewe je hii nitalaka??
@abuyunusmohamed69612 жыл бұрын
ustadh samir wa zanzibar kaa na masheikh wakuelimishe kuhusu talaka naona unatuchanganya sana.
@abuyunusmohamed69612 жыл бұрын
@@alimzeeali2236 ufahamu wake ni mdogo.suala hilo lina tofauti ya wanachuoni.
@shariffhabshy67702 жыл бұрын
@@abuyunusmohamed6961 unashangaza sana sheikh amejibu vizuri sana kwa faswaha na uwazi kabisa.
@abuyunusmohamed69612 жыл бұрын
@@shariffhabshy6770 kajibu kama alivyofundishwa n sheikh wake lakini hakujibu kielimu na kupitia kwa rai za masheikh wengine na hiyo ni dalili ya elimu ndogo aliyonayo.