No video

YOUR FINANCIAL SUCCESS DEPENDS ON THIS...

  Рет қаралды 25,226

Success Path Network

Success Path Network

Күн бұрын

Please watch: "FIKIA MALENGO YAKO KIRAHISI "
• FIKIA MALENGO YAKO KIR... -~-
Ni mara ngapi umekua ukitumia simu yako unapita mtandaoni labda unamuona mtu ambaye unaamini anaweza kukusaidia jambo fulani na kutaka kuwasiliana naye?
Mara ngapi uliwaandikia watu kama hao na juhudi zako hazikuzaa matunda?
Je, ulishajiuliza wapi huwa mara nyingi tunakosea katika mawasiliano yetu tunapowaandikia watu wasiotufahamu kabisa?
Financial experts estimate that, 85% of your financial success comes not from your skills or knowledge but from your ability to connect with other people to trust and respect you.
ANZA HIVI UTAFANIKIWA : • Jinsi ya Kuanzisha Mao...
Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine.
.
NIFUATE MITANDAONI
INSTAGRAM: / ezdenjumanne
TWITTER: / ezdenjumanne
FACEBOOK: / ezdenjumanne
LINKEDIN: / ezdenjumanne
.
For Business please send me an email to:
ezdenjumanne@gmail.com
WHATSAPP GROUP : (+255) 716235195
NUNUA VITABU & T-SHIRTS : (+255) 759191076
#SuccessPath #EachOneTeachOne #EzdenJumanne

Пікірлер: 126
@joycemartin5306
@joycemartin5306 5 жыл бұрын
Habari Kaka Ezden. Mm naitwa Joyce. natokea Tabata. Kiukweli Sina budi kusema asante kwa hili maana mwanzo nlikua Mtu mzur ktk elimu hii lakini nilijikuta kupuuza kutokana na tabia ya wengi watuzungukao. hakika ww ni wa muhimu Sana ktk jamii na Mungu akuzidishie hekima mara dufu.
@successpathnetwork
@successpathnetwork 5 жыл бұрын
Karibu sana sana
@mariamnahodha2390
@mariamnahodha2390 5 жыл бұрын
Ni kweli usemayo Kaka. kuhusu vitabu ,mwaka Jana nirirudia mtihani ya kidato cha nne,nilijikuta ninauelewa Fulani hivi kupitia vitabu ambavyo nilikuwa najisomea.nitajitahidi ishaAllah
@awenanassor3169
@awenanassor3169 5 жыл бұрын
Allah Akutangulie
@fredykasege7652
@fredykasege7652 5 жыл бұрын
nakubar braza
@leonardmbito6488
@leonardmbito6488 5 жыл бұрын
Nimejifunza kitu!!! 👏🏻
@judithmwambe4767
@judithmwambe4767 4 жыл бұрын
Nimependa sana hapo ulipozungumzia kuhusu huo uandishi wa baadhi ya watu xaxa badala ya sasa, hawa watu wananiudhi mimi sanaaa yaani wangeingia katika nafsi yangu wangenikimbia kabisa.
@kipasonTechnologies
@kipasonTechnologies 5 жыл бұрын
Salute kaka! Endelea na moyo huo wa kutufunza kupitia clips zako na darasa lako la tatu za juma zimenifanya niwe tofauti kabisa.
@benitonganga3068
@benitonganga3068 5 жыл бұрын
Hakika unaifungua saa jamii katika suala zima la kujielewa.
@apsontemistokeles8676
@apsontemistokeles8676 5 жыл бұрын
Nakukubali sana kaka talks zako huwa zinaniinsipire
@teddyalex4592
@teddyalex4592 5 жыл бұрын
Umeongea na mimi leo....tena sana
@successpathnetwork
@successpathnetwork 5 жыл бұрын
Asante
@rahemahrahemah2719
@rahemahrahemah2719 5 жыл бұрын
Shukraan Kaka Ezden, wallah somo nzr Kwa wale wanaokosea ! Kweli heshima ni kitu cha bure lkn wengiwetu hili hawalitambui wanavuka mipaka , Allah akulinde ckuzote uzidi kutuelimisha Kaka angu thanks.
@Tino_Official_tz
@Tino_Official_tz 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 Dah kaka leo umenifurahisha sana. Kwa ufupi mim ni kijana niayedili na watu wengi kwa kiasi fulani kwa siku. Yaan nakutana na hilo jambo sio chini ya mara 5 kwa siku... ktk watu 20 wanaonitafuta Dm 15 utawakuta wa staili hiyoo😉😉😉 alafu wengine ni rafiki zako kabisa wanakuja kwenye upande wa biashara wanaleta kujuana yaani "wananikata" sana. Alafu ukijaribu kuwasahihisha duu utapewa maneno hayo yaan sijui sis watanzania tumekuwa na balaa gani. Asante sana kwa somo brother 👏👏👏👏
@henrysumbyangilioni2568
@henrysumbyangilioni2568 4 жыл бұрын
Ahhh. Kaka hangu asnte sana daahh . umenifungua mno.
@ahmedali0333
@ahmedali0333 5 жыл бұрын
Each 1 teach 1 big up broo Allah akuongezeee kila ulipo pungukiwa Amiiiin🙏🙏🙏
@saighilunyangusi4986
@saighilunyangusi4986 4 жыл бұрын
Daaah bro nashukuru umenifungua nilikuwa n makosa mengi Sana kiuandishi, nashukuru kwanzia Sasa natemananayo
@jeremiahmwasapilicharlie2926
@jeremiahmwasapilicharlie2926 5 жыл бұрын
nice
@Jeff_Tz
@Jeff_Tz 5 жыл бұрын
This is absolutely awesome brother. As a young man I learned something after watching this video. Thank you
@HamasaYaLeo
@HamasaYaLeo 5 жыл бұрын
Kazi nzuri sana hii kaka...
@mrshila1260
@mrshila1260 5 жыл бұрын
kweli kabisa kaka maana ake
@Mikyesolution
@Mikyesolution 5 жыл бұрын
Kaka nakuelwa sana huna nifanya na kuwa tofauti siku hadi siku asante sana
@kapelavictor
@kapelavictor 2 жыл бұрын
somo ni zuri sana
@bishop_jilangila
@bishop_jilangila 5 жыл бұрын
kweli
@rajabufundy2680
@rajabufundy2680 4 жыл бұрын
Dah brilliant sanaaa najilaumu nilikua wapi kama nimechelewa ivi!!!!!!!!!!
@josephatnyambi62
@josephatnyambi62 5 жыл бұрын
Hakika kaka uko vizuri kwa mafundisho umenifungua macho
@edwardmayunga6278
@edwardmayunga6278 5 жыл бұрын
Safi sana Mr.Ezden J.change the world!
@beatricepantaleo6282
@beatricepantaleo6282 4 жыл бұрын
Ni kwel unayosema kaka upo sahihi kabisa hatuna budi kubadilika huu umekua ugonjwa wa wengi!
@malegesibwire4978
@malegesibwire4978 5 жыл бұрын
Yan nacheka hapa kama ni mazuri eti "oy 😀😀😀😀
@eizerbitz6715
@eizerbitz6715 5 жыл бұрын
Elimu kubwa, inshaallah kheir Allah azidi kukupa maarifa
@satotv3881
@satotv3881 5 жыл бұрын
Nace talk kaka nakuelewa sana
@miim9429
@miim9429 5 жыл бұрын
Big up bro
@albertypascle7938
@albertypascle7938 5 жыл бұрын
Absolutely brother.
@abelbenedicto5392
@abelbenedicto5392 5 жыл бұрын
😂😂😂 Very,Very True, Haya Mambo yamekwamisha vijana wengi sana, Yaani unawasiliana na Mtu siku ya kwanza unajua kabisa huyu ni mtu wa aina gan, Mwishoe unamkwepa.
@jemairisparick7541
@jemairisparick7541 4 жыл бұрын
Hahaha unamkwepa 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️ it's true bt it's also better to correct instead ya kukwepa 🙈
@edmondjr17
@edmondjr17 5 жыл бұрын
Each one Teach one . 🙏🏽
@chrissmalloy9
@chrissmalloy9 5 жыл бұрын
Kweli bro nimekuelewa sana umeongea vitu muhimu sana
@deenassormoretv4885
@deenassormoretv4885 5 жыл бұрын
I like your respect your
@laymangoodmusictz3339
@laymangoodmusictz3339 4 жыл бұрын
hawa watu wakusema , Nambie , sijui , nataka Ku record, number ngeni wana kela sana ,
@Aisha-xx8qq
@Aisha-xx8qq 5 жыл бұрын
Shukrani
@judithmwambe4767
@judithmwambe4767 4 жыл бұрын
Tena wapo hadi watu wakubwa wanaandika upuuzi kama huo, yaani unapita mle mle ambavyo mimi nakerwa na uandishi wa kihuni huni kama huo.
@amirifundi3401
@amirifundi3401 5 жыл бұрын
Dah #kaka nikweli # eti ukisemacho #SALUTE BROTHER
@awenanassor3169
@awenanassor3169 5 жыл бұрын
Broo mim nakukubalii sàaana
@geniabilityboysammy7066
@geniabilityboysammy7066 4 жыл бұрын
Mambo vipi brother mimi naitwa Samwel naishi Tabora napenda sana vipindi vyako kulingana na elimu unayonipa
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
Asante sana Geniability boy Sammy kwa kufuatilia. Pamoja!
@omaryyusuph3251
@omaryyusuph3251 5 жыл бұрын
Thanks bro Tunaomba unapotuonyesha vitabu vya kutusaidia utuwekee na bei ili tukiwasiliana iwe ni issue ya kuvipata tu
@mariamngarama3268
@mariamngarama3268 5 жыл бұрын
Shukran kaka unanifunza mengi kila iitwayo leo
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 2 жыл бұрын
Safi sana
@mayungantugwa6092
@mayungantugwa6092 5 жыл бұрын
Dah hakika nakuelewa sana brother,
@mgallason...5686
@mgallason...5686 5 жыл бұрын
kwa kweli huwa nakuelewaga sana tena sana.
@shemahabdallah3232
@shemahabdallah3232 5 жыл бұрын
Safi bro Allah akuongoze
@chrismassawe326
@chrismassawe326 5 жыл бұрын
Umefundika kitu kikubwa sana mwalimu
@nyanzalakaporo2504
@nyanzalakaporo2504 5 жыл бұрын
Asante sana Brother
@mosesmgunda5955
@mosesmgunda5955 5 жыл бұрын
Asante sana 🙏
@ramampemba2060
@ramampemba2060 5 жыл бұрын
naomba unipe mbinu za kukuza bihashara yangu
@dominicmahega1970
@dominicmahega1970 5 жыл бұрын
Broo hilo kwel
@mwanahawashayo2795
@mwanahawashayo2795 2 жыл бұрын
Woooow! God bless you brother
@fettyfetty6091
@fettyfetty6091 5 жыл бұрын
Jazakallah kheir
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 5 жыл бұрын
Asante sana nimekuelewa
@eaziskawa3077
@eaziskawa3077 5 жыл бұрын
Respect brother I love you fact..!
@emotionalvoice972
@emotionalvoice972 5 жыл бұрын
Each one Teach one
@thegirl1405
@thegirl1405 5 жыл бұрын
Ahsante brother Allah akubariki
@tabithaerastoshukrani.90
@tabithaerastoshukrani.90 4 жыл бұрын
Sawasawa,Asante.
@salminjumah1384
@salminjumah1384 5 жыл бұрын
Nakukubali sana kaka
@aishaomar4318
@aishaomar4318 4 жыл бұрын
Asante kaka ubarikiwe
@rachelmwaki7454
@rachelmwaki7454 5 жыл бұрын
Kweli kabisa,, Mimi mmoja wapo ukinitumia sms zisizoeleweka uwasijibu.
@AaBb-jz9qb
@AaBb-jz9qb 4 жыл бұрын
Asante sana brother
@fezaamisi8504
@fezaamisi8504 2 жыл бұрын
Nashukuru sana kwakazi zako mungu akubariki sana
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
Ameen Feza Amisi, dua njema iwe kwetu sote. Be blessed!
@joseefaidabutu6467
@joseefaidabutu6467 5 жыл бұрын
Asante sana nimejifunza kitu
@HassanMohamed-vs4re
@HassanMohamed-vs4re 5 жыл бұрын
nmejifunza
@agathamichael8818
@agathamichael8818 5 жыл бұрын
Umenena vema bro asante
@bahatlusana3633
@bahatlusana3633 5 жыл бұрын
Ubalikiwe Sana kaka kunakitu nimejifunza89
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 5 жыл бұрын
Shukran
@frankfiretz
@frankfiretz 5 жыл бұрын
Ahsante Sana #Ezden hicho kitabu kizuri Sana hata Mimi nimekisoma na pia kwa wale ambao hawawezi kununua wanaweza vipata kwenye #playstore au #appstore na kwenye PDF EBOOK DOWNLOAD Kama unatumia smartphone au simu janja
@kulsoomkulsoom8897
@kulsoomkulsoom8897 5 жыл бұрын
Shukrani sana nimejifunza kitu Mungu akubariki
@ismailhussein5392
@ismailhussein5392 3 жыл бұрын
Kabisa umegusia ukweli
@benkhatau4992
@benkhatau4992 5 жыл бұрын
Thanks
@tariqkideu2381
@tariqkideu2381 5 жыл бұрын
Each one teach one
@mohamedhango1631
@mohamedhango1631 5 жыл бұрын
Ahsanteh kwa masomo yako mazuri na kiukwel huo ni uhalisia.
@chumbachaneemaccnonlinetv6271
@chumbachaneemaccnonlinetv6271 5 жыл бұрын
Hahahahah you are right .be blessed
@user-ik3ey9cs9e
@user-ik3ey9cs9e 5 жыл бұрын
WANATUMIA MISEMO YA MITAANI.
@kush_kidy97
@kush_kidy97 5 жыл бұрын
Thank u sir
@ongeshabani8324
@ongeshabani8324 5 жыл бұрын
Mungu awe nawe?
@rabansinkala5219
@rabansinkala5219 5 жыл бұрын
Pamoja
@joemouly7877
@joemouly7877 5 жыл бұрын
Asante sana kaka..
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 5 жыл бұрын
Hapo umenichanganya kwamba mbu unakazi ya kunyonya damu😃😃😃😃
@kalinjilamathias3953
@kalinjilamathias3953 5 жыл бұрын
I appreciate
@dottnatt7110
@dottnatt7110 5 жыл бұрын
Yaan nachukia wanaobadilisha erufi
@zulfajuma9897
@zulfajuma9897 5 жыл бұрын
mashallah brother ezden, Allah azid kukubariki na kukuongoza katka kaz zko, ahsante kwa kutuelimisha
@user-ik3ey9cs9e
@user-ik3ey9cs9e 5 жыл бұрын
THANKS
@zaitunimhewa1072
@zaitunimhewa1072 3 жыл бұрын
Brother nikweli kabisa watu wengine uwelewa wao mdodo
@hashimkiluwa5434
@hashimkiluwa5434 5 жыл бұрын
Waooh! what a nice slogan...each one teach one. Endelea kutupa elimu brother Ezden, hii page unaitendea haki. Nimezipenda tshirt nitakuambia nikiwa teyari.
@othmanmuhammad1650
@othmanmuhammad1650 5 жыл бұрын
As salaam alaykum, !,you rock,.!!, it's perfect ten,.!!.
@successpathnetwork
@successpathnetwork 5 жыл бұрын
Thank you
@khamismafia7335
@khamismafia7335 5 жыл бұрын
Vitabu vya kiswahili vinapatikana
@hudaa3469
@hudaa3469 4 жыл бұрын
Mimi na faya kazi miyaka 22sina kipaji chochote nime weka paka na choka
@tariqkideu2381
@tariqkideu2381 5 жыл бұрын
Allah akusimamie katika kazi zako
@sabitinaangovi77
@sabitinaangovi77 5 жыл бұрын
dah bro nikweri unachoongea nimekuelewa
@tariqkideu2381
@tariqkideu2381 5 жыл бұрын
Kila video najifunza leo umenigusa sana juu la swala la mawasiliako kuusu sms jinsi ya kujibu na kutuma
@albertodosantos8149
@albertodosantos8149 5 жыл бұрын
kaka nakuelewa San umenifundisha mambo mengi san
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 5 жыл бұрын
Basi naombeni msabscribe chanel yangu bonyeza picha share kwa rafiki zako
@abdulrahmanmussalonka4935
@abdulrahmanmussalonka4935 5 жыл бұрын
Me naitwa MafutaYaTaa DawaYaMbu, natokea jagwani kazi yangu kunyonya dam, duh.
@fridaynjenje992
@fridaynjenje992 5 жыл бұрын
Asanta kaka eziden kwa mafundixho yako mazur sana wewe na buradhak munisaidia sana kaka
@obagoabhiathan3565
@obagoabhiathan3565 4 жыл бұрын
Hii mada ya Leo sijaielewa naonan ipo nje na kichwa cha habari, pia naona kama ya michambo maan unaongea vipi tofauti na head line..
@hassanirajabu9191
@hassanirajabu9191 5 жыл бұрын
kinasomeka kwa lughagani?
SIO LAZIMA KIPAJI ILI UFANIKIWE, TAZAMA HII
23:47
Success Path Network
Рет қаралды 19 М.
SIRI YA MAFANIKIO ILIYOSAHAULIKA
17:59
Success Path Network
Рет қаралды 28 М.
123 GO! Houseによる偽の舌ドッキリ 😂👅
00:20
123 GO! HOUSE Japanese
Рет қаралды 5 МЛН
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 18 МЛН
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 13 МЛН
а ты любишь париться?
00:41
KATYA KLON LIFE
Рет қаралды 3,2 МЛН
JINSI YA KUWA MWENYE BAHATI ZAIDI - MBINU 9
16:30
Success Path Network
Рет қаралды 19 М.
MAJUTO MAKUBWA BAADA YA SHULE (NA SULUHISHO LAKE)
22:56
Success Path Network
Рет қаралды 22 М.
TABIA 6 ZA MAFANIKIO YA PESA
13:53
Success Path Network
Рет қаралды 132 М.
What is ChatGPT doing...and why does it work?
3:15:38
Wolfram
Рет қаралды 2,1 МЛН
MBINU ZA KUKUTOA KWENYE MADENI HARAKA
17:34
Success Path Network
Рет қаралды 17 М.
KINACHOZUIA FURAHA YAKO
11:32
Success Path Network
Рет қаралды 33 М.
How To 10X Your Memory & Learning [New speech]
29:09
Nishant Kasibhatla
Рет қаралды 1,4 МЛН
JINSI YA KUONGEZA FOCUS KATIKA MAMBO YAKO
13:48
Success Path Network
Рет қаралды 16 М.
HII NI DAWA YA UGUMU WA MAISHA YAKO
17:24
Success Path Network
Рет қаралды 68 М.
123 GO! Houseによる偽の舌ドッキリ 😂👅
00:20
123 GO! HOUSE Japanese
Рет қаралды 5 МЛН