1 kipato kisizidi matumizi 2 matumizi yasiyo sahihi 3 epuka mikopo isiyo ya lazima 4 tumia pesa uliyonayo tu si uliyoahidiwa 5 kuhakikisha kuwa na bajeti💪 6 kuepuka matumizi ya kutumia credit card Kama umemuelewa Ezden bin J4 gonga like
@petertemu61034 жыл бұрын
Kwenye kutumia fedha kwa kutumia cm huko ndiko dunia inakoelekea hatuwezi kwenye kuepuka
@abdulkisoma63054 жыл бұрын
Ebana bro mm naitwa Abdul shida yangu mm ni mtafutaji yani wakipato cha kila kila siku sasa mimi nacheza mchezo wa upatu ule wakila siku anatoka mtu nalipia shilingi elfu kumi kwa siku lakini naona kama natoa pesa nyingi kisha sioni faida na nikisema niache mchezo ndio siwezi kabisa kuhifadhi iyo pesa sasa sijui nifanye nn kaka EZDEN naomba ushauri wako
@brightonngowo56294 жыл бұрын
Abdul una tumia benki nenda benki Kama crdb au nmb alaf waaereze Hilo swala .Kisha mwisho mwa maerezo yako waambie unaitaji black account au reserve account itakufaaa
@brightonngowo56294 жыл бұрын
Abdul una tumia benki nenda benki Kama crdb au nmb alaf waaereze Hilo swala .Kisha mwisho mwa maerezo yako waambie unaitaji black account au reserve account itakufaaa
@kelvinsaimon25134 жыл бұрын
Safi
@shamsiamsaghati2 жыл бұрын
Hapa kwenye matumizi hapa sasa Itabidi nijitahidi kila ninachonunua niandike ili nione natumia kiasi gani ili niweze kujibajeti Nijue naingiza sh ngapi na kutumia sh ngapi kwa mwezi Shukran broo much love to you😍
@sebastiansikujua2982 жыл бұрын
Ushauri wako uko vizuri unatija kwangu mm ushauri wako tunaendana nakuombea mungu akubariki katika kkazi yako nakutakia maisha mema nakaz njema yenye tija
@EveAkoth-u7p Жыл бұрын
Shukrun kwa funzo. Nzuri
@msafirimponda17193 жыл бұрын
Habari Ezden Jumanne,asante Kwa kutuelimisha naomba unielimishe kuhusu bajeti Kwa upana zaidi,asnt
@jasminepeter75983 жыл бұрын
Najifunza sana
@amanimanase57944 жыл бұрын
Hahahaaaa asante kwa hili maana mi naliweza sana mpk marafiki zangu wakiwa sehem zao za starehe huwa wananikimbia but mm nasema its fine coz this is my life broo,hasa mm kinachonifanya nisitumie pesa ovyo nakumbuka nilipotoka na pia nina kiu na kuwa na pesa nyingi (utajiri) Niishi life flan ivi la kinyamwezi na family yangu
@atanasimbalinga10884 жыл бұрын
Respect
@MonaMona-qt5ef4 жыл бұрын
Nimeilimika kwa hilo shukran allah akujaze kheri
@ndaganimutera51144 жыл бұрын
Mungu akubariki sana unanisaidiya sana kwama fundisho yako kaka ubarikiwe sana
@FistonNdayisenga-yi9wz Жыл бұрын
Mungu akujaliy Kakayangu kwamafunzoyako anatumika kbx
@salmahanai36012 жыл бұрын
umenifungua kaka asante sana ndio maana nashindwa kusonga mbele kumbe niko rafu sana na pesa
@philimonijems57244 жыл бұрын
Amen kak nahid kubadilika somo nzur san
@alfreddominick74634 жыл бұрын
Mafunzo yako yapo vizur na mungu akabaliki
@darlinmandwanga68014 жыл бұрын
Alhamdulillah umetufungua macho maana nafanya kazi kwa bidii Ila pesa aiwekeki I don't know why but now nimepata jibu nifanye Nini
@marizonogola37254 жыл бұрын
Nimependa sana somo lako.
@khadijatamimi24954 жыл бұрын
Shukran sana nakufwatilia sana masomo yako yananipa mafunzo na akili ya kutulia nakusoma ni kiwa Dubai asante kaka ALLAH akuzidishie ilmu
@tumajunior60804 жыл бұрын
Nimekuelewa vizuri tu kbs shukran
@sarahlenny11182 жыл бұрын
Thanks nimejifunza kupitia ilisomo laleo na nitajifunza zaid🙏
@zaitunimchomvu35744 жыл бұрын
Nakuelewa vizuri Sana unanifunza vitu bingi mungu akulipe
@ermmanVennas4 ай бұрын
Dah!.kwel bro kuanzia Leo nitafanya mahesabu vzr
@bupedaudi80954 жыл бұрын
Jamani mimi nabalikiwa sana namafundisho yako. Asante sana kaka.
@PauloKadigilu10 ай бұрын
Asate😢😮😅😊 nimejifunza meng kwako
@kijanamstarabu36074 жыл бұрын
Ahsantee Sana mpendwa
@jafarighuli6964 жыл бұрын
Masha Allah, may Almighty Allah give which deserve to be upon you
@stingagency1748 Жыл бұрын
Shukran kwa ilimu Allah barik
@albanusmbithi34863 жыл бұрын
HONGERA sana wew unatujenga kimaisha
@sarahlenny11182 жыл бұрын
Thanks mimejifunza sana kupitia ilisomo lako la Leo na nitajitaidi kujifunza zaidi.🙏
@seurimollel6072 жыл бұрын
Somo nzuri sana
@benedictmangoo42224 жыл бұрын
Asante sana kwa mawaidha yako
@francomgaya98472 жыл бұрын
Kaka nimekuelewa kweli God bless you and me
@khadijajuma38874 жыл бұрын
Shukran sana nimejifunza
@robertluge42634 жыл бұрын
Asante kwa kufundisha somo zuri mimi nnatatizo hilo la bajeti tena linanisumbua sana ndugu yangu naomba msaada wako
@hassanovajunior69724 жыл бұрын
It's a very important Lesson in our society nowadays shukran My Brother Ezden nakielewa miaka yote 🙏🙏🙏
@jamesjustinian48633 жыл бұрын
Ya 7 ni kujiepusha na marafiki wenye kupelekea matumizi mabaya ya fedha
@RamadhaniShabani-nc5veАй бұрын
Masha Allah
@brianpig82994 жыл бұрын
Asante kwa msaada maana ni kweli tunamatumizi makubwa kuliko kipato.
@darlinmandwanga68014 жыл бұрын
Asante Sana Kaka ezden jumanne
@mkibandulo12314 жыл бұрын
Asante nimekuelewa vzr Allah akujaze kheri ishaallah
@thobiaslameck44304 жыл бұрын
Nilichelewa sana kukufuatilia kaka wew ni zaid ya mwalim mungu akubariki uzidi kutoa elimu muhim kama hizi.
@johnmwaikambo86234 жыл бұрын
Safi sana nimeipenda hii
@mugaberobertmugaberobert13433 жыл бұрын
NC advance Bro
@freddyngabonziza58644 жыл бұрын
Mashallah Allah akubariki shukran sana
@hajimkandi90704 жыл бұрын
tupo pamoja
@aisackkandonga66862 жыл бұрын
Asant brother atakama ni mechelew nimejifuza asant
@hudaally25994 жыл бұрын
Nimekuelewa vizuri kaka ilaongeongelea pia swala la kuridhisha marafiki katika matumizi ya fedha
@nataliasr301310 ай бұрын
Asante sana ubarikiwe
@halimahalima75444 жыл бұрын
Asantee Kaka nimekupenda buree
@kalmerystephan88814 жыл бұрын
Ahsante sana kwa somo nzuri nimejifunza kitu
@titomhagama55454 жыл бұрын
Safi sana
@barakaezekia33823 жыл бұрын
Mungu akubaliki
@sarahsarah49194 жыл бұрын
Asate sana kaka hap nimejifuza kitu mana sijuwi kutuza hela
@elihurumamaiko16694 жыл бұрын
Uko vizuri
@deusjohn11074 жыл бұрын
Nimekuelewa bro nizamu ya fetha ni muhimu sana eti mnafungua dirisha langine la mr kuku limited mwezi wa ngapi maana niliweka matumaini yangu kwa mr kuku lakini napiga simu ofisini naambiwa wameshafunga hawapokei tena wawekezaji tokea nimeambiwa ivo sina raha tena nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana nitafanyaje nilitegemea lakini mwisho wa siku ndio ivo uliwahi kusema mtu usiweke furaha katika vitu lakini furaha yangu kuu ninayo ila hii ya mr kuku pia ili kuwa furaha kwangu maana ilikuwa ni fursa nzuri basi hakuna namna bay Deus john Mimi napenda sana kusubutu jambo sinaga uwongo wa kufeli wala hasara pindi dirisha langine mtakapofungua nitakuwa wa kwanza kushea
@khalifalutonja61254 жыл бұрын
Somo zuri sana brother. May Allah bless you.
@kalundepeter26063 жыл бұрын
Nashukuru Sana broo unanirudisha kwenye njia🙏🙏
@joycengatunga30524 жыл бұрын
Kaka, shukrani sana kwa elimu hii, ingawa nimechelewa kupata darasa, lkn nimejifunza kitu, asante sana
@elizashirima59864 жыл бұрын
Nimekuelewa brother
@erickpeter65583 жыл бұрын
Am.happy for.sorty you.
@aletiusierasimusi45044 жыл бұрын
nimekukubali sana yani ntakufatilia broo umenifunza kitu
@arqamibnarqam.71854 жыл бұрын
May ALLAH bless you my brother,umeniokoa ktk Giza Alhamdulillah.
@musinguzufred83152 жыл бұрын
Nikwell mafundishoyakonimazu asantsan
@irenemziwanda33124 жыл бұрын
Nashukur sana
@justinedaudi93964 жыл бұрын
Mm nimekupenda sana hii
@masesakipara70182 жыл бұрын
Asante Kaka kwa kutuelimisha hii ya kutembea na pesa nyingi nimesha iacha ilikuwa inanipa matumizi siyo
@samboy91774 жыл бұрын
Saf sana kak
@chrismassawe3264 жыл бұрын
Elimu nzuri kuliko ya darasan
@alfredjoshua86254 жыл бұрын
somo zuri sana nikupata vyema.
@saidkamus91694 жыл бұрын
Thanks bro Allah akubarik sana
@medsonstarlon08054 жыл бұрын
Shukrani sana sana
@othmanhamad20783 жыл бұрын
Like it broo
@kenydeclassic15773 жыл бұрын
,Nice. Bro
@ernestermpunza52524 жыл бұрын
Nafurahia sana somo nzur
@moseskipkemboi98844 жыл бұрын
Mashaallah tabarkaallah elimu nzuri
@katanaali50834 жыл бұрын
Worthy practices that can indeed change the status of life. Quality staff brother,
@mcyudasicqo96104 жыл бұрын
Mungu akubariki sana,kwa somo. La maana
@amanimakumbi66114 жыл бұрын
Safi sana homie thank you somo limeniingia sana . Umenisaidia sana kwenye hili somo
@donathkimaro19314 жыл бұрын
Ushauri wako mzuri sana tutaendelea kukusapoti na kutoa mawazo hendelevu
@madownloadionlinetv7594 жыл бұрын
thanks you for your geet thinking bro ww upo sawa sana pne nikifaniwa ww ni mchango kwangu usihofu sicomment muda mwingi but naku appreciate sana ww in term pf your topical in examinining knowledge
@abdullali98113 жыл бұрын
Nime kuelewa br bgp sana
@josloitalal47744 жыл бұрын
If am the first to view just like let's show some love for our very own Ezden jumanne 💪💪 the legend 💪💪
@successpathnetwork4 жыл бұрын
Umetisha!
@josloitalal47744 жыл бұрын
@@successpathnetwork barikiwa sana brother,,, fan from kenya 🇰🇪🇰🇪,,,,, keep it up coz umesaidia sana vjana wengi
@successpathnetwork4 жыл бұрын
@@josloitalal4774 Thanks buda...
@josloitalal47744 жыл бұрын
@neno Elimu tv Thanks,,,, always prayers is my portion
@kingssimbahh9324 жыл бұрын
Nimeipenda shukran san broo
@abuukajembe854 жыл бұрын
Vizuri kaka
@nasranassor67964 жыл бұрын
Asante hilo la 6 nilinotice kitambo Thnx alot
@twalibjabey79194 жыл бұрын
Soma zuri sana. Nimeelewa
@khadijajuma38874 жыл бұрын
Allah akubariq kaka najifunza mengi kupitia wewe
@gabrielkikwanga45594 жыл бұрын
Mr Jumanne, am very inspired by your advices. kiukweli hiyo ndio changamoto kwangu. kila nikipata hela bhana, hujui inaisha je gafla tu. lakini kupitia ushauri wako leo hii , nimejifunza mengi sanaa
@godfreythomas96914 жыл бұрын
Somo zuri kweli yani ntaanza kupanga matumizi nyumbani
@juhudiacademy21704 жыл бұрын
Thanks bro
@charlesmoore36154 жыл бұрын
Free class big up bro kwa mawazo yanayoishi na yenye faida!!!!!
@allfaeliasi74404 жыл бұрын
Nimekusoma brother thanks
@dogoroma19214 жыл бұрын
Mkn brother nimeelewq
@abdulbogoyo12434 жыл бұрын
Shukran ticha
@nuruelymmbando77774 жыл бұрын
Thank you bro nikwelia aisee huwezikujua kiasi cha fedha unayokwenda kutumia kabla yakujua unachokihitaji haswaa: yani kama vile unanisema mimi kabisa aisee
@dicksonstephen33204 жыл бұрын
Asante Sana bro
@husseinbakari96184 жыл бұрын
Ramadhan qarim brother Asante
@hawamitigo60554 жыл бұрын
Thanks a lot nimejifunza kitu
@abdallahhashim99812 жыл бұрын
Ezden jumanne brother mm kila nikiangalia video zako uwa napata amasa kubwa niangalie na nyingine asante sanaa
@yessemnyali51694 жыл бұрын
Asante kaka
@successpathnetwork4 жыл бұрын
Asante sana Yesse Mnyali kwa kufuatilia. Pamoja!
@zoomemedia44524 жыл бұрын
Tabia mbaya sana hii matumiz kuzd kipato i got yu
@hamismusa10164 жыл бұрын
Shukran kaka
@pauledward69724 жыл бұрын
Fantastic lesson bother
@medsonstarlon08054 жыл бұрын
Kiufupi, pesa inahitaji nidham sana sanaa
@samsonlucas28804 жыл бұрын
Hiyo ni Sawa kabisa Kwa kuomgeza bro me naweza sema pia kukosa ubunifu Wengi wapo kwenye Ajira na tatizo linakuwa kwenye ubunifu wa wao kutumia kidogo wanachopata Hivyo hujikuta mshahara wote kuishia kwenye nauli chakula na matumizi mengine yasio Rasmi Hivyo me naona kama ni vyema kuwa na ubunifu wa kufanya plan B ya kujikimu ili kuwa zaidi kwenye kipatao