😂😂😂😂 Beka kwa style hii kaka, una kiti chako motoni.😅😅😂.
@Millerremmy10 ай бұрын
Hahah napenda utani Wa beka na mama madikodiko
@AishaAishaathuman-ov5pk10 ай бұрын
Jamani, ati anavyara kama tsongo😂😂😂😂
@كامليا-ر7ز10 ай бұрын
Jmn beka 😂😂😂😂
@DelightfulPenguin-wk4kv10 ай бұрын
Bujra mwambie beka asiaibishe mwenziwe leo yy kesho beka nae ni zamuye
@ZulfahMuhammad10 ай бұрын
Beka umeshindikana kwa tabia kamaa uachi kweli utafika peponi umechoka sana 😂😂
@77Bdb9 ай бұрын
Aaaaah huyu beka hakiya mungu hajafanya vizuri kabisa mungu anakuona lkn
@002RYE10 ай бұрын
Shemegi anavyala kama tsongo😂😂😂
@leilasaid362310 ай бұрын
Huwa nafurahi kuona kazi za beka
@Saumusidi-t4z10 ай бұрын
Mm binafusi ningerudisha
@waylayy10 ай бұрын
Beka yo kampuni ya ndifu ikuphi nami mphiye😂😂😂😂
@zaharaidd844510 ай бұрын
Beka anakaa kua na hiyo roho...😮
@sadahamad615810 ай бұрын
Beka haishiwi maneno 😂😂😂😂😂
@aishabarua685710 ай бұрын
😂😂😂😂, unaibisha myao kupata rorosi😅
@HassanGuro-c9n10 ай бұрын
Bujra kumehabika huko beka asomea jirani
@lailatbakar582910 ай бұрын
Mbona haijafika mwisho?!
@lailatbakar582910 ай бұрын
Good message 👏🏼
@maysaghjii50589 ай бұрын
Beka unadhambi kubwa
@husnasalim96149 ай бұрын
Kama mimi nakupiga nachakulachako sikitaki😂😅
@MwanasaadaAsha-es6ov10 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉
@khadijaali465710 ай бұрын
Aa beka Leo umeniboa 😢
@MariamRiziki-o8x10 ай бұрын
❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂
@SanuraNdune10 ай бұрын
😂😂Beka alioa kumbe
@SaumBby7 ай бұрын
Maskini siovizuri beka😂😂
@asiasalim932310 ай бұрын
Beka hujjawah wacha mtu salama , Ila ubadirike
@MeshMesh-rk9km10 ай бұрын
Beka sip poa nwe vyenye wafnya 😂😂😂
@maggieluvuno466610 ай бұрын
Palipo na Bekah jamani 😂😂😂😂
@TinaleilatinaTinaleila10 ай бұрын
Bujira hio ni taiti ama macho yangu ndan ya kanzu😂😂😂😂😂😂
@ZaytoonaKarama10 ай бұрын
Beka una ulimi wa kidigo tabia za watu wa msambweni
@ShebanlyKigala10 ай бұрын
😂beka weee😅
@aminapili297810 ай бұрын
Sidhan kama beka atanunua hivo vitu vote
@bahatithoya-dy4cq10 ай бұрын
Beka ww
@amashuwa10 ай бұрын
Assalamualaikum Zakatulfitr haitolewi gharama ndugu. Inatolewa chakula moja kwa moja. Ki hapo ilikuwa itolewe kilo 10tu wala sio gharama. Ikiwa anataka kuongezea kwa juu, basi ataongeza kama swadaka tu hizo gharama za vitoweo. Huu ndio msimamo wa wanazuoni wengi.... Afuan
@Mealii-lx3hm10 ай бұрын
Unavyala kama tsongo ila sio vizuri beka
@leilasaid362310 ай бұрын
Beka
@abdab84669 ай бұрын
Lakini beka amemfungua macho huyo kijana ,kumwambia aende akatafute kazi ya muelekeyo,
@MwanaishaSalim-zr4gv10 ай бұрын
Astakafiru beka haifai
@AshaMbeyu10 ай бұрын
Beka wacha kuchamba watu eid yataka ukitoa toa na roho safi hiyo yako ni mbaya sasa wasema lakini sizako hizo pesa
@AliMohamedNgao10 ай бұрын
Beka yuaboa
@fatumakale70048 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@albanimusa91333 ай бұрын
😂😂😂😂beka
@MishiMwambaji10 ай бұрын
Beka sipoa unavyofanya kutoa ni moyo
@Mariam-fm8vq10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@teedullah570810 ай бұрын
Beka jamani
@hassankitauro10 ай бұрын
kiscol
@OmarKadidi10 ай бұрын
Beka jmn umsaidie mtu halafu umsem 😂😂😂😂weeee ukifika mbinguni wallah umechoka😂