copyrights of zamaradiTV Produced by Zamaradi Mketema Host: Zamaradi Mketema Aunty ezekiel. Wema Sepetu.
Пікірлер: 984
@ramlaabdul28234 жыл бұрын
Kila mtu anamtakia kheri wema apate mtoto eeh mungu wetu muumba mbingu na ardhi muweza wa your hakuna linaloshindikana kwako tunakuomba mjalie wema wetu mtoto😭🙏🙏🙏🙏🙏
@zuu90074 жыл бұрын
🙇♀️Ameen
@shuusimpson69874 жыл бұрын
Wema yupo vizuri😘,zama kipindi kizuri hongera sana
@rosemsiani7614 жыл бұрын
Shuu Simpson
@siaammo11044 жыл бұрын
Jamani hongereni sanaaa da zama walete tena wema na anti.yaani leo nimecheka Sana'a , mada ya motomoto kweli
@yasintaswahasni47474 жыл бұрын
@@siaammo1104 my icho ndio kipindi chao kwaiyo utawaona kila wiki
@_.sheisherself._4 жыл бұрын
Ivi nani ka notice wema ako na point and ako matured than ata wenye watoto oooh gosh i like some wema ❤️😍😍❤️🔥 #teamwema4life🔥❤️
@bidiiyako68034 жыл бұрын
Mm hapa, nimenotice, Kusema kweli, Ni watu huwa wanamuoneanga wema, ila she's really a very nice and a Girl..as well ako sawa kabisa Nampenda Sana huyu dada yetu!!
@sakinahamza17584 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@rajabuhashimu86754 жыл бұрын
zama kipindi kizuri sana hukoseagi mama
@filberthabashi33664 жыл бұрын
Wema is matured kuliko ant ,, japo bado hajapata mtoto,, Mungu akujalie tu upate mtoto dada yangu,,
@patrisamisalimu99034 жыл бұрын
Filbert Habashi kasom san bas tu ya mung meng
@filberthabashi33664 жыл бұрын
@@patrisamisalimu9903 yan ni kweli sometime education matter
@maimunaathman46644 жыл бұрын
Amiin
@rabinzsinoya81604 жыл бұрын
Mungu ni mwema atapata ziku asiyo zani wala kufikili, Mungu ndio kila kitu
@nemhinapolenisanahakiyamtu23214 жыл бұрын
Kweli kabisa
@storylovelytv70254 жыл бұрын
Aunt nakukubali sanaa una misimamo ya kutopenda kuyumbishwa ...wewe ni fantastic . Napenda sanaa uko on reality sanaa .
@ruthrm17134 жыл бұрын
Wema uko vizuri Mungu akujalie upate mtoto najua unaumia sana kwa hali hiyo ya kutokuwa na mtoto utapata ucjali Mungu ni mwema.
@florencembithe22444 жыл бұрын
Wema congrats Kila time unaongea point miss Tanzania,,, I like it from🇰🇪🇰🇪
@irensanasio11094 жыл бұрын
We uko vizur❤❤❤❤
@winiemmary9684 жыл бұрын
Aunt yuko real sn na akiulizwa swal anavaa kwnz kiatu hali inayompelekea kujibu kihisia zaid
@user-mm5tf7yn6p4 жыл бұрын
Mungu musaidie wema apate mutto ayitwe mama furani 👏👏👏👏👏👏🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@nataliekamaka42164 жыл бұрын
😂😂😂iko kiswahili ni konk 😂😂😂 ayitwe?
@janethjustin52564 жыл бұрын
Aunty unanifurahisha sana😁😁😁😁😁 wewe ninomaaa
@tupilikemwanyemba28534 жыл бұрын
Wema una point za kikubwa sana. Iseee nimekuelewa sana kipenzi. Ila nawapenda nyie nyote
@valentinsimon68904 жыл бұрын
R
@valentinsimon68904 жыл бұрын
Rahma Aziz
@bidiiyako68034 жыл бұрын
Rahma Aziz Safi kabisa!!
@faridaemmanuel86624 жыл бұрын
Wema anamapenz ya kweri kwa mume na watoto sema bas tyuuu
@abinellymhawi57224 жыл бұрын
Sanaaa
@theosabino84974 жыл бұрын
Hongera sana wema point zako nimezikubar sana ,mungu akujalie nawe umweze kupata mtoto ubarkiwe sana kwan nimejifunza kitu kwako
@eliyajohn39994 жыл бұрын
Nakuombea wema Mungu akujalie upate mtoto
@lovenessgodson10754 жыл бұрын
Aunt noma sana nimekupenda mno ♥️😃😃😃
@daughterofgod91854 жыл бұрын
Kuki nimempenda sana soo cute kweli watoto ni innocent 😀😀😀😀😀 hatuwezi kumlaumu baba Kuki ingawa hamna aliemlaumu ni mawazo yangu tuu, maana hata ningekuwa Mimi kidogo ningekuwa na wasiwasi sababu tunasikia kesi nyingi sana sasa hivi kuhusu watoto kufanyiwa mambo ya kusikitisha , ukweli ni ngumu kujua nani mwema nani mbaya. Let respect everyone feelings.
@gracesaidamwanzia67174 жыл бұрын
Aki ,aunty uko real.Umenifanya nichukue sana.I love you all.Cogratulates zama kwa zamaradi tv.
@mahengeomary38854 жыл бұрын
nawapenda wote mliopo hapo wema zama na aunty hongera zama kipindi ni 🔥🔥🔥
@hatamimnimempendabulejaman15964 жыл бұрын
Ya hata mie nawapenda wote hapo
@hatamimnimempendabulejaman15964 жыл бұрын
Hata zamaradi nampenda kozi yupo pisi nilishamuonaga laivu akawa mwenyewe anakuchekea mtu
@hatamimnimempendabulejaman15964 жыл бұрын
Ya ni kweli hata umpe nini yule mtot bado atadili na mama yake
@shamsanasry85784 жыл бұрын
Namkubali San aunt hapendagi ujinga ila allah akujaalie da wema upate mtoto zamaradi allah akuzidishie
@zaudatmakula34544 жыл бұрын
Kweli aunt mkweli hapendi kuficha kucha
@razalodinani18904 жыл бұрын
Hiè
@razalodinani18904 жыл бұрын
0755942844
@fatmafetty41174 жыл бұрын
Safi wema mama Safi umeongea vizur 😍😍😍😍 love you soumach
@asenathogallo61974 жыл бұрын
Good job girls...love the show...Auntie ako real. Wema advice on point. Zamaradi is composed 👌.
@landrinebagalwa59194 жыл бұрын
Yan wema sija wezaka juta kuku penda 😍😍😍 mwanamke mwenye akili yan naku ombea sana Mungu akupe haja ya moyo wako Aunt hata wewe naku pendaga sana 😍😍😍😍 Be bless guys Zama asante sana kwa kipindi kizuli mno kwetu wa mamans babies 😍😍😍
Wema I just love your personality sweetheart 💖💖🌺you talk sense all and yet you're not a mum 🙏🙏💪
@rugurujohn89054 жыл бұрын
True
@shadyjuma76884 жыл бұрын
Da wema shikamoo mweee unaongea kwa uchungu Allah akufnyie wepes nawe upte mtoto na imani umejifunza mengi utkuwa mama bora kwa wanao nakuombea kipenzi mungu akufngulie milango ya kheri na ukijaaliwa mama fatanisha uwezo wa kulea unao
@agatorezahara20574 жыл бұрын
Wangapi🇧🇮 tunafatilia the dark room zamaradi tv
@bellabechou34164 жыл бұрын
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@ndayisabamadinah89554 жыл бұрын
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@happypaul72234 жыл бұрын
Nice
@happypaul72234 жыл бұрын
Wote nimewaelea
@estellemwai54024 жыл бұрын
Kutoka Kenya
@awinooneko7284 жыл бұрын
Aunty is very real..and wema is diplomatic
@Majambo_Duniani_Tv4 жыл бұрын
awino oneko kweli kabisa
@winniemalle87984 жыл бұрын
Aunty yuko real ananogesha sanaaa. Anaongelea situation ilivyo in real life . Wema anaongea unavyoweza kutreat situation matured. I love the show!
@fatmafa18964 жыл бұрын
Hongera kwenu nyote kazi nzuri na na mafunzo mema jamani barikiweni kweli
@carolinelivingstone65234 жыл бұрын
Mngemkalisha na lulu apo ana experience...naombeni like 😍😍
@ilovejesus93034 жыл бұрын
Sanaaaaaaaaa
@leilamoses1724 жыл бұрын
Mimi _Carl kweli
@daughterofgod91854 жыл бұрын
Mimi _Carl dah wewe umeongea kweli hii nafasi Lulu angekuwepo pia. Next time tunaomba na Lulu awepo.
@beautyibrahim84284 жыл бұрын
😂😂Lulu kiboko iyo sekta anaiweza anakaa na watoto wa majizo wanne apana chezea
@yasintaswahasni47474 жыл бұрын
@@daughterofgod9185 sasa icho ni kipindi cha wema ant na zama sema kama watakuwa wanawaita watu wa aina mbali mbali itapendeza ili waone maoni ya kila mtu
@annajackson85384 жыл бұрын
Wanaomkubali zama like zenu tafathali..,
@yasmenoozm80944 жыл бұрын
Yess
@ab3ab3134 жыл бұрын
nawa miss mwewot 😘😘😘😘😘😘
@saunakatauyanawausufanyeni95044 жыл бұрын
Anna Jackson nimewapenda bulee wadada
@saunakatauyanawausufanyeni95044 жыл бұрын
Anna Jackson kweri kabisa wema
@husnanuru55184 жыл бұрын
Uwoyoo mmetisha
@chamtumavi68604 жыл бұрын
wema I like yo advice....sending my love to mama cookie I like the way she managed to be a mom on the other sidee
@hamischilinga67064 жыл бұрын
Leo anty amerejeana na iyobo hii interview ilikuwa kabla hawajarudiana naomba isije ikatibua mambo tena
@alhandroraj80094 жыл бұрын
Mada nzuri sana. Zama hua na Talent way ya kuweka mambo yaeleweke vyema hadi wema ame jibu ki hekima tena imeonesha kweli ni msichana wa moyo safi kama vile mama kanumba alivyo sema wema ni perfect. Asante aunty Ezekiel kwa mada mzuri
@justinjoshua10594 жыл бұрын
Team WEMA link apa tuendelee kujuwana
@faridaemmanuel86624 жыл бұрын
Penda sana wema
@sarahokello11814 жыл бұрын
Na mpenda sana wema
@ajirykyaman10064 жыл бұрын
I like it 😍
@ziyuniabbas79674 жыл бұрын
Hongereni sana zama,aunty,wema nawapenda sna
@elizabethjailos18214 жыл бұрын
Wema Wangu mzuri ww kiukweli nakupenda
@zakirazakira74694 жыл бұрын
Mi zama unanifurahishaga na ulivyoninogesh zaidi nikumuwek wema wang
@LLYKEJONNESS4 жыл бұрын
Some glasses of water at the table or coffe mugs hata glas wines would do @Zama💖
@lykamlaki71204 жыл бұрын
😂 😂 Aunt yuko real sana, hakutaka kuficha makucha yake kisa yupo kwenye TV, pia hakuna kibaya alichoongea, mtoto mkishindwana akae Kwa mama yake kuliko mengi yatokee.
@khadijangozi43244 жыл бұрын
Hahaaaa kweli ni muwazi sana
@annedavienyamhanga47384 жыл бұрын
😅😅😅
@winniemalle87984 жыл бұрын
Lyka Mlaki yes ananogesha sana anavyoongelea situation in a real life. Sio kila kitu utaweza kukitreat matured.
@shanimbaruku20714 жыл бұрын
Ni kweli
@shanimbaruku20714 жыл бұрын
@@shammylove1525 kabisa
@yasmenoozm80944 жыл бұрын
Nyinyi nyote niwapenzi wangu nawapenda sanaa😍😘❤
@christinaphilipo98344 жыл бұрын
Wema uko vizuri
@missamney37524 жыл бұрын
I never knew Wema can be this matuared jaman
@Majambo_Duniani_Tv4 жыл бұрын
Mama cooky ni mkweli na muhalisia......nimemkubali 100%
@munirachambuso68304 жыл бұрын
Kwakweli wema ur matured than what I was thinking.Unaongea with points na relevant examples ya maisha tunayoish. Allah akuongoze na akujaalie mume mwema na watoto wema.
@tatianatataa14894 жыл бұрын
Niko Kenya 🇰🇪 lakini tangia zamaradi aazishe TV yake yaani reality shows sijaikosa kuwatch
@fetyzakry66734 жыл бұрын
Ni ka mm
@maryieshie52684 жыл бұрын
Kube tuko wengi.. Her show is 👌
@storylovelytv70254 жыл бұрын
Wema you have sprit of love on natural. Always nakwambia one day you will resolve everything... you wish my God blessing you .
@jessyjacob24334 жыл бұрын
Mm sio team wema ata kidogo ila kwa mada hii wema ana ongea points kuliko ao wengine japo kuwa bado ana mtoto hope one day na yey atakuwa na wake
@naimaseif79944 жыл бұрын
Ameen
@epiphanianyenza3384 жыл бұрын
Nzuri peaneni mda wa kuongea please msiongee woteee 😘😘 love you all
@mwarabutoleolamwisho78794 жыл бұрын
ZamaraD, wema, aunt Ezekiel are my Queens...... So interesting women's.
@sheilamussa27164 жыл бұрын
Jamani kulea Mtoto wa mtu nikazi iwe kwamwanamke au kwa mwanaume MUNGU atujalie mema tuu kama umekipenda kipindi kama mimi gonga like 👍
@mariamdominicko38164 жыл бұрын
Kwa upande wangu naona aunt anaweza but in a strict way, wema on fair way pamoja na zama. Lakin I wote wanaweza kuishi na mwanamume wa namna hiyo. I like your interview, very wise, real and reasonanable. Nawapenda!!!
@teddymwakanyamale90054 жыл бұрын
Fact
@glorynguma35934 жыл бұрын
aunt walah nakupenda ur xo real
@uwimananina97394 жыл бұрын
guys I love you both Wema and Aunty. Zama good job. be blessed
@nemamaunja28344 жыл бұрын
Team wema tujuane inshort nawapenda hapo da zama, da wema na aunty pia 😍😍🤞
@roseswai57784 жыл бұрын
Wema anauwezo wakuishi na watoto wa mwingime kuliko ata anty kulingana tuu na maongezi yao
@aminajuma14354 жыл бұрын
Kabisaaaaa… yaani simpatii picha maisha yake na yulemkemwenzie .
@daughterofgod91854 жыл бұрын
Rose Swai nampenda aunt pia sababu she is really.
@zaudatmakula34544 жыл бұрын
Aunt kaongea ukweli wake pia kuliko kuficha makucha
@lwassaberna40244 жыл бұрын
Mmeongea vitu reality kabisa kwny maisha ya kila siku hakika ni mafunzo mazuri
@brendafranklin50024 жыл бұрын
Hiki kipindi kizuri mno inabidi uwe nao xiku zote hapo mpo vizuri 😘😘👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻
@veveveve68114 жыл бұрын
Warudi tena mapema nawapenda sana ❤❤❤
@winniesugar4 жыл бұрын
Wema you need your own show you are so intelligent ❤❤❤❤❤
@monicajulius9054 жыл бұрын
msiponipa like za Wema navunja simuuuuu😫😫😫😫😥😥
@janethkilonzi42604 жыл бұрын
Monica Julius ushavunja au muda bado?
@monicajulius9054 жыл бұрын
@@janethkilonzi4260 😂😂tayari,hapa natumia ya jirani na nisipopata nyingine navunja na hii ya jirani😂😂
@aliahnsabiyumva32824 жыл бұрын
Vunja
@maraedimburgh70284 жыл бұрын
Vunja
@yasintaswahasni47474 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@oliviaseth46524 жыл бұрын
Aunty Ezekiel, UNASEMA kweli kabisa.
@benaminasther77284 жыл бұрын
My super ladies😍
@sumaiyajuma54184 жыл бұрын
I like that..nimejifunza kitu hp mada nzur inafundish pia
@accusciusanderson54664 жыл бұрын
Somo zuri xna kw watu wote
@lisaliza97884 жыл бұрын
So interesting topic,i like this The Dark Room.Woman Power 💪🏻💪🏻🇩🇪
@alhandroraj80094 жыл бұрын
Mola akujalie wema upate mme wakifahari na akupe mtoto mzuri kama wewe. wema atapata zawadi chungu nzima maana kila mtu yuamuombea apate mtoto haki. Tuta furahi kweli kweli. Twamwombea yatimiye
@ashasaid12074 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@gracerichard13264 жыл бұрын
Wema ana point kuliko Ant
@saumuadams714 жыл бұрын
I just love aunty mob love from 254
@angelluanda42214 жыл бұрын
Nimeacha Atari da wema na aunty nawapenda sana yaaani kulea mtoto wa mtu kah
@umurerwazawadi50134 жыл бұрын
Next time u invite Elizabeth Lulu ana experience pia😍
@munnawwaryaqub85244 жыл бұрын
Kipindi kizuri, wema upo vizuri mashallah
@sumaiyamihrma78524 жыл бұрын
Vichwa vitatu vimekutana waoooo nawaelewa❤️❤️❤️💕
@lucybaya31834 жыл бұрын
Kabisa wote wako sawa
@salmamuhanika3174 жыл бұрын
Wema nimekupenda huwa una akili sana japo huwa unajikoroga, zama safi sana lkn unty ww ni mm kabisa hutaki ujinga
@hustlerlady36524 жыл бұрын
Kipindi kizuri sana keep it up zamaradi nawapenda aunty, wema na zama❤
@mariammsangi43744 жыл бұрын
Sijawah kukutana na situation Kama hii lakn nimejifunza mengi sana....big up Zama❣️
@shixskagiawanjikukagia55654 жыл бұрын
Hahaha auntie Ezekiel I second you it depends with how the man respond to such
@auntyominde35654 жыл бұрын
For real aunty Ezekiel umenifurahisha Sana,,, much love from 254
@winniemwambuu39974 жыл бұрын
I love this team for sure..May God bless you my favourites
@AdoAshu804 жыл бұрын
Kipindi kizuri sanaaa ila mimi nafikiri Wangepeana muda zaidi ya kujieleza kuliko kukatishana.👍👍👍
@atomphoton50004 жыл бұрын
Anti nimekupenda bure, uko kiuhalisia zaidi Wema unapoint za msingi ila huna experience bado ndio maana waongea sana busara za kinadhalia zaidi.
@elizabethdennis47714 жыл бұрын
Exactly
@reginaremi71764 жыл бұрын
Kabisa
@elizabethrocky93134 жыл бұрын
Yaan Aunt yuko real sana aisee nimempenda bure! By the way the show is HOT cant wait zinazokuja, Big up to you three !
@faithwangari94464 жыл бұрын
Hapo wema kaongea vizuri tu. 💋💋
@peacerobert58194 жыл бұрын
I love the ideaaaa yani umechagua perfect people to he with kwenye kipindi 🥰🥰🥰 very good session nimeenjoy kwakwel
@mwanaidimuhindi66714 жыл бұрын
Like za wema hapa
@hamishamis44394 жыл бұрын
Yes
@yasmenoozm80944 жыл бұрын
Niko apa
@leilamoses1724 жыл бұрын
mwanaidi muhindi pendaa
@agwalubifaridah70794 жыл бұрын
Mm
@bidiiyako68034 жыл бұрын
Mm pia Nawapenda wako vizuri kabisa warembo wetu!
@zainabual_tz56234 жыл бұрын
#Wema anaongea Kama mtu mwenye mtoto kuliko hata #aunty insha'allah wema wangu utapata mtoto wakuzaa mwenyewe... 🙏🏻 Nawapenda wote... zama wema ila aunty hataki mchezo 🤣🤣🤣🤣
@shighadiomar76914 жыл бұрын
Umeona eeh
@zainabual_tz56234 жыл бұрын
@@shighadiomar7691 Aunty kivuruge 🤣🤣 ila atakae muoa wema ata faidi 👏🏼
Kipindi chenu kizuri sana,mungu awalinde,nawapenda sana
@shizzybeiby40324 жыл бұрын
My lovely wema u really making sense in your conversations.... How I pray that GOD bless you with a kid. Much love from 254
@umurerwazawadi50134 жыл бұрын
Uwwiiiii .mi i choose to keeping up with zamaradi Tv🙌🙌🙌🙌💞💞💞💕
@rechobernad2694 жыл бұрын
wema unaongea point sana, mitoto mingine inaambiwa na mama zao ukifika kule fanya hivi, kalale hataki, kula halitaki, njoo uoge hataki, mimi nachukiaga kwa sababu ninalo limoja linanitoa jasho
@mariammaufi77114 жыл бұрын
Recho Bernard Ahahahah
@happymahega20004 жыл бұрын
Pole mwaya yaan kuna mitoto ni shida, haina adabu
@bettydesmond35934 жыл бұрын
🤣🤣🤣pole,litoto linakutoa jasho na huwezi ongea Wala kulalamika
@dorcasmejason98084 жыл бұрын
Una moyo wewe kwangu kukanyaga ni big no sitaki shida mimi
@nereaigogo44424 жыл бұрын
Hahahahahahahah
@aishajuma90334 жыл бұрын
Nice zamaradi mash Allah Da we a na anty 👍👍💋
@tamaraeliz71144 жыл бұрын
Zamaradi uko juu good Job. Wema wangu Mungu atakupatia watoto in Jesus Name Amen
@tinamziray10744 жыл бұрын
Amen
@magrethdaniel65094 жыл бұрын
Amen
@lucybaya31834 жыл бұрын
Amen
@faridahkayole43404 жыл бұрын
Ameen
@gaudensiangozi54834 жыл бұрын
Wooow nimechelewa wapi kutazama hii nimeenjoy kwakweli kipindi kizuri
@ashurabakiri84274 жыл бұрын
Zamaradi vipindi vyako huwa navifatilia sana coz hua najifunza kitu kupitia watu ambao unawanyia interview,hongera kwa kazi nzuri😘😘😘
@allykutenga28624 жыл бұрын
Ashura Bakiri; Ni kweli anajuwa kuandaa kipindi hata wa2 anowatafuka huwa hakosei,, Hongera sana kwake ZMRD.
@yasintaswahasni47474 жыл бұрын
@@allykutenga2862 icho ni kipindi chao zama wema na ant so walitaka kutoa kule wasafi tv ila wakaghail
@neemameena51484 жыл бұрын
plz invite regular people to this darkroom convos....love it....would love to
@bumacoadela90094 жыл бұрын
Mi kuogiza siwezi, kuigiza kubaya sana bora ujulikane mapema simpendi basi.
@dorcasmejason98084 жыл бұрын
Nimekupenda bure wewe upo kama mimi
@monicaashery35404 жыл бұрын
Nice sna jmn, big up to all zama, aunt and wema
@tinamasunga.4 жыл бұрын
😂😂😂😂Aunt Agiza kinywaji nitalipa😂😂😂
@dullahmudy24644 жыл бұрын
Wema ur so real...mungu akupe mtoto In shaa Allah..u will make a great mom
@ohwell73444 жыл бұрын
Wema ana roho safi maneno yake yamenivutia 😍
@emmymmbwambo28394 жыл бұрын
Jaman wema nakupenda sana
@countwellvugutsa.polemzeeq40864 жыл бұрын
Love you 3 ladies looking mwaaah mashalla!
@ashasalum96374 жыл бұрын
Mada nzuri sana wema unajua kuelezea mungu atakupa usichoke kumuomba mimi napendwa na mwanangu wa kambo hadi najishangaa
@sialo86244 жыл бұрын
This is good, funny and educational at the same time
@estherjanuary42024 жыл бұрын
Nakukubali saana da Zama na wote ulionao apo ww ni 🔥🔥🔥