Kipindi hiki KIMERUDIWA kuchapishwa kwa faida ya wale wanaopenda kujua wasifu ama historia ya mzee Mwinyi. Kilirekodiwa mwaka uliopita baada ya Mzee Mwinyi kuzindua kitabu cha historia ya maisha yake. Kwa nakala halisi tembelea link hii kzbin.info/www/bejne/o6PInGh-g72ijqM
@israelmkaka280710 ай бұрын
Usipotisheee na HII CHANNEL YAKO.....ACHA UPOTOSHAJI.....
@FeisalDoctor-tn9vd10 ай бұрын
@@israelmkaka2807anpotosh nini
@MohdIkra-d7s10 ай бұрын
Kama apo jamani kimopotoshwa nini mbona tunapenda chuki choyo fitnaa roho mbaya kwa nn jamanii
@HamisMghuna-fj3vz10 ай бұрын
Mzee Mwinyi ndoo alosababisha,wa Tanganyika tukaona TV na Biashara zikaingia Bandarin na wa Tanganyika hawakunyag'anywa,Mali zao, ishaalah Mzee Mwinyi,mzee Rukusa, Mashaaalah, Allah akuhifadhi,
@AllyKapaya10 ай бұрын
❤
@mkazilakwamchilloh815810 ай бұрын
3:05 Masikini narudia masikini sikupata nafasi kwenda kumuona mzee Ali hassan mwinyi kabla hajafariki ilikuwa nia yangu nikamuone nikirudi nyumbani Tanzania baada ya kuwa nje takriban miaka 28 japo yeye hanifahamu lakini nia yangu haikukamilika mwenyezi mungu aikubali dua yangu amlaze mzee mwinyi mahali pema peponi
@saidisaidimohd403410 ай бұрын
Big up Ismail ladu
@maulidnkumilwa517110 ай бұрын
Long live the Legend Alhaaj Ally Hassan mwinyi,
@omarmohammed515710 ай бұрын
Kweli huko tunakooenda kuna maisha marefu
@chumaramadhani.758110 ай бұрын
Allah Amrahamu Mzee wetu Ally Hassan Mwinyi. Namkumbuka Sana pale alipokataa kutumika kwa Jina la Alhaji kwenye picha yake ya URAIS, Badala yake atambulike kwa la:- RAIS ALLY HASSANI
@adilhabib898810 ай бұрын
Jussa Ismail Jussa hongera kwa hayo
@abdulrahmansalim977310 ай бұрын
😮😮😮 VIPI ALIKWENDA KUSOMA NJE YA NCHI NANI ALIYEMPELEKA 😊
@abdulrahmansalim977310 ай бұрын
😮 Vipi alijiunga na vyama alianza vipi 😊😊😊
@attunelson882810 ай бұрын
Mzee Mwinyi atabaki kuwa ni rais wangu mpendwa sana kuliko rais yoyote aliye wahi kutokea Tz
@AllyKapaya10 ай бұрын
Ni kweli kbsa..! Alifungua fursa kweli
@nicholausmakundi266310 ай бұрын
Mbona waliyaficha haya...Mwinyi alifanya makubwa sana
@twahirmjeda458010 ай бұрын
😊😊😊😊😊ati tuwe wakweli😊😊😊
@jeanmusamba844810 ай бұрын
ubaguzi hauna jumuisho,wala kabila fulani,mtu naweza kuwa mwaarabu akawa mabaya au mzuri anaweza kuwa mwafrika akawa mabaya au mzuri,biashara ya utumwa ilifanyika tusikwepe ukweli wa historia,lakini si waarabu wote wana hatia katika hili,wapo waarabu wema sana na waungwana sana,pia hajajichanganya ameelezea halisi.Wapo wengi waliomfanyia mema ila hii haina maana hapakuwa na wabaya na wenye kukosea.Hata biashara ya utumwa afrika machifu wa kiafrika ndio wakulaumiwa sana kuliko watu weupe waliyoifanya.Nawapongeza kwa uchambuzi mzuri!kazi nzuri ila tusikwepe ukweli,mfano leo mayahudi wanaua wapalestina,mimi mkristo ila siwezi kubali dhuruma na umyama wa mayahudi,je miaka 100 ijayo watu wakatae mayahudi hawakuuwa wapalestina itakuwa haki?Biashara ya utumwa ilifanyika,
@badrudindaud108710 ай бұрын
Ume Nena kweli
@ahmedelalawy63910 ай бұрын
utumwa ulianzwa kufanywa na mjerumani mreno mfaransa na muengereza. mwarabu aliambiwa atoe kituo cha utumwa znz .
@fahadfaraj647410 ай бұрын
@@ahmedelalawy639wote walifanya utumwa wala si kuambiwa wazungu kwa waarabu wote walifanya utumwa wala si siri hivyo msitake kupindisha historia waliambiwa wasingeambiwa smwasingefanya au kabla ya kuambiwa hawakuwahi fanya? Tunaona mpaka kina Bilal walikua watumwa toka habasha
@mohamediomari161410 ай бұрын
@@ahmedelalawy639muarab alifanya biashara ya utumwa hilo sio uongo, hata kipindi cha mtume kulikiwa na watumwa, hata Swahaba Bilali alikuwa mtumwa katika jamii ya Waarabu, utumwa ulikuwepo na Muarabu alishiriki. Ukweli unauma ila ndo hvyoo hatuwez pingana nao, msiowaone waarabu kama malaika ni watu kama watu wengine, wanakosea ndo mana walitumia mitume mbalimbali.
@mhandomhina550310 ай бұрын
Biashara ya watumwa iliratibiwa na watu wa magharibi na hao waliondoa au kukomesha biashara hii sababu walipovumbua viwanda hizo nyingine ni chumvi. Pia hata hao watumwa kutoka bara zenji(Kutoka Mogadishu Hadi Sofala) historia haioneshi misafara ya majahazi yanayoelekea bara Arab kwa nini? Jibu lake Bara Arab kulikuwa limegubikwa na Uislam na si uarabu hivyo sheria za kiislam zilitokomeza utumwa na bara Arabu ilikuwa maarufuku biashara hiyo ndio maana Hawa akina Sultan wa Oman waliokuja huku Bara Zenji walitafuta sehemu huru ya kufanya biashara ya watu kwa mikataba na mafezuli wa kizungi ambao wao ndiyo walioshikilia biashara hiyo hata mahekalu yao yalikuwa na maandaki ya kubariki watu kabla kusafirishwa ( Padri Luando huko Angola) . Hivyo Hawa akina Sultan Said Sayid Ni Waarab tu au watu tu lakini si waislam hivyo tusisingizie Uislam kwa sura ya Waarabu wa kidunia. Pia Kuna miaka 200 na iliyopita Kuna kundi kubwa la Wazigua lilikimbia hizi kamata kamata za utumwa likafika sehemu ya Somalia na kukita makazi ambapo sababu kuu ya kukita makazi imeelezwa sheria za ukanda ule haziruhusu utumwa
@AllySully10 ай бұрын
Nyerere alikuwa anajua kuwa Ali hassain mwinyi alikuwa sio mzanzibar ndio maana akawa anampa madaraka kila mda.
@philbertcelestin705710 ай бұрын
Kwa hiyo wazungu wa South Africa siyo wasouth Africa?
@neronapoleon605410 ай бұрын
Ww Jussa ni msomi unashindwaje kuchambua hicho kitabu, Mwinyi aliposema Waafrika walibaguliwa anamaanisha ni mfumo sio mtu mmoja mmoja. Anamaanisha waafrika wengi weusi hawakuwa watawala . Ili uwe mtawala ilibidi uchanganye rangi au uwe Mwaarabu.
@abdallahdullah864210 ай бұрын
Kila wkt na mambo yke km wa Afrika hatukuwai na mwamko wa elimu tutawezaje kuwa viongozi labda viongozi wa jadi. Kusema waarabu au wahindi au wangazija walipewa kipaumbele sio kweli yy na wenzake km Jumbe, idrisa abduwakil walisomaje
@neronapoleon605410 ай бұрын
Si kweli elimu iliyolewa kwa rangi, kulikuwa na Shule za wahindi, waarabu na waafrika. Na waafrika walifundishwa elimu ya kusoma na kuandika tu ili wawe makarani. Miaka ya kina mwinyi ni miaka ambayo watawala walianza kutoa elimu kwa waafrika. Kumbuka wakati tunapata uhuru hatukuwa na chuo kikuu hata kimoja. Baada ya kupata uhuru wanafunzi wa kwanza wa UDSM walikuwa wa nne tu. Kiufupi waarabu wala wazungu hawakuwa na nia ya kutupatia Elimu.
@aishaalamry585610 ай бұрын
Sijui kwa bara, ila kwa Zanzibar sio kweli kama elimu ilikiwa kwasababu ya rangi. Zipo picha zinaonyesha mtoto wa mfalme akiwa amekaa darasani anasoma pembeno yake amekaa mtoto wa kiafrika anasoma nae, ushahidi tosha kuwa elimu ilikuwa ya kila mtu. Ila kama alivyosrma Mzee Mwinyi wazee wengi walikuwa wanathamini elimu ya qurani kuliko ya skuli, wakiamini ni elimu ya kikoloni na haina manufaa kwa watoto hivyo wenyewe walikuwa hawapeleki watoto skuli. Ni hii sio wazee wa kiafrika ata baadhi ya wazee wa kairabu walikuwa na nadharia hiyo hassa kwa watoto wao wa kike. Baada ya Mapinduzi ndo ikawekwa hassa percentage za kupasi, waafrika kupewa asilimia kubwa zaidi ya 50% na iliyobaki ikagawiwa kwa wote na kupelekea watoto wa kihidi, kiarabu na wangazija waliokuwa hawajapasishwa kwenda skuli za private ya bohoraz ambaye ni Hamamni kwa sasa na Hindu. Sasa ukweli ni kwamba ubaguzi ulikuja baadae. Na kwasababu wahindi wanajua thamani ya elimu na wanafahamu biashara ndipo walipofungua private school.
@salimabdallah517610 ай бұрын
DHIKRI FIKRI SHUKRI SUBRI
@godfreymwaimu963710 ай бұрын
Hata Africa Kusini waafrika walisoma na kupewa fursa ndogo ndogo lakini mfumo ulikua wa kibaguzi na kinyonyaji ambao haukupaswa kuachwa uendelee
@salimamani667210 ай бұрын
Mjadala kama huu engelikuwa yuko hai mngeyaongea ingelikuwa vizuri sana angeweza kuyajibu kuliko mtu alishatangulia
@maulidnkumilwa517110 ай бұрын
Wewe Jusa hakuna mtu yeyote anayeweza kuandika kila kitu
@NaimHaji-z8g10 ай бұрын
Acheni ujinga wabara jussa anatuelimisha
@MuhammadRashid-jq7eq10 ай бұрын
Kwa miaka ya kiislamu ni 102 mashallah
@rashidjuma196910 ай бұрын
Mbona wazanzibari wanazikwa Tanzania bara kwaio marehemu Mzee mwinyi kuzikwa Zanzibar sio tatizo
@mataypanga526210 ай бұрын
Kwa maelezo wanayotoa kwamba Hayati rais Mwinyi alizaliwa Bara lakini maisha yake ya utotoni na masomo aliyafanyia Zanzibar,kwa maana hiyo Zanzibar ni nyumbani zaidi kuliko Bara. Kwa hiyo ni chaguo la busara na mfano wa kuigwa
@soudia908410 ай бұрын
Sio matatizo. Lakini aliacha wasia kuufata au kutoufata ...... keshazikwa.
@AbdulHakimu-ee1td10 ай бұрын
ishu huja kwenye uzulumu wa kisiasa kutoka kwa serekali ya kibeberu ya TANGANYIKA
@philbertcelestin705710 ай бұрын
Yeye hakuwa mbara
@soamShs-cp4dl10 ай бұрын
Allah amswamehe makosa yake ndio muhimu SiSi sote ni wa Allah na kwake ndio marejeo unaweza kumuona mtu ana fanya ya sio mema lakini Kumbe ni Siri Baina yake na Mola wake pengine katubia na Allah kamridhia yake yameisha kazi kwetu SiSi tulobakia
@roudhamahmoud76310 ай бұрын
Wewe just wacha ubaguzi hiyo znz siyo ya kwenu piya acha kujifanya ubaumwa nhi ni ya mola acha ubaguzi acha usiyasa tunajuwa yote ndo kashazikwa hatuna pingamizi yeye binaadam kama wengine acha ujinga
@MngwaliAllykizangwa10 ай бұрын
Kwanini mzee karume asizikwe malawi
@hashimrashid638010 ай бұрын
❤
@idrisaallysalum944710 ай бұрын
Mtu kaandika kitabu chake Kwa namna alivyopenda yeye lakini Bado Jussa "analazimisha anayotamani yeye ndiyo yalitakiwa kuandikwa" (huyu lazima atakuwa Chizi)
@jumannejuma743210 ай бұрын
acheni usengenyaji kwani hichokitatabu kilizinduliwa lini na kwanini msingemuhoji alipokua hai
@saidmohamed461910 ай бұрын
Bab juma tumia akili fanya tafitu kabla ya kuandika utaaibika, hicho kipindi kimefanyika miaka miwili ilopita
@eastafricaqualitychickenfa991610 ай бұрын
Kama wewe ni MTU wa Bumbwini weka like hapa
@ladislausngoyinde438410 ай бұрын
Huyu jamaa kila siku anajaribu kusafisha uovu uliofanywa na masultan, aliumia sana waafrika wa Zanzibar kujikomboa, ajiulize swali moja tu, kama utawala wa masultani ulikuwa mzuri kwa nn waafrika waliuchoka na kuamua kuupindua? Aisee hao watu ni hatar sana
@saidmohamed461910 ай бұрын
Soma vizuri historia ya Mapinduzi, kina nani waliyafanya, kwa Amri ya nani na kwa faida ya nani
@ladislausngoyinde438410 ай бұрын
@@saidmohamed4619 naongea ninachokijua kwa hiyo sbishani na watu weny fikra za utumwa za kuwa chin ya watu weupe
@Zainaabby3 ай бұрын
@@saidmohamed4619History ya utumwa iko wazi kabisa waarabu walifika Zanzibar kwa ajili ya biashara ya utumwa na wazungu ndio waliowanyesha Ramani waarabu kama hujui na wao ndio walioleta uislam hapo kisiwani sasa historia ipi unayozungumzia ????
@abdallahdullah864210 ай бұрын
Mm naamini hakubaguliwa mtu kupata elimu isipokuwa hatukuwa na mwamko wa elimu.
@OmaryHabibu-gs7ld10 ай бұрын
Huseni mwinyi na famiria yenu pamoja raisi Samia kiukweri mmefanya jambo kubwa sana kumzika mzee zanzibari kiukweri ungemzika bara pwani nazani Zanzibar kungechimbika wanzibari wabaguzi sana mbona tunawazika huku bara kisutu kira siku kisutu Leo mwinyi kuzikwa zanzibari imekuwa shida
@abdifaraji288310 ай бұрын
Kaa ukijua kuwa waliozikwa Kisutu hawakuwa Marais. Hata huko Zanzibar wanazikwa Watanganyika, tena wengi.
@Zainaabby3 ай бұрын
Mijitu isiyokuwa na akili timamu utaiyona tu kila sehemu ipo kama mijinga.
@ignasnyembo125610 ай бұрын
Nimekuelewa vizuri Jussa. Mwanadamu anageuka wakati wowote
@omarsaid605910 ай бұрын
Mtu kwao ingependeza sana angezikwa kwao mkuranga alipo zikwa babaake
@aishamgambo642210 ай бұрын
Mbona baba ake wema mzee Sepetu ni mnyamwezi ambae amezikwa znz, Jaman znz kuna watu wabara wengin ambao wapo znz miaka Mingi,mana kuna wengine wamekulia znz hata kwao hawapajui,amekulia Zanzibar alafu mtu kama huyo kweli aka zikwe alipozaliwa haiwezekan.
@azizaaziza799610 ай бұрын
Isiwe kesi nijambi dogo tu nenda kafukue mwili uupeleke huko mkuranga uka uzike zogo hatutakiiiiiiiiii heee imekuwa sewe kazi Kwa znz znz,znz tumesha jua yeye si m zn,br mumu achetu apumzike kwaamani tena
@yusufmohamed887410 ай бұрын
Sasa kama hamtaki azikwe huko mfukueni basi tuone
@husseinmkanga779410 ай бұрын
Nzanzibar kama marekani asilimia 90% ni wageni walio zaliwa nzanzibar. Wacomoro, wabara, kenya,msumbiji , waarabu,wahindi na wengineo wote wapo nzanzibar. Asilimia kubwa ya ngoma za nzanzibar zina asili ya Rufiji.
@amerwelder778610 ай бұрын
Kwa iyo Sisi warufij au
@MohdIkra-d7s10 ай бұрын
Hilo linakubalika na kufikirika maana watu wa rufiji ni wabantu
@soamShs-cp4dl10 ай бұрын
Hahaha bora umuulize
@husseinmkanga779410 ай бұрын
@@amerwelder7786 Nyinyi ni mchanganyiko wa watumbatu, hao niliyo wataja mwazo na wengineo.
@husseinmkanga779410 ай бұрын
Kwa mfano makamu wa kwanza wa Rais wa Nzanzibar Ndugu Othman Masudi aliwahi kusema yeye amelelewa na wapare ambao walitokea bara. Ki ukweli Masudi ni atakuwa mpare. Kina Shamte wanatoka rufiji na wengine.
@adamstour5736-kb6zq10 ай бұрын
Ukweli ni kuwa Ndugu OTHMAN MASOUD ni hazina kwetu WAZANZIBAR kwa itifaki tu lakini ISMAIL JUSSA LADU ALLAH akuweke zaidi wewe ni zaidi ya HAZINA
@mhandomhina550310 ай бұрын
KASRI YA MWINYI FUAD, Fakhi Adam Fakhi
@mamlomamlo906410 ай бұрын
Ubaguzi ni human reaction na ndio Allah katupa mtihani sisi waja wake ili apatikane mcha Mungu katika sisi Ambae ana focus kwenye haki kuliko rangi au ukabila sema mistake alofanya alipokua raisi hakuifanya quraan kuwa katiba ya nchi na mahakama iwe ya ki islamu
@HassanKings-e7u10 ай бұрын
Sasa si ungesuburia msiba wishe basi mzee jusa ndio uongee hayo kiubinaadam lakini
@geembwana618910 ай бұрын
Sikuzote mlikua mnaambiwa mwinyi hakua mzazibar ila mlikua mnabisha baada yakufa ndio mnajua kwamba alikua mtu wa pwani na mdengereko
@khalidibrahim457922 күн бұрын
Wafrica uwasaidie vipi hawajui kushukuru Wameka kama wanyama Wameka na chuki unmaskini wao wore ukiwasaidia hawajui asante
@natafutamatatizo438210 ай бұрын
UBAGUZI WALIULETA WATANGANYIKA NA HADI SASA ,WATANGANYIKA HAWAPENDI WAZANZIBARI NI WAIGIZAJI TU WA MUUNGANO!
@stanslausmteme845510 ай бұрын
Wa Tanganyika swala la ubaguzi hawana kabisa si dini,kabira wala rangi Tafauti na Zanzibar hasa pemba fanya hiyo tafiti bila kuegemea upande wowote utaona hili nalolisema kua ni kweli
@bahiyalumelezy301610 ай бұрын
Fanya tathimini ya wapemba na wazanzibari waliowekeza bara kisha tathmini wabara waliowekeza znz utajuwa mbaguzi nani?na hili neno zanzibar au unguja ni kabila ya mtu au sehemu?imefika wakati ukisema mimi mzanzibari basi taja nasab yako mababu zako wametokea wapi ndy utajuwa kabila yako bora,msituchoche ardhi ya africa na kila muafrika na mgeni ataependa aishi tu mradi hakuna mja aloumba ardhi basi hana uwezo wa kupangia watu pa kuishi,wenye asil haswaa waishi na wageni wasojijuwa waishi tu.
@teeganaally776010 ай бұрын
Watanganyika si wabaguz ss wazanzibar ndio wabaguzi
@khatibal-zinjibari695610 ай бұрын
WATANGANYIKA WALIANZA UBAGUZI ZANZIBAR KABLA NYERERE KUANZISHA AFRO-SHIRAZI PARTY NA CHAMA CHA MAPINDUZI @@teeganaally7760Nimelazimika kutoa mukhtasari kwa sababu baada ya Muungano, taarekhe ya Zanzibar inafichwa, haitakiwi lakini huandikwa na Watawala kutoka Uingereza au Tanganyika kwa faida ya Kanisa. 1) KUANZISWA VYAMA VYA KIBAGUZI KWA ZANZIBAR Watanganyika walipokuja kuchuma karafuu walijua Zanzibar sio kwao. Wengi walitoka Tanganyika kusoma au kusomesha St. Andrew Boys Missionary School ya Kiungani. Daktari wa vidonda Herbert Barnabas, Mkatoliki wa Moshi alianzisha Jumuia ya WAZANZIBARA iliyoitwa: AFRICAN IMMIGRANT WORKERS ASSOCIATION. Hiyo ndio asili ya AFRICAN ASSOCIATION na Rais Abeid Amani Karume, Mzaliwa wa Nyasaland (Nyasaland) kabla ya AFRO-SHIRAZI PARTY (ASP) iliyoundwa na Nyerere baada ya kuambiwa na Waingereza. Ni chimbuko la Mfumo Kristo Zanzibar kutoka Tanganyika kuanzia U-Raisi hadi U-Topasi. 2) GAZETI LA KIBAGUZI ZANZIBAR Watanganyika walikuwa na Gazati lao AFRIKA KWETU lilioanzishwa na Mtoro Rehani Kingo, Mzaliwa wa Tanganyika kutetea U-Afrika na kupinga U-Zanzibari. Mwanzo wa UBAGUZI baina ya U-AFRIKA na U-ZANZIBARI kama AFRIKA KWETU (MEI 5, 1955) lilivyoandika kabla Afro-Shirazi Party kufanya Mapinduzi Dhidi ya Wazanzibari kwa msaada wa Tanganyika. Baada ya Mapinduzi, Mtoro Rehani aliteuliwa kuwa Meya wa Kwanza na Mwenyekiti wa Afro-Shirazi Party Abeid Karume alikuwa na Uzalendo wa Ki-Zanzibari na alikataa Ukoloni wa Ki-Tanganyika. ALLAH AMLAZE PEMA.
@salyali780710 ай бұрын
@@stanslausmteme8455 in your dreams
@MussaAlly-t6m10 ай бұрын
Ww muhindi too
@seifmohammed916710 ай бұрын
Wewe jussa una asili ya kihindi uzanzibari wako umeupata wapi?
@mohammedhamad939210 ай бұрын
Ww mwenye mbongo asili yako tanganyika Wajifanya wamjua Sana.walio kufa sio ndugu zako. Hauna uchungu weye.
@Zainaabby3 ай бұрын
@@mohammedhamad9392TANGANYIKA ipo bara la afrika. Tunajua kisiwa cha Zanzibar kipo bara la Afrika Wahindi, waarab asilo yao Bara la Asia haya utasemaje wewe mzawa alafu mnaeneza chuki nyinyi na waarab, na walichganyika mnaichukia TANGANYIKA wakati TANGANYIKA ndio inajua Mambo makubwa kuliko sehemu yeyote ile Duniani... Na hzi ni zama za Ukweli mtaumbuka soon maana Asili yenu sio afrika . Na hizo dini zenu mlizo leta now watu wanaamka nakujua hazina maana . Maana ndizo zinazowabeba na kuwafanya watu Wengine wasijitambue but hizi zama ni zama za Ukweli mtaumbuka very soon maana mnasambaza chuki bila ya faida yeyote ile.
@abdulfatahshafii783510 ай бұрын
Mie cjafaham hapa kwani ili uwe mzanzibar uzaliwe zanzibar au wazee wako wazaliwe zanzibar
@abhambomihambo675410 ай бұрын
Ndugu muhusika ili uwe Mzanzibari halisi unatakiwa asili yko uikatae au usitake kuijuwa ama kufichwa na wazazi wako kwa sababu wazijuwazo wenyewe au kunogewa na akili za kitumwa na kupenda zaidi kujitambulisha na kujinasabu kwa asili ya aliyekutawala"your master"na kupelekea kupoteza uhalisia wa asili yko na majina yko ya asili ambayo yangekutambulisha chimbuko la asili yko ama kabila lako yaani uwe"someone who lost his or your identity for some unknown reasons"na kujikuta umezaliwa Z'bar au"you belong to some area or villages in Z'bar"Hayo ni mawazo yangu nionavyo mm hasa ukizingatia kiasili visiwa vingi wakaazi wake wamehamia kutoka maeneo mengine na kuselelea au kupotelea huko kwa vizazi na vizazi kwa kuoana na watu wa asili tofauti pasina kurejea makwao na kupelekea kizazi chake kujihisi au kujisikia hao ni wazaliwa wa sehemu husika.
@shahabdallah940710 ай бұрын
mnayasema haya siku ya mziko yake Hata dua basi jamaa? aaa?? c vzuri hvy kuna maisha baada ya siasa
@ZanzibarKamiliTV10 ай бұрын
Kipindi hiki ni marudio kilifanywa mwaka jana. Link hii hapa kzbin.info/www/bejne/o6PInGh-g72ijqM
@KhalfanMassoud10 ай бұрын
Mwaka jana huu, Marudio tu haya, hata kama Pana utofauti ila hatumchukii mtu yeyote
@shahabdallah940710 ай бұрын
@@KhalfanMassoud kila mmoja na atakavyoipokea hii video.. wznz tnajuana.. na uislam wtu lkn chuki bdo zmo baina yetu.. mantiq y video hii siku ya leo haijaleta picha nzuri hem shuka chini hapo usome comments za kina Abdallah, Mahmoud, Kina Issa… ambao leo tumetoka kuswali Jumaa pamoja bega to bega.. Uislam tunauvua iblis wa siasa anapotuvaa.. Allah atusamehe.. karib ya asilimia 99 ya wanao pita kuangalia vidoe hii sote tumesomeshwa mavyuoni “msemeni maiti kwa mazuri yake na si kwa mabaya yake” Ali Hassan Mwinyi kshafika mbele za hakki si wa ulimwengu huu tna sasa ansubiri hesab yke tu kutoka kwa Allah. Badala ya kutukumbushwa kwa mabaya aliyoyafanya tajeni mema yake walau Apate Sahal.. japo kua tunamkataa sio mzanzibari basi tuheshimu hichi kipindi cha mauti yake jamaa.. haya ni mauti jamaa si safari tu mangapwani.. ni mauti
@bugdadiajm183210 ай бұрын
WAZANZIBARI NDO WALIVYO, SASA HII NDO NINI?
@fredtarimo17389 ай бұрын
Haka ka mchezo ka kujaribu kusafisha na kutetea wakoloni na kubeza Waafrika ni ka mchezo ka hatari sana. Tena haka ka mchezo kanatuaibisha sana watu weusi.
@yousifyousif-p7f10 ай бұрын
Mkuranga ndipo alipozikwa bb ake kwann nayy asizikwe huko
@bekabakari739410 ай бұрын
Wewe jambo hilo linakuhusu nini? Mbona una tapatapa? Jee ukiulizwa wewe nawe Vinasaba vyako utasemaje Sote ni kitu kimoja watanzania tusibaguane
@aishamgambo642210 ай бұрын
Mkuranga kazaliwa lakin hajakulia uko,na yeye Sio wa kwanza hebu ssomeni historia ya Zanzibar ,ni Kisiwa Ambacho wahamiaji wengi sana,Mimi binafsi babu yangu ni amezaliwa comoro amehamia znz akiwa mdogo makuzi yake yote ni znz na baada ya kufa amezikwa znz .
@eastafricaqualitychickenfa991610 ай бұрын
Politiko propaganda iyo ndo ilofanya Azikwe Zanzibar
@godfreymwaimu963710 ай бұрын
Uchambuzi kwa mtazamo wa Jussa Ladhu.
@abdallahdullah864210 ай бұрын
Mzee alitia siasa baada ya mafanikio lkn ukweli alipata elimu bila ubaguzi.
@dahirgaraar36010 ай бұрын
Kuandika kitabu kitakachobakia muda mrefu sana kama si milele kunahitaji kuchagua yepi ya kuyasema na yepi ya kuyanyamazia, nayo huwa ni kadiri ya kumbukumbu, busara, na yale unayohisi yabakie, Mzee wetu kajitahidi alivyoweza, ya faida tuchukue, tunayodhani si ya faida yatabaki kuwa yake ye mwenyewe, na huo ndiyo ustaarabu wa kukisoma alichoandika mwandishi, ama kuchambua kwa kukosoa kwa nguvu zote huletwa na msukumo utokanao na hisia za mtu kwa mwandishi mwenyewe, n.k.
@omarmohammed515710 ай бұрын
Historia haifutiki hatakama utaziba mapengo watu wasijue uhalisia basi ALLAH hasau kwa dhulma ya zanzibar
@devothabalisimashigela992410 ай бұрын
Kweli kabisa. Ieleweke hivyo. Si lazma kutaja kila kitu.
@makameshibli279710 ай бұрын
mm nahisi kwamba Shekh Hassan anaposema kulikua na ubaguzi anakusudia km ni mfumo na si mtu mmoja mmoja hata mm nimeppata kusimuliwa si km kulikua hakuna waarabu walikua wanaamiliana vizuri wazanzibar wa Asili na uchambuzi wenu ni ktk kuweka mbele mihemko yenu ki siasa na si kutupa elimu na hv ndo mnavyo waharibu wazanzibar wabaki na chuki yapo mambo mzee Ali Hassan Mwinyi ameyazungumza yakisema yatatusaidia wazanzibari mumeyanyamazia kimya
@HassanKings-e7u10 ай бұрын
Kwaiyo huyu inamaana anamaanisha kuwa mzee mwinyi sii mzanzibar watu wapo kwenye msiba huyu yupo kwenye siasa si asubiri basi wamalize msiba ndio aendelee na hizi siasa ama vipi mie sielewi
@ameirmanzi268410 ай бұрын
wew ndio umekimbilia siasa mbona yapo mazur ya mzee mwinyi tusoyajuwa km kwa umri alokuja zanzibar ni mzanzibari halis kwa miaka iyo
@kheriakida330910 ай бұрын
Mohamedi pamoja na ndugu jussa,Nadhani nivizuri kumshukuru mtu kwa kizuri ulichopata kuliko kuzungumzia mateso uliyokutana nayo kwake ,Nadhani mzee mwinyi upande wake aliamua kushukuru, ila Ukweli unabaki pale pale
@nouraalharthy550910 ай бұрын
Huna kazi wee andika na wewe histor yako mpaka kichapo ulichopigwa mana wewe utakufa uhakai maisha upo Tafuta akhera yako siasa haina tija kwako umejufaika na nini toka uanze Kupotosha watu tu.
@maulidnkumilwa517110 ай бұрын
Huwezi ukaandika chochote
@seifmohammed916710 ай бұрын
Insssifia nini hicho mnachokifanya na huyu jussa Ni muhindi kwao India uzanzibari ameupata wapi
@jumamnumbwa948310 ай бұрын
Hata sultan sayid bin saedy alizaliwa kilwa
@awatifalghanim110610 ай бұрын
Hujuwi katika ardhi gani utakufa na vizuri utakapo kufa ndio hapo hapo uzikwe watu wamfate Maiti alipo kufa . Kila mambo yakenda kwa haraka ndio vizuri kwa Maiti. Mungu awaraham. Amin
@kassim12622 ай бұрын
Saiv znzbr imekua kitovu cha wtembea uchi nawauza uchi kuuwana kukabana ndio neema yznzbar
@umsalim651510 ай бұрын
Ikiwa tunamjadili Rais Mwinyi kuzikwa Zanzibar, basi 90% ya wazanzibar tutafutiwe pa kuzikwa , maana sote tunatokea miji mengine
@abdifaraji288310 ай бұрын
Andika wasia wako wapi uzikwe.
@kherihightechllc11310 ай бұрын
Hassan mwinyi Ali alikuwa mwalimu wa St. John after mapinduzi ikaitwa tumekuja
@MohamedIbrahim-bn1gz10 ай бұрын
kabaguliwa vipi na yeye kama tunavyojua wake zake wawili wana asili za Kiarabu
@salimomar203210 ай бұрын
UNAPOTOSHA JUSSA SASA KWANI SAIVI HAKUNA WATU WA MRENGO WAKO AMBAO WAKO NAFASI ZA JUU NA AU TEUZI MBALI MBALI AU AJIRA MBALI MBALI KWANINI PIA MNAKAA MAJUKWAANI MKISEMA KUNA UONEVU NA UNYANYASAJI, TAFTA MKE UOE ARBAB USITUZINGUE VIJANA TUNA AKILI ZETU TIMAMU MNO
@komboko414310 ай бұрын
Hapo nikua alikua kajitenga na wenyeji Kwa kufuata kile alichofuata juu ya elimu
@zinjibaryetu845110 ай бұрын
Hapa kuna mambo ya ajabu na masuali tusokua na majibu yake.. tulivozoea au ilivo kawaida mtu akifa ugenini na uwezekano upo basi maiti husafirishwa na kwenda kuzikwa kwao na haya tumeyaona sana lakini hili ni jipya yaani mzee Mwinyi kwao Mkuranga na amekufia hukohuko kwao Tanganyika kulikua na sababu gani ya kuisafirisha maiti all the way ije kuzikwa Zanzibar wakati huyu mtu kwao ni hukohuko Tanganyika? Logic and common sense ingekua hivi; tujaalie mzee Mwinyi amekufia nje ya Tanganyika ingeelekea mwili wake urudishe kwao Mkuranga ili akizikwe kwao sio the other way round. Hivi wiki mbili tatu tu zilopita tuliskia kwenye mitandao ya kijamii kua mzee Mwinyi ameacha mpaka wasia kua akifa akazikwe kijijini kwao Kivule (Mkuranga) sijui kuna siri gani kina Dr Hussein Mwinyi kwenda kinyume na destruri bali kinyume na usia huo wa baba yao... KUNANI?
@salehemganga108110 ай бұрын
Huo wosia uliuona?
@zinjibaryetu845110 ай бұрын
@@salehemganga1081 mie sina haja ya kuuona wala hauto-make any difference
@mohammedhimba164710 ай бұрын
Watu wote walikuja zanzibar iwe wao au wazazi wao pamoja na wewe
@halimamasai223410 ай бұрын
Huyu jusa mwenyewe asili yake Oman huko ndo katoka babu yake sasa hakuna mzanzibari wa kweli wazanzibari wa kweli walichukuliwa kama watumwa 🤣🤣🤣
@zinjibaryetu845110 ай бұрын
@halimamasai2234 ama kweli Zanzibar imevamiwa dah, wewe halimamasai2234 haya maneno yako tu yanathibitisha kua wewe sio mZanzibari wala huijui Zanzibar ndio waleee wafukuza mwenge muloletwa Zanzibar na kudhaminiwa ili kutuharibia mazingira na kuipa uhai CCM
@YussufJumaKhamis-g7k10 ай бұрын
Oya Acha kumuongelea ujinga kiongozi wetu kama huna lakusema petea Acha usiasa mpaka kwenye maziko uwo ujinga jusa
@mohdkhatib22310 ай бұрын
Ujinga kwako wewe. Ila wenye akili tumeelewa
@ZanzibarKamiliTV10 ай бұрын
Huu ni wasifu wake alouandika kwa mikono yake kwenye kitabu chake. Kipindi kimerudiwa kuchapishwa. Kilitoka wakati Mzee Mwinyi amechapisha kitabu chake. kzbin.info/www/bejne/o6PInGh-g72ijqM
@SharifRashid-g1j10 ай бұрын
Mijiga wewe
@kiddyadams10 ай бұрын
NZASA NI NENO LA KIZARAAMO LENYE MAANA YA CHEM CHEM ISIO KAUKA.
@AhmedSeif-p6w10 ай бұрын
Asante makamo wangu wa raisi mwaka ujao
@mataypanga526210 ай бұрын
Hayo maelezo ya waalimu wa ziada ya marehemu mzee Ruksa yana maana nzuri tu,walikuwa wanawafundisha masomo ya ziada kwa sababu wanaandaa makarani wa kutafasiri lugha ya kiarabu au kiingereza ili wakoloni watunyonye na kutukamua vizuri
@hamischilinga670610 ай бұрын
Wapi kasema kuwa alibaguliwa
@KksesaSljleeymaan10 ай бұрын
Ss kipi kinamfanya asiwe mzanzibar?
@hassanbilali169710 ай бұрын
Wewe Jusa ni nani hasa mwarabu au mwafrika Asili ya wazanzibari wengi ni Wabara waliokaa dago za uvuvi
@mohdkhatib22310 ай бұрын
Nani alikudanganya? Labda sasa hivi ndo wabara wengi kwasababu mnaingia kwa wingi
@khatibal-zinjibari695610 ай бұрын
Jussa ni Mzanzibari Kindakindaki.
@FeisalDoctor-tn9vd10 ай бұрын
Eh 😂😂😂labda muanze kuunga ukoo s hv maan mnaingia kw wing uk
@geraldsenkondo433410 ай бұрын
Wewe Jusu unaonekana unashida na mwinyi na sio hivyo tu unakasumba ya ubaguzi
@bekabakari739410 ай бұрын
Kweli bro Maongezi yake yote Anatapatapa kuna jambo aliweki wazi Kama ni mtu mwenye ufahamu utakua Umemuelewa anapo elekea
@FeisalDoctor-tn9vd10 ай бұрын
Anabagua nini
@Ndalolusulo-yt2ol10 ай бұрын
Waarabu ni wabaguzi sana sio zamani hata hii leo hilo halina ibishi
@modyworldmody429710 ай бұрын
Wewe acha ujinga naukabila...
@khaledsuleiman981910 ай бұрын
Mh.Jussa anachambua yalioandikwa kwenye kitabu Sheikh Ali Hassan Mwinyi. Kwa hiyo hamna ubaguzi hapo.
@rahmaidd881810 ай бұрын
Mengine anayoyatoa ni MAONI yake
@omarmohammed515710 ай бұрын
Watu wametiwa fitna na kasumba kama waarabu walalikuwa wanawafanya baishara za utumwa ukiwambaia wakuoneshe ushahidi hawanao kumbe ni fitna tu na ulafi wamadaraka
@abdalahmsigiti530810 ай бұрын
Maneno yake hayapishani kwakua mtu utakapo ona watu wanabaguliwa lakini wewe huja baguliwa ukiulizwa kua hapa pana ubaguzi utamjibuje jibu ndio kuna ubaguzi japo wewe hujabaguliwa
@mhandomhina550310 ай бұрын
Jamani jamani hii yetu ngozi nyeusi kwayo nyoyo kuna migogoro.
@rahmaabdallah451410 ай бұрын
Siku zote ulikua kimya leo keshakufa ndio unatoa kasoro....
@sanaf836710 ай бұрын
Hii video ni ya mwaka jana wameitoa tena ili kupata kumbukumbu kupitia kitabu chake
@MussaAlly-t6m10 ай бұрын
Kwani ww jusa mtu wapi ?, Naona ww una hasli ya Africa
@Fatma-xl7rv10 ай бұрын
Acheni upotoshaji na elimu zenu za kijinga wazanzibari wote ni wakuja tuu hata nyinyi wote ni wale wale tu someni musikariri babaake
@salimomar203210 ай бұрын
JUSSA ACHA CHOKO CHOKO MBONA KAMA SKUELEWI
@saadamar671210 ай бұрын
😂😂😂
@Samii860010 ай бұрын
What make this dude to be buried in Zanzibar lol as he is from Tanganyika?That his book are lots of lies lol any way it easy what it’s lol .may God let you rest peace Ameen
@osos907310 ай бұрын
Hata mugabe na viongozi wote wa kiafrica walisomeshwa na wazungu na walipitia shida ya ubaguzi kasome jussa ni mropokaji usiye na ushaidi
@mataypanga526210 ай бұрын
Muacheni Jusa, yeye na wenzie wenye asili ya kiarabu wanataka kutupora kisiwa chetu Tanzania Bara kuwamilikisha waarabu 😂
@MohdIkra-d7s10 ай бұрын
Hemu nukuu icho alicho ropokwa Jussa apo kama wewe unasema kweli
@HassanKings-e7u10 ай бұрын
Huku watu wapo kwenye msiba wengine wapo kwenye siasa alimradi ni vituko tu znz siasa za kule
@Legends_Interviews10 ай бұрын
Mwehu huyu
@MohdIkra-d7s10 ай бұрын
Aaaa jamani imeelezwa mwanzo kua hiki kipindi kimerekodiwa sio cha jana hapana hiki ni toka ile siku alio zindua kitabu chake kwaiyo imerejeshwa kwa manufaa ya nchi yetu na vyama vyetu
@nashnene632610 ай бұрын
Sikiliza wewe jussa, your opinions doesn't count, maalim seif hakuandikiwa na Allah kuwa rais, mja hapati atakacho bali ajaaliwacho
@richardhosea882710 ай бұрын
Bado kuna nini? Tena
@omarhusna176610 ай бұрын
Uzanzibar mtamu watu wanaungangania kwahalina mali¿¿¿¿¿¿¿¿
@osos907310 ай бұрын
Vichwa maji na umarekani utakuwaje
@Omar-g9q9b10 ай бұрын
Mwinyi ni mbara Azikiwe kwao
@Legends_Interviews10 ай бұрын
Koma
@SurprisedOmbreSky-qg6dk10 ай бұрын
Wacha ubaguzi mwinyi ni mtu mwenye madili mazuri TU ya kizanzibari
@salyali780710 ай бұрын
Sawa sawa mtu kwao
@mohamediomari161410 ай бұрын
Waarabu wa omani nao wakazikwe kwao😂, walikuja tu hapa zanzibar
@AhmedSeif-p6w10 ай бұрын
Huseni urais bayibayi
@rayisadesigns264610 ай бұрын
Sisi tunamtaka bara atawale na huku.
@Sheba465110 ай бұрын
@@rayisadesigns2646Kanisa wamatake ili iweje?
@salyali780710 ай бұрын
@@rayisadesigns2646 bora aje kwao... kuwatawala jamaa zake... sie tumechoka nae
@MasturaMohammed-l5x10 ай бұрын
Huyo Anaitwa Alihasn magandi
@mhandomhina550310 ай бұрын
Nani Magandi???
@nasramusaro10 ай бұрын
Kwani ambayo hayakusemwa na muhusika unayasema wew umeyajuaje kama si uongo na ubaguzi?
@HusnaKhamis-bf9sm10 ай бұрын
Ccm niwaongotu na hawana fadhila warabu siwatu wabaya na malinduzi yamekuja kupindua uislamu
@jimboulaya10 ай бұрын
Malinduzi ndio nini? niwaongotu , wakati wa mapinduzi CCM haijaundwa so your point doesn't make any sense, jifunze kuweka space kwenye sentence. Somo la mwanzo kwako: Hakuna tabaka la watu likawa na watu wote wabaya au wazuri, ila vitendo vya Waarabu kuuza watu (Slave Trade) vilifanyika kweli lakini sio Waarabu wote walikuwa wanafanya hio biashara. Na pia Waarabu wengi tu hawana ubaguzi na walioana na kuchanganyika na waswahili, wahindi, wangazija nk, ndivyo ZNZ ilivo. Kwa maandishi yako tu inaonekana elimu yako na upeo wako wa kufahamu ni mdogo sana. Watu kama nyinyi ndio mnapandikizwa chuki kirahisi.
@zariadunia632810 ай бұрын
Sasa kati ya wewe Jussa na Ally Hassan mwinyi ni nana raia haswa wa Tz
@MohdAziz-z9j10 ай бұрын
Tatizo munakasumbs ya rang jusa ni kizazi cha tatu na zaidi hapa znz mwingi ni yeye ndio amekuja sasa utatwambia na I mzanzibar wa kweli
@salyali780710 ай бұрын
Mh Jussa....
@King_Of_Everything10 ай бұрын
👊✌️🙏.
@AbdulaziziPacha10 ай бұрын
Kwani jusa unataka kutetea nini?maana kama ubaguzi wa rangi hadileo upo ushahidi wa kutosha upo ukitaka kujua pelekaposa kwa muarabu kama siotajiri huwezi kukubaliwa
@OmerSuley-gl7go10 ай бұрын
Acha unafik kijana sasa kma hukusoma upewe binti wa watu ukamlishe nn? Nani anataka shida dunia ya leo? Kama ni ww utampeleka binti yako kwa kijana asiyekuwa na mbele wala nyuma? Hebu kaa kwa kutulia
@Talib-j5x10 ай бұрын
Ndio mana Kule Mangapwani kuna kampuni sijui kunataka kuekezwa kitugani,kumbe wanasema ni kwao ndio wanajimarisha duuu
@mohdkhatib22310 ай бұрын
Hayo ni mahojiano, yeye anajibu anavyoulizwa
@JumaMatao10 ай бұрын
@@OmerSuley-gl7go😅😅😅😅. Kaka umenichekesha
@salyali780710 ай бұрын
@@OmerSuley-gl7go 🤣🤣🤣
@yusuphyusuph362310 ай бұрын
lengo ya yote ayo nn wakat mda tulikuwa tumuombe duwa nyie mnatafuta kasoro ndo nn sasa hemu tuambieni
@AbdulaziziPacha10 ай бұрын
Lakini pia ktk wabaya hata wema wapo hawawezi kuwa wabaya wote Allaah anasema ktk qur ani hakika waarabu wamepundukia ktk kufru na unafiq
@mohdkhatib22310 ай бұрын
Hakuna aya hiyo. Hiyo aya watu wanaitafsiri sivyo
@Ahmadasshii-raazy888810 ай бұрын
Akhui hyo ni qur an,haijasema ulioyasema
@abuutasniym267510 ай бұрын
Hivi wewe unaifahamu hio aya ama unasema tuu Hivi unajua maana yaneno أَعْرَابُ (A'araab)? Hilo neno halina maana ya Warabu bali linamaana ya Mabedui yaani watu wanaoishi nje yamji bimaa shamba ama milimani au majangwani Nahao niwatu hujishughulisha na uchungaji kama vile ilivyo Tz kwamfano A'araab tunaweza kuwaita watu kama Wamasai nawengineo wanaoishi mashamba kwashughuli zao zakuchunga au kilimo Hivyo ndivyo ninavyo elewa mimi maana yaneno A'araab
@omarmohammed515710 ай бұрын
Ikiwa hujui kitu Nyamaza
@kheriakida330910 ай бұрын
Jussa eleza ukweli, unaujua kwanini, jumbe aliondolewa unajua fika ila huwezi kusema mana muhusika mkubwa ni mtu wako wa karibu sana sana, kama kweli unahitaji kuzungumzia hili funguka