ZINGATIA HAYA KABLA YA KUPANDA TRENI YA SGR

  Рет қаралды 3,720

TRC RELI TV

TRC RELI TV

Ай бұрын

Пікірлер: 43
@kwisa4899
@kwisa4899 29 күн бұрын
Safi sana mizigo wapakie kwene train yao ya mizigo
@husseinmilao5789
@husseinmilao5789 29 күн бұрын
Big up, pia wale watu wanao kuja kupanda train hiyo kama hawajakoga au wamevyaa nguo chafu pia wasiruhusiwe kupanda watawacha vundo kwenye viti na mazingira ya ndani ya train kama duka la nyama. Mana wengine wachafu wanasingizia mila na tamaduni.
@faksa9607
@faksa9607 29 күн бұрын
Mna waogopa wajomba sio!
@GdFf-ik2eo
@GdFf-ik2eo Ай бұрын
Shangazi kaja hamtaki kwa nn
@allykhalfankingwana5272
@allykhalfankingwana5272 29 күн бұрын
Utaweka wapi?
@user-cz5oy1od5d
@user-cz5oy1od5d 18 күн бұрын
Nchi yangu naijua. Nawapa miezi 3 tu. Shangazi kaja, nguruwe, kuku tutapanda nazo vizuri tu.
@chescoatupele2484
@chescoatupele2484 29 күн бұрын
Kama hivyo mnatakiwa kumantain hiyo kiwango ya treni.Siyo baadaye tupande hadi na kuku!
@chescoatupele2484
@chescoatupele2484 29 күн бұрын
Hongereni pia kwa huduma zenu nzuri, muendelee hivyo!
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 29 күн бұрын
Wekeni app bwana TRC
@MeshackChumi
@MeshackChumi Ай бұрын
Hee mpaka Shangazi ammutaki😅😅
@lumuliminga226
@lumuliminga226 Ай бұрын
😊 standards...
@fredyjunior6961
@fredyjunior6961 Ай бұрын
Safi.
@davidmunisi5420
@davidmunisi5420 Ай бұрын
😂😂😂
@kisutabora5914
@kisutabora5914 Ай бұрын
Safi sana, kwa mtu mwenye mabegi ya kilo 40 na ana daraja la biashara (business class) anaweza kulipia kilo zilizozidi? Je kuna matoroli ya kubebea mabegi kama airport?
@lumuliminga226
@lumuliminga226 Ай бұрын
Swali zuri
@justusathanas1085
@justusathanas1085 Ай бұрын
Kuchukua pesa tu ila Shangazi kaja aaaah
@athumaniamiri880
@athumaniamiri880 Ай бұрын
😂😂😂ssasa mchele tubebe kwenye gunia au😊
@ezekielmubofu234
@ezekielmubofu234 Ай бұрын
Pesa kidogo hamtaki “shngazi kaja”
@joshuawenceslaus2466
@joshuawenceslaus2466 Ай бұрын
😂😂😂😂
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 Ай бұрын
Saa mbili au masaa mawili😂
@athuman6223
@athuman6223 Ай бұрын
wabongo wanaonaga kasoro tu🤦🏽‍♂️
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 Ай бұрын
Masaa mawili umewahi kuyaona wapi?
@Halphan-cw3de
@Halphan-cw3de Ай бұрын
Yupo sahihi huyo dada, wingi wa saa Ni saa hivyo hivyo
@yahyamajidyahyahilalal-har8762
@yahyamajidyahyahilalal-har8762 Ай бұрын
Yupo sahihi ​@@athuman6223
@user-ws3ui6lo2q
@user-ws3ui6lo2q Ай бұрын
Saa Haina wingi
@modenasayi
@modenasayi Ай бұрын
Repeat in English
@askarikanzu1054
@askarikanzu1054 Ай бұрын
Kuna umuhimu gani?
@UnitedAfrica-uw9ct
@UnitedAfrica-uw9ct 29 күн бұрын
let the english use google translator
@modenasayi
@modenasayi 29 күн бұрын
@@askarikanzu1054 I can’t understand Swahili
@modenasayi
@modenasayi 29 күн бұрын
@@UnitedAfrica-uw9ct help me with the transitions
@ContentSmartphone-rq6po
@ContentSmartphone-rq6po 29 күн бұрын
Dada umeyakanyaga kama hauna mtu wa kukutafsilia maana hata ukienda German hakuna mambo hayo wewe jifunze tu kiswahili sababu jana tu tumetoka kuazimisha siku hiyo Duniani sijui umenielewa samahani lakini kama nimekukera😊
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 16 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН
"RELI YA SGR KUUNGANISHA NCHI ZA AFRIKA"
8:33
TRC RELI TV
Рет қаралды 12 М.
MADEREVA WA TRENI KICHWA MCHONGOKO WAIVA
6:44
TRC RELI TV
Рет қаралды 22 М.
#SGR: TRENI YA UMEME TANZANIA   (Film)
23:56
WABONGO UGHAIBUNI MEDIA PRODUCTION LIMITED WU®
Рет қаралды 1,5 М.