HII NDIO NYUMBA INAYOTILIWA MASHAKA CHUINI ZANZIBAR

  Рет қаралды 219,353

ZINJIBAR TV

ZINJIBAR TV

Күн бұрын

fair use is a use permitted by copyright statute that might otherwise be infirnging non - profit education, or personal use tips the balance in favor of fair use all credit for copyright material used in video goes to the respected owner, Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
#HabariZaUhakika #Zinjibartv
Follow Zinjibartv
Facebook | Zinjibartv
INSTAGRAM |@Zinjibar_tv_online
Wasiliana nasi kupitia number
+255 773 878 523
+255 773 071 409
Zinjibartv Journalists
cc: Safia Hussein
cc: Swaleh Watamaama
Camera Department"
Muarabu Mmadi
Editors:
Ali Hassira
Ramla Haji
Abdillahi Said
Dereva
Ali Mohammed
Video Zingine:
Angalia hapa - MTOTO WA TURKY AJITOSA KUMRITHI BABAYAKE UBUNGE
HIZI NDIO TEGO ZA KICHAWI, SHEIKH SALUM MARDHIYA
• MTOTO WA TURKY AJITOSA...
• HIZI NDIO TEZO ZA KICH...

Пікірлер: 459
@nassorali1034
@nassorali1034 5 ай бұрын
Mie hekima yangu pindi wakikutwa tena km hivo wote wapimwe virusi ....hao wamekuja kujiuza lkn walishaambiza wakiulizwa wote kwapamoja waseme kauli zilofanna waseme tumekuja kutafuta maisha nasio kujiuza ...lkn hao wamekuja kujiuza ....wasohaya wala aibu kulala pamoja nawawake wanaume astahafirullwahi
@ummimohamed2148
@ummimohamed2148 2 жыл бұрын
Nimeirudia mara mbili kuskiliza vizuri sijaona neno au kitu ubaguzi hapo nilichoona kuwa wamependwa na wameonelewa huruma kufatwa na kujulikana maisha mabaya wanayoishi na inshallah Allah atajaalia iwe sababu ya wao kupata stara na wepes wa maisha yao ameen.
@KhojaNasri
@KhojaNasri 2 жыл бұрын
Amen
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 7 ай бұрын
Sasa hivi kuna wimbi la ushoga serikali iwe makini sana.mimi nimepata wasi wasi
@RahmaIddi-s2s
@RahmaIddi-s2s 5 күн бұрын
Subhana Allah 😭 laa illa haillah 😭😭 mtihan huu.. Zanzibar njema atakae aje...msemo huu umetudhuru wallah
@husseinabdul7948
@husseinabdul7948 2 жыл бұрын
Jaazakumullahkhery kwa kuondoa munkari kwa mkono ajabu leo atamzanzibar eti ktka haya anatetea wye kama mwanao utaona mazur kama c mimba tu haya ndo yanareta majanga na njaa ktk maeneo yetu khatari ref:-Qur8:25
@aliaboud9202
@aliaboud9202 2 жыл бұрын
Watu sio kama wanapenda kufanya hivi ispokua maisha yamekua magumu watu wana struggle kutafuta pesa kazi yoyote wanafanya
@mahinduzihonorech
@mahinduzihonorech 7 ай бұрын
Upewe mauwa yako kabisa iyo Ni Kweli 🎉🎉🎉
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 2 жыл бұрын
Nimewasifu kweli vijana mpo vizur mnatetea riziki
@mahinduzihonorech
@mahinduzihonorech 7 ай бұрын
🎉🎉🎉
@amoursalum8266
@amoursalum8266 2 жыл бұрын
Siwalaumu kw sababu wamejitoa kutafuta maisha...ndio njia y kujikwamua na umaskini..ni heri y hili kuliko kua wala unga na wauza viuno
@lowrenceanitha7156
@lowrenceanitha7156 2 жыл бұрын
Mbona wenyewe hawana shida! Mbona wazanzibar wengi tu tunalala chini mpaka hao iwe ajabu. Sababu zenu hazina mshiko
@salummzee9739
@salummzee9739 2 жыл бұрын
Daah mitihan mikubwa Allah atujaliye kheir
@haroubalkharusy9117
@haroubalkharusy9117 2 жыл бұрын
Hapo kuna biashara haramu...!! Hiyo promoshoni ni geresha tu....!!! Angalia hao wanaofanya kazi maelezo yao, wamepewq mafunzo maalum ya mkakati ili kuficha uhaLifu na uasherati inaofanywa hapo.. !!! Big UP Mh Sheha... Keep it UP....!!!
@yasminjuma9146
@yasminjuma9146 2 жыл бұрын
Wapo vzr wafanyakazi. Hongereni
@mahinduzihonorech
@mahinduzihonorech 7 ай бұрын
🎉🎉🎉 ndiyo kabisa
@zahorsalum4976
@zahorsalum4976 2 жыл бұрын
Mtihani .znz kwisha ss.
@khalfannasornassor7396
@khalfannasornassor7396 2 жыл бұрын
wabongo wamejaaaa
@saidmkashari6002
@saidmkashari6002 2 жыл бұрын
Assalamualaikum Mimi nishawahi kufanya kazi hiyo ila sijawahi kulala chini hata kama masikini sivyo hivyo wanafanyiwa hata saivi ninavyoongea nipo kwenye kampuni hatujawekwa chini na tatizo serekali yenu tunapenda kuwa chini Hilo tatizo ushauri wangu Kwa serekali wangalie sana kuhusu jambo kama Hilo Kwa sababu wengi hatujasoma na wengine wamesoma. Changamoto ya maisha tutaweza kusema tumeridhika ukweli sivyo hivyo
@dekanyaktown.255
@dekanyaktown.255 2 жыл бұрын
Ukiona bango lime andikwa ajira mshahara mnono ukifatilia ndy kazi kama hizo.
@bintqassimidarous1636
@bintqassimidarous1636 2 жыл бұрын
Kipindi cha uchaguzi mnawakumbatia na mnawapa vitambulisho ili wawapigie kura ukimaliza uchaguzi hamuwahitaji any ways hiki kitu si kizuri
@salamabakari8384
@salamabakari8384 Ай бұрын
Kweli
@papaadialoo
@papaadialoo 2 жыл бұрын
Ukiwa katika uongozi una gari la serikali hujui kama wako wengi wanalala chini TZ wee unastaajabu
@fortune3502
@fortune3502 2 жыл бұрын
Cha msingi hapo watFutiwe mazingira salama waendelee kupambana na maisha. Wanaume wapewe bweno lao na wanawake lakwao maisha yaendelee hata mkiwatoa bila suluhisho ndio mtaongeza matatizo zaidi maana hawana pakwenda wataenda kusimama huko barabarani bila nguo.
@mbwenyali2357
@mbwenyali2357 2 жыл бұрын
بارك الله فيك
@omarynassor6313
@omarynassor6313 2 жыл бұрын
Mimi nimesoma darasa lakwanza mwaka 1981 tangumwaka huo mpaka nimemaliza skuli sijawahi kukaa kwenye vumbi labda kukaa kwenye sàkafu na nilihamiahiwa karibu skuli 4 wkati niko skuliya maingi skuli ya jangómbe darasà la 4 (1984)tulikuwa tunakaa kwenye viti na meza ijekuwa wakati huu useme wanfunzi wamakaa kwwnye vumbi
@rashidikanyama7227
@rashidikanyama7227 2 жыл бұрын
Sasa br Omary hiyo miaka ya 80 acha hiyo Leo hii Kuna ndugu zetu jua lao baridi yao vumbi lakwao kila ambacho nifedheha kwa mwanadamu yeye ishakua ni maisha yake Hana jinsi kuyaishi
@noffelsalim830
@noffelsalim830 2 жыл бұрын
Duh ndugu zetu watanganyika nawaoneeni huruma xn, poleni xn
@veronicashayo5075
@veronicashayo5075 2 жыл бұрын
Mm naona wangetumia busara wakawatafutia sehemu yakukaa lakini kuwafungia hiyo siyo suluhisho watafutaji wanatakiwa kupewa sapoti
@saidali5964
@saidali5964 2 жыл бұрын
Makampuni vijana waekeyeni mazingira mazuri yawe tofauti ya wanawake na. Wanaume Kisha usalamauzingatiwa hata afiya zao muhimu iliwatafute riziki Kisha wawe salama
@mahinduzihonorech
@mahinduzihonorech 7 ай бұрын
Toka APA nawewe
@mahinduzihonorech
@mahinduzihonorech 7 ай бұрын
Boss ngani Alisha kutafutiya mazigira mazuri nikutumika Tu mwisho wasiku unakyakiwa navyako weye fhala Nini
@nassorali1034
@nassorali1034 5 ай бұрын
Ndio jela wanawekwa watu milioni chumba kimoja lkn tayari kule nijela na wale niwafungwa walikua wahalifu lkn wao ni raia wakawaida iweje waishi namna km hii nakila mmoja anatakiwa kulinda vyema afya yke ivo kweli usalama upo hp nimtihani
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 2 жыл бұрын
Malengo ya Makafiri yanazidi kutimia, Imeshawishiwa kuondoa PASS PORT na matunda ya Muungano ndo hayo. Muungano ni mzuri lakini sio kihivyo.
@Mwamdudetv
@Mwamdudetv 2 жыл бұрын
Subuhana unawaita wezio kafiri ilihali ww mwenyewe hujui kesho yako je jiulize marekan uingereza nchi zile ni zakina nan asilimia 99 na wakristo je wazanzibar bari hawaishi kule ndugu ushauri wa bure tembea uyaone
@jumarajab2754
@jumarajab2754 2 жыл бұрын
Mimi nadhani kuwaondoa sio sulihisho wenyewe hao vijana nishakubali mazingira hayo.Mmiliki sasa ambiwe waongeze japo mabanda ya kukaa hao vijana na kwa jinsi nilivo wasikia wengi ndg zetu kutoka Bara mkifunga washafanyakazi hao MASLAHI yao
@jokhasimba586
@jokhasimba586 2 жыл бұрын
Jamani ni mtihani hao vijana.huoni jinsi walivojikwekweneza hapo chumba kkmoja wa zaid ya 20 wengine hao.usiku.wanakwenda kijiuza na wengine hao hao ndio.wezi.wanawapora.watu ⁰hao.kwa.hyo.seeikali waliangalie kwa.macho.mawili.hlo
@menalikechildren8836
@menalikechildren8836 2 жыл бұрын
uyu mtangazaji boya sana na sio professional hta kdg, hapo kulikua na maswali mingi san ya kuwahoji ili ujuwe changamoto zao yey ameshikilia "umerizika kulala chini?" sas alitaka awachukuwe kwao au vp
@yanheuaaoci7337
@yanheuaaoci7337 2 жыл бұрын
Hiyo si.kweli,hao raiya wetu wana asilimia kubwa ya kupatwa na maradhi ya kuambukiza ,ikiwa inaweza tokea miongoni mwao, kizuri ni kuwasaidia waelewe pamoja na kwamba ni maisha ya utafutaji,wazazi wajuwe nini wanacho kifanya,na nani anae waajiri, na kwa mazingira gani,watu wana kaa hivyo ikiwa wameenda kutafuta nchi za wenzio,maana huko huna ndugu wala huna tumaini la kupata msaada kwa yeyote yule...inaweza eleweka,lakini ukiwa mchini kwenu ,kwa.kweli mazingira sio.mazuri. hamuwezi kuwa wakimbizi mchini kwenu kipindi hakuna vita.
@majidkhaled2162
@majidkhaled2162 Жыл бұрын
Yaani hao jamaa hapo wanapolala ni pazuri mno kuliko huko kwao wanakotoka. wznzbr tembeeni bara vjijini mukaone maisha ya hao jamaa mutawaonea huruma. Kwao hao ni vbanda tu nakwenda mbele. Hapo wanaenjoy maisha sana kulala chini haiwasumbui hata chembe lakini inawezekana kuna lengo maalum tusubirini tu tutaona.
@saidhassan7779
@saidhassan7779 2 жыл бұрын
WABONGO WAEREJESHWE KWAO TUMEWACHOKA SANA HATUTAKI KWETU ZANZIBAR
@mohamnedsalum2150
@mohamnedsalum2150 2 жыл бұрын
Usiwe na ubaguzi
@kanyamageorge7015
@kanyamageorge7015 2 жыл бұрын
Wanatafuta kazi.Laghai hiyo ukiwapata sana kuna jambo wako tayari kwa lolote!
@azizaferuzi5856
@azizaferuzi5856 2 жыл бұрын
Mbona nyie mmejazana bongo kwani kwenu atuamii tumegomaaa
@saidhassan7779
@saidhassan7779 2 жыл бұрын
@@mohamnedsalum2150 Hehehheh
@rukiamkumba8038
@rukiamkumba8038 2 жыл бұрын
Nyinyi mbona mumejaa uku bongo mbona sisi atuwafukuzi koma wewe
@innocentpeter6409
@innocentpeter6409 2 жыл бұрын
upumbavu amjui shida sisi tumelala nje tena kwenye mchanga shuka kavelo leo hao wanalala ndani mnawasumbua hamjui maisha
@jeraldboman3053
@jeraldboman3053 2 жыл бұрын
Kwel kaka had leo tunalala pazur!
@duniamapitosotewamungu3467
@duniamapitosotewamungu3467 2 жыл бұрын
Yaaan wamenilumbusha kweli hawa mwaka 1995 wazanzibar tulipokimbilia london lakin sisi ilikuwa chumba watu 6 hawa wametisha watu 80
@jumammanga0297
@jumammanga0297 2 жыл бұрын
Hio inaitwa Zanzibar njema atakae aje
@Awatee
@Awatee 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@khadijakhatibuhaji7284
@khadijakhatibuhaji7284 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@khadijakhatibuhaji7284
@khadijakhatibuhaji7284 2 жыл бұрын
Zanzibar njema vooo, kwani haitangazwi Hawa wabongo warudi kwao uko wakafanye shughuli zao mjini na mashamba wamejijaza vibaya mno Hawa watuuu balaaa zito mm naona loooh
@zendopkop2310
@zendopkop2310 2 жыл бұрын
IPO haja ya watu wenu waangalie vipindi vya habari ili wajue jinsi ya kuhoji ki professionaly
@salamabakari8384
@salamabakari8384 Ай бұрын
Sasa waondoke wende wapi naawamekuja kutafuta muwafikirie serikali sehemu nyengine yakukaa
@kassimmsonde4209
@kassimmsonde4209 2 ай бұрын
Jamani watanzania wenzangu mbona hatuna zuri? Hapo hoja sio kulala chini, maana kama kulala chini mbona wengi tuna lala chini. Hoja hapo ni wingi wa vijana wenye malika mbali mbali kulundikana chumba kimoja, tena wake kwa waume. Ushauri wangu kama kweli wanafanya kazi kwenye kampuni na wanalipwa pesa washauriwe watawanyike kutafuta vyumba vya kupangisha mmoja mmoja au hata wakishirikiana wawili chumba kuliko chumba kimoja kulala watu 40 jamani Afya zenu ni muhimu sana.
@africaoman1923
@africaoman1923 2 жыл бұрын
Hao wazanzibar wasijafanye kwao ndo wanauwezo ikiwacmasikini wenzao wanakuja sana bala uku kuu za magenge ya nyanya acheni midomo mirefu mtajuta uwo ugawaji manao utaka ..
@sadockchengula5542
@sadockchengula5542 2 жыл бұрын
Hapo hakuna kibarua/ajira. Kwani hao wakilipwa posho zao au mishahara yao wanatunza wapi, usalama wa posho, nguo zao za ndani au faragha yao ya kuoga inakuaje? Hapo kuna shida na wao ni kama hawajielewi au wamepumbazwa. Morogoro kuna fursa nyingi warudi hao labda wana mipango tofauti hiyo ni zuga tu.
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 7 ай бұрын
Hao kuna kazi ambayo siyo nzuri wana fanyishwa na hao vijana hawa jielewi
@abubakarmohamed8275
@abubakarmohamed8275 2 жыл бұрын
Tena Hawa masheha wamezidi kuzalilisha watu na hawajui wajibu wao wa kazi hao vijana wameshakaa muda mrefu yy alikuwepo wapi inawekana amenyimwa pesa kaona awaripue wakati yy mwenyewe anamakosa
@aboudshauri2357
@aboudshauri2357 2 жыл бұрын
Tatizo la ajira kwa vijana wetu na umasikini uliokithiri naona huruma. Mungeliwakopesha mitaji wakajiweza
@mohdmohd2550
@mohdmohd2550 2 жыл бұрын
Dah, Mungu awasaidie
@taybinaali9597
@taybinaali9597 2 жыл бұрын
Zanzibar hakuna utakachofanya kikaendelea sasa anawatakia nini lohhh😏
@jumafundi3133
@jumafundi3133 2 жыл бұрын
Mm naona kull chini hilo siotatizo maana hata sisi ambao tunayo majumbayetu wengine wanall chini ila nibora wazifanye hizonyumba ziwe za wanawake mbali na wanaume mbali wasichanganyike kama hivyo.
@mwanatz5980
@mwanatz5980 2 жыл бұрын
Dah! Mtihani kwakweli.
@othmanabdallah3146
@othmanabdallah3146 2 ай бұрын
Sasa serikali kwanini msiwasapoti hao kwa kuwaletea vitanda vya double decker na magodoro, kumbukeni hao ndy wapiga kura wenu wakiwa bara au zenji.
@isackakyoo6446
@isackakyoo6446 2 жыл бұрын
Sheha wa Shehia ya Chuini Hongera sana Mtumishi wa Mungu wewe kwa kujali maisha ya vijana, kwa kweli Makampuni tujali afya za wafanyakazi na familia taratibu za nchi.
@pescopenterprises2728
@pescopenterprises2728 2 жыл бұрын
Jamani kulala chini sio mateso ninyi wandishi ni watu wa nchi gani kwa sisi tulio kulia vijijini kulala chini ni kawaida kabisa kwa nza kulala chini ni ni tiba ya mgongo tuko shambani kulima unataka uwe unalalia tandiko waacheni vijana watafute maisha na huko ndiko kujiajili
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 7 ай бұрын
Unatetea
@sultanramadhan5269
@sultanramadhan5269 Жыл бұрын
Wa znz mna pupa mngepandikiza watu wenu kuupata ukweli inawezekana wanakusanywa ili kuuzwa nje ya nchi, pia mnajua fika kwamba mashoga na wasagaji wanatamani dunia nzima tabia zifanane na wao mshaukosa ukweli, na hakuna kampuni itarundika kundi ktk la watu ktk nafasi finyu na hasa wanatoka nje ya znz hiyo Habari limenitia chungu mimi km mzazi.
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 жыл бұрын
Funga Hiyo sehemu
@husseinabdul7948
@husseinabdul7948 2 жыл бұрын
Nimajanga hyo wake kwa waume mchanganyko hiyo khatari tuwachie wafanye kazi yao km serikari kazeni buti ndugu zangu si jambo zuru lina reta shubuha .
@calvinpaul2171
@calvinpaul2171 2 жыл бұрын
Awaa wamelogwaa
@feisalmwinyi2429
@feisalmwinyi2429 2 жыл бұрын
Daaaaah watu wabaya jmn kiasi hichi hawa watu jmn eeeh
@tours15
@tours15 2 жыл бұрын
Faida ya Muungano ndio hiyo
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 Жыл бұрын
Kama wanaridhika waendelee na kazi . Wangeteseka wangesema.
@hashilfarahani4024
@hashilfarahani4024 2 жыл бұрын
سبحان الله
@fatmasaid9765
@fatmasaid9765 2 жыл бұрын
Wazanzibari poleni sana na msiba huo lakini stahamilini ndugu zenu wa damu hao
@saidhomie3368
@saidhomie3368 2 жыл бұрын
Ndio waliopindua hao.
@fatmasaid9765
@fatmasaid9765 2 жыл бұрын
@@saidhomie3368 he nakwambia vo mtihani mkubwa wameiharibu nchi yote
@habibadaudi8242
@habibadaudi8242 2 жыл бұрын
Kwani kulala chini nivibaya Jamani kikubwa kama wanalipwa tu hakuna tabu hiyo ni changamoto tu wapo wanakuja kufanya kazi uwarabuni kulala chini ni kawaiada tu au unapika ww lakini kwenye kula Hadi usubiri wamalize kula lakini unaona ni kawaida tu kwasababu upo kwenye kutafuta
@ThaniaVuai
@ThaniaVuai 7 ай бұрын
Shida jamani mungu awafanyiewepes
@st99ngeni35
@st99ngeni35 2 жыл бұрын
Huku ni kuingiliana haki na uhuru wa raia wengine. Mtu kulala Chini kwa hiari yake asiingiliwe. Kwanza hii Kampuni inastahiri pongezi kuwapa sehem salama ya kulala kuliko wakiachwa nje mabinti watabakwa nk. Hapo ni sehemu salama waachwe. Hao viongozi wa mtaa wana Lao jambo.. Wivu binafsi. Jambo hili liangaliwe
@MmangaAli-b6u
@MmangaAli-b6u 6 ай бұрын
Njyoni nyinyi kwani maisha kwenu hakunina ebo vip nyiny
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 2 жыл бұрын
Wauza papa
@feisalmwinyi2429
@feisalmwinyi2429 2 жыл бұрын
Ila wameongea vzr vijana kwa kweli lkn kdg iyo si hali
@khatibjuma9455
@khatibjuma9455 2 жыл бұрын
Nazani nivyema mwenyekiti hiy nyumba ifungwe ama atafutwe mwenye kuweka hao vijana kwa maelezo zayd
@OmarOmar-eu4ze
@OmarOmar-eu4ze 2 жыл бұрын
Izo campuni hazifai Kwa hapa kwetu jamanii zitatumalizia maadili yeti Wazanzibar
@mohammedhimba1647
@mohammedhimba1647 2 жыл бұрын
Mlikuwa mnataka wawe majambazi? Ajira zenyewe hakuna sasa mlikuwa mnategemea nini kwa taarifa yenu kuna vijana kama hao wanaokadiliwa kufika millions kumi na tisa hawana ajira subilini sensa mtajua hali ni mbaya hasa mijini hambako hakuna mashamba
@isackakyoo6446
@isackakyoo6446 2 жыл бұрын
Hahahahaha, kweli ajira hamna
@zainabmahmoud5501
@zainabmahmoud5501 2 жыл бұрын
Sasa siwangebaki kwao basi wakalima kwani lazima wake huku ajira ndo Hamna huku tumejaa tele wakalima wakishindwa na kwao pia miji ipo wangepaki tu kwao hii ni kusababisha makahaba na vibaka kuwa wengi
@rashidikanyama7227
@rashidikanyama7227 2 жыл бұрын
@@zainabmahmoud5501 We mbulula kweli Yani watu wanapambana wewe unaongea ungese
@zainabmahmoud5501
@zainabmahmoud5501 2 жыл бұрын
@@rashidikanyama7227 mbulula mimi au hao ndugu zako wasio na akili mara ngapi wanakamatwa kwa kurundikana mmezidi mbaki makwenu mmeuwa kero juzi tu walikamatwa wanalala kwenye varanda za majumba yamichezani mtu kwa mkijiona Hamna ajira mrudi makwenu sio kuzurura ovo kuna mambo hapa znz hatuna asilili nayo kwetu ni maajabu walasiushamba mbaki makwenu mlime mnaardhi yakutosha na sio uko tu aende kwenye mahoteli hao wanaoletwa kwenye treina mijitu tele Kazi hawapewi wanahakaika kutafuta mabwana hawana pakukaa et kulima ndo hawawezi rudini makwenu hamjafukuzwa kwenu
@belgieboys9867
@belgieboys9867 2 жыл бұрын
Walikuwa wabakie makwao wakalime kuna mapori tele ya kulima znz haina nafasi hata ya kulima
@selemanijafari9225
@selemanijafari9225 7 ай бұрын
Zanzibar ni sehemu ya kutafuta maisha njoon muwe wengi kuliko wazawa na miaka ikienda iwe yenu
@abdulwahababdulkadir9965
@abdulwahababdulkadir9965 2 жыл бұрын
Nchi haina utaratibu maalum unawezaje kuwakataza watu wasijazane sehem moja,kuna zaidi ya hao na hawajuilikani kazi zao then matendo ya kihalifu hayawezi kuisha
@lmdos4382
@lmdos4382 2 жыл бұрын
@@salma0000 Tembea Dunia uione
@moahmed7588
@moahmed7588 2 жыл бұрын
mtihani lakini wenyewe wameridhika kwasababu kwa uono wao hapa Zanzibar ni kama ulaya. Sawa na wewe unaewashangaa hawa lakini jamaa zako wako Ulaya wanaishi kama ivo au kuliko. Nao pia warudishwe. Pia hawa wakitolewa apo bila ya utaratibu mzuri watazagaa mtaani. Zanzibar inapoteza haiba yake kila kukicha
@yanheuaaoci7337
@yanheuaaoci7337 2 жыл бұрын
Ulaya yote,marekani haishi mtu hivyo...wanaoishi ivyo huku tuliko ni.wale ambao walifanya makosa ya jinai,na sio kwa mara moja tu, ni baada ya kufanya hivyo mara3, alafu serikali uchukuwa hatua ya kuwanyang'Anya vitambulisho,ndo hapo mta waona ni ombaomba mitaani kote... na kulala kila sehemu mbaya, ikiwemo porini kama nyama, na chini ya ma daraja...
@nassormohammed9742
@nassormohammed9742 2 жыл бұрын
Hata jela ya ulaya hakuna mambo haya
@khadijakhatibuhaji7284
@khadijakhatibuhaji7284 2 жыл бұрын
Mmmh hii hakuna kuridhika Wala nn serekali iwafanyie utaratibu wa kuwarejesha kwao Hawa viumbee, maana wameenea kila sehem nyumba zetu hatuna amani nazo kila siku boti ikitoka daaa kuja unguja inashusha watuu wapya yaani balaaa kwa kwelii, asilimia kubwa ya wanaoishi Zanzibar no wabongo na imeshakuwa sasaaa
@habibadaudi8242
@habibadaudi8242 2 жыл бұрын
Mm sisemi kitu Ila kwamaisha nilopitia kulala chini nikawaida tu kama natafuta
@papaadialoo
@papaadialoo 2 жыл бұрын
SI mngechukua record zao mkawaacha walale unatimua watu wakati huna pa kuwaweka ni uongozi wa kukurupuka
@kassimkasi846
@kassimkasi846 2 жыл бұрын
Msisahau kwenda na gereza la kinuwa miguu mkaangalie chumba kimoja wanalala wafungwa wangapi na ni jengo la serikali lile
@nassorali1034
@nassorali1034 5 ай бұрын
Sasa ndo ushasema wafungwa lkn haw wao wapo huru pia istoshe kuna mt kasema watu wanalla nje seuze hawa wapo ndani sawa ndohuko kwenu lkn sio huku ushawahi kumuona mzanzibar akaja huko kwenu akafanya mijitabia mibaya km hii kulala mzazibar yeyote hua anasema na shida zake wala haji uko kiujinga ujinga sawa eh
@ummuwawili
@ummuwawili 24 күн бұрын
​@@nassorali1034 nataman niseme lkn Namuomba Allah aniepushe na hii fitna ya ulimi kama nikisema.....ninyamaze Acudhubilahi mina shaytwanirrajim
@tahirtalib1540
@tahirtalib1540 2 жыл бұрын
Acheni wapige kazi acheni kuwasanifuuu
@innocentkyungai1138
@innocentkyungai1138 2 жыл бұрын
hawa watu wa habari ukiwafuatilia unaeza isi wanakutakia maisha mazuri kumbe sivyo
@pascuskissengo5460
@pascuskissengo5460 Жыл бұрын
Huomtihani shekhe
@lakiabalozi5633
@lakiabalozi5633 2 жыл бұрын
Naona huruma jamaniii uuuwiiii
@dissimmadi2773
@dissimmadi2773 2 жыл бұрын
Nisawa ni kweri kabisa umefanya kazi Mzuru kabisa
@estakapufi7582
@estakapufi7582 2 жыл бұрын
Sema metafuta sababu hapo Zanzibar kuna watu wazaliwa wana lala chini mpaka vitoto vichanga msijifanye mnawaonea huruma hao wenyewe wameshasema wako kwenye utafutaji cha msingi kampuni iwatambulishe kwa shea basi, kama kweli mna huruma mbona huko Zanzibar kuna watu wanalala chini kwenye nyumba za maktuti tena zinavuja leo mna wafukuza hao ayo nimaisha ya utafutaji huchagui pakukaa wala pakulala.
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 7 ай бұрын
Sasa watoto kulala chini siyo hoja Hoja ni kwamba kwa nini watu wengi 80 waishi kwenye nyumba moja?
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 7 ай бұрын
Hivi binti yako akiwa kwenye hayo mazingira unaweza ukachukulia kawaida.
@bebisheni4380
@bebisheni4380 2 жыл бұрын
Sukuma ndani
@mrpresedanthaji4792
@mrpresedanthaji4792 2 жыл бұрын
Je ww unataarifa nao mtu akitoka sehemu kwenda sehemu nyengine nilazima wawe na barua ya uhamisho kwenda sehemu nyengine km barua ya mzee wa kijiji au barua ya sheha
@salhkasmm558
@salhkasmm558 7 ай бұрын
Hivi ndio vile viwanja tunowauzia watu tusio warambua kwatamaa zetu waznz mwisho wake ndio huu.
@halimaauthman9324
@halimaauthman9324 2 жыл бұрын
Subhanallah
@salehal-oufy5380
@salehal-oufy5380 2 жыл бұрын
Kibongobongo
@ajumaakange1483
@ajumaakange1483 2 жыл бұрын
Atuwa kali ichukuliwe apo kuazia kwaviongozi kunakitu kinafichwa apo
@nassorali1034
@nassorali1034 5 ай бұрын
Pia kulala chini sio shida muhimu kutafuta riziki ya halali lkn sihawa wamekaa km mamba ninachowapitia wamemeza wapimwe afya nyoko hao
@سالمبنسعيدبنسيفالجرجري
@سالمبنسعيدبنسيفالجرجري Жыл бұрын
Mbona gerezani wanalala zaid ya watu 50 tena hao hawana hatia yoyote
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 2 жыл бұрын
CCM INATUHARIBIA NCHI YA ZANZIBAR.
@saidamour6938
@saidamour6938 2 жыл бұрын
Hii sio haki kabisa hawa wafanyakazi hawana makosa kabisa , mngewatafuta wamiliki wa iyo kampuni mana mpaka mnaita kampuni ni kwamba imesajiliwa na kupewa miongozo yote na inatambulika kiserikali, kwanini msimalizane na management team? Swala la kulala chini sio geni apo mtu anakwambia ana miezi minne Zanzibar kwa kazi hiyo anapataje pesa ya kupanga miezi minne? Me naona hapa protocol za kiserikali zifatwe since wanasajili kampuni kuwe na ukaguzi wa hali ya juu.
@suleimansalim8744
@suleimansalim8744 3 ай бұрын
Kulala chinii ni ajabuu jamanii katika kutafutaa
@shabanramadhan7632
@shabanramadhan7632 7 ай бұрын
Nyie mlitakaje
@raksulmayraa4233
@raksulmayraa4233 2 жыл бұрын
Acheni ujinga uwoo sasa mnafunga milangoo wanaparagunyuka wanaenda wapii c ndo mnatafta matatizoo buree uskute hawo wanawakee baadhi yao wamekataa wanaume ukoo kwa kuridhika na kipato chao sasa apoo utamfanya amfikirie hugo mwanaume alie mkataa eee mana ndo hana mwenyeji itabidi amkubali tuu.
@aviwamwadin1769
@aviwamwadin1769 2 жыл бұрын
Wataenda kwao walikotoka
@lmdos4382
@lmdos4382 2 жыл бұрын
@@aviwamwadin1769 Utawagharamia wewe hizo safari?
@jumarocky9544
@jumarocky9544 2 жыл бұрын
Hukusu magodoro si tuwapeni msaada jamani maisha magumu
@safiasaleh669
@safiasaleh669 2 жыл бұрын
Wameletwa kueneza dini Yao ao wooote wakiristo baada ya miaka 2 Zanzibar wakiristo wengi kuliko waislam halafu ikifika usiku wanajiuza hawajapimwa wanaeneza ukimwi tu
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz 2 жыл бұрын
Hawa ndo panya road wa kufugwa
@shahabdallah9407
@shahabdallah9407 7 ай бұрын
Si mumtafute mmiliki wa nyumba?
@raiyanmohd8261
@raiyanmohd8261 2 жыл бұрын
Warudishwe kwao tu
@abuutasniym2675
@abuutasniym2675 2 жыл бұрын
Kulala chini sio tatizo muhim kutafuta rizki ya halali
@nassorali1034
@nassorali1034 5 ай бұрын
Umeona ivo lkn hawa huwa hawana ivy
@fatmasuleiman3384
@fatmasuleiman3384 2 жыл бұрын
Kulala chini si kitu kama mtu anatafuta maisha kulala utalala popote pale muhimu uweke ubavu wako tu tatizo hapa ni watu wengi ndani ya nyumba hii haifai hata kwa kiafya nyumba isizidi watu 20hata hivi ni wengi hii hata ukenda nchi yeyote Ile watu wakiwa kama hivi wengi wanatolewa ktk nyumba za kukodi kwa hili walilolifanya si kosa kuwatoa au wangewapunguza tu
@JacksonSambalu
@JacksonSambalu 7 ай бұрын
Hapa ingetumika hekima ya kuboresha mazingira ili kazi iendelee
@abdulkareemchacha2625
@abdulkareemchacha2625 2 жыл бұрын
Cha msingi apatikane mmiliki wa kampuni na hiyo nyumba ajulikane mwenyewe ili watoe maelezo ya kina kuhusu suala hilo na muafaka upatikane.Hao vijana hawana makosa kwa sababu wanapambana kutafuta maisha.
@mohammedbinjumaabinaweisal9188
@mohammedbinjumaabinaweisal9188 2 жыл бұрын
Hajawafaham hao hawana kampuni. Mi Ni nipo mwanza miaka 9 sasa Hao kazi zao ni mission town. Kwanza hawana boss,hapo Kila mmoja kaletwa na mmoja wapo wa aliepo hapo ndani
@selmesaid7405
@selmesaid7405 2 жыл бұрын
Mhh mtihani huu
JE! ULIDANGANYWA HISTORIA YA ZANZIBAR- MANGAPWANI?
19:50
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 74 М.
LIVE_JE? UMEYAONA MAAJABU YA KISIWA CHA TUMBATU
22:11
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 2,5 М.
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 13 МЛН
Do you choose Inside Out 2 or The Amazing World of Gumball? 🤔
00:19
Every parent is like this ❤️💚💚💜💙
00:10
Like Asiya
Рет қаралды 21 МЛН
MFAHAMU MSANII WA PEMBA MWINYI MPEKU NA SAFARI YAKE YA CHINA
44:38
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 15 М.
SABRA MACHANO: Nilifukuzwa kazi ZSSF kisa natembea na RAIS
11:45
NG'ARING'ARI
Рет қаралды 54 М.
KIJANA ALIYELAWITIWA NA WATU 60 ZANZIBAR ATOA USHUHUDA (Episode 03)
16:28
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 28 М.
DP Rigathi Gachagua Addresses the Nation
2:00:02
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 88 М.
The Story Book : Mizimu Ndani Ya Pango La Ngonga Zanzibar
30:04
Wasafi Media
Рет қаралды 238 М.
KIJANA ALIYELAWITIWA NA WATU 60 ZANZIBAR ATOA USHUHUDA (Episode 02)
15:46
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 81 М.