May Allah swt increase your rizk and help poor people in providing cheap alternative energy.ameen
@SalimKombo-xo4pqАй бұрын
M.mungu atakubariki kwa kazi nzuri uliyo ifanya kwa taifa lako. Wewe ni mzalendo mungu akubariki
@mrsab303Ай бұрын
MashaAllah ❤❤❤
@user-hj4bc5uh2xАй бұрын
Hatutakiwi kuwa wapinzani kwenyemaganikio hongeren jengen taifa kwakutanguliza hof yamungu
@user-kd6zm3lb9cАй бұрын
Huyu mbunge namuona siku za badae atakuwa mkombozi wa Zanzibar yupo vizur sana
@user-gc3ec9wx6zАй бұрын
Mm ni mpizan ila mm kwa uyu mbunge wetu nampnda mnoo
@FahadAbubakariАй бұрын
Huyu ka marehemu mzee wake watu Safi sana kumbuka Alipopigwa risasi tundulisu mmoja wa watu walojitolea kukodi ile ndege alikua mzee wake na japo alikua CCM na bado alijitoa kusaidia watu Safi Hawa jamaa