MFAHAMU PIUS MSEKWA, MTANZANIA WA KWANZA KUONGOZA BUNGE, INASOMWA NA CHENGE l BUNGENI

  Рет қаралды 18,807

Global TV  Online

Global TV Online

4 жыл бұрын

MFAHAMU PIUS MSEKWA, MTANZANIA WAKWANZA KUONGOZA BUNGE, INASOMWA NA CHENGE l BUNGENI
Bunge la Tanzania leo limeweka historia mpya baada ya kuwapa mavazi ya Uspika, Maspika Wastaafu wa Bunge la Muungano.
Na huu ndio wasifu wa Spika Mstaafu Pius Msekwa kama ulivyosomwa na Adrew Chenge Bungeni leo.
UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982)
( +255 676 229628)
HABARI MPYA DAILY:kzbin.info?list...
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:kzbin.info?list...
GLOBAL RADIO TV:kzbin.info?list...
EXCLUSIVE INTERVIEW:kzbin.info?list...
Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 24
@sharifaabdullah6825
@sharifaabdullah6825 4 жыл бұрын
Hongera mzee mungu akupe afya njema msekwa🤲🤲
@amonbwanakunu910
@amonbwanakunu910 3 жыл бұрын
Mzee Pius Msekwa,( Mheshimiwa Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) Ana Historia yake nzuri Sana nchini kwetu, Lakini pia Huwa anaandika makala nzuri Sana za Masuala ya kiuongozi na siasa nchini kwetu ( Katika Gazeti la Daily News) Mzee wetu , Nakuombea Afya njema kutoka kwa Mwenyezi Mungu 🙏🙏🙏
@kimolaking1005
@kimolaking1005 4 жыл бұрын
Hongera sana mzee wetu mungu akuongezee nguvu za kuishi miaka 2095
@stedimwashiuya7873
@stedimwashiuya7873 4 жыл бұрын
mungu akutangulie sana mzee wetu msekwa kwa kazi kubwa ulio ifanya kweny uongozi wako, amen
@stedimwashiuya7873
@stedimwashiuya7873 4 жыл бұрын
ongera kwa kazi kubwa ulizo fanya mungu akuongezee nguvu na kuishi miaka mingi, Amen. wakerew wanajivunia sana kuwa na mtu kama wewe mpenda haki na mtetea wanyonge mzee pius msekwa mungu akujalie sana.
@karumunajulianus3471
@karumunajulianus3471 4 жыл бұрын
Kweli mzee kalitumikia taifa
@raymanmwangosi5041
@raymanmwangosi5041 4 жыл бұрын
1:55 kama umemwona Msekwa anamcheka chenge baada ya kusema walifanya kazi wote mwaka 2095 gonga like. Hawa watakua time travellers mbona walianza kufanya kazi miaka ya mbele kurudi nyuma🤣🤣🤣
@mussajacob8346
@mussajacob8346 4 жыл бұрын
Kweliiiii kabisa😁😁😁😁
@debbiemwaijande7082
@debbiemwaijande7082 4 жыл бұрын
Hahahaaahahaahahahh😅😅😅😅😅
@maheralmuayqily1900
@maheralmuayqily1900 4 жыл бұрын
hivi kwa nn mh Spika amemtaja Mh chenge kwa jina la mtemi
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 3 жыл бұрын
Adam sapi mkwawa unamweka wapi!!!???
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 жыл бұрын
Duh yani adam sapi mkwawa hawamtaji?
@azizaj776
@azizaj776 4 жыл бұрын
Ikiwa P . Msekwa ni spika wa kwanza Mtanzania , je , Mtwa Adam sapi mkwawa alikiwa sipka wa ngapi au hakuwa Mtanzania ???????
@christophermwanilwa7074
@christophermwanilwa7074 4 жыл бұрын
Hawa waandishi wapotoshaji
@Expedito2512
@Expedito2512 4 жыл бұрын
Wa kwanza ni Adam Sapi Mkwawa
@richardmollel8655
@richardmollel8655 4 жыл бұрын
Sawa Sawa kabisa adam sapi mkwawa ndie spika wa kwanza
@emmanuelthomas7345
@emmanuelthomas7345 4 жыл бұрын
Hao ndiyo wanatakiwa kuogea hata mitaani siyo wakina lissu jaman
@christianshoki2422
@christianshoki2422 4 жыл бұрын
Umefikilia nn
@athumanikaoneka7413
@athumanikaoneka7413 3 жыл бұрын
Nixe. Xanaaaa
@suleimanbakar1271
@suleimanbakar1271 4 жыл бұрын
kwani nyie mkafiri mnajua kuwa kuna kitu kinaitwa haki?basi kwa mnayoyafanya jiandaeni
@fahadfaraj1822
@fahadfaraj1822 4 жыл бұрын
Kwanini mmeandika msekwa ni Mtanzania wa kwanza kuongoza bunge ikiwa kuna Adam Sapi
@adammlonganile7921
@adammlonganile7921 3 жыл бұрын
Waandishi wengine hudhani kila mtanzania hajui historia,
@localityftv7201
@localityftv7201 4 жыл бұрын
Pumbavu sana nyie Adam mkwawa Sapi ,ndio wa kwanza sio huyo, au mnafikiri wote humu hawajaenda shule
@mumewangu2937
@mumewangu2937 4 жыл бұрын
Huyu chenge cio wa mchezo mchezo
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 16 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 13 МЛН
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 125 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 16 МЛН