ZUMARI - AZAM TV | Zakia Meghji, waziri wa zamani wa fedha wa Tanzania

  Рет қаралды 6,537

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Mwanasiasa mkongwe wa Tanzania na mwanamke wa kwanza kushika wadhifa wa Waziri wa Fedha Tanzania, Zakhia Hamdani Meghji.
Mwanasiasa huyo anafunguka mengi kwenye ZUMARI akiw ana Jaafar Mponda.
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

Пікірлер: 18
@mariamaadam9522
@mariamaadam9522 3 жыл бұрын
Mashallah mashallah tumefurahia saaana kumuona Our Unty Zakia Meghji she is the best of the best.
@ye4bz
@ye4bz 12 күн бұрын
Jamani nyimbo walioutumia unaitwaje? "Salamu nyingi tuwawarushia vijana wote na wananchi na nchi yet Tanzania tuwaitakia heri"🤩
@starlily07
@starlily07 2 ай бұрын
Ooh I love huyu mama
@alicemama9099
@alicemama9099 3 жыл бұрын
Mkuu wetu wa Wilaya na Mkoa wa Kilimanjaro. Ni Jembe la nguvu. Ninakuaminia sana!!!
@alphoncehanura3255
@alphoncehanura3255 3 жыл бұрын
Utalli Tanzania is a sleeling Giant... Mh Ndumbaro (mtani wangu) jiongezee sana we can do better...be agressive kuanzia mama huyu alipoishia......jiongenze tuone doctorate yako ikifanikishasha ndonto of my Presida JPM
@saidalrajhi2888
@saidalrajhi2888 3 жыл бұрын
Salute our tanzania's mama!!
@saidalrajhi2888
@saidalrajhi2888 3 жыл бұрын
Appreciate!
@zakiaali4651
@zakiaali4651 3 жыл бұрын
Kwa kweli ulijitahidi sana kuitumikia Tanzania na kuiongoza kwenye maendeo mengi yenye msingi unastahili sifa kwa hilo, unaonekana uko ngangari lakini bado unayaweza. Ila tu unastaafu mapema
@johnmkanza3565
@johnmkanza3565 3 жыл бұрын
Jamani huo wimbo kaimba nani unaosema salamu nyingi twawatakia unaotumika kwenye kipindi cha zumari
@captioncapition2574
@captioncapition2574 3 жыл бұрын
Hata mimi nimefurahi kumuona Dada yetu tulikua wote sumbawanga
@hawaladha2222
@hawaladha2222 3 жыл бұрын
Excellent 🙏
@uhurunyereremusa8592
@uhurunyereremusa8592 3 жыл бұрын
she would probably make a better president than Samia although she was implicated on EPA scandal and got fired as a result of it
@jacquelinesemu1347
@jacquelinesemu1347 11 ай бұрын
Uongo huo
@AliAli-rx6wu
@AliAli-rx6wu 8 ай бұрын
Jizi kubwaaa
@AliAli-rx6wu
@AliAli-rx6wu 8 ай бұрын
Zeeee la kihindi
@AliAli-rx6wu
@AliAli-rx6wu 8 ай бұрын
Daah limechokaaaa kama mbwa
@AliAli-rx6wu
@AliAli-rx6wu 8 ай бұрын
Msiwe mnahoji haya majizi!!!
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 3 жыл бұрын
Mama zakia mapicha hayo ndani ya nyumba sio vizuri mama wewe ni muislam
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
M23 waandaa mkutano Goma
8:44
BBC News Swahili
Рет қаралды 63 М.
ZUMARI || Mohamed Said na historia ya Malkia Elizabeth II
52:26
ZUMARI: WAZIRI WA ZAMANI SOPHIA SIMBA   -  9/08/2021
50:06
Azam TV
Рет қаралды 2,8 М.
ZUMARI | Anna Abdallah
51:17
Azam TV
Рет қаралды 3,9 М.
ZUMARI | Chifu Edward Makwaia, mtaalam wa Tehama UDSM, BoT
57:22