MAWAHABI NI MAKAFIRI MAANA DHEHEBU LAO LIMEASISIWA NA MAYAHUDI
@UstadhBilal6 ай бұрын
Astaghfiru llah
@hassancharo14964 ай бұрын
SUBHANA ALLAH
@MasudiAli-o8q Жыл бұрын
Kwahakika Shekhe Muhammad Nasoro Bachu Ujumbe umewafikia hawa ndio mana ikawa wananeng'eneka
@AminaJuma-r4v Жыл бұрын
Chungeni maneno mnapocoment tusiwadharau mashehk wetu wote popote walipo
@MuhamediswaleeMjenga-yn8oc8 ай бұрын
Waache watapata tabu
@saidrakwe87277 ай бұрын
shegh hilali 👍🏿
@nassor8819 Жыл бұрын
Sheikh wangu ilikua nakuaminia sana, ila unapoelekea sipo
@shahabdallah9407 Жыл бұрын
njaa adui kk eeeh! hao jamaa c kma hawajuw wajuw fika! ila waogop nafsi zitawasuta wakiach maulid ndo riziki yapatkan hpo. watafany nin?
@khalidkhazab23488 ай бұрын
Hao wanaocomment kwa kuwasema wenye elimu, wana tatizo la kutokujitambua
@daudyussuf8180 Жыл бұрын
Huu mzee bure kabisha
@IbraFareedАй бұрын
MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa, SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ? Nakupa Highlight: Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR (KATOA HUKUMU YA HADITH HAPO) Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ. Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini? na Tija ya تخريج ni ipi? Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza BAADA YA MALUMBANO, Ustadh said akaamua atoe hadithi ya wanyama kuongea katika riwaya ya أبـو نـعـيـم الأصـفـهـانـي kwenye دلائل النبوۃ inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO (HADITH) HUITWA NI UONGO ? swali lake lili gusa MTU au MUANDISHI au KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO) Sheikh bachu akasema SIONGELEI SHEIKH JAFFARY BARAZANJI mi naongelea hadith Ostadh said akamwambia mbona swali lipo pale pale… JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ? mimi nimekuja kutetea maneno ya sheikh jaffary barazanji, kutetea maneno yake kuwa sio uongo na video zako zote (sheikh bachu) una muitaga sheikh jaffary barazanji ni muongo na kitabu unakiita uongo na unamuita mshirikina. Ndo mana nimekuja kumtetea… MAANA BACHU ALIKUA ANAKATAA BARAZANJI SIJAMUITA MUONGO 😂😂🙌🏾 akaambiwa tulete video zako hapa UNASEMAGA HUYU BARAZANJI MUONGO mpaka UKATUPA KITABU CHAKE HII HUKUMU YA KUITA HAYA MANENO UONGO UMEITOA WAPI? Kwanza niuongo ashamuita BARAZANJI MARA NYINGI MSHIRIKINA NA MUONGO kwahiyo alimjeruhi… KATIKA ELIMU YA الجَرح و التَعدیل anahukumiwa MTU NA MANENO YAKE tatizo lenu hamsomi ndo maana mnaona haya mambo mageni ila yapo kwenye vitabu TUSOME JAMENI ndo mana akaambiwa na mwenyekiti wa saidi kabla ya niqash KUANZA UTATUMIA MANTIK GANI KUSEMA HAYA MANENO NI UONGO AFU MSEMAJI SIO MUONGO 😂 Mwenyekiti wake akakubari akasema aya tuanze NIQASH BASI BASI TUANZE NDO MANA LILE SWALI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamuaKUNYANYUKA NA KUONDOKA. MAANA LILIMBANA KWENYE KOO ushamjeruhi MTU NA MANENO YAKE na MANENO YENYEWE NI HADITH USHAYAITA UONGO SASA HUKU KUITA HADITH MUNKARI NI UONGO UMETOA KWENYE VITABU GANI VYA WANAZUONI WA HADITH 😂😂 hii dini ina FANI nyingi na WAJUZI NA ILE FANI NI WALE WALOBOBEA KWENYE ILE FANI MTU WA NAHAU UTAMPELEKEA SWALI LA NAHAU MTU WA KISOMO CHA QURAAN UTAMPELEKEA KISOMO CHA QURAAN NA HIVYO HIVYO HADITH TUTAENDA KWA WASOME WA HADITH lau SHEIKH BACHU Angesema HAKUNA SEHEMU ilipoandikwa HADITH MUNKAR NI UONGO maana yake BACHU HUTUMIA AKILI YAKE KUONGEA NA SIO MANENO YA WANACHUONI Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith ya wanyama kutamka na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR. Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO sio kwa MANENO YAKE ila maneno ya WANAZUONI WA مصطلح الحديث akampa maneno ya WANAZUONI مصطلح الحديث tena akasema mmoja wapo ni ابن الصلاح katika علوم الحديث (مقدمة ابن الصلاح) wamesema wamesahihisha hadith DHAIF kutumika ispokua HADITH MAUDHUI na pia hawaijasahihisha HADITH DHAIFU Kwenye HUKUMI WAL AKAIDI ILA wamesahihisha kutumia HADITH DHAIF kwenye sira na akamwambia tupo kwenye sira na HIKI KITABU مَولِد الْبَرزَنجِي NI SIRA ndo mana tunakitumia na tunatumia hadith DHAIFU. wewe SHEIKH BACHU UMESEMA hii hadith ni munkar na hadith munkar ni ipo kwenye kipengere cha HADITH DHAIFU akanyamaza kimya AKAAMBIWA SI ULISEMA HII HADITH SI DHAIF akamwambia hii uloleta ni hadith lazima turudi kwa wataalamu wa hadith, je itifaki gani ya wanazuoni wa hadith walosema haya maneno uongo sio maneno yako.. SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH?? Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa مصطلح الحديث MAKOSA YA BACHU YALIKUA kwenye NAHAU, تحقق صدقه 😁 KUELEWA MISAMIATI YA ELIMU YA HADITH NA TAFSIRI AZOKUA ANAZILETA NI POTOVU ZINAPINGANA NA WANAZUONI NDO MANA AKAWA ANAFUNDISHWA KILA NUKTA ANAYOKOSEA mfano alisema hadith غريب ni HADITH NGENI KABISA 😂😂😂🙌🏾 Watu wakacheka akaambiwa hadith غريب sio hadith ngeni na kama unabisha leta MWANAZUONI HATA MMOJA ALOSEMA HADITH غريب ni ngeni NA AKAAMBIWA HAUNA NA HILI PIA UTALIKWEPA KAMA UVOKWEPA HAYA MASWALI MENGINE غريب - في أي مرحلة من مراحل الإسناد يوجد راوي واحد فقط يروي الحديث makosa mengine شديد ضعيف na mengine mengi NI AIBU KWENDA KUPINGA KITABU CHA LUGHA YA KIARABU AFU WEWE UNAEPINGA UNATOLEWA MAKOSA YA LUGHA YA KIARABU LIVE WATU WOTE WANAONA katika vitu anajuta kwenye MAISHA YAKE NI ULE MJADALA WA KENYA (SIKILIZA MANENO YA SHEIKH MAFUTA BAADA YA NIQASH ALOMWAMBIA SHEIKH BACHU ) NDO MANA AKAAMBIWA BAADA YA HAPA UTAENDA KUSOMA
@MohamedAhmed-yi1yf Жыл бұрын
Bachu asema ukweli
@MdNasr-jm8pj Жыл бұрын
Na ukweli hazitakiwi
@dulaabdallah6127 Жыл бұрын
Yote tisa ,kumi twawaomba mzijibu hoja kumi na tisa (19) alizozitoa mtoto wa bachu. Hatuna lingine kubwa
@nassibnassib2078 Жыл бұрын
Kaisha jibiwa ki elimu.... Kwakuwa mnaemfata ninyi ni ma mbumbumbu .... Hamuelewi.... Lagha hamjui.... Ni mkumbo tu..
@mafiatv5479 Жыл бұрын
Mjadala kakimbia ajibiwe sheitwani
@fatmafatu1128 Жыл бұрын
Muache ubidaa ndio tutawaelewa
@azzahrau Жыл бұрын
@@fatmafatu1128anaesema hivo tutamskia kama yy hana bida nyinyi mana bidaa kibao acheni nyinyi kwanza na sisi tuwafwate nyuma
@mafiatv5479 Жыл бұрын
@@fatmafatu1128 weee mwenyewe biadaa acha uzuka mbwa tu wewe
@ayyamirubba5226 Жыл бұрын
She kipozeo...we uliacha Sunnah...utajipendekeza saaaana kwenyenye uzushi..kusifiwa kutakugharimu.
@IbraFareedАй бұрын
MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa, SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ? Nakupa Highlight: Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR (KATOA HUKUMU YA HADITH HAPO) Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ. Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini? na Tija ya تخريج ni ipi? Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza BAADA YA MALUMBANO, Ustadh said akaamua atoe hadithi ya wanyama kuongea katika riwaya ya أبـو نـعـيـم الأصـفـهـانـي kwenye دلائل النبوۃ inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO (HADITH) HUITWA NI UONGO ? swali lake lili gusa MTU au MUANDISHI au KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO) Sheikh bachu akasema SIONGELEI SHEIKH JAFFARY BARAZANJI mi naongelea hadith Ostadh said akamwambia mbona swali lipo pale pale… JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ? mimi nimekuja kutetea maneno ya sheikh jaffary barazanji, kutetea maneno yake kuwa sio uongo na video zako zote (sheikh bachu) una muitaga sheikh jaffary barazanji ni muongo na kitabu unakiita uongo na unamuita mshirikina. Ndo mana nimekuja kumtetea… MAANA BACHU ALIKUA ANAKATAA BARAZANJI SIJAMUITA MUONGO 😂😂🙌🏾 akaambiwa tulete video zako hapa UNASEMAGA HUYU BARAZANJI MUONGO mpaka UKATUPA KITABU CHAKE HII HUKUMU YA KUITA HAYA MANENO UONGO UMEITOA WAPI? Kwanza niuongo ashamuita BARAZANJI MARA NYINGI MSHIRIKINA NA MUONGO kwahiyo alimjeruhi… KATIKA ELIMU YA الجَرح و التَعدیل anahukumiwa MTU NA MANENO YAKE tatizo lenu hamsomi ndo maana mnaona haya mambo mageni ila yapo kwenye vitabu TUSOME JAMENI ndo mana akaambiwa na mwenyekiti wa saidi kabla ya niqash KUANZA UTATUMIA MANTIK GANI KUSEMA HAYA MANENO NI UONGO AFU MSEMAJI SIO MUONGO 😂 Mwenyekiti wake akakubari akasema aya tuanze NIQASH BASI BASI TUANZE NDO MANA LILE SWALI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamuaKUNYANYUKA NA KUONDOKA. MAANA LILIMBANA KWENYE KOO ushamjeruhi MTU NA MANENO YAKE na MANENO YENYEWE NI HADITH USHAYAITA UONGO SASA HUKU KUITA HADITH MUNKARI NI UONGO UMETOA KWENYE VITABU GANI VYA WANAZUONI WA HADITH 😂😂 hii dini ina FANI nyingi na WAJUZI NA ILE FANI NI WALE WALOBOBEA KWENYE ILE FANI MTU WA NAHAU UTAMPELEKEA SWALI LA NAHAU MTU WA KISOMO CHA QURAAN UTAMPELEKEA KISOMO CHA QURAAN NA HIVYO HIVYO HADITH TUTAENDA KWA WASOME WA HADITH lau SHEIKH BACHU Angesema HAKUNA SEHEMU ilipoandikwa HADITH MUNKAR NI UONGO maana yake BACHU HUTUMIA AKILI YAKE KUONGEA NA SIO MANENO YA WANACHUONI Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith ya wanyama kutamka na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR. Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO sio kwa MANENO YAKE ila maneno ya WANAZUONI WA مصطلح الحديث akampa maneno ya WANAZUONI مصطلح الحديث tena akasema mmoja wapo ni ابن الصلاح katika علوم الحديث (مقدمة ابن الصلاح) wamesema wamesahihisha hadith DHAIF kutumika ispokua HADITH MAUDHUI na pia hawaijasahihisha HADITH DHAIFU Kwenye HUKUMI WAL AKAIDI ILA wamesahihisha kutumia HADITH DHAIF kwenye sira na akamwambia tupo kwenye sira na HIKI KITABU مَولِد الْبَرزَنجِي NI SIRA ndo mana tunakitumia na tunatumia hadith DHAIFU. wewe SHEIKH BACHU UMESEMA hii hadith ni munkar na hadith munkar ni ipo kwenye kipengere cha HADITH DHAIFU akanyamaza kimya AKAAMBIWA SI ULISEMA HII HADITH SI DHAIF akamwambia hii uloleta ni hadith lazima turudi kwa wataalamu wa hadith, je itifaki gani ya wanazuoni wa hadith walosema haya maneno uongo sio maneno yako.. SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH?? Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa مصطلح الحديث MAKOSA YA BACHU YALIKUA kwenye NAHAU, تحقق صدقه 😁 KUELEWA MISAMIATI YA ELIMU YA HADITH NA TAFSIRI AZOKUA ANAZILETA NI POTOVU ZINAPINGANA NA WANAZUONI NDO MANA AKAWA ANAFUNDISHWA KILA NUKTA ANAYOKOSEA mfano alisema hadith غريب ni HADITH NGENI KABISA 😂😂😂🙌🏾 Watu wakacheka akaambiwa hadith غريب sio hadith ngeni na kama unabisha leta MWANAZUONI HATA MMOJA ALOSEMA HADITH غريب ni ngeni NA AKAAMBIWA HAUNA NA HILI PIA UTALIKWEPA KAMA UVOKWEPA HAYA MASWALI MENGINE غريب - في أي مرحلة من مراحل الإسناد يوجد راوي واحد فقط يروي الحديث makosa mengine شديد ضعيف na mengine mengi NI AIBU KWENDA KUPINGA KITABU CHA LUGHA YA KIARABU AFU WEWE UNAEPINGA UNATOLEWA MAKOSA YA LUGHA YA KIARABU LIVE WATU WOTE WANAONA katika vitu anajuta kwenye MAISHA YAKE NI ULE MJADALA WA KENYA (SIKILIZA MANENO YA SHEIKH MAFUTA BAADA YA NIQASH ALOMWAMBIA SHEIKH BACHU ) NDO MANA AKAAMBIWA BAADA YA HAPA UTAENDA KUSOMA
@omarswaleh6082 Жыл бұрын
Kipozeo umeshindwa kumpa ukwali daimond alipo kualika wakati ramadan kwake waume na wanawake mpona hukuongea hayo au uzuri wa wanawake ndio ulio kupoza. Wacha na sheik bachu humuezi kiilimu
@nassorrajabujuma-vj5cl Жыл бұрын
sahih
@AhmadOmary-g9z Жыл бұрын
Sahihi
@zainulabideen69558 ай бұрын
Isso é falta de respeito
@saudaumar3354 Жыл бұрын
semeni ukweli bachu ataka kupeana elimu nyinyi mwataka kukata viuno nakula pilau pia yote yaishe pia amezaliwa ako nawztu wake
@@fatmafatu1128 unahisi sio? au unadhani? bas ukidhani yatosha ila nakuhurumia wewe pengine usije ritad
@mafiatv5479 Жыл бұрын
@@fatmafatu1128 wewe domo lako zuri? mshenzi wewe tu
@QueenFridausi9 ай бұрын
Wasiompenda mtume nikwa ajili yamatumbo Yao TU siokwa faida ya umma
@suleymansalim5732 Жыл бұрын
😂Shekhe Comedian nae kajitutumua kweli Bachu kapiga kwenye mshono😂
@IbraFareedАй бұрын
Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatu… USILAM UMEKATAZA KUITANA HAYA MAJINA YASIOFAA Surah Hujurat Aya 11 imetusihi mambo haya, unawaita waumini wenzako SubhanaAllah, aya hii ilikuja kwa walioamini wote tusiitane kwa majina mabaya (ya kejeli), kwani ubaya wa sifa na jina ni utokaji nje wa maadili ya Dini, na yeyote yule asiyetubu (kutubia kwa tabia yake hiyo), basi hao ndio walio wadhalimu. ALLAH ametueleza kuwa “kuitana majina mabaya na utokaji nje wa maadili ya Dini, baada ya kuwa mmeingia kwenye Uislamu na mmeufahamu. basi watu wenyekufanya hivyo ndio watu waliozidhulumu nafsi zao kwa kuyatenda mambo haya yaliyokatazwa. يا أيها الذين آمنوا لا يسخر قوم من قوم عسى أن يكونوا خيرا منهم ولا نساء من نساء عسى أن يكن خيرا منهن ولا تلمزوا أنفسكم ولا تنابزوا بالألقاب بئس الاسم الفسوق بعد الإيمان ومن لم يتب فأولئك هم الظالمون Tumekatazwa hata kutukana na kuikejeri miungu isio kuwa ALLAH وَلَا تَسُبُّوا الَّذِينَ يَدْعُونَ مِن دُونِ اللَّهِ فَيَسُبُّوا اللَّهَ عَدْوًا بِغَيْرِ عِلْمٍ كَذَلِكَ زَيَّنَّا لِكُلِّ أُمَّةٍ عَمَلَهُمْ ثُمَّ إِلَى رَبِّهِم مَّرْجِعُهُمْ فَيُنَبِّئُهُم بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ HAPO UMEEENDA KINYUME NA MAFUNDISHO YA DINI YA UISLAM Sidhani kama UISLAM UMEfundisha mtu akikosea au akafanya jambo lisilofaa aitwe kwa majina hayo uloandika au tu kwa uelewa wako umeona kafanya jambo sio sahihi ndo umeuite majina kama hayo au maneno uloandika ادْعُ إِلَىٰ سَبِيلِ رَبِّكَ بِالْحِكْمَةِ وَالْمَوْعِظَةِ الْحَسَنَةِ ۖ وَجَادِلْهُمْ بِالَّتِي هِيَ أَحْسَنُ ۚ إِنَّ رَبَّكَ هُوَ أَعْلَمُ بِمَنْ ضَلَّ عَنْ سَبِيلِهِ ۖ وَهُوَ أَعْلَمُ بِالْمُهْتَدِينَ JIFUNZE KWANZA TUVOAMRISHWA KWENYE QURAAN AFU NDO UJE KUONYESHA MISIMAMO YAKO NA MIHEMKO NA JAZBA ULIZONAZO MITANDAONI WABILAHI TAWFIQ
@AaliyahNasir10 ай бұрын
Umeongea kw busara sana ujumbe wako umetoa funza kw bachu pia kw masufi kw sufi mwenye akili ataelewa kitu kupitia hutba yako
@Mahir-12-qe Жыл бұрын
Kipozeo mwenyewe angea kama kameza ckura
@NurdiniShabani-ut4rv11 ай бұрын
Sasa kama anaongea Kama kameza chura hiyo ndo hojja au nn umezungumza hasa
@AbdulIssa-o7e8 ай бұрын
Mtaendelea kutetea maulidi lakini,ukweli ni kwamba maulidi ni bidaa mmemfanya mtume dinni akufundisha kazi yenu,kupotosha umma na kufanya hivyo kutakuwa mnatofauti gani na manaswara na mayahudi kwa kule kuongeza kwao mambo katika dini yao na wakapotea si kwavile walizusha nao naninyi mnaozusha maulid ipo siku allah atawabainishia haki mtajuwa tuu
@IbraFareedАй бұрын
MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa, SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ? Nakupa Highlight: Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR (KATOA HUKUMU YA HADITH HAPO) Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ. Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini? na Tija ya تخريج ni ipi? Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza BAADA YA MALUMBANO, Ustadh said akaamua atoe hadithi ya wanyama kuongea katika riwaya ya أبـو نـعـيـم الأصـفـهـانـي kwenye دلائل النبوۃ inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO (HADITH) HUITWA NI UONGO ? swali lake lili gusa MTU au MUANDISHI au KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO) Sheikh bachu akasema SIONGELEI SHEIKH JAFFARY BARAZANJI mi naongelea hadith Ostadh said akamwambia mbona swali lipo pale pale… JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ? mimi nimekuja kutetea maneno ya sheikh jaffary barazanji, kutetea maneno yake kuwa sio uongo na video zako zote (sheikh bachu) una muitaga sheikh jaffary barazanji ni muongo na kitabu unakiita uongo na unamuita mshirikina. Ndo mana nimekuja kumtetea… MAANA BACHU ALIKUA ANAKATAA BARAZANJI SIJAMUITA MUONGO 😂😂🙌🏾 akaambiwa tulete video zako hapa UNASEMAGA HUYU BARAZANJI MUONGO mpaka UKATUPA KITABU CHAKE HII HUKUMU YA KUITA HAYA MANENO UONGO UMEITOA WAPI? Kwanza niuongo ashamuita BARAZANJI MARA NYINGI MSHIRIKINA NA MUONGO kwahiyo alimjeruhi… KATIKA ELIMU YA الجَرح و التَعدیل anahukumiwa MTU NA MANENO YAKE tatizo lenu hamsomi ndo maana mnaona haya mambo mageni ila yapo kwenye vitabu TUSOME JAMENI ndo mana akaambiwa na mwenyekiti wa saidi kabla ya niqash KUANZA UTATUMIA MANTIK GANI KUSEMA HAYA MANENO NI UONGO AFU MSEMAJI SIO MUONGO 😂 Mwenyekiti wake akakubari akasema aya tuanze NIQASH BASI BASI TUANZE NDO MANA LILE SWALI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamuaKUNYANYUKA NA KUONDOKA. MAANA LILIMBANA KWENYE KOO ushamjeruhi MTU NA MANENO YAKE na MANENO YENYEWE NI HADITH USHAYAITA UONGO SASA HUKU KUITA HADITH MUNKARI NI UONGO UMETOA KWENYE VITABU GANI VYA WANAZUONI WA HADITH 😂😂 hii dini ina FANI nyingi na WAJUZI NA ILE FANI NI WALE WALOBOBEA KWENYE ILE FANI MTU WA NAHAU UTAMPELEKEA SWALI LA NAHAU MTU WA KISOMO CHA QURAAN UTAMPELEKEA KISOMO CHA QURAAN NA HIVYO HIVYO HADITH TUTAENDA KWA WASOME WA HADITH lau SHEIKH BACHU Angesema HAKUNA SEHEMU ilipoandikwa HADITH MUNKAR NI UONGO maana yake BACHU HUTUMIA AKILI YAKE KUONGEA NA SIO MANENO YA WANACHUONI Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith ya wanyama kutamka na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR. Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO sio kwa MANENO YAKE ila maneno ya WANAZUONI WA مصطلح الحديث akampa maneno ya WANAZUONI مصطلح الحديث tena akasema mmoja wapo ni ابن الصلاح katika علوم الحديث (مقدمة ابن الصلاح) wamesema wamesahihisha hadith DHAIF kutumika ispokua HADITH MAUDHUI na pia hawaijasahihisha HADITH DHAIFU Kwenye HUKUMI WAL AKAIDI ILA wamesahihisha kutumia HADITH DHAIF kwenye sira na akamwambia tupo kwenye sira na HIKI KITABU مَولِد الْبَرزَنجِي NI SIRA ndo mana tunakitumia na tunatumia hadith DHAIFU. wewe SHEIKH BACHU UMESEMA hii hadith ni munkar na hadith munkar ni ipo kwenye kipengere cha HADITH DHAIFU akanyamaza kimya AKAAMBIWA SI ULISEMA HII HADITH SI DHAIF akamwambia hii uloleta ni hadith lazima turudi kwa wataalamu wa hadith, je itifaki gani ya wanazuoni wa hadith walosema haya maneno uongo sio maneno yako.. SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH?? Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa مصطلح الحديث MAKOSA YA BACHU YALIKUA kwenye NAHAU, تحقق صدقه 😁 KUELEWA MISAMIATI YA ELIMU YA HADITH NA TAFSIRI AZOKUA ANAZILETA NI POTOVU ZINAPINGANA NA WANAZUONI NDO MANA AKAWA ANAFUNDISHWA KILA NUKTA ANAYOKOSEA mfano alisema hadith غريب ni HADITH NGENI KABISA 😂😂😂🙌🏾 Watu wakacheka akaambiwa hadith غريب sio hadith ngeni na kama unabisha leta MWANAZUONI HATA MMOJA ALOSEMA HADITH غريب ni ngeni NA AKAAMBIWA HAUNA NA HILI PIA UTALIKWEPA KAMA UVOKWEPA HAYA MASWALI MENGINE غريب - في أي مرحلة من مراحل الإسناد يوجد راوي واحد فقط يروي الحديث makosa mengine شديد ضعيف na mengine mengi NI AIBU KWENDA KUPINGA KITABU CHA LUGHA YA KIARABU AFU WEWE UNAEPINGA UNATOLEWA MAKOSA YA LUGHA YA KIARABU LIVE WATU WOTE WANAONA katika vitu anajuta kwenye MAISHA YAKE NI ULE MJADALA WA KENYA (SIKILIZA MANENO YA SHEIKH MAFUTA BAADA YA NIQASH ALOMWAMBIA SHEIKH BACHU ) NDO MANA AKAAMBIWA BAADA YA HAPA UTAENDA KUSOMA
@hassanwaiswa692 Жыл бұрын
Yani kwa video zake zote nikipatana nazo "DISLIKE" Kumbe Jama la Bum-pa-pa 😮😮😮
@SamirKaba-u1c Жыл бұрын
Allah atupe mwisho mwema kipozeo amebadilika kuwa mtu wa bidah???!!! Atetea uwongo wa wanyama kuongea???!!!
@NoorAli-vj4gn Жыл бұрын
Ameen

@jumamahmoud9271 Жыл бұрын
nyny munajipumbaza sisi tunachotaka dalili kwenye qur an au sunna sahihi yenye kuonyesha wanyama walizungumza.ikisha mutwambie wakati wanyama wanazungumza mimba ya mtume kutunga ni nani aliepewa elimu ya kutambua wanyama kuzungumza ktk zama zile.
@khalfanmasoud1514 Жыл бұрын
NA WEWE TUONYESHE AYA NA HADITHI VIGAWANYO VYA TAUHEED WAKATI
@KhamisFundi Жыл бұрын
Shehe ubwabwa
@IbraFareedАй бұрын
Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatu… USILAM UMEKATAZA KUITANA HAYA MAJINA YASIOFAA Surah Hujurat Aya 11 imetusihi mambo haya, unawaita waumini wenzako SubhanaAllah, aya hii ilikuja kwa walioamini wote tusiitane kwa majina mabaya (ya kejeli), kwani ubaya wa sifa na jina ni utokaji nje wa maadili ya Dini, na yeyote yule asiyetubu (kutubia kwa tabia yake hiyo), basi hao ndio walio wadhalimu. ALLAH ametueleza kuwa “kuitana majina mabaya na utokaji nje wa maadili ya Dini, baada ya kuwa mmeingia kwenye Uislamu na mmeufahamu. basi watu wenyekufanya hivyo ndio watu waliozidhulumu nafsi zao kwa kuyatenda mambo haya yaliyokatazwa. يا أيها الذين آمنوا لا يسخر قوم من قوم عسى أن يكونوا خيرا منهم ولا نساء من نساء عسى أن يكن خيرا منهن ولا تلمزوا أنفسكم ولا تنابزوا بالألقاب بئس الاسم الفسوق بعد الإيمان ومن لم يتب فأولئك هم الظالمون Tumekatazwa hata kutukana na kuikejeri miungu isio kuwa ALLAH وَلَا تَسُبُّوا الَّذِينَ يَدْعُونَ مِن دُونِ اللَّهِ فَيَسُبُّوا اللَّهَ عَدْوًا بِغَيْرِ عِلْمٍ كَذَلِكَ زَيَّنَّا لِكُلِّ أُمَّةٍ عَمَلَهُمْ ثُمَّ إِلَى رَبِّهِم مَّرْجِعُهُمْ فَيُنَبِّئُهُم بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ HAPO UMEEENDA KINYUME NA MAFUNDISHO YA DINI YA UISLAM Sidhani kama UISLAM UMEfundisha mtu akikosea au akafanya jambo lisilofaa aitwe kwa majina hayo uloandika au tu kwa uelewa wako umeona kafanya jambo sio sahihi ndo umeuite majina kama hayo au maneno uloandika ادْعُ إِلَىٰ سَبِيلِ رَبِّكَ بِالْحِكْمَةِ وَالْمَوْعِظَةِ الْحَسَنَةِ ۖ وَجَادِلْهُمْ بِالَّتِي هِيَ أَحْسَنُ ۚ إِنَّ رَبَّكَ هُوَ أَعْلَمُ بِمَنْ ضَلَّ عَنْ سَبِيلِهِ ۖ وَهُوَ أَعْلَمُ بِالْمُهْتَدِينَ JIFUNZE KWANZA TUVOAMRISHWA KWENYE QURAAN AFU NDO UJE KUONYESHA MISIMAMO YAKO NA MIHEMKO NA JAZBA ULIZONAZO MITANDAONI WABILAHI TAWFIQ
@allyamin87757 ай бұрын
Bachu hana elimu elimu siyo mali urithi
@AbdulIssa-o7e8 ай бұрын
Sasa kipoozeo ni kwa ilmu gani ya kumfikia bachu ilmu ya kusoma maulid sawa utamzidi lakini kwa ilmu ya kuelimisha umma na batwili uingii hata robo,we tumekuzoea komed
@AmaniHakimu7 ай бұрын
Tuoneshr ya kwako elim
@ABUUDARDAAI Жыл бұрын
mzeee una hoja kale magimbi
@IbraFareedАй бұрын
MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa, SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ? Nakupa Highlight: Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR (KATOA HUKUMU YA HADITH HAPO) Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ. Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini? na Tija ya تخريج ni ipi? Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza BAADA YA MALUMBANO, Ustadh said akaamua atoe hadithi ya wanyama kuongea katika riwaya ya أبـو نـعـيـم الأصـفـهـانـي kwenye دلائل النبوۃ inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO (HADITH) HUITWA NI UONGO ? swali lake lili gusa MTU au MUANDISHI au KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO) Sheikh bachu akasema SIONGELEI SHEIKH JAFFARY BARAZANJI mi naongelea hadith Ostadh said akamwambia mbona swali lipo pale pale… JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ? mimi nimekuja kutetea maneno ya sheikh jaffary barazanji, kutetea maneno yake kuwa sio uongo na video zako zote (sheikh bachu) una muitaga sheikh jaffary barazanji ni muongo na kitabu unakiita uongo na unamuita mshirikina. Ndo mana nimekuja kumtetea… MAANA BACHU ALIKUA ANAKATAA BARAZANJI SIJAMUITA MUONGO 😂😂🙌🏾 akaambiwa tulete video zako hapa UNASEMAGA HUYU BARAZANJI MUONGO mpaka UKATUPA KITABU CHAKE HII HUKUMU YA KUITA HAYA MANENO UONGO UMEITOA WAPI? Kwanza niuongo ashamuita BARAZANJI MARA NYINGI MSHIRIKINA NA MUONGO kwahiyo alimjeruhi… KATIKA ELIMU YA الجَرح و التَعدیل anahukumiwa MTU NA MANENO YAKE tatizo lenu hamsomi ndo maana mnaona haya mambo mageni ila yapo kwenye vitabu TUSOME JAMENI ndo mana akaambiwa na mwenyekiti wa saidi kabla ya niqash KUANZA UTATUMIA MANTIK GANI KUSEMA HAYA MANENO NI UONGO AFU MSEMAJI SIO MUONGO 😂 Mwenyekiti wake akakubari akasema aya tuanze NIQASH BASI BASI TUANZE NDO MANA LILE SWALI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamuaKUNYANYUKA NA KUONDOKA. MAANA LILIMBANA KWENYE KOO ushamjeruhi MTU NA MANENO YAKE na MANENO YENYEWE NI HADITH USHAYAITA UONGO SASA HUKU KUITA HADITH MUNKARI NI UONGO UMETOA KWENYE VITABU GANI VYA WANAZUONI WA HADITH 😂😂 hii dini ina FANI nyingi na WAJUZI NA ILE FANI NI WALE WALOBOBEA KWENYE ILE FANI MTU WA NAHAU UTAMPELEKEA SWALI LA NAHAU MTU WA KISOMO CHA QURAAN UTAMPELEKEA KISOMO CHA QURAAN NA HIVYO HIVYO HADITH TUTAENDA KWA WASOME WA HADITH lau SHEIKH BACHU Angesema HAKUNA SEHEMU ilipoandikwa HADITH MUNKAR NI UONGO maana yake BACHU HUTUMIA AKILI YAKE KUONGEA NA SIO MANENO YA WANACHUONI Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith ya wanyama kutamka na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR. Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO sio kwa MANENO YAKE ila maneno ya WANAZUONI WA مصطلح الحديث akampa maneno ya WANAZUONI مصطلح الحديث tena akasema mmoja wapo ni ابن الصلاح katika علوم الحديث (مقدمة ابن الصلاح) wamesema wamesahihisha hadith DHAIF kutumika ispokua HADITH MAUDHUI na pia hawaijasahihisha HADITH DHAIFU Kwenye HUKUMI WAL AKAIDI ILA wamesahihisha kutumia HADITH DHAIF kwenye sira na akamwambia tupo kwenye sira na HIKI KITABU مَولِد الْبَرزَنجِي NI SIRA ndo mana tunakitumia na tunatumia hadith DHAIFU. wewe SHEIKH BACHU UMESEMA hii hadith ni munkar na hadith munkar ni ipo kwenye kipengere cha HADITH DHAIFU akanyamaza kimya AKAAMBIWA SI ULISEMA HII HADITH SI DHAIF akamwambia hii uloleta ni hadith lazima turudi kwa wataalamu wa hadith, je itifaki gani ya wanazuoni wa hadith walosema haya maneno uongo sio maneno yako.. SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH?? Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa مصطلح الحديث MAKOSA YA BACHU YALIKUA kwenye NAHAU, تحقق صدقه 😁 KUELEWA MISAMIATI YA ELIMU YA HADITH NA TAFSIRI AZOKUA ANAZILETA NI POTOVU ZINAPINGANA NA WANAZUONI NDO MANA AKAWA ANAFUNDISHWA KILA NUKTA ANAYOKOSEA mfano alisema hadith غريب ni HADITH NGENI KABISA 😂😂😂🙌🏾 Watu wakacheka akaambiwa hadith غريب sio hadith ngeni na kama unabisha leta MWANAZUONI HATA MMOJA ALOSEMA HADITH غريب ni ngeni NA AKAAMBIWA HAUNA NA HILI PIA UTALIKWEPA KAMA UVOKWEPA HAYA MASWALI MENGINE غريب - في أي مرحلة من مراحل الإسناد يوجد راوي واحد فقط يروي الحديث makosa mengine شديد ضعيف na mengine mengi NI AIBU KWENDA KUPINGA KITABU CHA LUGHA YA KIARABU AFU WEWE UNAEPINGA UNATOLEWA MAKOSA YA LUGHA YA KIARABU LIVE WATU WOTE WANAONA katika vitu anajuta kwenye MAISHA YAKE NI ULE MJADALA WA KENYA (SIKILIZA MANENO YA SHEIKH MAFUTA BAADA YA NIQASH ALOMWAMBIA SHEIKH BACHU ) NDO MANA AKAAMBIWA BAADA YA HAPA UTAENDA KUSOMA
@IsmailMketo Жыл бұрын
😂kipozeo acha unafki iyo njia mbaya unayoiendea utakuja jutia ayo unayoyafuata unazipotosha Aya izo
@Hamis-ks1sy8 ай бұрын
Uislam ni dini ya fact sio opinions hivyo ukizungumza zungumza kwa hoja zenye kueleweka

@KulyambaFamily7 ай бұрын
Hata salafi ni wamarekani tu ndio wafadhili wenu
@AhmedSaid-mk7qs Жыл бұрын
Haka katoto kacholo ka bachu mara hii kaaibika mombasa hataki tena majadiliano
@hamzakhamis1575 Жыл бұрын
Kaibika kwa kipi? Ww kujuwa hujuw bc hata kuona pia huoni
@MdNasr-jm8pj Жыл бұрын
Hamna unajua watu wa tariqa hawataki kushindwa SS watakuambia kitu ili kukupa mtihani
@omarswaleh6082 Жыл бұрын
Ameibika nanini? kwa kusema ukweli maulid ni bidaa
@sadiqselengu4197 Жыл бұрын
@@MdNasr-jm8pjKwan kunakushindana katika dini??
@abdallahkiwaka5948 Жыл бұрын
Sheikhe Bachu ameuliza wanyama waliongea kweli kwa ushahidi gani?, hata kaswali haka pia hamwezi kukajibu?mmebaki na matusi kibaao ndio nn sasa.