DR. SULLE AMKAMIA PAST. NDACHA KWENYE MDAHALO WA BIBLIA NA QRUAN KIPI KITABU CHA MUNGU

  Рет қаралды 173,643

ZVP ONLINE TV

ZVP ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 920
@miriamwangeci7224
@miriamwangeci7224 Жыл бұрын
Hekima ya Dunia ni upuuzi kwa mwenye vyote mungu, na hekima ya mungu,ni nguvu kwa wao waaminio aminaaaa
@HamdiNuh
@HamdiNuh Жыл бұрын
Ma sha Allah sheik wangu mazinge ulifanya nikasilimu
@biyambaarakallahufiikshekh9198
@biyambaarakallahufiikshekh9198 Жыл бұрын
Anaelimisha lkn kivaz sio chakiisalam na huo mkato wa nywel haufai
@ukhtyafsaty
@ukhtyafsaty Жыл бұрын
Allahu Akbar yarab wape ulinzi wakutosha ma sheikh wetu walohifadhi Qor'an , amin
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 Жыл бұрын
Hifadhi na wewe🤣🤣🤣🤣
@RIO-jf9mo
@RIO-jf9mo Жыл бұрын
@@richardboaz-mashagospel2346 😩🤣🤣
@zeidomar-f7g
@zeidomar-f7g Жыл бұрын
Ameen yarabby
@dinakipingo1905
@dinakipingo1905 Жыл бұрын
Allahumma Amiin
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 Жыл бұрын
Yesu ni jina lipitalo majina yote, lipitalo lugha zote, lipitalo mamlaka zote... Kila goti litapigwa kwa yesu. Enyi wanadamu watumwa wa lugha ya kiarabu... Yesu atawafungua na kuwaweka huru, iwe kwa kuruhusu shida ziwapate au kwa kuwabembeleza. Maana hapa mnabembelezwa. Nawajua wenzenu waliokua na akili kama zenu wengi wanaishi ninakoishi, anaitwa said, anaitwa latifa, anaitwa zainab, anaitwa khadija Leo ni watumishi wa yesu kristo mwamba imara. Bwana yesu atawashughulikia.. kazi yangu kuwaambia kazi ya kuwanyoosha ni ya Yesu. Hallelujah
@bakarbaraza2565
@bakarbaraza2565 Жыл бұрын
Masha Allah ndugu yetu Dr Sulle Allah akuhifadhi
@bakarbaraza2565
@bakarbaraza2565 Жыл бұрын
Pamoja na ndugu zetu waislamu akiwemo Usth Mazinge
@MajabuMsevule
@MajabuMsevule 11 ай бұрын
Amin
@FauziaMohammed-f1m
@FauziaMohammed-f1m Жыл бұрын
MashaAllah na mpenda sana shekh mazinge Allah ampe kila analo litaka maisha mwake Ameen
@111dudi
@111dudi Жыл бұрын
Mazinge kiboko ya wakristo
@hidayah3405
@hidayah3405 Жыл бұрын
​@@111dudikabisa
@lakasid3860
@lakasid3860 Жыл бұрын
​@@111dudieti kiboko ya wakristo kiboko gan wakat huwa hana hoja kila mdahalo anashindwa kila siku ana hoja za kitoto tu
@111dudi
@111dudi Жыл бұрын
@@lakasid3860 Bible imebadilishwa mara tano, na sasa Pope anataka kuandika yake,na nyie bado mnaendelea kuamini wazungu,fungueni macho? Unajua wakati wanakuja kuwatawala waliandika Bible.inaitwa "Slave Bible" ya kuwadanganya?
@v_simon2677
@v_simon2677 Жыл бұрын
Huyo mazinge ni mbish tu hatumii maandiko vizur muombe MUNGU akusaidie kukupa ufaham
@Marim-qp8gs
@Marim-qp8gs Жыл бұрын
BarakaAllah Allah atawailipa mashelk wetu heri ahera inshaAllah
@benjaminbenmo5616
@benjaminbenmo5616 Жыл бұрын
Mashalah waislam mnajua mengi sana mi nawaombea mema
@jonathanharabandi2707
@jonathanharabandi2707 Жыл бұрын
Pstr Ndacha Mungu akubariki sana kabisa . Kwaju waislamu wote wanakuogopa kwaju hawana lolote !! Ndacha juuu kabisa
@cabylake2320
@cabylake2320 Жыл бұрын
Mashaallah mashaallah Allah akbar Allah akbar ❤️💓💕
@dicksonkarithi5637
@dicksonkarithi5637 Жыл бұрын
Wewe mkristu uko so learned about these things. Congratulations
@jamuhurialiwazir4685
@jamuhurialiwazir4685 Жыл бұрын
Yaa Alha , Mjariye ndacha aijue haki Na awe muisilam Amin Amin Amin.
@neemaahmada2619
@neemaahmada2619 Жыл бұрын
Masha Allah mashekhe WETU ALLAH awlipe kheri Kwa Killa jema mlifanyalo
@LiberiusCremence
@LiberiusCremence Жыл бұрын
Ndacha mwamba mungu akubaliki
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db Жыл бұрын
MashaAllah Dr Sule,Na Mashekhe wote,Allah aujalie Uislam Uwe Na nguvu Zaid Sanna ,Hakika Dini Ya Haki Mbele Ya Allah N Uislam
@HemediAhmedi
@HemediAhmedi Жыл бұрын
Maashaallaah waislamu mpovizuri
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 Жыл бұрын
Ndacha kutumbuiza watu na maneno ya kuzua.Masha Allah Ustaz
@machaliakulima76
@machaliakulima76 Жыл бұрын
Ndacha, welcome Tanzania I appliciate you, you answer questions correctly. Kama lile la Yesu kuvikwa nguo na watesi wake, kwakweli umhubiri mzuri uko makini huna ubabaishaji!
@sultanhilarious8893
@sultanhilarious8893 Жыл бұрын
ndacha wewe kafiri
@frankmayala4564
@frankmayala4564 Жыл бұрын
Very interest ndacha mungu akuzidishie HAWAKUWEZI wewe hakika ni mwamba
@al-hudaaislamicpreachersda8056
@al-hudaaislamicpreachersda8056 Жыл бұрын
Dr. Sule Allah akuhifadhi
@donitoalberto3154
@donitoalberto3154 Жыл бұрын
Mungu amjalie msomaji wa kisilam, napenda sana usomaji wake wa vitabu masha Allha. Mungu majalie mwisho mwema wa maisha yake hapa duniani, ame.
@RamadhanHamisi-zf4ei
@RamadhanHamisi-zf4ei Жыл бұрын
Limetolewa swal kat ya biblia ya Africa na biblia ya primatto nii ipo ipo sahihi kuzungumzia uharibifu ulio tokea kunako 1:54 katika vitabu hivo. SIO NDACHA KUSEMA QUR AN 2:2 et mom ni allah mara hiki niktabu hicho niktabu kimoja ambacho Kwa ayo hiyo zmetofautiana tafsr sio vitabu 2 kuzungumzia jambo Moja Kwa nyakat tofaut
@SelemaniAthumani-qn7zj
@SelemaniAthumani-qn7zj Жыл бұрын
Waislam wote tanzania tumuombe mungu mashee kama hawa asiwaondoe mapema duniani bado tunawaitaji atamimi nikifa watakao zaliawa bado watataka elim zao tusemeni inshaalwah
@Yesunimwokozi1
@Yesunimwokozi1 Жыл бұрын
NDACHAA ❤❤❤.. afu huyo mazinge anawaaibisha sana waislamu,,
@sarifusteven4634
@sarifusteven4634 Жыл бұрын
Yesu ndio njia yakweri na uzima
@barutiabuu9492
@barutiabuu9492 Жыл бұрын
Endelea kubaki na yesu wako maana malifa huna kuona huoni na akili pia huna mtihani huo kukosa vyote
@Xavierdecristo
@Xavierdecristo Жыл бұрын
Ndacha Mungu akubariki Sanaa
@OmariJumbe-f6g
@OmariJumbe-f6g Жыл бұрын
Asalaam alykm dkta sule Kaka uko vizuri Sana mwenyezimungu akuwezeshe shekh
@muswadiqmkufya1519
@muswadiqmkufya1519 Жыл бұрын
Mashaalah mashkhe zetu mungu awpe mwisho
@FainesMrwale
@FainesMrwale Жыл бұрын
Ndacha baba usiogope tunaongozwa na roho mungu akuongoze
@johnngugi3705
@johnngugi3705 Жыл бұрын
Kwa mtazamo wangu,Sulle ni afadhali kwa mdahalo,kuliko huyu mwamuita Prof.mazinge.LAKINI NDACHA NI MWAMBA❤
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Kabisa
@amyassyassin7909
@amyassyassin7909 Жыл бұрын
ndacha ni muongo
@matanohassan9667
@matanohassan9667 Жыл бұрын
Ndacha mshamba YA vitambu Sana Na Sule Ni mwnafunzi Wa mazinge jiongeze we vipi
@henrychiriba9354
@henrychiriba9354 Жыл бұрын
Waislamu ile siku mtamjua Yesu kiroho ndo mtajua Ndacha anaamanisha nini halafu muache kufuga majini
@marwaaljabria424
@marwaaljabria424 Жыл бұрын
Mazinge ni muongoo sana ndacha ni mtumichi wamunguu ndacha munguu akuongezee balaka tena nahakiri zayidi uzidu gufundicha hao wayahudii wanae mukataa yesuu awoo niwatumwa wacheetani
@pinkaijoseph523
@pinkaijoseph523 11 ай бұрын
Mwalimu Ndacha mwamba, Hawa waongo hawanweziiii, na twawaombea Mungu awafungue macho waone ukweli wasije wakaangamia siku ya kiama. Praise God!
@chafumojangoyepangoulous4416
@chafumojangoyepangoulous4416 Жыл бұрын
Watumishi wa Mungu Roho mtakatifu iko upande wenu na Mungu wetu ajawashindwa
@mussathomas7421
@mussathomas7421 Жыл бұрын
Ndacha Ndacha Ndachaaaaa💐💐💐🔥
@frankasiwa
@frankasiwa Жыл бұрын
Hii midahalo ni mizuri inaweza kukupa mwangaza kidogo sana kuhusu dini ila lazima usome ndio utaelewa dini maana hapo wanabishana na kutafuta points nani anaweza kuongea na nani anaweza kujenga hoja,wakati fulani mtu anaweza kutetea kitu hata kama sicho na kikaonekana ndicho kwa kuwa anajua kuongea,tusomeni ndio tutajua ipi dini sahihi mbele ya mungu. 23:15
@HellenaMky
@HellenaMky 11 ай бұрын
Ndacha tuongoze kwenye kweliiiii
@JacobMaganga-re9ji
@JacobMaganga-re9ji Жыл бұрын
najivunia kuwa mkristu❤
@Hamisimbwana176
@Hamisimbwana176 Жыл бұрын
MashaAllah Doctor sule Allah barik
@sarajoana6383
@sarajoana6383 Жыл бұрын
Mungu azidi kukulinda Ndancha wetu
@IsmaelAmiy
@IsmaelAmiy Жыл бұрын
Allah awabariki....waisilam hatuendeshwi kwa hisia tunaambatana na dalili...qur an ninajitosheleza kwahiyo kitajitetea chenyew
@masoudymichael
@masoudymichael Жыл бұрын
Hongereni waislamu hongera wakristo mana ni nchi pekee dini mbili kukaa pamoja🎉
@theafricanrenaissance77
@theafricanrenaissance77 Жыл бұрын
MAKUBWAAA!!!💯🇹🇿
@lakasid3860
@lakasid3860 Жыл бұрын
Daa Ndacha anajua sana 😅 Mungu azidi mbariki
@simonlomayani5743
@simonlomayani5743 Жыл бұрын
Ndacha safi
@ByeraLwiza
@ByeraLwiza Жыл бұрын
Kwa mtazamo wangu waislamu huwa hawana majibu ya moja kwa moja wanazunguka sana kutetea Ila hakuna ukweli kwa hii dini
@AlhajiSaidi-uo8zl
@AlhajiSaidi-uo8zl Жыл бұрын
asante sure
@edwinmahonga4063
@edwinmahonga4063 7 ай бұрын
May God give him more strength and more knowledge,one among many
@LaughKey-f8x
@LaughKey-f8x Жыл бұрын
Pastor ndacha amumuezi anaelwa neno sana🔥🔥🔥
@abuubakarymohamedkorongo4316
@abuubakarymohamedkorongo4316 Жыл бұрын
Kama anaelewa neno atwambie biblia nikitabu cha mungu.atupe andiko yesu anasema biblia nitabu Cha mungu au ww tupe andiko hilo
@feisaldakane1300
@feisaldakane1300 Жыл бұрын
Ina maana punda alipatikanwa
@Mussa-zg7gt
@Mussa-zg7gt 6 ай бұрын
Mashallah dr sure
@fahadhilal1611
@fahadhilal1611 Жыл бұрын
Alhamdulillah for islam
@princecosmas7889
@princecosmas7889 Жыл бұрын
Ndacha ubarikiwe saana, Yani wasomi wote wa kiislamu wameiingia baridi.
@WorshippersofGodarmy-ot1mk
@WorshippersofGodarmy-ot1mk Жыл бұрын
Hatuna mungu, ktk dunia hii anayelazimisha watu waongee lugha moja, hiyo ni miungu, hapo mmepotea ndugu zangu
@RamlaMburi
@RamlaMburi Жыл бұрын
Hakuna kabisa, lakini aliahidi ataleta lugha moja ya kuabudia mataifa yote na ametekeleza.
@juniorleonard9140
@juniorleonard9140 Жыл бұрын
Mazinge bAdo Awezi kupnga hoj zak
@VerostaAmonizy
@VerostaAmonizy Жыл бұрын
Woyiee ndacha juu juu❤❤❤🎉
@PaulRichard-vq9xz
@PaulRichard-vq9xz 8 ай бұрын
sure na mazinge wamekutana mwalimu wao ndachaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 Жыл бұрын
Ndacha muongo sanaa 😂😂😂😂 yaaani huyu anawadanganya wenzake alafu wanasema haleluyaaa
@AbbyGael2000Shukuru
@AbbyGael2000Shukuru 8 ай бұрын
Thank you my pastor ndacha
@jamespaul-ez7ee
@jamespaul-ez7ee Жыл бұрын
Ndacha mungu akurinde
@Hanssimpson-ln6zs
@Hanssimpson-ln6zs Жыл бұрын
kuna tofauti kubwa sana kati ya ndacha na sule mmoja ana hofu ya mungu mmoja anasoma maandiko kama anasoma gazeti la udaku acheni kutuharibia muda kama mnazungumza maneno ya Mungu onyesha kujali
@mj.tv.forpeople992
@mj.tv.forpeople992 Жыл бұрын
Biblia kitatu sahihi cha Mungu
@mamyomar1241
@mamyomar1241 Жыл бұрын
Biblia sio kitabu sahihi cha Mungu. Vitabu vya Mungu ni vinne navyo ni Tauret, Zaburi, Injili na Quran.
@mj.tv.forpeople992
@mj.tv.forpeople992 Жыл бұрын
@@mamyomar1241 najua ni ngumu kuelewa ukweli, ila ukielewa ukweli tu utakuwa huru, kwa sababu Q ni kopi ya Biblia
@AbdulhamiduKanula-hq4lx
@AbdulhamiduKanula-hq4lx 11 ай бұрын
Kumbe kitatu 😂😂😂
@isaaabdala7016
@isaaabdala7016 Жыл бұрын
Hizi ni Habari amazing hazina maana yoyote mhariri wa biblia zote Duniani Alishindwa vbaya na dr zakili naik.na kuzomewa na wazungu vibaya sana
@jacksonsemit7154
@jacksonsemit7154 Жыл бұрын
Mwl Ndacha Bwana awe nawe
@EliabuShima
@EliabuShima Жыл бұрын
Amnaaaaa
@HemediAhmedi
@HemediAhmedi Жыл бұрын
Wahubiriwote waislamu nawakristo mpopoasana hongereni
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 Жыл бұрын
Ndacha ana Mungu angalieni hoja zake Zina uwepo
@deogratiussaru3074
@deogratiussaru3074 10 ай бұрын
Mazinge ayo maswali yako yamijibiwaga zaman sana bora unyamaze tuu mzee unapoteza muda
@victorlyimo896
@victorlyimo896 Жыл бұрын
Ndacha ...one man one army........kiboko ya waislam woteeeeee....😂😂😂😂ukristu raha sanaaaaa
@shafirumohamed678
@shafirumohamed678 Жыл бұрын
manshallaah waislam tupo ktk haqi hao Hawajui wanachokijua
@jumahamad3723
@jumahamad3723 Жыл бұрын
Hongera Dr sule umeoneasha juhudi yako ya elimu ya Qur'an
@indalesiohenery6124
@indalesiohenery6124 Жыл бұрын
Ndacha Mungu akubaliki
@ndikumanainnnocent7796
@ndikumanainnnocent7796 Жыл бұрын
Allihamdullilah to be muslim 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@GodfreyKibanda
@GodfreyKibanda Жыл бұрын
Hongera postor Ndacha, waache hao akina Mazinge na Sule hata uwaambie ukweli NAMNA Gani wao wanabisha tu
@Aisha-qx7kz
@Aisha-qx7kz Жыл бұрын
Ama kweli dr sule ni mwamba Allah akuhifadhi na akujalie umrimrefu uzidi kutufunza na wahadhiri wengine nyote Allah awabariki naawalipe heri
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 Жыл бұрын
MaashaaAllah
@EngJosh
@EngJosh 6 ай бұрын
😂😂😂😂 Hamn kitu hapo
@KulwaPetro-x7l
@KulwaPetro-x7l Жыл бұрын
Mungu mbariki mch ndacha
@billmike8441
@billmike8441 Жыл бұрын
Nafurahi sana kuwa mkristo
@UwezoSandrine
@UwezoSandrine 11 ай бұрын
Ubarikiwe na Yehova Mungu
@oswardndihokubwayo80
@oswardndihokubwayo80 Жыл бұрын
Biblia ni Kitabu cha MUNGU 100% well done Ndacha.
@hydromuthini8519
@hydromuthini8519 Жыл бұрын
Ndacha he is a chosen,to fight the truth
@KhamisAli-jw3zv
@KhamisAli-jw3zv Жыл бұрын
Ukirsto ni dini ya biyashara tu viongoz wao wote wanajua dini ya kweli uislam t hakuna dini nyengine
@bbs9030
@bbs9030 Жыл бұрын
Kila dini ya Mhimu tu kikubwa iman
@yohanaandrew-dj7lc
@yohanaandrew-dj7lc Жыл бұрын
Ndacha kweli anawaweza yaaan wote wameshndwa kwake
@erickangima970
@erickangima970 Жыл бұрын
Jesus all the way. Hakuna shaka
@joerfamednoag7458
@joerfamednoag7458 Жыл бұрын
Ndacha ubarikiwe Sana
@macdonaldotieno5010
@macdonaldotieno5010 Жыл бұрын
So mungu wenu anaelewa tu kiarabu ...ni mungu dhaifu sana
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 Жыл бұрын
😂😂😂 sasa mtume mohamad anaweza kuongea kiswahili, kihindi, kichina? Hawezi mtume wao hawezi kuzungumza lugha zote hizi isipokua yesu tu. ❤❤ MTUME WAO ANAJUA KIARABU BASI/HATA MUNGU WAO ANAELEWA KIARABU TU🤣🤣
@hajrafarid8942
@hajrafarid8942 Жыл бұрын
Ulikuwa yesu akiongea... kichina
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 Жыл бұрын
@@hajrafarid8942 Yesu anaongea lugha yoyote ndio maana hata Mimi nazungumza naye kila siku kwa kilugulu. Lakini Mohammad hawezi kunisikia maana MOJA kafa na hana uwezo wa kuongea wala kuelewa kilugulu 😀. Je wewe unaongeaga na mtume wako mohamadi? Labda majini Ila mohamad hiwezi ongea naye, Mimi naongea na yesu. Kwa yesu acha ubishi kijana, hapa ndio mwanzo na mwisho
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 Жыл бұрын
​@@hajrafarid8942yesu alikua akiongea kiyunani , kiebrania na zingine pia kisamaria na zingine
@yusrashabani2983
@yusrashabani2983 Жыл бұрын
@@hajrafarid8942😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@BonifaceMwakasumi
@BonifaceMwakasumi Жыл бұрын
Wakristo oyee
@stanleycheroben4120
@stanleycheroben4120 Жыл бұрын
May God bless your servant Ndacha
@jomeshastudio7046
@jomeshastudio7046 Жыл бұрын
Mazinge snauliza swal bil kufikir yn anakurupuka
@goldsilver589
@goldsilver589 Жыл бұрын
Ndacha is more than a teacher
@BatromeoCharlesKiyola
@BatromeoCharlesKiyola Жыл бұрын
Daaaah waislam wote mmekusanyika wotee kwa mtu mmoja na Bado kawazidi kila sehem ndacha kiboko aisee, sule na wenzio hapa mmeingia chakike
@peterngeri9442
@peterngeri9442 Жыл бұрын
Mbarikiwe waalimu wakristo wa kiongonzwa na Roho mtakatifu kwa kuwafundisheni waislamu hawana elimu Sule na mazinge,quran inasema uislamu itakuja potea hautakuwepo ni kweli dalili zinaonekana
@josephatmhulula573
@josephatmhulula573 Жыл бұрын
Big up ndacha
@barakafondo8090
@barakafondo8090 Жыл бұрын
I'm happy to be Christian
@mohamedguffu1634
@mohamedguffu1634 Жыл бұрын
Ur so happy kwa kitu huwajui
@suweidkhamis722
@suweidkhamis722 Жыл бұрын
Upo ktk ulotovu
@mohdomar6760
@mohdomar6760 Жыл бұрын
Hongereni msheikh wetu
@AbubakarAhmed-gh4ty
@AbubakarAhmed-gh4ty Жыл бұрын
Uislamu ndio dini ya haki kabisa nyinyi endeleeni kupinga uislam lakini mutakuja kujuta siku ya kiyama
@dinkeydinii2937
@dinkeydinii2937 Жыл бұрын
Proud to be a muslims
@AbdallahBingwa
@AbdallahBingwa Жыл бұрын
Udaktar kakupa nani sulle unatudharirisha sana
@bernardjohn8788
@bernardjohn8788 Жыл бұрын
Wa mitishamba
@abdulhafidhsuleimanali6479
@abdulhafidhsuleimanali6479 Жыл бұрын
Anatudhalilisha Kivipi?
@rovisonmashaija3198
@rovisonmashaija3198 Жыл бұрын
Hahahaha aliamka asubui nakujipa udactari
@aliabdallah4233
@aliabdallah4233 Жыл бұрын
Dr.sule em rudia anatka tuithibitshe qur.an kwa maneno ya watu hiyo nimependa...na ukileta qur.an yako tunachapa❤❤❤❤
@AliMjaka-j6x
@AliMjaka-j6x Жыл бұрын
Ukitaka kujua utukufu wa Qur-an nenda Google mtafute Dr. Keith Moore vipi Qur-an inazungumza kuhusu Embryology, kiasi kwamba mpaka yeye Dr. Keith Moore amefanya edition ya kitabu chake na kuweka baadhi ya aya za Qur-an.....
@fredrickgitonga1972
@fredrickgitonga1972 Жыл бұрын
Kitabu cha Muhammad
@miriamwangeci7224
@miriamwangeci7224 Жыл бұрын
Upuzi
@keviwasafi-hd5ws
@keviwasafi-hd5ws Жыл бұрын
Duuh ama kweri mch ndacha yupo vizuri
@methodemmanuel4658
@methodemmanuel4658 Жыл бұрын
Yaani huwa wanaenjoy kufanya debate na Ndacha ila sio mbaya waendelee kujifunza.
@ElizabethMachuma-b2o
@ElizabethMachuma-b2o 26 күн бұрын
Wakirito niwasomi wavitabu Ndacha mungu akuongezee nguvu Wasilam wamjuwe kirsito ndiye atawaukum
@DenisSigei-j4w
@DenisSigei-j4w Жыл бұрын
Ndacha Mungu awenawe na akusingire na damu yake akupe akili nyingi
@barutiabuu9492
@barutiabuu9492 Жыл бұрын
Wakiristo naombeni sana walah muabuduni allah muabuduni mwenyez mungu wa ukwel acheni kuabudu watu ndugu zang kama elimu hamna je hata akili zenu pia hazipo da inasikitisha sana watu mna akili timamu lakini mnaongopewa mbakubali Haya sasa mkuu wenu wa ukristo amesha sema m bariki mashoga da hebu niambieni kweli mmefikia huko subhana llah allah awaepushe kwakweli😢
@JacoboMajaliwa
@JacoboMajaliwa Жыл бұрын
Hakuna kiongozi wa dini kwa mkristo aliekubari ushoga kiongozi wa Imani ya mkristo ni kristo Yesu mwenyewe nasi papa papa ni kiongozi wa dhehebu tofautisha dini na dhehebu mpendwa acheni ushabiki takeni kujifunza.
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 Жыл бұрын
Jina la bwana linatukuzwa❤
@mudiali4506
@mudiali4506 Жыл бұрын
Jinala bwana. Na la mke?
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 Жыл бұрын
@@mudiali4506 NAJUA JIBU UMEPATA.. ENDELEA KUTAPELIWA NA DINI. WAKRISTO TUNA BWANA WA MABWANA, MUNGU WA MIUNGU, MFALME WA WAFALME... YESU KRISTO
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fHergY15asaZldEsi=xZMuFaEuzvluubbI
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
​@richardboaz-mashagospel2346 yohana 17:3
@abdulhafidhsuleimanali6479
@abdulhafidhsuleimanali6479 Жыл бұрын
42:10 - Na mkikhitalifiana katika jambo lolote, basi hukumu yake iko kwa Mwenyezi Mungu. Huyo Mwenyezi Mungu ndiye Mola wangu Mlezi, ninaye mtegemea na kwake Yeye narejea.
@NassorSuleiman-jy4ro
@NassorSuleiman-jy4ro Жыл бұрын
Wenzetu watarejwa Kwa mungu wao yesu😊😊
NDACHA AKUBALI KUSOMA MADRASSA
1:00:22
Straight Path Dawah
Рет қаралды 34 М.
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
MAMBO YA AJABU USIYOYAJUA AMBAYO YATATOKEA HIVI KARIBUNI | ASKOFU GWAJIMA
56:45
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 158 М.
3. AMRI YA KUZUIA KUNUNUA AU KUUZA
1:28:30
Godfrey Machota
Рет қаралды 15 М.