#LIVE

  Рет қаралды 94,284

ZVP ONLINE TV

ZVP ONLINE TV

2 жыл бұрын

#LIVE🔴HUYU NDIO RAISI WA KWANZA ALIYECHUKUWA THAMANI YETU|| MTUME NI NANI-SHEKH LUSAGANYA

Пікірлер: 99
@bintsalimalbimany287
@bintsalimalbimany287 2 жыл бұрын
Napenda kuskiliza sheikh rusaganya sichoki Allah akupe umr mref wenye kher na wewe🥰
@nuhukenny7183
@nuhukenny7183 10 ай бұрын
Na mimi pia
@abdallahluhinda
@abdallahluhinda 8 ай бұрын
Maashaallah,Allah akupe umri mrefu na baada ya hapa duniani atukutanishe peponi aamin.
@SaidSaid-mx3bm
@SaidSaid-mx3bm 2 жыл бұрын
MashaAllah, Allah akupe umri mrefu wenye kheri na wwe pamoja na familia yako, na ssi tunaokusikiliza, Amiiin.
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Жыл бұрын
🙏
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 2 жыл бұрын
Subhana Allah Mwenye Enzi Mungu akupe nguvu na afya njema yaarab uzidi kutu fundisha na kutu elimisha. Allahumma ameen yaarab
@fridahmulongo2697
@fridahmulongo2697 2 жыл бұрын
Allah jazakallah khaira sheikh
@eddymrisho5168
@eddymrisho5168 2 жыл бұрын
Asalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh Mashaallah Sheikh wanagu nikiwa Bujumbura nimekuelewa.natamani siku moja allah atukutanishe
@yaedlifemedia3203
@yaedlifemedia3203 2 жыл бұрын
Jazakarau kheir INSHAALLAH ALLAH ATAKUKUTANISHA NAE AMEEN
@halimaomari3415
@halimaomari3415 2 жыл бұрын
Mashaa Allah sheikh mola akuhifadhi
@kasamohamed6526
@kasamohamed6526 2 жыл бұрын
Amin
@rahmaabdulla4949
@rahmaabdulla4949 2 жыл бұрын
Amiin
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 2 жыл бұрын
Amiin
@oscarkasalile5058
@oscarkasalile5058 2 жыл бұрын
Safi sana shekhe mwenyezi mungu akubariki.
@leylasalim9380
@leylasalim9380 2 жыл бұрын
Mashallah shekh nakupenda kwa ajil ya Allah SW
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 2 жыл бұрын
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@user-dd3qt8fs7w
@user-dd3qt8fs7w 10 ай бұрын
Allah akupe umri mrefu wenye kheri nyingi baba ili uzidi kutufundisha ya kheri nakupenda kwa ajili ya Allah ❤
@eusterusaji1920
@eusterusaji1920 2 жыл бұрын
Masha Allah Shekhe nimepata elimu hapa
@salumbinabed6906
@salumbinabed6906 2 жыл бұрын
mashallah jazakallahu alkhaira
@paulinacherement2534
@paulinacherement2534 2 жыл бұрын
Mashallah alhamdulillah ALLAH AKBAR
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 2 жыл бұрын
Sheikh, jazaakallahu khayra.
@deobigirimana45
@deobigirimana45 8 ай бұрын
Asalam alaikum wallah maturah wabarakatuh, shukran napenda kumsikiriza chekh rusaganya haogopi kusema ukweri
@thumnathumna5946
@thumnathumna5946 2 жыл бұрын
Allah.akujahlie mwisho mwema.
@abdulsimbarakiye4145
@abdulsimbarakiye4145 2 жыл бұрын
Asalaam aleikum warhmatullah wa barakatuh sheikh wangu kipenzi cha Allah maisha Allah mawadha mazuri sana
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 2 жыл бұрын
Mashaallah
@yahayahassan3742
@yahayahassan3742 2 жыл бұрын
Wallah tungewapata wawili 2 katika dini yetu km ww shekh rusaganya tungefika pakubwa
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Жыл бұрын
Wapo sema awajitangazi
@mouwanahamisi8216
@mouwanahamisi8216 2 жыл бұрын
Masha Allah barakallahu fiika shekh mung akuzidishie umri
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 2 жыл бұрын
Mashaallah Amiin
@mussakantumba824
@mussakantumba824 2 жыл бұрын
Nmepoteza namba ya Sheykh wangu Rusaganya
@mussakantumba824
@mussakantumba824 2 жыл бұрын
Naomba nipatiwe namba ya Sheikh Rusaganya
@ALBAANIIMTATA-dy8ky
@ALBAANIIMTATA-dy8ky 8 ай бұрын
والله شيخي أحبك في الله خفظك الله تعالي ورعاك
@jabirjabir4652
@jabirjabir4652 Жыл бұрын
Allah akujaalie khery
@abasayoo5934
@abasayoo5934 2 жыл бұрын
Wewe azinah alah akuweke maalim wetu masha alaah
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 2 жыл бұрын
Mashaallah
@kasamohamed6526
@kasamohamed6526 2 жыл бұрын
Masha Allah
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 2 жыл бұрын
Mashaallah
@hudakhamisamour553
@hudakhamisamour553 Жыл бұрын
Masha. Allah mungu akulinde
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 2 жыл бұрын
Mashallah
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 2 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah Mashaallah Mashaallah Mashaallah
@abbotazimio3870
@abbotazimio3870 2 жыл бұрын
Kumbe na Madhebu nayo ni tatizo,basi inabidi tuangalie sana,kwasababu tofauti hizo tulizikuta, na wengine sasa wanajadili utumwa upi ni bora (wamzungu au mwarabu)!
@Adeeii-zu5kh
@Adeeii-zu5kh 11 ай бұрын
Sheikh Rusaganya Allah akuhifadhi Inshalah
@subirajohn728
@subirajohn728 2 жыл бұрын
Tanzania tunajulikana kimataifa inawezekana kabisa kwa mtu ambaye si mtambuzi wa ramani ya dunia asiijue Tanzania hiyo si ajabu Shekh wetu!
@SharifHaji-xc1pj
@SharifHaji-xc1pj 10 ай бұрын
Allah akuweke Sh. Wetu
@dazuuhhassan3078
@dazuuhhassan3078 Жыл бұрын
Shk nakukubali Sana mungu akupe umri mrefu
@sabitinaeastafrica5822
@sabitinaeastafrica5822 2 жыл бұрын
MashAllah
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 2 жыл бұрын
Mashallah Allah 💕
@hudHud-lo3il
@hudHud-lo3il 2 жыл бұрын
All is good but Nyerere kwa alivyo hujumu zanzibar ni laanatul llah
@pambwemaulidpambwe5526
@pambwemaulidpambwe5526 Жыл бұрын
MashaAllah, Mwalimu
@kulthumsaid2919
@kulthumsaid2919 2 жыл бұрын
Mashaallah ALLAH akupe umri mrefu 🤲
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 2 жыл бұрын
Mashaallah Amiin
@bilalbilal3678
@bilalbilal3678 9 ай бұрын
​😊😅 😊😊😅
@aminamkumba3549
@aminamkumba3549 2 жыл бұрын
Mashaa Allah
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 2 жыл бұрын
Mashaallah
@siphifahashimu9723
@siphifahashimu9723 9 ай бұрын
❤❤❤❤❤Maashaalah, Maashalah, Alhamdulillah
@harounsalim927
@harounsalim927 Жыл бұрын
Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuhu jazakallahlkhairat
@bahiyalumelezy3016
@bahiyalumelezy3016 2 жыл бұрын
Mashaallah
@munasayed8657
@munasayed8657 2 жыл бұрын
Maa shaa allah
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 2 жыл бұрын
Mashaallah
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 9 ай бұрын
Sahihi
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 9 ай бұрын
Ilimu kubwa maashaallah
@devothasimbi1055
@devothasimbi1055 2 жыл бұрын
Shukrani
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 2 жыл бұрын
Allah Akbar
@muhammadkipangatv2674
@muhammadkipangatv2674 2 жыл бұрын
Jifunze quran kusoma kuandik gusa picha yang hapo kama hautojli
@user-nk5bf7hj3q
@user-nk5bf7hj3q 9 ай бұрын
m mwezimungu akulipe lkilalaheri
@husseinmongolare3417
@husseinmongolare3417 Жыл бұрын
Shukran ❤
@swalesale2229
@swalesale2229 8 ай бұрын
💯
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 9 ай бұрын
Watz wengi manyani tu
@munasayed8657
@munasayed8657 2 жыл бұрын
S.A.W
@bakariomari4251
@bakariomari4251 Жыл бұрын
mashaallah
@yahkiwera3611
@yahkiwera3611 2 жыл бұрын
Sasa shekh namshukuru mungu kwanemahiyo
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 2 жыл бұрын
Alhamdulillah
@kajirumsangi8086
@kajirumsangi8086 2 жыл бұрын
@@zvpOnlineTv Mbona mashia hawawatukani jamii ya mtume?
@mikidadmhando2504
@mikidadmhando2504 9 ай бұрын
JE umesema Pangani Warabu wa Oman wapo, nauliza huko Kugoma wapo Waoman au ni kina la mtaa tu?
@masoudmasoud8138
@masoudmasoud8138 Жыл бұрын
Nikweli Tanzania haijulikani bora angelisema anatoka zinjibar wangelijua maana zinjibar wanaijua 🤔
@muhammadkipangatv2674
@muhammadkipangatv2674 2 жыл бұрын
Jifunze quran kusom kuandik gusa picha yang hapo kama hautojl
@hamadiomari7804
@hamadiomari7804 11 ай бұрын
Nahitaj kujifunza
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 9 ай бұрын
Mimi pia
@abdallahmsham-eb7jz
@abdallahmsham-eb7jz 10 ай бұрын
sisi wazanzibari tunayajuwa yote hoyo ndiyo waengereza waliofanyaa ujinga huu na vibaraka wao tunawajuwa duuu
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 9 ай бұрын
MAKASIRIKO YA WAZUNGU WALIWAFANYA NINI.......KWAHYO WAARABU NDIO WEMA SIO
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 8 ай бұрын
Pita kushoto usiwapangie watu kwanza huku hapakuhusu
@yaedlifemedia3203
@yaedlifemedia3203 2 жыл бұрын
Sasa waislael wanachokataa nini juu ya uislam kumbe Mohammed s.a.w alifika had kwao na historia wanayo.ALLAHUAKBAR
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 2 жыл бұрын
Mbona umesema wake wa mtume S.A.W 12
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 2 жыл бұрын
Nikweli kabisa Tanzania hatufahamiki
@yasinamiri7649
@yasinamiri7649 2 жыл бұрын
Ndio kabsa Tanzania 🇹🇿🇹🇿 haijulika sana kama kenya maana Obama ni mkenya na alikua akiitangaza nichi yake duniani ila Tanzania alhamdulillah sisi bola uhai tu
@charlesgasper-wo9hc
@charlesgasper-wo9hc 11 ай бұрын
Ibaadazasanamuziliabudiwa ulimwengunikote kabula yaulimwenguwa Bibilia walakuraani warumisiowazunguwaleo warumindio waroma weweunaongelea wayunaniau kingerezawagiriki.
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 9 ай бұрын
Wewe ni mtanzania hicho kiarabu kinatuhusu nini?
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 9 ай бұрын
Kiingereza kinatuhusu nini pia
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 8 ай бұрын
Wewe kafiri mwafrika kiingereza cha nn kwani wewe mzungu ..!😅😅
@issaibony3474
@issaibony3474 2 жыл бұрын
Mtu kama ww ndie unafaa kua kiongoz wanchi maana 2nahitaji kiongozi ama viongozi wenye hofu yamungu kama ww rusaganya
@abasayoo5934
@abasayoo5934 2 жыл бұрын
Ukiwa si tajiri umeweza fika kote huko. Je wewe tajiri? Laa mo kafika,manji kafika zakharia kafikaa,aliko dangote kafika? Wewe shujaa maskini wewe alaah anatekeleza matamanio yako
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 9 ай бұрын
Mmanyema akikumbelea nyumbani kwako na wewe ni msukuma na wewe utakuwa mmanyema? Tusiwe wajinga wa kumwabudu mwarabu mmanyema utabaki kuwa mmanyem a na mwarabu atabaki kuwa mwarabu
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 9 ай бұрын
Na mzungu atabaki kuwa mzungu
@paulinacherement2534
@paulinacherement2534 2 жыл бұрын
Mashallah alhamdulillah ALLAH AKBAR
@alimzee
@alimzee 2 жыл бұрын
Masha Allah
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 2 жыл бұрын
Mashaallah
@user-ks3vx5xj9m
@user-ks3vx5xj9m 9 ай бұрын
Ma Shaa Allah sheikh wangu
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 2 жыл бұрын
Mashallah
@Abuuhurayrahsaalim
@Abuuhurayrahsaalim Жыл бұрын
Maa shaa Allaah namuomba Allaah anijaalie niwe Kama Shekh hashimu rusaganya allaahumma taqabal minnii🙏
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 29 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 22 МЛН
🔴LIVE :DR.SULLE MWANADAMU WA KWANZA ALIKUA MWEUSI SIYO MWEUPE/HISTORIA
59:53
MKE KAZIZAKE NI MBILI TU //SHEIKH OTHMAN MAALIM
32:34
arkas online tv
Рет қаралды 259 М.
PROFESA JANABI FAIDA YA SWAUMU NA MARADHI YASIYO AMBUKIZA
1:38:01
ZAINAB ONLINE TV
Рет қаралды 1,2 М.
USIPOHAMA ULIPOZALIWA HUPATI MAENDELEO  ..SHEKH OTHMAN KHAMIS
25:55
Saimu gwao Online tv
Рет қаралды 137 М.
WAYAHUDI NI MAKAFIRI WALIOPEWA KITABU// SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:04:39
arkas online tv
Рет қаралды 23 М.
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН