Takbiiir allah akbar hakika dini ya haki mbele ya allah ni uislam
@jacksonmigiro58733 ай бұрын
Tuko pamoja
@jacksonmigiro58733 ай бұрын
You have done good job, may the Lord bless you and open door's for you
@jcwanyoike27573 ай бұрын
Tutazidi kuchangia
@otaibonny88353 ай бұрын
Waislam wameyavgaa, nawaonea huruma
@Janvier-u4u3 ай бұрын
Itakuwa kivumbi kabisa yani iyo siku huuuu
@GodenBMDaniel3 ай бұрын
Mungu awabariki wote
@JohnOuya-w7j3 ай бұрын
Wakristu hatujakufa bado tuko hai tunaipeperusha bendera ya yesu na hatutarudi nyuma kamwe mpaka siku bwana yesu atakaporudi na kutuchukua tuingie na yeye paradiso
@msemakweli2433 ай бұрын
Tunasubili waisilam waone tumaini tulilo nalo
@petermgonja85473 ай бұрын
Sijasikia ukimtaja shafiii ili asijekulalamika
@basilejuma3 ай бұрын
Kuna walimu wazuri zaidi nchini kenya, issac mbitha na kasina,hebu siku moja mualike waje tanzania
@joephmaukilo3 ай бұрын
Walitofautiana mafundisho ndo wakatengana kabisa nihatar
@justine-27073 ай бұрын
Fudisho dgo to watu wana hajana to kasina pia kw soma Ako poa
@MwalimuMassaweOnlineTv3 ай бұрын
Hatuna vita na Kasina, sisi ni ndugu, kutofautiana si chuki
@filexbenefits56123 ай бұрын
Walioitwa ni wengi ila wateule ni wachache, everyone is freely allowed to preach good news, no need of invitation.
@basilejuma3 ай бұрын
Mbona msiite kasina wa kenya
@alfredpius-g6k3 ай бұрын
Huyu ni kasina ni peter ama n yupi
@charlesmakuri7923 ай бұрын
Ndacha na wenzake ni moto kwa waislam ila wanajua moto unavyo waka
@OLUNGAJOSHMAH3 ай бұрын
JINA LA MWANA WA MUNGU LITAZIDI KUINULIWA KUPITIA WATUMISHI WAKE..WAYAHUDI WALEO WALIO WAISLAAM NJOONI MPOKEE NA KUMJUWA NA KUMWAMINI MWANA WA MUNGU MUWE NA UZIMA MTHW3:36
@edinahbonareri22513 ай бұрын
Kwa kweli hakuna mtu ameslimu akaingia uislamu akawa na ushuhuda ila wanasilimu kwa masilai yao kama vile kupata mke au mume au kwa kutaka azaidiwe. Lakini muislamu akiacha uislamu ana ushuhuda wa kweli hata unatamani kulia. Uislamu umechengwa kwa misingi ya uongo hivyo hivyo watu wengi wameangamia nayo. Ukifa ukiwa muislamu sahau ufalme wa mbinguni kwa sababu dini ya uislamu ni ya mchongo.
@stephen-S7n3 ай бұрын
Iyo ni kweli kabisa
@maulidimanzi99643 ай бұрын
Hamna ukweli apo hizo ni chuki zako tuh
@francisjoseph10743 ай бұрын
Masawe mkimalizan na waislam bishop ngonyani Yupo na anawasubiri kwa ajiri ya mdaharo wa sabato na Uungu wa Yesu , msisahahu hilo maana hapo ndio wakristo wengi wanachanganyikiwa karibu sana , na sijui kwanini watu waogopaga kufanya mdaharo na bishop ngonyani wakati lengo nikujifunza
@MwalimuMassaweOnlineTv3 ай бұрын
Tutakuja, usihofu
@francisjoseph10743 ай бұрын
@@MwalimuMassaweOnlineTvasante Kwa kupokea ombi langu ubarikiwe Mtumish WA Mungu na injiri ya Yesu isonge mbele
@MariaMjeni-rh6sy3 ай бұрын
Tuko pamoja
@JohnOuya-w7j3 ай бұрын
Wakristu hatujakufa bado tuko hai tunaipeperusha bendera ya yesu na hatutarudi nyuma kamwe mpaka siku bwana yesu atakaporudi na kutuchukua tuingie na yeye paradiso