Mmefilisika watu wanashida ya yesu kristoanayeokoa
@marynthenya19154 ай бұрын
Tafadhali mtumishi Dacha naomba kwa heshima kubwa yule jamaa ukusomea Biblia awache kudhalilisha jina la Bwana wetu Yesu Kristo kwa kutamka kriiiiiiiiiiiiiistoha haipendezi kabisa jina la Yesu nilakuongopewa amwite Yesu Kristo yatosha.
@StraightPathDawah4 ай бұрын
Kristo ni cheo sio Jina la mtu
@charlesjanuary17984 ай бұрын
Jina Yesu Lina maana gani?
@FredrickNyangweso4 ай бұрын
Nawaunga mkono sana Kwa hili mwakemwa ni mtu anataka mafundisho kuhusu sabato Kwa pole sana yeye si mwalimu mbaya lakini nikutoelewa ndiyo inamsumbuwa ni mzuri atakapoelewa ni mwanajeshi mzuri akiwa Kwa kikosi chetu ,niliona akiwa akifundisha kuhusu kristmasi wakiwa na mwalimu Chaka wa Musa nilishanga sana vile yeye ni mubunifu wa uongo kweli Mungu amsaidie ajue ukweli.
@Globaladventministries3 ай бұрын
@charlesjanuary1798 naam ,Mathayo 16:16..Yohana 1:41..Yohana 4:25
@RafaelKatenda4 ай бұрын
Mmefilisika watu wanashida ya yesu kristo anayeokoa na kusamehe zambi na kuponya
@charlesjanuary17984 ай бұрын
Utaaminije pasipokutii??
@daudimichael73384 ай бұрын
Usabato na Uislam ni Imani moja tu, mtawahubiria Waislamu wakati mko sawa nao, mnaishi kwa sheria?
@Blessedboi80194 ай бұрын
Mwankemwa ni nduma kuwili, Hana Msimamo. Wachaneni nae, hana lolote
@msemakweli2434 ай бұрын
Yule mwankemwa hachana nae hana nachokijia anakupotezea mda
@nkanganyerere4 ай бұрын
Mwankemwa anahitaji msaada sana
@esthermwanaidi36454 ай бұрын
Nyinyi bakini na sabato zenu nasi tinabaki na yesu kristo
@daudimichael73384 ай бұрын
Mwankemwa hana uoga acheni uongo, mlijadikiana kule Bunju na aliwashinda mkaondoka
@daudmtoba1914 ай бұрын
Yule mwakemwa sasa ivi Ana potosha watu kua Amna AMRI ni muongo2 kama akina mwampossa
@danielkamau29874 ай бұрын
Amen Ndacha
@filexbenefits56124 ай бұрын
Sasa kama hakubali siku ya ibadan na vile iko wazi, utatu atauelewa aje surely, u better know automatically can realise trinity counterfeit.
@ericlondonmuwazijimmy12214 ай бұрын
Mjadala tulifuata.. majibu yapo huko.. wacha fitna kama hamwezi kumalizia jambo katika mjadala, Kila mtu abaki na msimamo wake.. ukristo si ya kulazimisha