Kama kuna mtu anasikiliza huu wimbo na vinyweleo vinasimama tujuane hapa jamani.! waaaaaaaa.! Amazing....!
@isayamwengwa2267 ай бұрын
Oya wakuu mwenye anaamini Kama mm hili songi lita be performed siku ya parapanda gonga like apa🙏🏽❤️🤗💪🏽
@suleimanjuma30117 ай бұрын
Mimi sio mkirsto lakini hii kwaya naipenda sana mnaimba vizur sana nyimbo zenye ujumbe Mungu azidi kuwainua
@emmanuelthomas10787 ай бұрын
Karibu sasa- rasmi uwe mkristo🙄🙄
@sheilamrogoro86417 ай бұрын
Amen @suleimanjuma3011 nakuombea neema ya kristo ikufikie hapo ilipo ili siku Moja upate wokovu
@ufunuochoir7 ай бұрын
Amen
@samsonsegeja16517 ай бұрын
Karibu kwa Yesu kuna makuu kuzidi uimbaji
@LucyNtambi6 ай бұрын
Okoka mama angu jaman
@DOROTHYMbogela3 ай бұрын
Tena mzungu namkubali katika ule wimbo unaosema katika mafanikio usisahau kùshukuru mungu mzungu amejiachia kucheza had raha jaman
@code.africa7 ай бұрын
Da! Huu wimbo unanifanya vinyweleo vinasimama. Uuuuuuwiiiii! Sijui kama kuna mtu anasikia kama mimi.! Amazing!
@anethteodos62085 ай бұрын
Hakuna anayeongelea sauti nzuri za hao big dadaz,yaani nawapenda hao watatu❤
@releiabby62017 ай бұрын
Wau these ladies! God bless you. Amazing vocals
@EmilyIsaya-ub9ji7 ай бұрын
Napenda sana nyimbo zenu MUNGU Awabariki
@regularngowi48957 ай бұрын
Aiseee hii choir ni noma sanaaa.wanaimba had unasisimka moyo
@CaristerKanyikaАй бұрын
Nawapenda kutoka moyoni nikiakiliza nyimbo zenu mpka mchozi ya furahaa yananitoka
@DaudiNgonelaАй бұрын
penda sana mungu wabendela awaongezee neema Amina
@sesiliamwambepo71367 ай бұрын
Wanasauti znafanana solorist i love it vibonge saut zmekaaa❤💪 Mungu aendeelee kuwainuaa🙏
@prettychipps90547 ай бұрын
How I love yuh ❤ sisemi.. keep on doing the work of God na ujira wenu mtalipwa na yeye
@catherinenyanda95976 ай бұрын
Nabarikiwa sana kwa kweli kwa nyimbo, stail ya kucheza kwa kweli kuna sehemu napona kupitia nyimbo mnazo ziimba kila siku lazima niwasikilize Mungu aendelee kuwainua
@sarahw62347 ай бұрын
Iam in Kenya lakini kwa kweli nyie ni wa baraka kwa kizazi hiki,nyimbo zenu zinaupako na Roho Mtakatifu anadhihirika ndani ya nyimbo
@karashj17 ай бұрын
My goodness! You all need an AC unit in the sanctuary!
@EllahGunzu7 ай бұрын
Nyimbo nzuri zinanibariki sana moyo wangu unakuwa na amani . Mungu awabariki sana
@ChristopherCharles-ty6uw6 ай бұрын
Hongereni ufunuo choir, mnafanya vizuri sana mungu awabariki muwe juu mda wote.
@michaeljohn56456 ай бұрын
Mungu awabariki watumishi wa mungu mnaimba vizuri mno mubarikiwe
@dorothyndege45557 ай бұрын
Kwaya hii naipenda sana, nyimbo zao nzuri sana. Napenda mavazi yao mazuri sana sana kwenye nyimbo zao zote. Hongereni sana Mungu abariki ibada yenu hii kwa njia ya uimbaji. 👏👏👏🙏🇹🇿
@annyminja83537 ай бұрын
Hallelujah Hallelujah hallelujah 🔥🔥 Asanteni ufunuo Kwa zawadi hii ya Baraka❤Nimebarikiwa
@faithkiptoo66117 ай бұрын
Mna sauti nzuri na maneno ya kubariki kwa kweli.Mungu awabariki.Upendo nyingi mno toka 🇦🇺 na 🇰🇪
@jonathankazohela73637 ай бұрын
Waooooooo combination nzuri kwa hao wa Mama MUNGU awabariki mno
Kweli sauti ninzuri maneno yanatoka katika kitabu cha mungu mmenibariki na mubarikiwe na uimbaji wenu umetukuka
@georgemussa85753 ай бұрын
Nguvu ya neno❤
@mumbesh69617 ай бұрын
The choir always delivering it greatly. The Keyboardist.... kudos.. Doing it with much passion.❤️🔥🔥🔥
@ufunuochoir7 ай бұрын
Amen
@princessjj82987 ай бұрын
The best choir in Town
@tumainigodchance51727 ай бұрын
Tunaomba video wimbo Nimekukimbilia Bwana tunabarikiwa Sanaaa Maisha yangu ni Mungu anatenda.❤
@norahmapenzi2 ай бұрын
Am always blessed by these beautiful voices and great lyrics of their songs! Amen
@merrynzohumpa39967 ай бұрын
Niliwamiss sana baada ya mwanamke rada, maisha yangu hakika mmerejea na malaika Mungu awabariki kwa kazi nzuri
@ethelkuta84082 ай бұрын
Wapendwa tukaze mwendo twende kumpa Mungu wetu sifa milele .Wimbo huu umenibariki SAAANA.
@Mmukunza7 ай бұрын
Wow wow wow hizo vocals! Simply out of this world. Mungu azidi kuwabariki Leo kesho na mtondogooo.
@anajumanne40184 ай бұрын
Mungu abariki kwakufundisha watu kujishusha tujuwe kama Mungu ndo wakuabudu
@neemamichael3377 ай бұрын
Hallelujah hakika Yesu ni mfalme mkuu❤❤
@GraceEzekiel-z4bАй бұрын
mnajua sana mungu awatie nguvu katika kumtumikia kwa roho na kweli
@EliweluIssack7 ай бұрын
Ningekuwa na uwezo nijeniwaone tu anakwama maana namwona munguakitenda makubwa kupitia nyimbo zenu mbarikiwe sana ila ipo siku
@happymaduka2947 ай бұрын
Hadi mwili unasisimka kwa ukuu wa mungu walionao wapendwa wabwana mungu awalinde kwa ajili yangu na yetu sis sote😘😘
@christopherchales22192 ай бұрын
Hawa jamaa mungu ameka vipawa vya ajabu sana,hao wadada watatu mavocalist kwelikweli! Wana punch ,wana high pich, acha mungu aitwe mungu .
@LaubibiNguzoyabwana6 ай бұрын
Ufunuo nikila kitu pamoja Sana wenu Lau bibinguzoyabwana
@RithaEmilyАй бұрын
Mnafanya vizuri nawapenda nyote pamoja na mkuu wenu paul bendera mungu atukuzwe
@CliffordIshengoma7 ай бұрын
Mungu azidi kujitwalia utukufu kupitia ninyi, kunyenyekea ni Jambo muhimu kumbukeni hilo 🙏
@wanjikunderitu69497 ай бұрын
❤❤❤❤❤from🇰🇪. Ur blessed&a blessing to us
@ElisabathMuzungufu-tt4zx7 ай бұрын
Je vous aime énormement famille depuis Congo kinshasa 🇨🇩. Much love ❤️ ❤️ ❤️ ❤️
@neaboy40327 ай бұрын
Msusu
@mikeyshouse23533 ай бұрын
I really love your songs you bless my heart .
@ChristopherCharles-ty6uw7 ай бұрын
Mungu awabariki kwa huduma! Nzuri.
@norahmapenzi7 ай бұрын
God bless you sana Tena sana.am blessed!
@RosemaryNthenya-q6p7 ай бұрын
Inspirational songs of another level,God bless ufunuo choir,that they kip spreading gospel
@JuliethMwesiga6 ай бұрын
Ninabarikiwa sana sana na nyimbo zenu, Mungu aendelee kuwainua zaidi.
@elishebasalufu68877 ай бұрын
Mungu azidi kuwainua,,, mnatupatia Radha ya gosper yenyewe n
@charlesbundi28614 ай бұрын
Utukufu kwa Mungu! Mungu aendelee kuwatumia apendavyo kwa utukufu wake!
@habilmeshack94627 ай бұрын
Kilamkija mnakuja kwakishindo nakwanamna tofaut hakikamnajua naubunifu mnajua pia mungu awabariki
@ufunuochoir7 ай бұрын
Tunashukuru sanaa
@esterbontobonto50056 ай бұрын
Mungu azidi kuwainua viwango vya juu nikisikilizaga nyimbo zenu mwili unasisimuka
@esteragustino61417 ай бұрын
Amazing song ,Mambo ni 🔥ufunuo choir
@rahelijuliusmngulwi32354 ай бұрын
Mungu awabariki namtukuza Mungu kwa vipaji vyenu
@judithkitur28487 ай бұрын
I feel the song deep down my heart flowing in my blood. Thank you God , bless them for me 🎉❤
@eliaslupa24715 ай бұрын
mungu awabariki na aendelee kuwatumia kwa njia ya uimbaji
@feristadaudi65996 ай бұрын
Kiukweli kutoka moyoni mnabariki sana moyo wangu mwimbieni bwanagu kwa roho na kweli
@gracebalaigwa60567 ай бұрын
Hakika nawapenda sana uimbaji wenu una uwepo wa Mungu. Mzidi kusonga katika Yesu
@ufunuochoir7 ай бұрын
Amen Endelea kushare nakufurahia Wimbo Huu
@annacharles28427 ай бұрын
@@ufunuochoirni kwaya ya kanisa gani nataka nije kuwatembelea
@GodsonLaizer-fx8by4 ай бұрын
Ni zaidi ya chakula kwangu Mana asubuhi sana nasikiza/ mchana / nasikiza/ jioni pia Na ninavutiwa sana na mpa gilio wao/ na mesage ya wimbo unaeleweka tangu mwanzo Sasa mungu awalinde na siri ya kufanikiwa na kubaki ktk nafasi hiyo ni kujishusha na kujitakasa ili mungu azidi kuwatumia
@SophiaaMuhamedd5 ай бұрын
Renek mungu anazidi kukupiginia tunakumis vetenali kkt usharika temeke
@LydiaMhomi-i2q8 күн бұрын
Tunabalikiwa sana
@DorcusLucas7 ай бұрын
Barikiweni sana sana mtunzwe kwaajili yangu na familia yangu mmekuwa Baraka sanaaaaaaaa 🙏🙏🙏
@DavidNduwimana-ln4by2 ай бұрын
Amen amen mufanyikiwe
@roselwoga18747 ай бұрын
Hongereni Wapendwa Mnaimba Vizuri sana, MUNGU Azidi kuwainua juu tena juu zaidi❤
@NathanaelIlunda7 ай бұрын
Tunaisubilia Kwa ham nyimbo hiyo malaika
@ufunuochoir7 ай бұрын
Endelea kushare nakufurahia Wimbo Huu
@gifftygabriel3757 ай бұрын
Mwalimu Emmanuel Deus pamoja na timu nzima ya ufunuo nawapenda sana Mungu awatunze kwa kazikubwa mnayoifanya awakumbuke Mungu kwenyeufalme wake
@magendabarthromew30837 ай бұрын
Ahsante sanaaa
@gifftygabriel3757 ай бұрын
Asante
@MsekwaShamba2 ай бұрын
Very nice ufunuo choir
@DOROTHYMbogela3 ай бұрын
Kwaya hihi inanibariki sana
@mbilikadyson7 ай бұрын
You're blessed dearest
@kulwasheshemka7 ай бұрын
God is good
@mtushe17 ай бұрын
Ufunuo choir, nyinyi ni wa baraka sana.
@ufunuochoir7 ай бұрын
Amen
@Daudi2557 ай бұрын
Glory to God🙌🙌🙏
@MuisraelHalisi7 ай бұрын
AMINI TU. ndio mbengu ya mwokovu. Nawabariki sana. Juu juuu juuu zaidi
@CHRISTINASWILLA3 ай бұрын
Nice voices ❤❤❤
@margaretkinyanjui4977 ай бұрын
Amen, Jesus reigns
@MarthaMlemeta-cm3xk6 ай бұрын
Mungu wetu atukuzwe milele
@EstherMwongela-n9u7 ай бұрын
❤❤Kenyans let's show love
@IsaacMahenge-mi4jz7 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤kila ninapokuwa na wakati mbaya nafarijika sana na hii huduma Mungu awabariki sana
@JacobMbasha-o3t6 ай бұрын
Kwanza nawapa maua yao pili ni kwaya usharikagani au kanisa gani
@simithhaule55827 ай бұрын
Mungu azidi kuwabariki. Kazi yenu ni njema sana.
@YosiaMpanda-fv5rx7 ай бұрын
Wimbo mzuri wenye sauti kuu🔥🔥🔥
@ufunuochoir7 ай бұрын
Amen
@LinnetNafula7 ай бұрын
Team, you never disappoint, more grace🙌🙌🙌 ❤❤❤
@SamweliMwarja7 ай бұрын
Nyimbo nzur kwel mungu awabariki
@mumbesh69617 ай бұрын
Wow..... You sing so well.. Much love from +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@matendomwera7 ай бұрын
Baraka kubwa sana muna nijenga kiroho sana hapa Congo
@rehemamwamundela27177 ай бұрын
Wimbo wa maisha yangu kwa kweli hujaniachia kila wakati naimba moyoni mwangu
@ufunuochoir7 ай бұрын
Hivi karibuni.kaa tayari
@lyne28087 ай бұрын
My favorite song , Mungu awabariki sana
@ufunuochoir7 ай бұрын
Amen
@daudichande97567 ай бұрын
Safi sana wimbo mzuri
@NathanaelIlunda7 ай бұрын
Ameen Ameen MUNGU azidi kuwainua kwaya ufunuo kutoka Kwa asikofu mkuu wa kanisa la ufunuo kimara bonyokwa
@JustineManyecha7 ай бұрын
wimbo mzuri kwa kwel
@joshuajustustz7 ай бұрын
Shalom shalom. ❤❤❤❤
@celinekyalo98077 ай бұрын
My All Time Choir ❤. Wow, Good voices. God Bless You All.
@ufunuochoir7 ай бұрын
Keep listening and enjoying our songs
@happyalberto89037 ай бұрын
Kwakweli nawapenda sana❤❤
@jacksonenock52317 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe kazi ni nzuri
@ufunuochoir7 ай бұрын
Asante
@maryobedi68077 ай бұрын
Mbarikiwe sana
@BasilaChuwa-fj9zt7 ай бұрын
Mungu awabariki sana Kwa kazi nzuri
@ufunuochoir7 ай бұрын
Amen
@wemahkibona32957 ай бұрын
Mungu azidi kuwabariki
@EliweluIssack7 ай бұрын
Masororisti na wapenda sana
@BeatriceShekiondo-gw3xw7 ай бұрын
Nawapenda saan Mungu aendelee kuwatumia vyema
@ufunuochoir7 ай бұрын
Endelea kushare nakufurahia Wimbo Huu Tunakupenda pia
@RaphaelObadiah-u6g7 ай бұрын
Show me your choir,then I will show you mine❤.. ufunuo blessed and annointed vocalist choir