Somo mie nimeachwa lakin sina haki ya kuchukua mtoto kwa vitimbi vya mwezangu alie olewa na mie nafs yangu imesusa ata kwenda kwa wanangu nikihitaj niwafate chuon au skul vip hi mtanisaidiaje hali yangu ya kimaisha sio sawa nikitaka kuwachukua niwachukue wote nyumba nzima na mie ndio ivo kihal
@subralugege70196 сағат бұрын
Pole baba yao yupo upande gani kuwa na subira yatapita