Asante kwa kupangiria vuzuri aina ya vifo na jinsi ya maraika anavo wachukua watu wengine anawaacha hapo kwani hawajafa asante umetuongezea ufunuo (maramu penza Adamu mbaya kwa kutembea kiroho Amen.
@linayego6663 Жыл бұрын
6
@dokasa91763 жыл бұрын
Asante mbarikiwe, Mungu awatie nguvu kenyan, nafuatilia kutoka Saudi Arabia
@tabithakawira78442 жыл бұрын
Asant Sana mtumizi wangu kwa ktueleza Mambo mengi hatunge fikiria nindhambi
@thomasjohn71763 жыл бұрын
Mungu awabariki kwa kujibu maswali vizuri. Roho wa Mungu amewatumia vizuri kwa kutumia Neno la Mungu.
@etoomkongwa32462 жыл бұрын
Asante MUNGU
@josephinemsekwahalidkijang51833 жыл бұрын
34:38 - 36:48 Aisee I can feel the presence of the Holy Spirit this is a SERIOUS ISSUE. Women let's walk in the right path of God though it's narrow and not easy alot of persecution but God in Jesus name will comfort us and change those into JOY, PEACE, HAPPINESS.
@leonardanzurunipombi24993 жыл бұрын
Amen asante watumishi wa MUNGU barikiweni
@keziaranga63293 жыл бұрын
Mungu awabariki watumishi wa Mungu, mnatubariki sana,Jacktan Mungu akubariki san akuinue
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Amen
@alodiajason90613 жыл бұрын
Hongera Jacktan kwa kazi nzuri nimechelewa kujiunga ila nilitaka umuulize Nabii Adam Mungu alivyomchukua siku zote hizo je hapa duniani alitoweka au huo mwili wake ulikuwa wapi siku zote hizo.
@gracelauzi97463 жыл бұрын
Mwili wake ulikua kwa chumba chake kwenye nyumba yao hivyo ndio alisema Aston kama Sikuelewa promo TV ita nikosoa Asaniteni
@trophywilson72113 жыл бұрын
@@gracelauzi9746 kwa hiyo alikuwa kama amekufa??
@gracelauzi97463 жыл бұрын
@@trophywilson7211 kibinadamu ndio tunge Sema amekufa lakini mchungaji wake alikua anajua hata mamake alijua ndio hawakushutuka hata alipo kua akilala siku Tatu walijua Ata rudi tuu maana yuko mikono salama
@glorytogod17933 жыл бұрын
Ameen Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu kwa ajili ya kazi njema
@tabithakawira78442 жыл бұрын
Mm watumishi wa mungu ,mm ninaumia kapisa maana waubiri wengi ni wale wame potesa watoto wa Mungu ,kufanya ishara kubwa ,mungu tu ni we we unatuyua
@maggyirene1103 жыл бұрын
Ameen ameen, asanteni Kwa majibu hayo, nabarikiwa. Mungu awabariki. From ksa
@margaretomwakwe91622 жыл бұрын
Shalom maggie
@tamarali83253 жыл бұрын
Wow hiyo ya Christmas. Imeniacha mdomo wazi. Barikiweni sana Watumishi wa Mungu wa Bwana Wetu Yesu Kristo
@valentinandukuvalentinandu47793 жыл бұрын
hata pia kufanya makumbusho kwa ajili ya mtu aliekufa ni makosa
@truth77963 жыл бұрын
@@valentinandukuvalentinandu4779 makosa kubwa kabisa pia kunyoa nyewele
@trophywilson72113 жыл бұрын
@@truth7796 mmmm nywele kwa wanaume au kwa wanawake?mafundisho y wapi hayo?
@lucykapinga3692 жыл бұрын
@@trophywilson7211 kwenye kifoo kafa mtyu wakaribi alafu wengi wanatabia kunyoa nywelee
@susankimani36973 жыл бұрын
I thank God because am in the light way we're in the same gospel congratulations keep it up man of God
@vickiemerere40563 жыл бұрын
Asante kwa maarifa,hakika kupitia ninyi watumishi tutapona
@bentallynemayayo36312 жыл бұрын
Thanks my questions are well answered
@florencendatila91833 жыл бұрын
Mbarikiwe sana
@happykajeli54533 жыл бұрын
Asante kwa ushuhuda wa majibu mazuri Christmas imetupoteza sana kwakuwa nimejua ukweli sitopotea tena
@elizalililove91933 жыл бұрын
Jastani mtumishi wa mungu nahomba munisaidiye naba za simu munazotumikisha kuhosapo, juninashida natakakuhogeya na mtumishi wa mungu
@Faraja20233 жыл бұрын
@@elizalililove9193 mtumishi hajui kiingereza Wala kiswahili
@josephmusagasa55663 жыл бұрын
Mimi namkubali sana huyu jamaa,ushuhuda wake ni kweli,tena kweli tupu
@veronicaonesmo8993 жыл бұрын
Jamani mbarikiwe sana nimejifunza mambo mengii sana sana.MUNGU atuwezeshe tuishi maisha ya kumpendeza na kuyatenda mapenzi yake MUNGU.
@inviolatevedasto42303 жыл бұрын
Amen Amen Mungu awabariki,
@florafaustine46373 жыл бұрын
Mwenye masikio na asikie
@annitahpraize12473 жыл бұрын
Amen, mungu awabariki saana, nimejifunza mengi.
@agnes7675 Жыл бұрын
AMEN
@melaniendihokubwayo73893 жыл бұрын
Jambo sana watumishi wa Mungu, asante sana kwa majibu yote, lakini kuhusu suluwali na mimi niko marekani tena kunabaridi nyingi tena nyingi, na ninatumika kazi na tena sivayi suluwali.
@melaniendihokubwayo73893 жыл бұрын
Wana wake waache kusema eti wako marekani wako wapi eti kuna balidi nyingi eti ndio maana wanavaa masuluwa hapana waache uongo.asante sana.
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Barikiwa sana
@mwigarleysaid54063 жыл бұрын
Kwani marekani haikuwepo zamani marekani ilikuwepo kabla ya wanawake kuanza kuvaa suruali na baridi ilikuwepo kabla ya wanawake kuanza kuvaa suruali kwahiyo hakuna jipya Ni dhambi tubuni muache
@jesusreignsrestorationministry3 жыл бұрын
Uvae tu sketi na kazini hawana tatizo lolote. Zipo dini kanisa zao wanavaa sketi na wanafunika kitambaa kichwani na kazi inaendelea tu🙏🙏🙏
@chamwenyewecjembe73593 жыл бұрын
@@PromovertvTz Naomba tuwasiliane
@evelyneedward3732 жыл бұрын
Much love prophet 🙌🏼
@dawhiteschola88473 жыл бұрын
Barikiwa Sana mtumishi
@marianachriss24443 жыл бұрын
Nisamehe Sana BWANA YESU KRISTO,nimejua kwako Kuna rehema nyingi ,uniongoze ktk njia zako za kweli na haki
@gosbertmuta54212 жыл бұрын
MAMANGU ESTA MASANJA NA KATEKELA NA HUYU MWAMBA🙏🙌🙌🙌
@maryamayitsa61812 жыл бұрын
Nimekuja kuchekelewa japo nimejifunza kitu,🙏🇰🇪.
@jacobwenga69433 жыл бұрын
Amina wapendwa
@abisairobert50983 жыл бұрын
Bwana asifiwe sana
@andremartins2447 Жыл бұрын
Paz de cristo eu peço alguém se levante para traduzir para o BRASIL amem e amem JESUS.
@elizalililove91933 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏 Ameen ubarikiwe Asate Sana 🙏🙏
@elizalililove91933 жыл бұрын
Ameeeen 🙏🙏🙏🙏
@tamarali83253 жыл бұрын
Barikiwa sana Jacktan
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Amen
@henryosoro76963 жыл бұрын
Praise the Lord
@gracekinyaki23763 жыл бұрын
Mungu atusaidie sana . Wenyewe hatuwezi.
@mawazobayndulwa19093 жыл бұрын
Asant sana jacktan Mungu hakubariki sana baba ila na mini nitahuliza mtumishi wa Mungu Aston inakuwaje pastor Wakanisa kama mchungaji hakiwa mmbaya inashika je wahumini? na biblia inasema mtoto hatabeba mzigo wa baba wala baba hatabeba mzigo wa mwana kwa nini zambi ya mchungaji inapoteza waumini?
@truth77963 жыл бұрын
The best way to eliminate bad dreams is to remain prayerfully forever
@charlottechance6753 жыл бұрын
True!!!
@trophywilson72113 жыл бұрын
not all ad dreams comes from devil you need to know that
@carendeborah56872 жыл бұрын
You have to sacrifice to stop that spirit ,majini maimuna inatoka Kwa devil na hao ndo wanafanya mapenzi Kwa ndoto,kuleta fibroids na kutoa mimba za watu,kupoteza nguvu za kiume.
@florafaustine46373 жыл бұрын
Mafundisho mazuri sana mbarikiwe sana watumishi
@florencendatila91833 жыл бұрын
Dah! 🙇
@koletajeanne88243 жыл бұрын
Amen akisati yesu
@edwinmbwilo61282 жыл бұрын
Kanisa ni moja tu ni Yesu kristo, tatizo ni fundisho
@lilianachiengministries33863 жыл бұрын
Choo Naam,heaven is real alisema heaven also celebrates Christmas' day,but it should be celebrated in helping pple.iread the book myself.
@lovenesswalter66503 жыл бұрын
Kwakweli
@lovenesswalter66503 жыл бұрын
Nlisoma pia yaan
@christopherbomola41513 жыл бұрын
Inawezekana wanasherehekea siku ya kuzaliwa kwa Yesu na sio specifically tarehe 25 December
Je kama mwanamke sio mchungaji ila kuna nafasi wanapewa kufundisha madhabahuni je hiyo ni sawa
@lilianachiengministries33863 жыл бұрын
WanawKe wanafaa kumtumikia vipi mungu.
@trophywilson72113 жыл бұрын
wakiwa wamejitimiza kuvaa nguo vema,,na kuwa na uCHARGE WA MUNGU
@winfridalazaro296 Жыл бұрын
1kor 11 soma ndg
@tamarali83253 жыл бұрын
Yani nikwa Neema kumuona Mungu Especially wanawake
@trophywilson72113 жыл бұрын
DUNIA INAMWANGALIA MWANAMKE.ILA WAAFRIKA TUMEZIDISHA.WAZUNGU WALIOOKOKA WAKO SIMPLE
@zeitunitweve93563 жыл бұрын
Asante sana nimefatilia shuhuda zenu zote, naomba kuuliza mtu akikopa deni lawatu nahakulipa akitubu dhambi bado atakuwa nahatia kwamungu?
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Ndio,lazima pia ashughulikie hilo deni
@trophywilson72113 жыл бұрын
NDIYO,LABDA ANAYEKUDAI AKUSAMEHE
@lilianluhasi50533 жыл бұрын
Ni jukumu lako kuamua kuvaa suruali ili kulidhisha mwili na dunia au kutovaa suruali ili uikomboe roho yako
@loraumuhire47553 жыл бұрын
Bwana Yesu kristo asifiwe, swari yangu ni ii, kira kanisa yenye mucungaji ni mwanamuke hairuhusie? je ire ushuhuda wa 999 year mbona anafundinda na nimwanuke? sierewe naomba muniereweshe asante Mungu awabariki.
@rehemaelastus45963 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe nauliza tunaosali makanisa wanaosherea krismasi inakuwaje je kuhusu unatizo maji mengi na machache ba ukibatizwa mkubwa au mtoto vipi hapo tunomba atueleze bila kuficha makanisa ya kweli na ya shetani ili tupone
@sarahgaula22202 жыл бұрын
Na kuna Yule mtumishi esta naye.alipelekwa mbinguni Ila anahubiri sasa sielewi kipi ni kipi
@valentinandukuvalentinandu47793 жыл бұрын
jamani mngetoa hata cd yake ama kitabu kwa kuhusu sadaka ni muhimu sana kujua
@erianne4943 жыл бұрын
Amen
@harimakidesu36803 жыл бұрын
Adam wewe nimtumishi kwenye swali lasuluar kwasisi tunaefanya kazi kwenye taasisi Fulani umejibu vizur umeshaur vizur
@bedykedy36043 жыл бұрын
Saaaafii kwa kumuelewa
@reginanduku37463 жыл бұрын
Amen,,am following from Kenya,,,plz ask Aston about women in monthly prds should use pads,tumpons etc,,,2.should a woman shave hair?
@BerylSeer13 жыл бұрын
Waa Regina 🤣🤣
@everlinekemunto2672 жыл бұрын
Haki hapo kwa prds umenifinish,sasa tuaje hivyo surely.
@loice123faida8 Жыл бұрын
Mimi mwanamke nilieolewa bibi wapili na miminimezaa neno na watoto watatu msichana na vijana wawili na yule mukemwanza tunaishi boma moja pamoja na huyo mume na je mimi ni munaweza kutaka talaka
@priskamsuya745311 ай бұрын
Naitwa Priska wa Tanzania Arusha tunawasikiliza swali langu mwanamke anaetengeneza dred kichwani hiyo ni mbaya?
@linetmusee65003 жыл бұрын
Mimi ni wanamke, na huhisi msukumo kufundisha neno la Mungu au kuubiri , sijafundushwa jinsi ya kuhubiri lakini hupata tu ufahamu wa neno na kufunuliwa wakati nasoma biblia. Na punde tu ninapohubiri (sharing the word whether in church or elsewhere), nasikia kuwa mwepesi na kupata utulivu moyoni, he nezafanyaje . Kama wanawake hawaruhusiwi kuhubiri? Na naweza kuwa naongozwa na Mungu au na shetani?
@bahatirobart73802 жыл бұрын
Mwanamke haruhusiwi kuhubiri madhabahuni Mimi nilivyoelewa ila KAZI ya uinjilisti tunaruhusiwa
@wililoatu9893 жыл бұрын
Mmhhhhh MUNGU tusaidie kubadilika
@veilasam65973 жыл бұрын
Ulaji wa Nguruwe ni sawa?
@anordlaurent8751 Жыл бұрын
2024nairudia shuhuda
@msanginaza905 Жыл бұрын
Kama watu wanaobeba vitu vyake wako kuzimu yeye Yuko salama ? Mungu nisamehe coz mm nilikuwa namfuatilia TB Joshua mnooo mpk niliwahi kutaka kwenda jamani jamani...sasa mbona watu wengi wamebeba ma anointing water yake???? Dada yangu mpk Leo ana anointed sticker zake TB Joshua nyumbani kwake Mungu tusaidie
@babumrisha3 жыл бұрын
Swali la kwanza naweza kubaliana nae. Mungu aliwahi kunisemesha hicho kitu miaka 30 iliopita nilipokua nikimuomba Mungu aniondoe duniani sababu ya changamoto nyingi. Nilijua hilo ila sikujua nimejuaje mana nilikua mchanga sana kiroho
@tabithakawira78442 жыл бұрын
Kwa kunyenyekea,na hicho sk zote ulikuwa uko mbinguni mwili uliachwa wapi
@mwlayubueliudimsyani78043 жыл бұрын
WATANZANIA WATANZANIA HII NI NEEMA SISI KUTEMBELEWA NA HUYU MTUMISHI WA MUNGU. KILA MWENYE SIKIO NA ASIKIE PLZ HAKUNA MBADALA NI KUJITOA VILIVYO KUUTAFUTA UFALME WA MUNGU, HAPA DUNIANI TUNA MUDA MCHACHE SANA. JACTANI UTALIPWA USIPOZIMIA MOYO, ASTON NA MTUMISHI WA MUNGU LANGI, MUNGU AWAKUMBUKE.
@micamathew25953 жыл бұрын
Hivi kumbe kusherekea Kristmas ni dhambi!!! Ohhh Mungu wangu, nisamehe.
@trophywilson72113 жыл бұрын
SIJAWAAMINI HAWA MAANA NA WAZUNGU WNGI HUKU NILIKO WANASALI SIKU MOJA KABLA YA CHRISMATS
@pendomwawasi17703 жыл бұрын
Aina 27 ya sadaka? Sikuwahi kusikia somo hilo. Tafadhali naomba kiandikwe kitabu cha ushuhuda wake na mafundisho yake kwa kingereza. Nitapenda sana kukisoma.
@andremartins2447 Жыл бұрын
Vc pode escrever para mim para me saber eu moro no Brasil e não sei os idiomas.
@lilianluhasi50533 жыл бұрын
Na pia ukiwa tumboni Mungu alikujua kama ni wake au si wake, Kama ni wake ungali tumboni huwezi kukubali uchawi
@jmeliasshanelle43033 жыл бұрын
Kuhusu Roho zinazobaki duniani i think imeelezewa katika vitabu vya Apocrypha
@margaretmkangala77743 жыл бұрын
Jeshini zipo sketi
@reginaruta32493 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe. Naulizia je kama nauza hizo suruari na vipodozi na sivitumii. Je sintaenda mbinguni?
@marianachriss24443 жыл бұрын
Hutakiwi kuuza,kuwa sababu chochote kinachomtia mtu dhambi ni dhambi maana wewe unajua ni dhambi halafu watu wengine wafanye dhambi,hata ukiuza vipodozi, halafu wewe hutumii ni dhambi, maana unasabaisha dhambip
@lovenesswalter66503 жыл бұрын
Usiviuze ni dhambi
@shuhudazakweli34063 жыл бұрын
Wazazi na wanunuzi wako ndani ya makosa
@valentinandukuvalentinandu47793 жыл бұрын
hata mbinguni utapasikia tu kwa sababu ni dhambi kwa nini uuzie wenzio mimi herini nilitoa zamani sitaki kukosa mbingu jamani
@jesusreignsrestorationministry3 жыл бұрын
Mtu wa Mungu ~ Kubali hasara. Ondosha hivyo vitu na anza kuuza sketi, gauni ndefu au bidhaa zingine
@aminaally41633 жыл бұрын
ASANTE BWANA YESU KRISTO UNATUFUNULIA TUSIYOYAJUA
@estherdamian41372 жыл бұрын
Biblia unaposema Mwanamke afunike kichwa akiwa anahutubia anahutubia wapi? Ikiwa haruhusiwi kuhutubu?
@marianachriss24443 жыл бұрын
Natubu ktk Mwili, roho na nafsi BWANA YESU KRISTO nitakase dhambi zangu zote kwa damu yako.
@lovenesswalter66503 жыл бұрын
Kaka Jactan naomba umuulze kuhusu chanjo
@lilymatoli71173 жыл бұрын
Hhhha
@trophywilson72113 жыл бұрын
yaani mimi sasa nashindwa hata kuelewa hawa wanaokwenda kuzimu na mbinguni wanakja na mambo Lundo ndiyo maana Mwakipesile anajisemea mitumme wa siku hizi na manabii si wa kusikiliza wantupotosha saana,hapa naanza kupata akili nishike nilichonacho
@mediatricenizeyimana79663 жыл бұрын
Je mutu akifa cabla ya kueneza siku zake anaweza kwenda mbinguni?
@mariahyera37373 жыл бұрын
Kaka Jactani samahani, Muulize mgeni wetu kuhusu kusuka nywele za mkono bila kuweka wala viambata. Inakubaliwa?
@trophywilson72113 жыл бұрын
inakubaliwa asikupotoshe huyo mgeni ,ili mradi Roho yako iwe salama imufuate Mungu kikamirifu
@annamalingi74152 жыл бұрын
@@trophywilson7211 wasema hiyo wewe ndoulokuwa mbinguni?
@georgehiza48542 жыл бұрын
@@annamalingi7415 😂😂😂
@hellen90562 жыл бұрын
Samahani lakini iyo hata kama jactan hajajibu biblia yenyewe tu imekataza my barikiwa
@trophywilson72113 жыл бұрын
Huyo kaka anatupoteza sasa kama huku hawasherehekei tena Christmas na wameacha hata kusali kabisaa
Acheni kupotosha wanadamu. Mambo ya kuzimu siku zote no ushetani. Katika Amri kimi za Mungu no wapo iliandikwa kubwa no dhambi kusherekea Christmas. Mungu alitufunulia neno lake katika maandiko matakatifu vipi tena wewe imekuwa nadala ya biblia?
@msanginaza905 Жыл бұрын
Mbingu sio Lele mama tusijifariji huo ndo ukweli kabisa Aston Yuko sahihi mno anajibu kulingana na Bible kabisa
@sarahjacobs88143 жыл бұрын
Je unaota ya kwamba umepoteza mjukuu maana yake ni nini??,🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@victorymvlog8753 жыл бұрын
U had a great vision but it died before it was formed. Pray for your plans,dreams and visions
@aberymsovela88663 жыл бұрын
Je kama unaota biblia yako imeungua
@sarahsarai86903 жыл бұрын
Na je ukiota ukivua nguo au ukiota una mtoto,,, ina maana gani?