Kwa kweli hatuwezi kabisa kwa njia zetu tu ila kwa neema ya Yesu Kristo na nguvu ya Roho Mtakatifu.
@bazurimwemdi90609 ай бұрын
Mungu atureemu hakika bila enema yake atuwezi
@MariaMwasyila-mq6yc9 ай бұрын
MUNGU atusaidie kuyashinda ya dunia
@charlespaul77689 ай бұрын
Mungu tusaidie kuyashinda majaribu
@msanginaza9058 ай бұрын
Ukisikiliza huuu ushuhuda unajitathimini nakujiona neema inahitajika sana ili kuingia mbinguni...Aiseee sio rahisi kabisa mbinguni kuingia ni kwa neeema sana maaana hakiiingiii chochote kinyonge Eeeh Mungu nisaidie nirehemu niiingie mbinguni siku yangu ikifika,nisaidie niiiishi Yale yanakupendeza
@daughterofGod45679 ай бұрын
Mungu turehemu ili tuweze kuingia lile Jiji zuri na kuwa pamoja na mwokozi wetu milele.Amina
@vumiliawambula17169 ай бұрын
Amina Amina Sana mtumishi wa Mungu
@VeronicaEdesiusBernard4 ай бұрын
Krismasi kumbe hatupaswi kusherekea 😭😭😭😭 au mimi sijaelewa jamani Mungu naomba unirehemu nirehemu mimi Yesu Kristo peke yangu siwezi 😭😭😭😭
@JoyceAvua4 ай бұрын
Eeeeh haitkwi😅😢😢
@salimajosephine16739 ай бұрын
Mungu anirehemu kwayote yaliyo kuwa yakinirudisha nyuma nimeamuwa kusomama tena niendelee kwa safari ya ngu naogopa moto😢
@mesamale9 ай бұрын
Asantee Sana promover TV kwa kutuunganishia ushuhuda wote kazi yenu ni njema
@marianaduncan63309 ай бұрын
Umeufanya ushuhuda kuwa mzuri zaidi
@nunyabizactually69289 ай бұрын
Thank you🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@nyangiboke7 ай бұрын
E Mungu nisaidie nimalize vizuri naomba nishike mkono
@rahimumuco86622 ай бұрын
Nimesikia pdiddy kwa ushuhuda Yesu atusaidie✝️
@evancemalissa45986 ай бұрын
Nashukuru sana promover TV , kazi yenu ni njema, ulivyotuunganishia ushuhuda wote umependeza, Mungu awabariki sana
@user-28Gerardineakimana8 ай бұрын
Mungu turehemu kwayote tusikose mbingu hakika
@lydiakivuyo-b3l3 ай бұрын
e Yesu tupe neema ya kuja kwako
@PastorPhilipMbaabu.9 ай бұрын
Franco 😢😢
@fenellalilian45909 ай бұрын
Like the video please 🙏🙏
@deogratiasharuna14178 ай бұрын
Jamaan nifanyej Mimi !maan kila kitu nizambi tutafikaj lakini najipabmoyo kwamaan imendikwa yote yanawezekana Kwa yy aminie !!!!!!!! Yesu mubariki sana mtumishi wako !
@JoyceAvua4 ай бұрын
My brother nyowa hiyo nywele vizur😢😢Kam watk mbingu
@RehemaJofrey-i2p9 ай бұрын
😢😢
@Bénigne-k4x5 ай бұрын
Mifupa yangu inatetemeka E Mungu tuhurumie
@ngugit888 ай бұрын
Mungu wetu tusaidie kujikana,na tubebe msalaba maana bila hili waah
@Klvn_Chriss9 ай бұрын
Inatisha🙁
@evancemalissa45986 ай бұрын
Ukipata tena nafasi utuunganishie na hizo part zilizobakia mtumishi