Asante sana baba kwa hili neno Niko RDC niko nafata saizi neno la Mungu hakika iyi mambo nime yapitiya kazini myezi tatu sasa Ila asante kwa hili neno sita Rudi nyuma nita songa mbele Ila Mungu wako anisaidiye Namimi sasa baba
@teddymhenga300610 күн бұрын
Asante sana ee Mungu Mkuu unayetupenda mno. Ninajisikia furaha niwapo na wewe katika huduma hii. Mbariki Mwl Christopher Mwakasege na mama Diana . Ibariki huduma ya MANA.
@blessedtumaini51610 күн бұрын
Asante Mungu Baba kunipenda ❤❤❤ Asante Yesu Kristo kunipa neema na kunisaidia kila wanaponikataa kwaajili ya jina lako, wakinikataa mimi wamekukataa Wewe na Baba aliyetupeleka.. Mwalimu Mwakasege Asante sana kwa neno la Mungu na mafundisho ubarikiwe wewe na familia na wote watendao kazi pamoja nawe na timu yote ya MANA.
@smartmwakipesile38429 күн бұрын
Usinipite na mimi Bwana unapowadhuru wengine unikumbuke na mimi nifunguliwe kutoka vifungo mbali mbali Bwana nisaidie
@AmosKabalole7 күн бұрын
Ila wewe mtumishi una kiti chako mbinguni... umenigusa, umenikosha, umenirudisha kny mfumo wangu binafsi. Asante Mungu kwa ajiri ya neno hili
@miraclesmercyandgrace10 күн бұрын
Bwana Yesu nakushukuru maana umenitendea. Baada ya maombi nimeanza kufikiri tofauti mpaka navyovaa, sivai kama alieyekataliwa. Ameniona Yesu namshukuru kwa ibada hii. Mungu akubariki mwalimu.
@savagetz673810 күн бұрын
Amen endelea mbele MUNGU hataacha kukusaidia
@LetcialAlphonce10 күн бұрын
Mungu azd kuulinda ushuhuda huu
@Neema-wy4mh9 күн бұрын
From now niko huru. Asante Bwana Yesu kwa kunipenda jinsi nilivyo. Neema iliojuu yako NA inifunike NA mm kwanza leo niko NA pendo lisilona mwishoo❤❤Mungu mmarikii mtumishi wako mwl.
@KadeshaTungu7 күн бұрын
Hongera mwalimu kwa kazi mungu akupe msadozi siku utakuwa haupo apatikane wa kiwa kama wewe
@joshuaronald-xv6dr7 күн бұрын
ISIJALI NI MAOMBI YETU APATIKANE
@WitoKonga7 күн бұрын
Asante yesu Kwa pendo lako
@christinewomanoffaith547910 күн бұрын
Haleluya ss Tabora, tunashukuru kamba zimekatika kigoma,ss roho za kukataliwa zinatuachia
@NaomyDaudi10 күн бұрын
Ameen watumishi mbarikiwe sana na Bwana
@sekelabenard10 күн бұрын
Nimebariwa mno na somo hili najipenda mwenyewe asante mtumishi wa Mungu mwl mwakasege
@franciscakahwili365510 күн бұрын
Ooh yes najiungamanisha na Ibada hii Mimi na familia yangu.
@SarahMeela-og6li10 күн бұрын
Sijaona kama wewe una nguvu namna hii.Atukuzwe sana Mungu.
@user-ij2po2jw2f10 күн бұрын
Mungu hajawahi kuniacha Kwenye huu utukufu ubarikiwe mtumishi WA Mungu
@furahasefania59265 күн бұрын
Mungu ni mwema
@zaitunmwakaje1749 күн бұрын
Mungu akubariki sana mwalimu neno limekuja wakati sahihi limeugusa moyo wangu na nimevuka sasa sitakubali kujikataa sasa
@samoskiyalo60956 күн бұрын
Huwezi ubadilisha mfumo ukiwa kinyume na mfumo ondoka,kwa mfano Madhehebu ni mfumo ,ukiwa kinyume na dhehebu ondoka maana huo ni mfumo ,Anzisha mfumo ondoka kaanzishe dhehebu la kwako
Asante sana tunakuelewa Mungu wetu. Kweli Yesu kaka katika ndugu wengi. Ni langu la kuingia kwetu mbinguni.
@atuwenekesalia85716 күн бұрын
Amen
@TheodoraMadandi8 күн бұрын
Amen sijaona kama Yesu mwenye nguvu kama wew
@renatusmtakyawa5949 күн бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu tukutane Jerusalem mpya
@PendoEmanuel-q7r9 күн бұрын
Asante MUNGU kwa kunipenda nilikataliwa nilipoanza huduma ya kutangaza neno lako,nakutukuza MUNGU wangu sikujikataa 🙏🙏🙏
@johnselemani9 күн бұрын
Onekana ukitenda kazi ndani ya nafsi na nyoyo zetu daima tukujue wewe Mungu wa thaman
@Inasiboss29 күн бұрын
Ahsant sana baba MUNGU akubariki na kukutunza milele
@ephraimlewanga20029 күн бұрын
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu wa Mbinguni
@samsonjohn26319 күн бұрын
Najiunganisha na madhabahu hii ee MUNGU nakuomba unifungulie vifungo nilivofungwa ktk famili yangu ee MUNGU nakuomba ukumbuke na watoto wangu Kwenye masomo yao ee MUNGU nakuomba ukumbuke na biashara zangu ukazifungue MUNGU wangu
@VeronicaMussa-lu1yw9 күн бұрын
Amen Amen Mungu nifungue vifungo nilivyofungwa.
@samoskiyalo60956 күн бұрын
Mnasikiliza laminitis hamjui muendako, majibu ni mawili 1 utakubaliwa baadaye 2 ondoka mahari unapo kataliwa Yesu alianzisha mfumo wa kwake na alisema mtafukuzwa ondoka
@rosejoachim249810 күн бұрын
Utukufu ni kwa Mungu aliye Juu
@beatricesalvatory1100Күн бұрын
Ameen mchungaji
@mwendwanoah52259 күн бұрын
1:58:28 Amina Baba barikiwa Mungu akutunze
@teddymhenga300610 күн бұрын
Amina Amina Amina
@user-rp3jy9yn2l6 күн бұрын
MUNGU ni mwema
@JoshuaHilgath10 күн бұрын
Amina
@WitoKonga7 күн бұрын
Hakika sijaona kama yesu
@gradwellmwanja10 күн бұрын
Najiunganisha na Ibada hii ya Huduma za MANA🙏🏻
@stephanosospeter170910 күн бұрын
Ameen
@WitoKonga7 күн бұрын
Najiu ganisha na madhabahu hii ktk kristo yesu
@sarahnungu782510 күн бұрын
Kwa Neema yako Yesu nifungue baba
@CharlesSylvester-r3r10 күн бұрын
Asante mungu kwa ulizi wako 🙏
@Charlesnagunwa10 күн бұрын
Ubarikiwe mtu wa Mungu
@rhodanangoma738610 күн бұрын
Hallelujah 👏👏
@jojotanzan60910 күн бұрын
Glory to God
@janemuiaofficial72099 күн бұрын
AMEN AMEN
@lydiaaruba66708 күн бұрын
Kama mfumo wa eneo unakukataa usijikate🇸🇦🇰🇪🙌
@DORICEAMBONISYE10 күн бұрын
🙏🏻Najifungamanisha na madhabahu hii😢
@savagetz673810 күн бұрын
Amen watumishi MUNGU azidi kuwatumiaa
@GIDEONJOHN-xu1nn10 күн бұрын
awesome God
@AgnessKisanga-f2p10 күн бұрын
Ameni
@christinewomanoffaith54799 күн бұрын
🙏🙏
@samoskiyalo60956 күн бұрын
Kwa mafundisho haya Mwakasege unawaandaa watu kuondoka nao si muda unaondoka
@queenchristopher15158 күн бұрын
Naomba mniombe nawafatilia kwenye you tube nasumbuliwa na maradhi takriban miaka tano nimezungu baadhi ya hospital hapa domama lkn cjapata nafuu ,magonjwa yakwenye mifumo ya uzazi na njia ya haja kubwa cpati choo namalza cku 3 hat 4 cjapata choo na naskia maumivu makali cnafura na maisha hata ya ndoa naomba mtumishi uniombee .
@SarahJilala2 күн бұрын
Pole mpendwa mungu wambiguni akusaindie uko dodoma sehemu gani