2: NGUVU YA SAUTI YA DAMU YA YESU KATIKA MIFUMO || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE

  Рет қаралды 18,505

CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL

CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL

Күн бұрын

Пікірлер: 53
@upendokiwanga9538
@upendokiwanga9538 3 күн бұрын
TUNAMSHUKURU MUNGU KWA MAFUNUO HAYA MAKUBWA USHAURI WA BURE SIKILIZA WATUMISHI UKIONA KUNA KITU HAKIKUFAI SIO LAZIMA UKOSOE KIACHE KILE KIBAYA CHUKUA CHA KUKUSAIDIA MAISHA YASONGE
@odethierpaschal
@odethierpaschal 3 күн бұрын
Wow siku tano mwanza hadi raha Karibu sana mwalimu ❤
@AnnastaziaJeremiah-ch3vx
@AnnastaziaJeremiah-ch3vx 2 күн бұрын
Amen ubarikiwe mwalimu
@gladnessmmary2988
@gladnessmmary2988 3 күн бұрын
Mbadilishe kabisa tabia ee mungu namueka katika mikono yako mungu awe mtoto mwema na watu wamuongelee kwa mema na sio mabaya kwenye vinywa vya watu yatoke yalio mazuri na wamuone akiwa mtoto mwema
@ElizabethBunga-y8p
@ElizabethBunga-y8p 3 күн бұрын
Mungu azidi kukutumia atakavyo nabarikiwa sana
@lennickjoseph
@lennickjoseph 3 күн бұрын
Mungu ana mpango na ss amin hivo kuwa wewe ni wahtaman san kwa Mungu
@godfreyhiza1075
@godfreyhiza1075 4 күн бұрын
Amina!! Nimebarikiwa sana!!
@sirielmunis6525
@sirielmunis6525 4 күн бұрын
Amen nimefunguliwa kwa damu ya Yesu
@nurukamendu
@nurukamendu 3 күн бұрын
We Mungu nisaidie nielewe SoMo zuri sana hili.
@gladnessmmary2988
@gladnessmmary2988 3 күн бұрын
Ee mungu najiungamanisha na madhabahu hii naomba ee yesu umfungue mwanangu aziz aondokane na makundi mabaya awe mtoto msikivu asitekwe na mambo ya kidunia awe mtoto mwema ee mungu msaidie
@ernestbutagalala
@ernestbutagalala 3 күн бұрын
Baba nifundishe kutembea katika neema yako nataka nikufahamu
@CastawayMpaki
@CastawayMpaki 3 күн бұрын
MUNGU akuongezee neema na hekima mwalimu wetu mwakasege
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 4 күн бұрын
🙌🙌😢Yesu tusaidie watt wako Haya mambo sio marahisi sn Tufunulie akili zetu tupate kuelewa
@ernestbutagalala
@ernestbutagalala 3 күн бұрын
Baba peleka mkutano na mkoa wa Geita na wilaya zake
@evarisaernest2146
@evarisaernest2146 4 күн бұрын
AMEN
@kapiriisavictoria4175
@kapiriisavictoria4175 4 күн бұрын
Amen Amen 🙏
@marymlelwa8471
@marymlelwa8471 4 күн бұрын
Amen
@queenchristopher1515
@queenchristopher1515 Күн бұрын
Naomba muendelee kuniombe,knaushinda mkubwa nlkuwa nmepata nafuu lkn hali inarud nyuma
@sarahlussingu6029
@sarahlussingu6029 3 күн бұрын
Damu ya Yesu inenayo mema ikafungue Watoto wangu JSJ wapate Mibaraka kila eneo la Maisha yao,wawe na Kibali kila wanapokanyaga,natamka Neema juu yao eehh Mungu wapige Muhuri wa Damu Ya Yesu na shetani ajue hawa watoto ni wa kwako asiwaguse kamwe IJN🙏🙏
@subbyluckson6231
@subbyluckson6231 3 күн бұрын
😢
@vickyayo8712
@vickyayo8712 3 күн бұрын
Ndg samoskiyalo jumbe zako jitahidi ziende direct kwa mhusika
@MultiHumphrey1
@MultiHumphrey1 13 сағат бұрын
DAMU YA YESU NI NGAO NA KIGAO...BILA HII DAMU OOH YEESU TUSINGETOBOA
@dixonkivambe7250
@dixonkivambe7250 3 күн бұрын
HALLELUJA
@laletiispretty3421
@laletiispretty3421 3 күн бұрын
Tunaomba mturuhisu kidownload jamani maana tunahitaji kurudia na kurudia gharama ni kubwa sana kulipia
@neemabuyingo2775
@neemabuyingo2775 4 күн бұрын
NAOMBA DAMU YA YESU IFUNGUE WATOTO WANGU
@Princessd-iy1re
@Princessd-iy1re Күн бұрын
Sio kila mtu yupo perfect jmn. Kuna mda mtu ulimi una teleza, kwanza kabla hauja kosoa, jitafakari wewe ni mangapi una yawasilisha wrong,,, ata kama amesema walikua mapacha hapo sijaona ubaya wowote kwasababu walizaliwa na baba na mama mmoja kakini pia ujumbe umefikishwa vizuri ilihali amesema mapacha. So ni bora ukaacha ku hukumu vitu vya ajabu.
@ConjesterPeter
@ConjesterPeter 9 сағат бұрын
Wala hajakosea ni mapacha
@MildredRubio-s6g
@MildredRubio-s6g 19 сағат бұрын
Jackson Donna Harris Betty Perez Betty
@paulinafrednand
@paulinafrednand 4 күн бұрын
Mimi niombe mruhusu kudown load jamni nateseka mna nafatilia wakti mwingine Semina ishapit
@samsonbaraka3145
@samsonbaraka3145 4 күн бұрын
Kudownload ili uwe unasikiliza na kusikiliza mbona inawezekana
@StellaJohn-cx7dz
@StellaJohn-cx7dz 2 күн бұрын
MUNGU AZIDI KUKUPA AFYA NJEMA NA HUDUMA YOTE YA MANA
@samoskiyalo6095
@samoskiyalo6095 4 күн бұрын
Kaini na Hbiri walikuwa si mapicha Biblia inasema Adamu akasema nimepata mtoto mwanamume kwa Bwana ,pia inasema akaongeza Mwakasege ludi kasome Chuo cha Biblia
@ninaelgeoffrey5844
@ninaelgeoffrey5844 4 күн бұрын
Wewe ndio inabidi ukajifunze kwanza walau kuandika
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 4 күн бұрын
Kajifunze kwanza ,tutolee ujinga hapa We ndo unanifaham sn biblia kuliko wengine
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 4 күн бұрын
😅huyu mpuuzi eti Mwakasege akasome chuo Cha biblia, we uliye soma hicho chuo umeisaidiaje kanisa lako? Kutwa kuja kukosoa mambo yasiyo na tija halafu mnachukua haya mafunuo mnaenda kufundisha makanisani kwenu
@BahatiIdd
@BahatiIdd 4 күн бұрын
​@@ninaelgeoffrey5844asante mtumishi😅😅
@neemasanga5333
@neemasanga5333 4 күн бұрын
Mimi nimekupenda buree, kuna Mchungaji aliniambia nitubu kwa Sababu nimempa mwlimu nafasi YA Mungu nilimchukia na kufuza Nyumbani kwangu, siku nilipa ada ya watilu wawili na kuambiwa nipeme afya ndio nihuzuriye kongano nilikata tamaa nilitamani Kufa ndio nikamkumbuka yule mama Mchungaji, naona mandulele wenzangu wanakupinga, mimi nakupongeza Anadanganyaga mara nyingi tu Na tunaamini mara kadhaa amefundisha kwamba joka Alitaka amlee mtoto wa ufunuo Tuliamini wakati joka alita amle 😢
@samoskiyalo6095
@samoskiyalo6095 4 күн бұрын
Kwa yari uliyo nayo huna wa kukukosoa na kukurekebisha nimeona una mapungufu mengi kama haya unayo sema kukosa aliye juu yako ni tatizo
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 4 күн бұрын
Badala ya kuchukua vinavyokufaa ujifunze ndo kwanza unatafut vya kukosoa Huna akili kabisa Hebu tupishe
@EmmanuelShelukindo
@EmmanuelShelukindo 3 күн бұрын
Baba mungu akubarki sana hii neema nikubwa sana
@MariamSenga-xn2dc
@MariamSenga-xn2dc 3 күн бұрын
Amen🙏
KARIBU KWENYE SEMINA YA NENO LA MUNGU - MWANZA MJINI NA MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE
2:43:49
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 13 М.
1: NGUVU YA SAUTI YA DAMU YA YESU KATIKA MIFUMO  || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE
3:01:47
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 25 М.
Teaching a Toddler Household Habits: Diaper Disposal & Potty Training #shorts
00:16
Minecraft Creeper Family is back! #minecraft #funny #memes
00:26
3: NGUVU YA SAUTI YA DAMU YA YESU KATIKA MIFUMO  || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE
3:44:01
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 18 М.
DALILI ZA KURUDI KWA YESU ( 02 ) Rabbi Abshalom Longan •RUNZEWE GEITA
50:30
Beit Abraham ( Nyumba ya Abraham)
Рет қаралды 23 М.
HUWEZI KUFANIKIWA KIMAISHA BILA  MATATU HAYA....
50:09
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 1 МЛН
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE : MAOMBI ENDELEVU UFUNGUA MALANGO YA FURSA KWA MUOMBAJI.
1:21:14
2. KUSHUGHULIKIA KAMBA ZA KIROHO ZINAZOKUKWAMISHA KIMIFUMO || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE  ||  KIGOMA
3:03:10
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 23 М.
Teaching a Toddler Household Habits: Diaper Disposal & Potty Training #shorts
00:16